Thursday, 9 January 2014

RE: [wanabidii] Taarifa ya Mkono kuhusu kumpatia Zitto magari; Kuipa fedha CHADEMA

CHADEMA wanakumbuka shuka asubuhi.
mbowe kapanda gari la mh.mkono akiwa pamoja na zito.ilikuwa dharura .baaada ya muda zitto analinunua gari hilhilo kutoka kwa mh.mkono.
Ukiwa kama mkuu wa chama huwezi kustuka?
Inteligensia ya chama ipo wapi?
e.g. UMEPATA DHARULA ukiwa na wife wako au mdogo wako wa kike anatoke mwanaume anawapa gari msafiri nalo,kwa kuwa unashida na huna mashaka unakubali.
baada ya muda wife / mdogo wako wa kike anakujulisha kuwa amelinunua lile gari mlilopanda wakati wa dharula,je huwezi kudhani kuna jambo la usiri hujalitambua toka mwanzo?
Hapa uongozi wa CDM umekuwa kama wa vyama visivyo na mpango( sivitaji ila tunavijua)
Je CDM hawana utaratibu wa kuhakiki na kufuatilia mali na vyanzo vya mali za viongozi wa chadema.
HITIMISHO.
Chadema mjipange sawasawa kujisafisha kabla ya kunyooshea kidole uhalali wa mali za viongozi wa CCM

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment