Thursday, 24 April 2014

Re: [wanabidii] MNEC Magesa ahutubia mkutano wa hadhara Kigamboni

Ndugu yangu Masuki sikujua kama Nape anayoyasema yalivyo ya ajabu kama ni maamuzi ya kundi lolote.
Na kama lipo kundi linalomwelekeza kusema anayoyasema basi ni hatari kubwa zaidi kuliko nilivyokuwa nawaza, binafsi nilifikiri hakuna input ya wengine kumbe ni ndo mawazo ya kundi kubwa!! mfano juzi juzi alipokuwa Sumbawanga alisikika akisema " akina Lisu walaaniwe kwa sababu wamemtukana baba wa taifa" Nikajiuliza swali, hivi unaweza kumtukana marehemu? jibu hadi leo sina, kama lipo kundi linajadili na kufikia maamuzi ya kumtuma akaongee maneno kama hayo kwenye mikutano ya hadhara ilo kundi limesheni watu wa aina gani?

2014-04-23 16:01 GMT+03:00 Kenneth Masuki <kennymasuki@gmail.com>:
Ndugu Mngonge

Nape ni kama redio tu inayorusha matangazo kutoka studio. Kwa wadhifa wake kama Katibu mwenezi yeye kazi yake ni kuongea walichoamua chama na siye anaye fikiria na kushauri nini cha kufanya. He is just a mouth piece of the Party. So do not condemn him as a master minder of all what happens in the party.

On Apr 23, 2014, at 10:41 AM, mngonge <mngonge@gmail.com> wrote:

Ndugu yangu Masuki

Mimi sina nia ya kumtukana yeyote lakini wakati mwingine ipo haja ya kuyasema tunayoyaona na kuyasikia. Binafsi namuona Nape kama THINK TANK ya CCM, maana mtu wa kwanza kumsikia akitaja kwamba msimamo wa CCM ni muundo wa serikali 2 ni Nape. Na baada ya yeye kutaja hivyo Chama kizima wakiwemo maprofesa hata mkuu wa kaya wakaanza wimbo wa serikali 2. Sasa kama Nape siyo think tank wa chama ni nini? Unajua kuitwa mgunduzi siyo lazima kutengeneza kitu kipya bali ni kufanya kitu kilichokuwepo kujulikana kwa watu.

Inawezekana ndani ya chama ndiye genius wa kutumainiwa japo nje ya chama hoja zake zinashindwa kuonyesha huo U THINK TANK wake

2014-04-23 8:34 GMT+03:00 ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk>:
Wandugu someni sharia inayoruhusu watumishi wa umma kujiunga na vyama vya siasa. Sheria hiyo inatamka ni wtumishi wa ngazi zipi ambao hawaruhusiwi kuwa viongozi wa vyama vya siasa.

K.E.M.S.
On Tuesday, 22 April 2014, 12:47, Mgaywa GMD Magafu <gmdmagafu@gmail.com> wrote:
Uhalali hapo inategemea na chama ulichomo.

2014-04-22 16:24 GMT+02:00 'Deodatus Balile <deobalile@yahoo.com>' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Hivi siku hizi watumishi wa umma ni halali kwao kuwa wanasiasa na kuendelea kushikilia ofisi za umma?
Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network
From: "'ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tue, 22 Apr 2014 07:01:23 -0700 (PDT)
Subject: Re: [wanabidii] MNEC Magesa ahutubia mkutano wa hadhara Kigamboni

Hizo kero zinazowasumbua wananchi ambazo amezisikia leo ZILIANZA WAKATI WA UTAWALA WA CHAMA GANI? ANAZIPELEKA WAPI AMBAKO KIONGOZI HUYO NI MPYA HAZIJUI?
On Tuesday, April 22, 2014 3:49 PM, Kenneth Masuki <kennymasuki@gmail.com> wrote:

Ndugu Magesa katika kero hizo ukizosikiliza na kuahidi kuzitatua,je zilikuwepo za muungano?

On Apr 22, 2014, at 3:13 PM, Phares Magesa <magesa@hotmail.com> wrote:

Chama cha Mapinduzi CCM jana tarehe 21/4/2014 kilifanya mkutano mkubwa wa
hadhara katika viwanja vya tuo moyo Kigamboni, mgeni rasmi katika mkutano
huo alikuwa ni Mjumbe wa Halimashauri Kuu ya Taifa (NEC) Ndg. Phares Magesa
. Mkutano huo ulihudhuriwa na viongozi wengine wa chama na serikali pamoja
kutoka bara na visiwani.

Katika mkutano huo Ndg. Magesa aligawa kadi za CCM kwa wanachama wapya zaidi
ya 350 pamoja na kugawa hundi kwa vikundi vya vikoba zaidi ya 30, yote haya
ni katika kutekeleza ilani ya uchaguzi ya CCM. Pia MNEC Magesa alisikiliza
kero za wananchi na kuahidi kuzifikisha katika vikao vya juu kwa hatua za
utekelezaji na amehidi kurudi tena na kutoa majibu ya kero zilizowashilihwa
kwake. Wakati akihutubia mkutano huo Ndg. Magesa aliwaasa wananchi kuendelea
kufanya kazi kwa bidii, na kila mmoja ashiriki kikmilifu katika shuguli zote
za kuichumi na kijamii ili kujihakikishia maisha bora.

Ndg. Magesa pia aliwaomba wananchi wote waunge mkono mapendekezo ya wengi
katika mchakato wa katiba ya kuendelea na muundo uliopo wa serikali 2 na
kupitia mchakato huu wa katiba basi kero zilizojitokeza zipatiwe ufumbuzi na
wananchi watapata nafasi ya kutoa uamuzi kupitia kura ya maoni.

Pic 1. Mjumbe wa Halimashauri Kuu ya Taifa (NEC) Ndg. Phares Magesa
akihutubia mkutano wa hadhara katika viwanja vya Tua Moyo Kigamboni 

Pic. 2 Ndg. Magesa akishindikizwa na wanachama na wapenzi wa CCM wakati
anawasili katika viwanja Kigamboni kuhutubia mkutano wa hadhara..

-- 
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda 
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
--- 
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email towanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
<Pic 2.jpg><Pic 1.jpg>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:

Post a Comment