Saturday, 19 April 2014

Re: [wanabidii] Re: Busara itumike kujadili Rasimu ya Katiba-

Unajua baada ua kuamua mfumo wa muungano ndio utaamua vifungu vingine vijadilikeje. Vingine vitabadilika vyenyewe. Hizi sura ndio muhimu sana kuamuliwa

On Saturday, April 19, 2014 10:25 AM, lesian mollel <aramakurias@yahoo.com> wrote:
hao watakaopitisha mambo ambayo cc on the ground hatayataki basi tutawasubiri huku huku, ukawa hawakautakiwa kuondoka basi kugoma kupitisha hivo kipengele then wawaambie wanaokomaa kua wananchi tutwaambia wasipitishe....kwanini waondokeeeeeeee

On Thursday, April 17, 2014 11:11 AM, tumaini bakobi <tumainibakobi@yahoo.com> wrote:
Hivi katiba inaweza endelea kujadiliwa hata kama hawapo? Kama inawezekana, sasa itakuwa ni katiba ya CCM au Wananchi? Sijui kama wananchi tutaipitisha kama mawazo yetu yatakuwa yamebadilishwa kukithi matakwa ya CCM!
On Thursday, 17 April 2014, 10:59, ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com> wrote:
Inatia huzuni na mashaka kweli ndugu yangu. Ni kweli kama unavyosema kuwa na tofauti ya maoni. lakini tunachosikiliza ni hoja za tofauti hizo.
Upande wowote usipojibu hoja hakuna mtu atakayesikiliza wingi wa sauti. kama jambo linataka jibu lijibiwe kwa hoja.
Ni lazima tuwe na mfumo wa kuliongoza taifa hili. tunataka mfumo huo uwe unajibu matatizo tuliyo nayo kwa muda sasa ili watu walale wakisubiri wenzao kuendesha serikali. majibu yanastahili kupatikana kwenye katiba.

Tunahitaji taifa lililo na kiongozi anayejitosheleza.
Nchi hii ilishuhudia Rais Nyerere akichanganya udongo peke yake kuashilia kuunganisha mataifa mawili. haikuwa lazima washike wawili maana yeye alikuwa Rais wa jamhuri ya Muungano.

Nchi hii inashuhudia Rais Kikwete hana mamlaka ya Kupokea rasimu ya Katiba kwa niaba ya watanzania wote mpaka na 'Mwenzake' wa Zanzibar apokee. Mambo haya ''madogo'' kwa juu lakini makubwa kwa chini yanahitaji majibu kwenye katiba na wala sio kuuachia uongozi utakaokuwepo 'kuamua'.

Haya mambo yanazungumzika ili mradi watu wawe tayari kusikiliza na kusikia upande mwingine unasemane? kwenye kamati hizo 12 ilitarajiwa wawe wameyaongea na kupata majibu.

Lakini sasa tunashuhudia watoto wakisonga mchanga na kuuita ugali. Hii ni mbaya na hatari
Eilsa Muhingo

On Thursday, April 17, 2014 7:46 AM, Japhet Makongo <japhetmakongo@yahoo.com> wrote:
Yanayotokea katika bunge letu huko Dodoma ni kama mchezo wa kuigiza, lakini wenye hatari. Ni wazi kuwa hoja ya aina ya serikali katika muungano wetu imeleta mtafaruku na tofauti ya mawazo miongoni mwa wajumbe wa bunge la katiba. Hiki ni kitu cha kawaida kwani hatutarajii watu wote wakubaliane katika mitazamo na hasa katika jambo lenye umuhimu kama hili. Ikumbukwe kuwa hata huku nje ya bunge, kuna mawazo yenye mgawanyiko wa aina hiyo hiyo.
 
Tofauti za mawazo hujadiliwa kwa busara na uvumilivu na hatimaye makubaliano kufikiwa kwa hoja na siyo jaziba, matusi, vijembe na ushabiki kama inavyotokea Dodoma sasa. Tulioko nje tunashindwa kujua nani mwenye busara na ni kwa hoja gani makini.   Ninavyofahamu mimi, demokrasia makini ni kusikilizana, kujadiliana, kuvumiliana na kukubali kushindwa kwa hoja. Hata kama kuna wingi wa kundi moja kutetea hoja fulani, ni muhimu kuyasikiliza maoni ya wachache kwani katika utekelezaji kuna mazuri yanayoweza kutumika kuongeza ufanisi.  
 
Inasikitisha sana kuona wajmeb wengi wa Bunge letu wanakiuka kanuni walizoweka wenyewe na kuanza kuongea kwa jazba bila hata ya kuwa na hoja ya vifungu vinavyojadiliwa. Aidha, inasiktisha kuona viongozi waandamizi na wenye heshima kubwa serikalini wanajiunga katika kutoa matamshi yenye kuleta ukinzani. Wakumbuke kuwa sauti zao zina mvuto na ushawishi kwa watu.....kwa heri au hata shari.
 
Naomba wajumbe waliotoka watafakari njia itakayosaidia kufikisha mawazo yao ndani ya bunge kwani kutoshiriki ni kubariki mawazo ya upande mmoja. Kwa waliobaki ndani ya Bunge watumie busara ya kujadiliana jinsi ya kufikisha hoja zao bila matusi na kebehi hususan kwa tume iliyofanya kazi nzuri. Kama wameipuuza kwa vijembe kiasi hiki, je, wataweza kuisifu katika vifungu vilivyobakia? Katiba ni mambo mengi ns siyo muundo wa serikali tu.
 
Makongo
----------------------------------------------------------------
Japhet Maingu Makongo
Director, Ubunifu Associates Ltd
P.O. Box 32971, Dar es Salaam,
TANZANIA
Website: www.ubunifu.co.tz, info@ubunifu.co.tz,
Tel: +255 22 2762027, Mobile:+255 754 571 256
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment