Sunday, 9 March 2014

Re: [wanabidii] Re: TUNATUMIAJE WASANII WETU KWENYE UJASUSI/UPELELEZI ?

James sijaelewa ujumbe wako, samahani, "Is it only for maandamano concern  yangu ni kwamba vetting inafanyika Kwa makini is the central system advised accordingly"

Regards
Mwema
List of publication

2014-03-09 23:19 GMT+07:00 James Patrick <mimiwewetz@gmail.com>:

Is it only for maandamano concern  yangu ni kwamba vetting inafanyika Kwa makini is the central system advised accordingly

On Mar 9, 2014 2:39 PM, <salumkango@yahoo.com> wrote:

Ni wazo zuri ndugu yangu Yona na mchangiaji wa kwanza amemaliza kila kitu. Tukumbuke kuwa nchi hizi kubwa hazifanyi mambo kiholela. Wenzetu kila kitu ni maslahi kwanza
Sent from my smartphone on the new Vodafone network

fmatuja@gmail.com wrote:

>Yona, nimeipenda mada yako.
>Nataka kusema hakuna kisichowezekana juu ya uso wa nchi, na hili wazo ambalo umelitoa linawezekana kabisa iwapo baadhi ya mambo yafuatayo yatakuwa yamezingatiwa ili ku-take advantage ya wasanii kufanya kile ambacho tunaweza kuiita marketing intelligence au business intelligence.
>
>Je wasanii tulionao level ya understanding yao katika masuala ya kijasusi ikoje?
>Pengine kama hawana training katika hiyo aspect, are they trainable?
>Je wakishakuwa trainable do we think they have a capacity to do what you have suggested "undercover"
>
>Sijui kama umeshachukua muda wa kutosha kuangalia film za kibongo na za aki Will Smith? Utagundua there a big difference kati ya uwezo wa uelewa kwa hawa wasanii wetu na hao wa magharibi.
>
>Kuna wakati unaweza kumwona msanii wa kibongo akiigiza kama mwanasheria, au daktari... Content anayotoa akiwa anaigiza based upon character utaona yuko very shallow.
>Swali, kama kazi yake inayompatia ugali kili siku unaona hajafanya homework ya kutosha, ataweza hili jukumu la pili ambalo unataka afanye chini ya mwamvuli wa uigizaji?
>
>Kama tunataka, tuandae kizazi cha vijana wenye weledi ambao wanajua nini wanafanya katika film industry, then ukimpa "assignment" ya pili kuna uwezekano mkubwa akaweza.
>
>Ushauri wangu, check na ofisi ya masuala ya kijasusi hapa nchini na uwauzie hilo wazo, huwezi kujua, mkuu anaekalia ofisi hiyo anaweza kukupa jukumu la kuandaa hiyo program na hao vijana kwa ajili ya hiyo kazi, kama jinsi Yusuf yule wa kwenye biblia alivyotoa tafsiri ya ndoto kwa farao, na farao kusema tutampata wapi mwenye hekima na busara la kufanya hili kama si wewe?
>
>Wasalaam
>
>On Tuesday, March 4, 2014 7:45:01 PM UTC+3, Yona Fares Maro wrote:
>> Ndugu zangu ,
>>
>>
>> Leo tuzungumzie Ujasusi/Upelelezi , Jinsi tunavyoweza kutumia wasanii wetu wa fani mbalimbali kwenye shuguli za kijasusi au upelelezi zenye maslahi kwa Nchi zetu .
>>
>>
>>
>> Mwaka 2010 mpaka 2013 kulikuwa na wimbi la wasanii wengi sana kuingia nchini kwa ajili ya shuguli mbalimbali ambazo inasemekana ni za kimuziki , wengine kutembelea mbuga za wanyama , wengine kutembelea miradi mbalimbali ya kimaendeleo na hata wengine kutoa fedha na misaada kadhaa kwa wahitaji .
>>
>>
>>
>> Nchi kama marekani inawasanii ambao ni mabalozi wa mashirika kadhaa ya umoja wa mataifa ambapo wanapata fursa ya kusafiri sehemu mbalimbali duniani haswa zenye maslahi kwa nchi hiyo kwa ajili ya shuguli hizi za upepelezi / ujasusi lakini kwa kivuli cha kutoa huduma .
>>
>>
>>
>> Msanii  kama ben aflek yeye ana shirika lake la maziwa makuu linashugulika zaidi nchini kongo kwenye migodi ya alamasi na dhahabu , msanii kama bono wa kundi la U2 anajulikana kwa harakati zake za njaa na chakula duniani huku akiwa na hisa kwenye kampuni za vyakula na kilimo .
>>
>>
>>
>> Hapa nchini Msanii Fresh Prince au will smith aliwahi kuja na kutoa fedha kwa Taasisi ya Ifakara inayofanya utafiti wa malaria , zile fedha inaweza kuwa ni uwekezaji wa utafiti wa kitu Fulani ambao kama ukifanikiwa inaweza kuwa biashara ya kulipa siku za mbele na sehemu ya kipato kwa familia ya will smith na uchumi wa marekani ( Haya ni Mawazo yangu ).
>>
>>
>>
>> Sasa turudi hapa kwetu kwa mara nyingine , Tunatumiaje wasanii wetu wanaovuka mipaka katika kazi zao kwenye shuguli za ujasusi/Upelelezi kwa ajili ya biashara au taarifa nyingine kwa maslahi ya nchi kama wanavyofanya wasanii wan chi za wenzetu ?
>>
>>
>>
>> Swahili hili nakuachia wewe , Najua kuna watu wataanza kubisha oohh haiwezekani , tunapewa misaada tu , tunapendwa  ETC .
>>
>>
>>
>> --
>>
>>
>>
>>
>> Yona Fares Maro
>>
>>
>>
>>
>> Institut d'études de sécurité - SA
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment