Sunday, 20 April 2014

Re: [wanabidii] ALIYESAMBAZA HABARI ZA LUKUVI NA JESHI MATATANI

Tatizo liko kwa waandishi wa habari wetu, kwa mfano jamaa huyu aliyeandika hizi habari na kuzisambaza, kwanza aliwaza nini hata kusambaza habari za watu wakubwa Serikalini, yeye hakusikia habari zingine akaona habari hiyo ndiyo wenye uzito? Je mwandishi huyu alikuwa peke yake kanisani hapo. Mbona wenzake hawakuiandika habari hiyo.
Ni kosa kubwa kwa akina Lowasa kutumia majukwaa ya kiimani kutangaza mambo yao na kuafuta umaarufu, shughuli hiyo wawaachie viongozi wa Serkali kufikisha ujumbe wao kwa wananchi kwa kutumia majukwaa ya imani. Ona sasa mwandishi huyu alivyojipali makaa ya moto.

On Sunday, 20 April 2014, 19:52, alexander chipalazya <chipalazya@yahoo.com> wrote:
Nionavyo mimi kosa pia liko kwa viongozi wa  makanisa nao wanakosea sana, yale ni mambo ya KIROHO unamletaje kiongozi wa mambo ya KIMWILI kuwa mgeni rasmi?? Mwanasiasa ni mwanasiasa ukimpa jukwaa nilazima atimize agenda zake maana hayo ndio yaliyoujanza MOYO WAKE, kwahiyo lazima yamtoke.
On Sunday, April 20, 2014 7:22 PM, Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk> wrote:
Makubwa haya. Basi waache kuropoka majukwaani. Inashangaza viongozi wa nchi au siasa, anaalikwamsikitini au kanisani-anahutubia masuala ya siasa au ya nchi mahala pasipo. Watumie nafasi husika kuongea yanayohusu hapo maana Lukuvi sio kiongozi wa kwanza kutumia eneo la dini kuongea utawala wa GVT au siasa au jambo lililoko nchini kongamano kisiasa. Ipigwe marufuku tabia hii maana waandishi wapo maeneo yote wakifanyakazi zao.
Hakieleweki.
On Saturday, 19 April 2014, 22:38, "'alexander chipalazya <chipalazya@yahoo.com>' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
ndio dalili za utawala unaokwenda kuanguka 'kutumia nguvu'
On Saturday, April 19, 2014 9:33 PM, ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com> wrote:
Mambo mengine ni ya ajabu lakini. kama ni kweli basi vyombo vyetu vya usalama vinatumika vibaya. Lukuvi alisema ili yajulikane yaweze ku-influence maamuzi. Mwandishi au mtu yeyote aliye ya Echo alifanya hivyo kumsaidia msemaji. Sasa bahati mbaya imegundulika kuwa ulikuwa upuuzi. sasa aliyeyasambaza kakosea nini? nafikiri mhalifu ni aliyeyasema.
Mambo haya yatakuja kulighalimu taifa hili

On Saturday, April 19, 2014 10:01 PM, MABADILIKO CHADEMA <mabadilikochadema@gmail.com> wrote:
Wandugu,
Nimepokea taarifa muda punde kuwa yule mwandishi aliyedaiwa kurekodi na au kusambaza taarifa za Waziri Lukuwi kuongea mambo ya vitisho msikitini juu ya serikali 3 na jeshi kuchukua nchi yuko matatani muda huuu. Inasadikiwa wanausalama wamempa kibano cha nafasi wakimhoji juu ya nia na namna alivyotekeleza jambo hilo na kuwa usalama wake upo shakani.
Pamoja na kuwa hakuna uhakika kama ni yeye aliyesambaza nakala za rekodi ile lakini yaonesha wajeda hao wamemmulika na kumkwida ili awape nyeti zake.
Taarifa za tukio hili zilisambazwa awali na magazeti ya Mwananchi na TanzaniaDaima.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment