Monday, 21 April 2014

Re: [wanabidii] Re: ALIYESAMBAZA HABARI ZA LUKUVI NA JESHI MATATANI

Zunzu
Mbona unatushangaza? nini maana ya uhuru wa vyombo vya habari? wewe ulitaka waandishi wote waandike kinachofanana? Ndiyo maana watu tunapendelea kusoma gazeti fulani au kuangalia Tv fulani kwa sababu ya utofauti wa uchaguzi na coverage ya issue fulani. Kama Lukuvi hakunda alichosemwa kiandikwe angekisema chooni. Acha kutetea mambo yasiyofaa eti kisa kaumbuka mwana INTERAHAMWE mwenzio

2014-04-21 9:41 GMT+03:00 Eberi Manya <ebermanya@yahoo.com>:
Hii nchi inatawaliwa na WASAKATONGE. Lukuvi mwenyewe Msakatonge, asiandikwe yeye ni nani? Imefika wakati tuache ubabe katika nchi hii. Wasakatonge wote katika nchi hii siku zao zinahesabika.

standardquanta@gmail.com wrote:

>On Saturday, April 19, 2014 10:01:00 PM UTC+3, MABADILIKO CHADEMA wrote:
>
>
>Kazi ya Uandishi wa habari ni profession kama zilivyo profession nyingine na ina taratibu na ethics zake.Huyu mwandishi alitekeleza wajibu wake kwa kuandika kile Lukuvi ailichosema .Sasa kosa lake liko wapi? Nafikiri umefika wakati wa kuambiana ukweli.Kiongozi anapoongea jambo mahali popote asiwe "excited" akajisahau kwamba watu wote waliopo mahali hapo au kwingineko watasikia maneno yake kupitia vyombo vya habari.Huyu mwandishi anatakiwa kuachiwa huru mara moja.
>Ubabe hausaidii kitu.
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment