GIKARO NA BIFABUSHA YOU HAVE SAID IT ALL
Kimsingi hawa jamaa ( INTERAHAMWE) wanacheza na uwezo mdogo wa kuchambua hoja wa watanzania. Wanajua tulio wengi hatufikiri sisi kama sisi bali tunamtegemea mtu mwingine afikiri kwa niaba yetu. WANACHOKIANGALIA NI MLO WAO KAMA WAO. Wamekwishafanya hesabu na kuona kwamba ikiundwa serikali ya tatu ulaji wao uko mashakani. WAO NI NANI KUPUUZA MAWAZO YETU SISI WANANCHI? HAWA JAMAA WALA HAWANA NJAA ILA NI UROHO TU. WAMEKWISHAJIKUSANYIA MALI ZA KUTOSHA KULA HADI WAJUU LAKINI BADO WANATAKA KUENDELEA KUTUKAMUA TU. YAANI UNAMUONA HATA PROFESA ANAONGEA VITU VISIVYOKUWA NA MASHIKO KISA UROHO TU

2014-04-18 17:35 GMT+03:00 'Jovi kamuntu <jbifabusha@yahoo.com>' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Kweli Ryoba, hata hakuna hata mmoja anayeonyesha huo muundo wa Serikali mbili utakaaje ili kuondoa kero. Pia eti Serikali ya Muungano haikopesheki. Leo Bwana Polepole amemuumbua Mwigulu kwenye kipindi cha Tuoongee Asubuhi kwa kumueleza kuwa Muungano utakuwa na raslimali za kutosha kwenye Bahari kuu ambako uvuvi na gesi vimesheheni tele. Pia amezidi kummumbua alipodai eti Nchi washirika watakataa kuchangia akamweleza kuwa Katiba aisomwi kila kifungu peke yake akamuonyesha vifungu hadi akaishiwa maneno.Propaganda zao watu wamezizoea. Napendekeza tuanze kutoa elimu kwa umma kupitia njia mbali mbali ili watu waielewe rasimu.Wanadai eti watu 17,000 waliotaka serikali 3 ni wachache. Kwanini hao wachache hawakutaka serikali 2. kwani kuna aliyewazuia na kuwalazimisha kutaka serikali 3. Walio wengi waliotaka serikali mbili ni akina nani? Wasitubabaishe na maneno yao ya kibaguzi. Lazima watambue kwamba sasa tuko katika mfumo wa vyama vingi vya siasa na iwe isiwe kuna siku CCM itatoka madarakani kama Conservative ya Wingereza ilivyotoka baada ya kutesa miaka mingi. KANU iko wapi, ZANU iko wapi. Mh. Mbowe amesema ukweli kwamba Utawala unaotaka kuanguka unaziba masikio.Jovin Bifabusha
DIRECTOR
KWFF LTD
P. O. Box 313
Skype: jovin.bifabusha
Karagwe, Tanzania
+255 784 709200On Friday, April 18, 2014 5:04 PM, Gikaro Ryoba <gikaroryoba@yahoo.com> wrote:
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.--Inasikitisha kuona kwamba CCM wamekuwa mstari wa mbele kuwadanganya wananchi kwamba uendeshaji wa serikali 3 ni ghali kuliko serikali 2 huku wakiwa hawatoi takwimu za kuonesha ughali huo unakujaje. Swali la kujiuliza ni kwamba ikiwa serikali 3 ni ghali na kama kweli CCM wana nia njema ya kupunguza matumizi ya serikali ni kwa nini basi tusiende kwenye serikali 1? Hapo ndipo unapogundua kwamba Dr Antipas Lissu alipowaambia CCM kwamba wamezoea kuishi kwa uongo hakuwa amekosea hata kidogo. Ndivyo CCM walivyozoea kuishi.Hii hesbau ni rahisi sana. Leo nilikuwa namuuliza mtoto wangu anayesoma chekechea kama 1 na 2 ni ipi kubwa, akaniambia kwamba ni 2! Sasa swali rahisi kama hili kwanini CCM wanashindwa kulitatua wakati mtoto wa chekechea anaweza? Ndani ya CCM kuna maprofesa lukuki lakini wote wameacha taaluma zao na kuchagua kutumikia uongo. Ndugu zangu, wote ni mashahidi na mnafahamu kwamba 1 ni ndogo kuliko 2 ila CCM wameng'ang'ania serikali 2 ambazo ni ghali kuliko serikali 1 kwa sababu zina manufaa kwao kisiasa. Ndio maana wanajenga hoja mufilisi kwamba serikali 3 ni ghali kuliko 2 huku wakisahau kwamba 1 ni nafuu zaidi kuliko 2! Pia serikali 1 zitaimarisha muungano na umoja zaidi kuliko hizi serikali 2 za kulazimishana. Hili hawalioni ila wamebaki kukomaa na serikali 3!Halafu, ni lini CCM walikuwa na huruma kwa wananchi? Sote tunajua na tunafahamu jinsi pesa za umma zinavyofisidiwa watu wa CCM na kutumiwa na serikali kununua na kuendesha magari ya kifahari huku wananchi wakila majani pamoja na kukosa huduma za kijamii kama matibabu, maji, elimu, miundombinu, nk. Hiyo huruma ya CCM imetoka wapi ghafla hadi wafikirie kupunguza idadi ya serikali kwa manufaa ya wananchi? Hiki ni kichekesho cha mwaka.Uongo mwingine wa CCM ni dhana potofu kwamba serikali 3 zitavunja muungano. Hii ni hoja ya kitoto na kizezeta kabisa. Kinachosikitisha na kushangaza zaidi ni pale CCM wanapolazimisha na kuwatia hofu wananchi kwa kuwaaminisha kwamba uwepo wa serikali 3 (serikali ya Tanganyika, Zanzibar na MUUNGANO wa Shirikisho) eti ni kuvunja muungano. Muungano utavunjikaje wakati katika hizo serikali 3 imo serikali ya Muungano (Shirikisho)? Hivi hawa INTARAHAMWE hawana haya? Mtaji wa hawa watu ni ujinga watanzania walio wengi. Kuna wajinga wachache ambao wanakubali uongo huu lakini wengi wetu tunaupuuzilia mbali.Hivi jamani mtu ukiwa na nyumba yako ambayo haikidhi mahitaji, ukiamua kuifanyia renovation au ukaibomoa na kujenga nyumba mpya iliyo kubwa, imara na bora zaidi, tatizo liko wapi? Ni nini hofu ya CCM katika uwepo wa serikali 3 hadi waanze kuwatisha raia kwamba ikiwa serikali 3 zitaruhusiwa jeshi litachukua nchi? Kama ndivyo basi, sisi raia tunaoteseka chini ya utawala wa CCM tunalikaribisha jeshi kwa mikono miwili lije litawale badala ya kuendelea kuishi ndani ya utumwa wa serikali ya CCM.CCM hawahawa waliwaaminisha watu kwamba vyama vingi vikiruhusiwa, nchi itaingia vitani kama ilivyowahi kutokea huko Rwanda. Walifikia hatua ya kutembea nchi nzima wakionyesha video za vita ya Rwanda na intarahamwe ili kuwatisha wananchi kuhusu ujio wa vyama vingi. Ni zaidi ya miaka 20 sasa tangu vyama vingi viruhusiwe nchini lakini hatujawahi kuona nchi ikiingia vitani. Ama kweli CCM wamezoea kuishi kwa UONGO, ukweli hawauwezi! Propaganda zao hizi tumezizoea, hawakuanza leo, jana wala juzi. Ni uongo wao wa siku nyingi sana.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/1397829846.8779.YahooMailNeo%40web163101.mail.bf1.yahoo.com.--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:
Post a Comment