Thursday, 9 January 2014

Re: [wanabidii] Ufafanuzi kuhusu yaliyojiri katika Shauri la Zitto Vs Baraza la Wadhamini, CHADEMA

Hivi TFF bejeti yao inatoka pale mjengoni Dodoma!!!

2014/1/9 Magiri paul <kiganyi@gmail.com>

Sio vyama vya siasa pekee hata vile vya hiari.

Magiri.

Dau dogo huambaa mwambao, kubwa huenda kwenye kilindi.

On Jan 9, 2014 4:45 PM, "Johale Magere" <johale14@gmail.com> wrote:

TFF sio chama cha siasa.kwani hakina Nia ya kuingia ikulu.

Magere  J.

On Jan 9, 2014 4:42 PM, "Laurean Rugambwa" <rugambwa@hotmail.com> wrote:
Soma Katiba ya TFF in Kifungu Kama hicho! 

From LR

On 9 Jan 2014, at 4:30 alasiri, "Bariki Mwasaga" <bmwasaga@gmail.com> wrote:

Wewe ukiwa mwanachama  basi utakuwa umekubaliana na huo udikteta

Felix
Kwani mujibu wa katiba ya nchi yetu,mahakama ndo chombo pekee kinachosimamia utoaji wa haki.ila katiba ya chadema inakinzana na hili,yeneyewe inajipambanua wazi kuwa mwanachama akienda mahakamani kwa maswala ya chama basi amepoteza sifa ya kuwa mwanachama.Sasa hapa wanasheria watusaidie kuwa kati ya chadema na Katiba kipi kifuatwe?

Magere  J.

On Jan 9, 2014 3:41 PM, "Felix Mwakyembe" <fkyembe@gmail.com> wrote:
Sio mwanasheria,lakini ninavyofahamu, Mahakama Kuu inawajibu wa kusikiliza shauri lolote lenye mkanganyiko wa kisheria, ndipo mahala pekee ambapo sheria hutafsiriwa.

Wajuzi zaidi wa sheria watanisahihisha au kufafanua.

2014/1/9 Vincent Mhangwa <vmhangwa@gmail.com>
Nimekusoma. Hilo nalo ni neno

2014/1/9 Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com>

Vincent

Rufaa ya nini tena wakati suala hili limemalizika kwa sasa. Kukata rufaa kutarefusha usikilizwaji wa shauri la msingi kwa mtizamo wangu

On Jan 9, 2014 9:34 AM, "Vincent Mhangwa" <vmhangwa@gmail.com> wrote:
Asante Mh. Peter kwa ufafanuzi. Asante Bw. Hamis kutuwekea hapa. Je kuhusu kukata Rufani katika Mahakama ya Rufaa, hii ikoje? 

2014/1/9 Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>
Baada ya kupokea message na wito mbali mbali kuhusu haja ya kutoa ufafanuzi kuhusu yaliyojiri katika Shauri la Zitto Zuberi Kabwe Vs Baraza la Wadhamini,CHADEMA na Katibu Mkuu CHADEMA.

Shauri limefunguliwa likiwa na sehemu Kuu mbili,Shauri ama Case ya Msingi,na maombi madogo ya Zuio la muda. Katika Shauri Kuu Muombaji anaiomba Mahakama Kuu kwa amri tatu;

1.Chadema izuiwe kujadili suala la uanachama wake mpaka pale Atapopewa nakala za mwenendo na uamuzi wa Kamati Kuu kumvua nafasi za Uongozi,na Rufaa yake dhidi ya Uamuzi huo kusikilizwa na Kamati Kuu ya Chadema.2.Chadema iamuriwe kuitisha Baraza Kuu ili kujadili Rufaa hiyo.

Msingi wa Madai ni kwamba wakati mchakato wa Rufaa haujakamilika,na wakati haja pewa nakala za mwenendo na uamuzi wa kumvua nafasi za Uongozi,ameitwa na Kamati Kuu kujadiliwa kuhusu Uanachama wake. Katika Shauri dogo lililotolewa uamuzi Jana,Muombaji aliomba amri ya Zuio ili Kamati Kuu au Chombo kingine cha Chadema isijadili Uanachama wake mpaka Shauri la msingi litakaposikilizwa,na kutolewa Uamuzi na Mahakama Kuu.
Shauri lilifunguliwa tarehe 2/1/2014,na siku hiyo hiyo Mimi na Wakili Tundu Lissu tulitoa mapingamizi Matatu dhidi ya Maombi;1.vifungu vya Sheria vilivyotika havikuwa sawa.

2.hati ya kiapo Ina mapungufu.3.mahakama haina mamlaka kujadili migogoro ya vyama vya siasa,na taasisi zenye Tabia ya uhiari. Mahakama ilikataa mapingamizi yote Matatu katika uamuzi wake wa tarehe hiyo 2/1/2014,uliosomwa Saa 12 hivi za jioni.

Pande zote tukabaliana kwamba maombi madogo yasikilizwe tarehe 3/1/2014,na kwamba wadaiwa Walete hati ya kiapo kinzani Saa 2.30 asubuhi ya tarehe 3/1/2014 ili Saa 3 asubuhi hiyo tusikilizwe maombi Yale madogo niliyotaja hapo juu.

Mimi Kama Wakili nikala kiapo na kutoa hati ya kiapo kinzani kwani kwa mazingira Yale ya uharaka isingekuwa rahisi kuwapata wadhamini wa chama ili watoe hati ya kiapo usiku au asubuhi mapema na kuwahi Mahakama. Cha msingi zaidi ni kwamba Mawakili tumepewa na Chana mamlaka kamili kuhusiana na Shauri.

Wakati wa usikilizaji Mahakama yenyewe (suo mottu) ikazitaka pande zote ziieleze Mahakama Kuu iwapo ni sahihi Wakili kila kiapo kwa niaba ya mteja katika Shauri Kama lile. Pande zote ziliieza Mahakama kwamba ni sahihi,ingawa Wakili Msando alipinga aya ya nne ya hati ya kiapo kwa sababu za kisheria.
Kisha tukajadili maombi yenyewe. Hoja zetu zikawa kwamba Muombaji amepewa nafasi ya kusikilizwa kwa kuitwa Kamati Kuu,pia tukasisitiza Mahakama haina mamlaka ya kuingilia mambo ya ndani ya taasisi Kama Vyama vya siasa.

Katika uamuzi wake wa tarehe 7/1/2014 Mahakama imeamua kwamba pamoja na pande zote kukubaliana kwamba ni sahihi Wakili kula kiapo kwa niaba ya mteja anayemuwakilisha Mahakamani katika mazingizira ya Shauri lile,haikuwa sahihi.Ilikubaliana pia na Wakili Msando kwamba aya ya nne Ina taarifa ambazo ilitakiwa zitolewe na mtu aliyekuwa katika Kikao cha Kamati Kuu,na si Wakili. Ikaamua kukifuta kiapo.

Mahakama ikaamua pia kwamba mleta Maombi anastahili Zuio la muda ili suala la Uanachama wake lisijadiliwe mpaka Case ya msingi itaposikilizwa na kutolewa uamuzi. Case ya msingi inaendelea,na Chadema kupitia sisi mawakili wake inaandaa utetezi ambao kwa mujibu wa Sheria unatakiwa Mahakama ifikapo tarehe 23/1/2014.
Kuhusu suala la mwenendo wa Kikao cha Kamati Kuu na kuitisha Baraza Kuu,Chama kitazungumza kwa namna na muda itaoona unafaa.
Peter Kibatala,

Wakili na Mkurugenzi wa Sheria,
Katiba na Haki za Binadamu;CHADEMA.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment