Thursday, 9 January 2014

Re: [wanabidii] TATIZO NI BEI YA UMEME

Reuben

Sawa kabisa yako mengi yanahitaji kuangaliwa achilia mbali haya ya mikataba

On Jan 9, 2014 12:40 PM, "Reuben Mwandumbya" <ipyana75@yahoo.com> wrote:
Comrades;
Kuna gharama zingine za uendeshaji TANESCO wanaingia kwa uzembe wao tu.
Unatoa taarifa ya kuhitaji mafundi wa TANESCO kwamba kwenye nguzo kunatatizo la kutoa cheche na hupati umeme,wao wanakuja na Lori tani tano au hata saba wamebeba ngazi moja!! Hii kiuendeshaji ni kasoro kubwa then kasoro hizi gharama yake tunabeba wananchi.
 
Reuben

On Thursday, January 9, 2014 12:26 PM, Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com> wrote:
Mwakyembe siyo Mwenyekiti wa Kamati husika ya Bunge. Kama ni kuhitaji taarifa husika basi ni  Spika mwenye madaraka hayo.
On Jan 9, 2014 12:21 PM, "ELISA MUHINGO" <elisamuhingo@yahoo.com> wrote:
Monica.
Ni muhimu kufanya analysis ya kutosha kabla hatujaenda mitaani.
Umeme Tanzania unapanda kwa sehemu kubwa kutokana na garama za uzalishaji.
Kumbuka tunailipa capacity charges zenye utata kwa akila Lichmond.
Tukitaka kufanya vyema tumbane Dr Mwakyembe atwambie tume yake ilibakiza nini ambacho hakikusemwa. Kuna watu wanapata mgao wa hiyo capacity charges. ndizo tunaziona zinatumika kununua urais 2015. mwakyembe akisha tupa waliyobakiza tuawabana wanaopata mgao tunaweza kupata njia sahihi ya kuiondolea TANESCO mzigo wa garama za uzalishaji. Lakini pia tutalisaidia taifa kuondokana na mamluki hao wanaotaka kujiingiza kwenye uongozi wa taifa hili kumbe wanaingizwa na wamiliki wa wazalishaji hao wa umeme.
Tukiandamana bila mpango tutaambulia patupu.
Na safari hii ya kujitengenezea mazingira bora ina vikwazo vingi, milima mingi, mabonde mengi. ukitaka fuatilia yatakayofuata hapa.

From: Monica Malle <moninaike@hotmail.com>
To: Wanabidii googlegroup <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Wednesday, January 8, 2014 5:37 PM
Subject: [wanabidii] TATIZO NI BEI YA UMEME

Watanzania wenzangu nashangaa tulipoambiwa tutalipa kodi ya line zetu za simu tulipiga kelele kwa pamoja mpaka ile kodi imeondolewa.
Vipi mbona umeme umepanda sana bei tumekaa kimya? tumeridhika au ni woga wetu? kweli kama umenunua umeme mwezi huu utaelewa ninachosema, kwani maisha yatakuwa magumu mara dufu bidhaa zote zitapanda bei na majiko yetu ya umeme yatabakia mapambo majumbani mwetu. Hata gesi nayo imepanda bei, mafuta ya taa nayo usiseme halafu serikali inapiga kelele tutunze mazingira wanataka tupikie mchanga?  kama siyo kukata miti ili tupate kuni na mkaa wa kupikia? Hatuwezi kuandamana kwa hili tukafanikiwa kama lile la line za simu?
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment