Kwa ushauri tu, walionazo, na kwa bei ya mafuta ilivyo, sidhani kama kuna ambaye yuko tayari kuuza, licha ya kupangisha! Ni vyema, kwa bajeti hii, ukaenda maeneo ya Pwani, 'along Morogoro road' ukanunu kiwanja, ukajenga sheli. Kwa bajeti ya 2.5b inatosha sana, na utafute mkandarasi mzuri, maana ukienda kichwa kichwa, utapigwa na wakandarasi uchwara, na kazi haitaisha. Kama utapenda kununua eneo, ujenge, tuwasiliane jinsi ya kuwapata hawa wakandarasi. Maana hii ya kununua, na mpaka mtu aamue kuuza, pengine matanki ya kuhifadhia mafuta yametoboka, yanaingiza maji kwenye mafuta, na garama ya kurekebisha kaiona kubwa, hivyo anaamua kuuza. Bora ujenge chako ndugu, na mwisho wa siku, hata ukiamua kupangisha, bado ni biashara endelevu; kuliko kupanga. Maana kama unaweza kujenga kwa fedha hii, mwaka mwingine, badala ya kutafuta fedha nyingine kwa ajili ya kulipia kodi, badala yake itakuwa faida kwako.
On Tue, Mar 25, 2014 at 10:15 AM, Neatness Msemo <nmuzeh@gmail.com> wrote:
but why?kwanini wasijenge za kwao nani atapenda kuuza na kwa nini.sipati picha--2014-03-24 16:11 GMT+03:00 lesian mollel <aramakurias@yahoo.com>:
--Ndg zangu salamaaa.sasa naombeni sana mwenye kuweza kutumia fursa hii aitumie haraka kabla haijayeyuka, ni fursa adimu sana......nimepata tender pale ofsn kusearch sheli ya kuuza mikoa ya Pwani/Dar.....bei ya kuuzwa isizid usd mil 2au 2.5.....tunahitaji sheli 10 kutoka mikoa 2 ya Pwani/Dar es salaamNitaleta taarifa za properties zilizowasilishwa tuuze kuanzia j5wasalaamMollelREPM
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
"In accepting the trusteeship of our wildlife we solemnly declare that we will do everything in our power to make sure that our children's grand-children will be able to enjoy this rich and precious inheritance."- Dr. Julius K. Nyerere
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
-----------------------
Fratern Kilasara,
P. O. Box - (Home): 62810; or (Office): 65300
Dar es Salaam - Tanzania.
Telephone (Office): +255 (0)22 2700021/4 Ext No. 239; Fax: +255 (0)22 2775591
Mobile (Personal): +255 (0)715 40 41 53 or +255 (0)754 40 41 53
Emails: kilasara.fratern@gmail.com or kilasara.fratern@yahoo.com
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment