Thursday, 2 January 2014

re: [wanabidii] MAONI YA RASIMU YA KATIBA , MLIZINGATIA MAONI YA NANI, WARIOBA?

----------
Sent from my Nokia

------Original message------
From: Aldin Mutembei <mutembei@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, January 2, 2014 11:36:36 PM GMT-0800
Subject: Re: [wanabidii] MAONI YA RASIMU YA KATIBA , MLIZINGATIA MAONI YA NANI, WARIOBA?

Mutabaazi Mh. Lugaziya

Salaam za Mwaka Mpya pamoja na Wanabidii na Wanazuoni.
Kheri na Baraka za Mwaka 2014
Ama, baada ya salamu hizi. Kuna jambo sijalielewa naomba kufahamushwa.

Unaposema "..... Wasomi wa kiswahili wako hivyo...."

Unaandika katika muktadha upi?
Nashadidia zaidi dhana ya kiswahili (sio Kiswahili) na usomi (sio kuelimika)

Ni mimi mwanafunzi wa daima

Aldin
 
Aldin K. Mutembei   (PhD)                         Aldin K. Mutembei (PhD)
Taasisi ya Taaluma za Kiswahili                  Institute of Kiswahili Studies
Kampasi ya Mwalimu J.K. Nyerere             Mwalimu J.K. Nyerere Campus
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam                   University of Dar es Salaam, TANZANIA
+255 715 426 162      [Kiganjani]                +255 715 426 162  (Cell)

b-pepe: kaimutembei@gmail.com                Alternative e-mail: <kaimutembei@gmail.com>




On Friday, January 3, 2014 6:14 AM, mutabaazi lugaziya <mjlugaziya@mail.com> wrote:


>

>Wasomi wa kiswahili wako hivyo!
>>>> 
>>>>Wahadhiri wanajipendekeza ili ama wawe maprofesa bila kufanya tafiti za maana au kuitwa kuwa washauri wa serikali.
>>>> 
>>>>Siku hizi wanafanya "projects"ambazo zina maslahi kuliko utafiti wa kisomi, japo kitaaluma, haziwaongezei "alama"kitaaluma. Alama nini bwana?!!. Tunaosoma sasa tunatumia zaidi mitandao kuliko machapisho ya wahadhiri wa kitanzania!
>>>> 
>>>>Wasiofanya "projects"au zikiisha, wanaenda kuomba kuwa wabunge. Huko akipigwa chini anaomba angalau u-DC-tunajua wapo!!!
>>>> 
>>>>Inawezekana serikali inayoongozwa na chama kinachotaka serikali mbili ilikuwa imemsahau, anataka "imkumbuke". Watanzania wajanja huwa wanafanya hivyo. Ukisikia mtu alikuwa na nafasi, halafu akawa hasikiki, anafanya kitu kuikumbusha serikali kwamba yupo na bila kusema wazi, anamaanisha kwamba bado anaweza kutumika.Nchi hii mambo yote yanawezekana. Anaweza kuwa "mshauri"wa Rais wa mambo ya Katiba.!!!
>>>> 
>>>>Goodmorning!
>>>> 
>>>>MJLi --
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment