Serikali imetime wakati mzuri wa kupandisha bei ya uememe,vyombo vya habari vinazungumzia mgogoro wa CHADEMA,habari nyeti kama hizo zinzandikwa ndani na kwa kufupi
2014/1/9 Monica Malle <moninaike@hotmail.com>
Kwani zile kelele tulizopiga wakati wa kukatwa kodi za line za simu zetu hatuna tena hizo sauti tukazipaazia serikali?
Wa Tz tuko waoga sana na bado hao wa Richmond waliotufikisha hapa wanataka tuwape madaraka 2015 tutafika kweli?
> From: juma.abdallah@huawei.com
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Subject: RE: [wanabidii] TATIZO NI BEI YA UMEME
> Date: Thu, 9 Jan 2014 13:28:22 +0000
>
> Mimi huo huo umeme wa ghali nimelipia kuunganishwa umeme kwa cash na nguzo moja, toka June 2013 mpaka leo hata dalili hamna ukienda ofisini kwao wanakujibu simple tunashughulikia.
> Ila nadhani viongozi hatuna kabisa hasa Hii wizara,Tanesco hawaoni aibu mteja miezi sita hajaunganishwa??
> Nachukia ila sina la kufanya na nshazaliwa Mtanzania,labda 2015 wakitoka ntawekewa Luku.
>
> -----Original Message-----
> From: wanabidii@googlegroups.com [mailto:wanabidii@googlegroups.com] On Behalf Of hosea.ndaki@gmail.com
> Sent: Thursday, January 09, 2014 1:42 PM
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Subject: Re: [wanabidii] TATIZO NI BEI YA UMEME
>
> Kijiji cha segese wapo watu wanazalisha umeme na kuuza kwa wananchi, elfu kumi umeme mwaka mzima. Kama tanesco wanatuchanganya tuhamie kwa hao wazalishaji umeme wadogowadogo.
>
> ----------
> Sent from my Nokia phone
>
> ------Original message------
> From: Reuben Mwandumbya <ipyana75@yahoo.com>
> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Thursday, January 9, 2014 1:40:53 AM GMT-0800
> Subject: Re: [wanabidii] TATIZO NI BEI YA UMEME
>
> Comrades;
> Kuna gharama zingine za uendeshaji TANESCO wanaingia kwa uzembe wao tu.
> Unatoa taarifa ya kuhitaji mafundi wa TANESCO kwamba kwenye nguzo kunatatizo la kutoa cheche na hupati umeme,wao wanakuja na Lori tani tano au hata saba wamebeba ngazi moja!! Hii kiuendeshaji ni kasoro kubwa then kasoro hizi gharama yake tunabeba wananchi.
>
>
> Reuben
>
>
>
>
> On Thursday, January 9, 2014 12:26 PM, Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com> wrote:
>
> Mwakyembe siyo Mwenyekiti wa Kamati husika ya Bunge. Kama ni kuhitaji taarifa husika basi ni Spika mwenye madaraka hayo.
> >On Jan 9, 2014 12:21 PM, "ELISA MUHINGO" <elisamuhingo@yahoo.com> wrote:
> >
> >Monica.
> >>Ni muhimu kufanya analysis ya kutosha kabla hatujaenda mitaani.
> >>Umeme Tanzania unapanda kwa sehemu kubwa kutokana na garama za uzalishaji.
> >>Kumbuka tunailipa capacity charges zenye utata kwa akila Lichmond.
> >>Tukitaka kufanya vyema tumbane Dr Mwakyembe atwambie tume yake ilibakiza nini ambacho hakikusemwa. Kuna watu wanapata mgao wa hiyo capacity charges. ndizo tunaziona zinatumika kununua urais 2015. mwakyembe akisha tupa waliyobakiza tuawabana wanaopata mgao tunaweza kupata njia sahihi ya kuiondolea TANESCO mzigo wa garama za uzalishaji. Lakini pia tutalisaidia taifa kuondokana na mamluki hao wanaotaka kujiingiza kwenye uongozi wa taifa hili kumbe wanaingizwa na wamiliki wa wazalishaji hao wa umeme.
> >>Tukiandamana bila mpango tutaambulia patupu.
> >>Na safari hii ya kujitengenezea mazingira bora ina vikwazo vingi, milima mingi, mabonde mengi. ukitaka fuatilia yatakayofuata hapa.
> >>
> >>
> >>From: Monica Malle <moninaike@hotmail.com>
> >>To: Wanabidii googlegroup <wanabidii@googlegroups.com>
> >>Sent: Wednesday, January 8, 2014 5:37 PM
> >>Subject: [wanabidii] TATIZO NI BEI YA UMEME
> >>
> >>
> >>
> >>Watanzania wenzangu nashangaa tulipoambiwa tutalipa kodi ya line zetu za simu tulipiga kelele kwa pamoja mpaka ile kodi imeondolewa.
> >>Vipi mbona umeme umepanda sana bei tumekaa kimya? tumeridhika au ni woga wetu? kweli kama umenunua umeme mwezi huu utaelewa ninachosema, kwani maisha yatakuwa magumu mara dufu bidhaa zote zitapanda bei na majiko yetu ya umeme yatabakia mapambo majumbani mwetu. Hata gesi nayo imepanda bei, mafuta ya taa nayo usiseme halafu serikali inapiga kelele tutunze mazingira wanataka tupikie mchanga? kama siyo kukata miti ili tupate kuni na mkaa wa kupikia? Hatuwezi kuandamana kwa hili tukafanikiwa kama lile la line za simu?
> >>--
> >>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
> >>
> >>Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
> >>
> >>Disclaimer:
> >>Everyone posting to this Forum
> bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> >>---
> >>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> >>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> >>For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
> >>
> >>
> >>
> --
> >>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
> >>
> >>Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
> >>
> >>Disclaimer:
> >>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> >>---
> >>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> >>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> >>For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
> >>
> --
> >Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
> >
> >Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
> >
> >Disclaimer:
> >Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> >---
> >You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> >To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> >For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
> >
> >
> >
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:
Post a Comment