VERSION:2.1
N:lugaziya;mutabaazi;;;;
FN:mutabaazi lugaziya
ADR;HOME:;;;;;;Tanzania, United Republic of
LABEL;HOME;ENCODING=QUOTED-PRINTABLE:Tanzania, United Republic of
BDAY:19620210
END:VCARD
Za mwaka mpya tunamshukuru Mungu,
Katika lahaja zetu, kuna kitu kinaitwa "Uswahili". Nikijaribu kufafanua, uswahili umehusishwa zaidi na tambo zisizoakisi uhalisia. Mathalani, msomi anayeshadidia vyeti zaidi nk, nk.
Sina hakika niseme vipi, hasa kwa mtaalamu wa kiswahili, lakini kiujumla(kama hiki ni kiswahili), uswahili unahusishwa na kutozingatia weledi, hata kama mtu ana vyeti husika. Kusema tutaendesha nchi hivyo, hivyo. Utafiti wa nini, nani kafanya utafiti mwenye neema kama wabunge? Namzungumzia mtu kama Prof. Maji Marefu nk.
Wengi wetu wameamua kupitia mkondo huo. Tunapenda kuishi kwa wakati uliopo sasa (Existentialists).
Nimejitahidi. Ama?
MJL
--Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment