Wednesday, 26 March 2014

Re: [wanabidii] Bunge la Katiba: Kamati, Wenyeviti na Makamu

Nadhani ukipima kuwa ninapendwa hii ni ngumu mimi ni muumin lakini napenda haki.Je haki ipi sasa kwamba waliojiandikisha kupiga kura ni zaidi ya Elfu sabini kisha hata thelathini haikufika na vurugu kibao na kutumia nguvu kisha useme unapendwa na ku refer Kalenga .Hapana.jamani tupende haki kwani siku moja tutaulizwa je mtu anayependwa anatumia manguvu.Kama kweli bado tunapendwa naamin bado watanzania wana imani na Chama chetu cha CCM lakini hebu tutumie haki.Hebu tutende haki kama mume hakupendi hata kama utatumianguvu dawa nk bado haisaidii kwani sio matakwa ya wengi.Kama kweli waliopo bungeni wanatudanganya siku moja watahukumiwa kwa kuwahujumu watanzania.
Na naamin kama hatutaki kubadilika dunia itatulazimisha kubadilika.
Mfano ni mabadiliko ya technologia.Yanatufanya tukimbie kwani hatukujipanga.Leo kama tunakataa kufanya kile watanzania wanataka siku moja itatulazimu kukimbia.

2014-03-26 11:23 GMT+03:00 ekunyaranyara@yahoo.co.uk <ekunyaranyara@yahoo.co.uk>:

Mimi nafikiri niwashauri wasiofurahishwa na mchakato huu waondoke tu warudi nyumbani kuliko kuppiga kelele za hovyo hovyo tu.

Watu wazima waanajitahidi kuzimisha ukweli kuwa CCM ndio yenye nchi na kwamba bado inapendwa na watu wengi (ukweli wa Kalenga unathibitisha hili). Kwa hiyo madai kuwa inahodhi Bunge ni kweli lakini siyo kosa kwa kuwa ndio wengi sasa utapingaje hapo.

Wala hapo hakuna demokrasia ya kuachiaana nafasi eti wapinzani nao wasikike. Hiyo siyo demokrasia vinginevyo wabbadirishe kanuni ili ziruhusu kupewa nafasi kwa upendeleo.

Mimi nafikiri siyo sahihi hata kidogo kufikiria kwamba upinzani Bungeni una hoja ya msingi katika uchaguzi huo ila huenda wengi wao wana asilli ya kutaka kuvuruga mambo tu. Pili wengine wapo kwenye kampaini tayari wanatafuta kujulikana ili wakirudi wahakikishiwe kura na wananchi jambo ambalo si rahisi kuzipata. Kama hawaamini hili wasubirri matokeo ya kura za Ubunge Chalinze.

Kura mpige.nyie.au msusie kama nilivyosikia wengine kujitoa kkisha mlalamike weenyewe sielewi mimi. Labda watufafanulie zaidi.

From: Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>;
To: wanabidii@googlegroups.com <wanabidii@googlegroups.com>;
Subject: Re: [wanabidii] Bunge la Katiba: Kamati, Wenyeviti na Makamu
Sent: Wed, Mar 26, 2014 7:53:56 AM

Ndio maana niliuliza. Inakuwaje washiriki wawachague kisa walalamike. Mtanzania wa ajabu! Unamuona anapiga makofi kwa kuruka na furaha anabamiza meza kushangilia Rais alipokuwa anahutumia. Kisha anaanza kujitoa gazetini eti anapinga hotuba etc. Ni kupinga tu na vurugu hata kama jambo ni zuri kimantiki!! Mnachagua, kisha mnalalamika. Wawape uhuru kujitoa wanaoona bunge na uongozi wake haufai. Wenye njaa ya kazi ya kutetea uma na njaa ya hela tupo wengi.

On Wednesday, 26 March 2014, 10:21, "ekunyaranyara@yahoo.co.uk" <ekunyaranyara@yahoo.co.uk> wrote:
Wamechaguliwa na wajumbe wenyewe wa Kamati husika. Ajabu ninayoiona ni kwa nini wanalalamikka kwamba ni CCM tu.?

From: Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>;
To: wanabidii@googlegroups.com <wanabidii@googlegroups.com>;
Subject: Re: [wanabidii] Bunge la Katiba: Kamati, Wenyeviti na Makamu
Sent: Wed, Mar 26, 2014 6:29:15 AM

Kwani hawa wenyeviji wa kamati na makatibu wamechaguliwa na nani?

On Wednesday, 26 March 2014, 0:10, Juma Mzuri <jumamzuri@gmail.com> wrote:
Wenyeviti wa kamati za bunge waliochaguliwa leo hawa hapa:

1. Hamad Rashid
2: Christopher ole sendeka
3: Shamsi vuai nahodha
4: Anna Abdallah
5: Job Ndugai
6: Anne Kilango malecela

=========

Kamati Namba Moja:
Mwenyekiti ni Ummy Mwalimu, Makamu Mwenyekiti ni Profesa Makame Mnyaa Mbarawa.

Kamati Namba Mbili:
Mwenyekiti ni Shamshi Vuai Nahodha, Makamu Mwenyekiti ni Shamsha Mwangunga.

Kamati namba tatu:
M/kiti ni Francis Michael, Makamu ni Fatma Musa Juma.

Kamati namba nne:
Mwenyekiti ni Christopher ole Sendeka na Makamu ni Dk. Sita Mamboya.

Kamati namba tano:
Mwenyekiti ni Hamad Rashid Mohamed na Makamu ni Assumpter Mshama

Kamati namba sita:
Mwenyekiti ni Stephen Wassira na Makamu ni Dk. Maua Dftari.

Kamati namba saba:
Mwenyekiti ni Brigedia Jenerali (mstaafu) Hassan Ngwilizi na Makamu ni Waride Bakar Jabu.

Kamati namba nane:
Mwenyekiti ni Job Ndugai, Makamu ni Biubwa Yahya Othman.

Kamati namba tisa:
Mwenyekiti ni Kidawa Hamid Salehe na Makamu ni William Ngelleja.

Kamati namba 10:
Mwenyekiti ni Anna Abdallah, Makamu ni Salim Hawadhi Salim.

Kamati namba 11:
Mwenyekiti ni Anne Killango, Makamu ni Yusuf Hamad Masauni.

Kamati namba 12:
Mwenyekiti ni Paul Kimiti na Makamu ni Thuwayba Edington Kisasi.

On Tuesday, March 25, 2014 3:28:01 PM UTC+3, ELISA MUHINGO wrote:
Nisaidiwe: Kamatihizi amechagua mzee wa viwango??

On Tuesday, March 25, 2014 1:15 PM, Joseph Ludovick <josephl...@gmail.com> wrote:
Wanasubiri nini kujitoa? Huko walitumia kura za wazi au za siri? Ccm ni walewale. Hata katika mengine watachagua ccm yao.nani bado anawaamini hawa maccm eti wakipiga kura ya siri watapigia serikali tatu?
On Mar 25, 2014 1:00 PM, "Vincent Mhangwa" <vmhangwa@gmail.com> wrote:
Chadema hakuna hata mmoja?!!!! Duh!
On 25 Mar 2014 09:08, "Bariki Mwasaga" <bmwasaga@gmail.com> wrote:
Tumaini  Bakobi

Kwani hujamsoma Mzee Kimiti, Francis Michael na Shamsa Mwangunga??

On 25 March 2014 11:12, tumaini bakobi <tumainibakobi@yahoo.com> wrote:
Ina maana wale wateule 201 hakuna hata mmoja alionekana anafaa kuongoza kamati au!

On Tuesday, 25 March 2014, 11:08, Ipyana L <ipyanalwinga@gmail.com> wrote:
Ili tupate katiba inayoendana na ILANI ya chama chetu cha Mapinduzi!

On Tue, Mar 25, 2014 at 9:51 AM, Neatness Msemo <nmuzeh@gmail.com> wrote:
wote ni mrengo mmoja why?

On Tue, Mar 25, 2014 at 8:40 AM, Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com> wrote:
Kamati namba 1: Mwenyekiti ni Ummy Mwalimu, Makamu Mwenyekiti ni Profesa Makame Mnyaa Mbarawa.

Kamati namba 2: Mwenyekiti ni Shamshi Vuai Nahodha, Makamu Mwenyekiti ni Shamsha Mwangunga.

Kamati namba 3: M/kiti ni Francis Michael, Makamu ni Fatma Musa Juma.

Kamati namba 4: Mwenyekiti ni Christopher ole Sendeka na Makamu ni Dk Sita Mamboya.

Kamati namba 5: 
Mwenyekiti ni Hamad Rashid Mohamed na Makamu ni Assumpter Mshama

Kamati namba 6: Mwenyekiti ni Stephen Wassira na Makamu ni Dk Maua Daftari.

Kamati namba 7: 
Mwenyekiti ni Brigedia Jenerali (mstaafu) Hassan Ngwilizi na Makamu ni Waride Bakar Jabu.

Kamati namba 8: 
Mwenyekiti ni Job Ndugai, Makamu ni Biubwa Yahya Othman.

Kamati namba 9 Mwenyekiti ni Kidawa Hamid Salehe na Makamu ni William Ngeleja.

Kamati namba 10:Mwenyekiti ni Anna Abdallah, Makamu ni Salim Hawadhi Salim.

Kamati namba 11: 
Mwenyekiti ni Anna Killango, Makamu ni Yusuf Hamad Masauni.

Kamati namba 12:Mwenyekiti ni Paul Kimiti na Makamu ni Thuwayba Edington Kisasi.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@ googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@ googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/ optout.

--
"In accepting the trusteeship of our wildlife we solemnly declare that we will do everything in our power to make sure that our children's grand-children will be able to enjoy this rich and precious inheritance."- Dr. Julius K. Nyerere

Ipyana Lwinga
Email:    ipyanalwinga@gmail.com

"Mpende Jirani yako kama nafsi yako..."

Bariki G. Mwasaga,
P.O. Box 3021,
Dar es Salaam, Tanzania
+255 754 812 387

Send Emails to wana...@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+...@ googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@ googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/ optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment