Wednesday, 9 April 2014

Re: [wanabidii] MWALIMU WA DINI ANUSURIKA KIFO BAADA KUKUTWA AKILAWITI

anayepatikana AUWAWE TU. Watu hawa ni wauaji kwa jinsi nyingi. Huyo mtendewa anakuwa ameuwawa ki-utu wake, ki-saikolojia, ki-mtazamo wa maisha, ki-fikra za maisha yake ya baadaye nk. Wote tunaowatetea watenda haya kuishi tunayo ya kujibu mbele za Mwenyezi Mungu, labda kama hayupo.
Mtu anayetumia nafasi yake kumlinda muuaji wa jinsi hii (sisi tunasema eti ni mhalifu tu tunaishia pale) hakika hukumu yake ipo tu.

On Sunday, 6 April 2014, 11:40, Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk> wrote:

Si kweli kwamba kumkata mtu nonino au kumhasi ndio solution. Kuna picha zinaonysha mbakaji nchi za kiarabu akipigwa risasi hadharani na ubakaji upo unaendelea. Wanachokifanya akishabaka humuua victim hivyo kuficha kidhibiti nani atasema yeye ndiye aliyembaka/lawiti na muhusika kafa? India wanawahukumu kifo na hata wakinyongwa-ubakaji na uchafu mwingine mwingi sana. Hata makao makuu ya End Child Prostitution and Trafficking for Sex (ECPAT) yapo huko Asia (Bangkok Thailand). Brothels za kuuza vichanga zipo huko na India ndio kibao, jirani anakuibia kasichana au kavulana anakwenda kukifungia ktk brothels na kuwaulia wanaopenda mapenzi na atoto ambao wanatoka nchi za ulaya na humo India, Thailand. Ukija kumpata ni mkubwa miaka mingi ameteseka na wengine nyumba ikishika moto huishia humo hufa. Wapo wamefungiwa vyumbani kwenye magrili na kufungiwa minyororo chumbani kitandani.

Hapa bongoland brothels zipo Dar nyingi na wauzao washichana prostitutes na mashoga ni akina mama watu wazima. N jambo hili linakua miji mingine TZ na kwa sasa Morogoro zinashamili. Kukiwa na bunge Dodoma-washoga, akina dada poa hujaa Morogoro kibao kujiuza na ukifika lodging kupata vyumba shida.

Inafika kumsaidia msichana au mvulana aliyebakwa/kulawitiwa-ni tatizo kubwa sana kutokana na uafrika wetu kutaka kuficha siri na kukubali kuchukua rushwa. Kisha mbakaji na nduguze/marafiki kutishia uhai wako. Polisi kuchukua rusha na kesi kuwa kizungumkuti. Bado tuna mengi ya kufanya kuhusu Sexual Offences Law na kuweka mfumo ambao utakuwa friendly  kwa watu kupata huduma baada ya kufanyiwa uchafu huo na kesi kwenda haraka. Kama mtu alifumwa live-kwa nini picha ya mlawiti/mbakaji isitoke ikatolewa ya mtoto tu gazetini kafichwa uso. Jinsi hii-tunatetea ubakaji kwa kisingizio cha kuingilia kesi ya mahakama. Huyo mtu wa dini hakuonyeshwa wala dini yake haikutajwa. Why?

On Saturday, 5 April 2014, 5:16, john mushi <mushijohn@yahoo.com> wrote:
Kwanza nani kamnusuru kuuawa?Mtu kama huyu ni kweli anafundisha hiyo dini au ni gear ya kuwapata watoto wa kulawiti?Itungwe sheria mtu wa aina hii akithibitika alichokuwa akikifanya huo "mti" ukatwe kwa amri ya mahakama!ili kulawati kumshinde. wakikatwa watatu watakoma.Ebo!

On Saturday, April 5, 2014 7:11 AM, Yona Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:
Ni morogoro mjini sijajua mtaa gani , ila jina la dini kwanza tuweke pembeni maana mungu ni mmoja .

On Fri, Apr 4, 2014 at 3:35 AM, Vincent Mhangwa <vmhangwa@gmail.com> wrote:
Moro sehemu gani na dini gani?
On 4 Apr 2014 11:33, "Yona Maro" <oldmoshi@gmail.com> wrote:
Mwalimu mmoja wa dini mkoani morogoro amenusurika kuuwawa na wananchi wenye hasira baada ya kumkuta akimlawiti mtoto mdogo ambaye ni mwanafunzi wake .

--

Yona Fares Maro

Institut d'études de sécurité - SA

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment