Naomba tujuzana!
Hivi kila mwaka ikifika Tarehe 9.12..... huwa tunashereheikea Uhuru. Bado nimeshikwa na kigugumizi, ni Uhuru wa Nchi gani? Najua pasi na shaka kwamba, kila ifikapo tarehe 12.01......huwa tunasherekea Mapinduzi ya Zanzibar. Naombeni mnisaidie wana zuoni2014-03-25 15:55 GMT+03:00 ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>:
--Ningejua umri wako ningekwambia usubiri. Lakini kama hutakuwepo mwambie mtoto wako. Muungano huu tulio nao yaani wa Serikali mbili na nchi mbili hauwezi kudumu miaka 15 kuanzia sasa. Huenda na hiyo nimesema mingi sana. Muungano uliisha na Nyerere na labda mwinyi kidogo. Wakati kuo ulikuwa wa Nchi moja (Tanzania) na Serikali mbili (Ya mapinduzi na ya Muujngano. Sasa tuna nchi mbili usizoweza kuonyesha lamani yake Yaani Zanzibar kwa mujibu wa katiba yake na nchi ya jamhuri ya muungano yaani Zanzibar na tanganyika. imedumu si kwa katiba maana katiba zinagongana ila kwa kuogopana maana Rais wa JMT amekuwa akimuogopa rais wa Zanzibar. Inahitaji kuwa na rais asiye hivyo na akajaribu kurekebisha mambo na wazanzibari wakaleta rabsha. Warioba katika maendekezo yake alikusudia kuliondoa hilo. Kumbe kakosea. Alifikiri waTanzania wote wana akili kuweza kuliona hilo
On Monday, March 24, 2014 11:24 AM, Stephen Mapolu <smapolu@gmail.com> wrote:
Muungano hauvunjiki na serikali zitabaki hizi hizi mbili,unajua kuna vitu vianvyozidi kuwa na umri mkubwa vinapoteza umaana na uhalisia wake na kuna vingine umri unavyozidi kuongezeka ndio vinazidi kuota mizizi zaidi, ndio kama muungano, Watoto wetu watapelekwa pelekwa kama tunavyofanyiwa sisi salsa hv,kwa sababu huenda miaka ya nyuma babu zetu nao walisema hv hv kwamba vijana wetu watauvunja tu,ambao ndio sisi sasa tunayumbishwa
rgdsOn Mar 24, 2014 10:20 AM, "Mwema Felix" <mwema.felix@gmail.com> wrote:----LusawiHata watu wapige kelele au watoe hoja vipi...kwa hali inayoonekana suala la sirikali tatu kwasas ni ndoto. Wataendeleza sirikali mbili.Ukweli utabakia pale pale kwamba huko mbeleni (kizazi chetu kikipita) muungano utavunjia tu. Hii ni kwasababu watakaokuwepo hawatokuwa na 'sura halisi' ya huu muungano umetokanaje? Yaani itakuwa ni rahisi sana kuvunjika - 'unless' something is done now!2014-03-24 13:33 GMT+07:00 Innocent Lusawi <ilusawi@yahoo.com>:
Toa hoja zako kwanini serikali tatu?? siyo kudai tu kisingizio cha watoto kuhoji.
Nategemea sana utoe hoja zako kama ambavyo JK kafanya. yeye ametoa mtazamo wake akiwakirisha watanzania walio wengi. Jaribu kutueleza kwanini unataka serikali tatu??? --------------------------------------------
On Mon, 3/24/14, Mwema Felix <mwema.felix@gmail.com> wrote:
Subject: [wanabidii] Re: [Mabadiliko] Neno La Leo: Kwanini Serikali Tatu?
To: "Mailing List" <mabadilikotanzania@googlegroups.com>
Cc: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Monday, March 24, 2014, 4:41 AM
--
Hakika!
2014-03-20 12:38
GMT+07:00 Maggid Mjengwa <mjengwamaggid@gmail.com>:
Tuwafikirie watoto wetu na vizazi
vyao. Hata kama leo tutafunika kombe
mwanaharamu apite, kwa muundo huu wa sasa wa Muungano wa
Nchi Mbili
wenye Serikali Mbili badala ya Moja, kwamba nchi moja
iliyoungana na
mwenzake imebaki na nchi yake na serikali yake, ni lazima
kuna
watakaokuja kuhoji. Maana, utaonekana ni Muungano wa ajabu
sana.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

Gaston G Kikuwi
SIDO Small Business House
Bibi Titi Mohamed Road
Block B, 3rd Floor Room No:-34
P O Box 15877, Dar es Salaam-Tanzania
Tel:- +255 22 2152 359
Cell:-+255 784 546 122
+255 713 294 318
+255 768 633 685
e-mail:-kikuwigg@gmail.com
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment