Tuesday, 22 April 2014

Re: [wanabidii] Katibu Mwenezi wa CHADEMA Jiji la Mbeya, Lucas Mwampiki ajiuzulu

Hivi kujiudhuru kutoka CHADEMA ni sawa na kutafuta nafasi za kazi au
ni kuamini itikadi fulani

On 4/22/14, MABADILIKO CHADEMA <mabadilikochadema@gmail.com> wrote:
>
>
> *Katibu Mwenezi wa Chama cha Demokrasia Jiji la Mbeya Lucas Mwampiki.*
> Katibu Mwenezi wa Chama cha Demokrasia Jiji la Mbeya Lucas Mwampiki
> amejiuzuru wadhifa huo kuanzia Aprili mwaka huu kutokana na mkanganyiko wa
> uongozi ndani ya chama hicho.
>
> Mwapiki amesema amechoshwa na marumbano ya mara kwa mara na meza kuu ndani
> ya chama hicho katika ngazi ya wilaya hivyo kudhoofisha juhudi zake za
> kukijenga chama hicho.
>
> Aidha Mwampiki amesema viongozi wa chama hicho wamekuwa na marumbano ya
> mara kwa mara hivyo yeye kama kiongozi hayupo tayari kuona mambo
> yanavurugika katika chama hicho.
>
> Hata hivyo katika uamuzi aliouchukua Lucas Mwapiki amesema kuwa yeye
> atabakia kuwa mwanachama wa chama hicho na Diwani wa Kata ya Mwakibete
> Jijini Mbeya.
>
> Amewataka wanachama wamuelewe hivyo ameona yeye akae pembeni badala ya kuwa
>
> na muda mwingi wa kujadili migogoro ambayo haina tija na kuleta mkanganyiko
>
> kwa wanachama.
>
>
> *Na Ezekiel KamangaMbeya*
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment