Hapigwi mtu hapa, wakapige wake na wanao majumbani kwao, kesho mahakamani lazima ngumi zitembee tuone kati ya wafuasi wa zitto na lissu wapi wababe na tayari mikoani wameshajiandaa kwa maandamano nchi nzima.
----------
Sent from my Nokia phone
------Original message------
From: Joseph Ludovick <josephludovick@gmail.com>
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Saturday, January 4, 2014 9:23:09 PM GMT+0300
Subject: Re: [wanabidii] Majibu ya Zitto kwa Kamati Kuu: Mashitaka yote sio ya kweli na sijavunja Katiba
Mwakyembe,ukiendelea hivi kuna siku ukienda kwenye tukio la
chadema,usishangae ukapigwa na kupokonywa laptop yako kuwa wewe ni
pandikizi la ccm kwenye media. Nakuhakikishia watakupiga.kama unabisha
endelea.lakini unasema ukweli mtupu.kwangu anayeijua vizuri
chadema,uko sahihi.
On 1/4/14, lesian mollel <aramakurias@yahoo.com> wrote:
> hv hawa jamaa wa cdm wana nini na zitto jamani, jibu ni kua zitto ni threat
> kwa mbowe na dk slaaa...hapo ndio tuanze mjadala banaaa....dont roam around
> the bushes.....issue is threat kwa chadema la hasha, ni hawa top two guys,
> kina mh lawyer wa watu mongwe naemheshimu sna bw lissu wao hawalionbi hili
> wanamezeshwa kumwona jamaa traitor?zitto zitto zitto
> aachwe afikie his political ambition.....
> kama siasa za vyama ziko hivyo wengine tunaogopa kujiunga na hv vyama, bora
> nibaki bila chama na private candidate huenda ikawa na viongoz wazuri wajao
> ambao hawaambatani na mtu, watu au kundi kama ilivyo sasa
> cdm wakimtosa zitto who else atakaekua na ujasiri wa kumuashibu pm kwa logic
> kama zitto? nani atakaekua na uwezo kuibua hoja za kitaifa kama buzwagi,
> mashirika ya umma, matumizi mbaya ktk vyama ,nk nk
> hakuna
> huyu sisi kama vijana tunapendezwa nae, kina mbowe na crew yake wanatumiwa
> kumuangamiza jamaaaaa na uchu wao wa madaraka na ndio maana nasikmia
> wamechange katiba ili waeendelee kubaki hapo juuu, nao ni mafisadi basi
> watu msiseme tu kiushabiki...kuna tatizo la kidemokrasia na utawala bora
> ndani ya hivi vyama, ila wanajifanya si tatizo bali tatizo lipo kwa ccmn tu,
> ccm yes ila hata wao kama mbadala hakuna cha umbdala wala nin i matatizo
> walionayo ccm nayo wanayo hawa kina chadema,nccr mageuzi, cuf nk
> mm nikmiamua kuingia ktk siasa ntaingia kwa ugombeas binafsi, nakerka sana
> namna siasa za vyama ilivyo bongo
> nawasilisha kwa hasiraaaaa
>
>
>
>
>
> On Friday, January 3, 2014 11:56 PM, Reginald Miruko <rsmiruko@gmail.com>
> wrote:
>
> ----- Forwarded Message -----
>
>
> This message is eligible for Automatic Cleanup! (rsmiruko@gmail.com) Add
> cleanup rule | More info
>
> Felix, tuhuma zinaweza zikawa zenyewe, na majibu yakawa yenyewe. je, hili la
> kuzikuta hapa kwenye forum haliwezi pia kuwa kosa?
>
>
>
> RSM
>
>
>
> 2014/1/4 <hosea.ndaki@gmail.com>
>
> Jumatatu tunaandamana nchi nzima bila kujali itikadi za kisiasa kupinga
> umanimeza anaofanyiwa zitto, hii ni njama ya mafisadi kudhoofisha kazi nzuri
> alizoanzisha zitto.
>>
>>Ufisadi na utoroshaji wa fedha unaathiri wananchi wote bila kujali chama.
>>
>> ----------
>>Sent from my Nokia phone
>>
>>
>>------Original message------
>>From: Xavery Njovu <njovucom@gmail.com>
>>To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
>>Date: Saturday, January 4, 2014 10:09:09 AM GMT+0300
>>Subject: Re: [wanabidii] Majibu ya Zitto kwa Kamati Kuu: Mashitaka yote sio
>> ya kweli na sijavunja Katiba
>>
>>
>>Mbegu
>>
>>Zitto hahitaji kuanzisha chama. Anahitaji kubaki chadema ni mwana
>>mabadiliko wa kweli asiye na historia mbaya kama viongozi wengine. Hata
>>akifukuzwa uanachama mi namshauri abaki kimya au atulize akili
>>afanye mambo yake ipo siku CDM watamkumbuka na kumrudisha kazini. au
>>atagombea kama mgombea huru kwenye nafasi anayotaka.
>>
>>Regards
>>
>>xn
>>
>>
>>2014/1/3 Edgar Mbegu <embegu@hotmail.com>
>>
>>> Njovu, au Mheshimiwa anaweza kuanzisha Chama chake kwa sababu yeye
>>> tayari
>>> ni maarufu. Atapata wafuasi tu. Anahofu nini? Huko CDM awaachie watu
>>> wasiofuata Demokrasia.
>>>
>>> ------------------------------
>>
>>> Date: Fri, 3 Jan 2014 15:38:48 +0000
>>> Subject: Re: [wanabidii] Majibu ya Zitto kwa Kamati Kuu: Mashitaka yote
>>> sio ya kweli na sijavunja Katiba
>>> From: fkyembe@gmail.com
>>> To: wanabidii@googlegroups.com
>>>
>>>
>>> Kama tuhuma ndio hizi zilizojibiwa hapa na Zitto, na kama utaratibu
>>> uliofuatwa na wakubwa ndio huo, basi kazi ipo.
>>>
>>> Iwapo viongozi na wanachama wa Chadema wataendelea na huu mtindo wa
>>> kujiona wako sahihi siku zote na wakati wote, basi wajiandae kukalia
>>> nafasi
>>> za TLP, CUF na NCCR.
>>>
>>>
>>>
>>> 2014/1/3 James Patrick <mimiwewetz@gmail.com>
>>>
>>> Bussiness as usual mungu Wang inusuru Tanzania yangu
>>> On Jan 3, 2014 12:14 PM, "Vincent Mhangwa" <vmhangwa@gmail.com> wrote:
>>>
>>> Ha haaaa. Bariki
>>> On 3 Jan 2014 08:54, "Bariki Mwasaga" <bmwasaga@gmail.com> wrote:
>>>
>>> Uzuri utatolewa na bw. Makene akieleza kile ambacho CC itaamua ndugu.
>>> Kuwa
>>> mpole na tuliza ball
>>> On Jan 3, 2014 11:33 AM, "Vincent Mhangwa" <vmhangwa@gmail.com> wrote:
>>>
>>> Naomba kuelezwa uzuri wa utetezi huu wa Mh. ZZK
>>> On 3 Jan 2014 08:29, "Bariki Mwasaga" <bmwasaga@gmail.com> wrote:
>>>
>>> Vinc
>>>
>>> Mapenzi yanaweza kukufanya usitumie akili zako vizuri ndugu. Hivi
>>> utetezi
>>> huwa unapaswa uweje? Nijuavyo CC - Chadema ndiyo inapaswa kusema huu
>>> siyo
>>> utetezi ni makanusho lakini wewe uliye nje ukihukumu basi hupaswi hata
>>> kuwa
>>> mmoja wa wanachama wa chama cha demokrasia. Kukana jambo ni sehemu ya
>>> kujitetea, hata muuaji akituhumiwa mahakamani kabla ya kutiwa hatiani
>>> huwa
>>> anajitetea kwanza kabisa kwa kukana, baada ya upelelezi kukamilika
>>> pamoja
>>> na taratibu zote, hakimu/jaji hutoa maelezo ya kumtia hatiani mtuhumiwa
>>> na
>>> kumpa nafasi ya mwisho kabla ya kutoa hukumu kujitetea kwanini asitiwe
>>> hatiani kwa kosa ambalo shauri lake limeishashughulikiwa ipasavyo
>>> mahakamani. Sasa unaposema hakuna utetezi ulitaka aseme kwamba mhe.
>>> Katibu
>>> Mkuu ni kweli kwamba nilijihusisha na kupanga mbinu hiz na zile ndiyo
>>> uone
>>> ni utetezi? Hili jambo lingekuwa mahakamani najua usingekuwa na JEURI ya
>>> kutamka ulichotamka kwasababu ungekuwa unaingilia uhuru wa mahakama.
>>>
>>>
>>> 2014/1/3 Vincent Mhangwa <vmhangwa@gmail.com>
>>>
>>> Hakuna utetezi hapa. Kuna makanusho tu ambayo hata mtuhumiwa yeyote
>>> akiwemo jambazi anaweza kuyatamka akiwa Mahakamani lakini mwisho wa siku
>>> ama anatiwa hatiani au anaachiwa huru. Ngoja tuone hatma yake kama ama
>>> atafukuzwa uanachama au atasahemewa.
>>> On 3 Jan 2014 07:46, "Xavery Njovu" <njovucom@gmail.com> wrote:
>>>
>>> haya
>>>
>>> kipenga kimefulizwa utetezi mzuri. Unatakiwa uishi kama penseli
>>> mheshimiwa ili iandike vizuri lazima ipitie maumivu makali ya
>>> kuumizwa lakini final product yake inaacha mark ambayo
>>> haitafutika
>>> mpaka uifute na ufutio either wake or any other kifutio. Naomba
>>> busara zitumike kwenye hili. Mi nilifikiri CDM mngefanya kama
>>> ile
>>> ya mchawi mpe mwana alee.
>>>
>>> Regards
>>>
>>> xn
>>>
>>>
>>> 2014/1/3 MABADILIKO CHADEMA <mabadilikochadema@gmail.com>
>>>
>>> Our Ref: ZZK/12/13 10.12. 2013.
>>>
>>> Mh. Katibu MKuu, Chama Cha Demokrasia Na Mendeleo HSE NO 170,
>>> UFIPA STREET, KINONDONI
>>> S. L. P 31191
>>> Dar es Salaam – Tanzania.
>>>
>>>
>>> YAH: MASHATAKA YA UKIUKWAJI WA KATIBA, KANUNI NA MWONGOZO WA CHAMA.
>>>
>>> Rejea barua yako ya tarehe 26 Novemba 2013 yenye kumbukumbu no
>>> C/HQ/ADM/KK/08/31 Iliyoelezea maamuzi yaliyofikiwa na kikao cha Kamati
>>> Kuu
>>> ya Chama cha tarehe 20-22 Novemba 2013, kiliazimia kwamba niachishwe
>>> nafasi
>>> zote za uongozi ninazoshikilia katika chama na kwamba Kamati Kuu
>>> iliazimia
>>> kwamba hatua zaidi za kinidhamu za kuachishwa ama kufukuzwa uanachama
>>> zichukuliwe dhidi yangu kwa mujibu wa Katiba na Kanuni za Uendeshaji za
>>> 6.5.2(d), ningependa kuwasilisha majibu ya mashtaka hayo kama ifuatavyo;
>>>
>>> 1.0 MAELEZO YA AWALI; Napenda kuwasilisha utetezi wangu huku nikiwa
>>> napinga utaratibu uliotumika kuandaa na kunifikishia mashtaka husika
>>> (Defence Under Protest) kwa sababu zifuatazo;
>>>
>>> 1.1. Hatua za kinidhamu ambazo kimsingi ni adhabu zimeshachukuliwa na
>>> Kamati Kuu kwa mashtaka haya haya ambayo nimepatiwa. Kama barua yako
>>> inavyosema na nanukuu maneno yako "Kamati Kuu kwa kutumia mamlaka yake
>>> kwa
>>> mujibu wa Kanuni ya 6.5.2(d) ya Kanuni za Uendeshaji Shughuli za Chama
>>> ('Kanuni za Uendeshaji'), iliazimia kwamba muachishwe nafasi zote za
>>> uongozi mnazoshikilia katika Chama…" (msisitizo ni wangu). Mheshimiwa
>>> Katibu Mkuu; Ni wazi kabisa kwamba adhabu ya kuachishwa nafasi zote za
>>> uongozi imeshatekelezwa. Kamati Kuu imeshanitia hatiani kwa makosa haya
>>> haya ambayo sasa hivi natakiwa nijitetee. Binafsi siamini kwamba kwa
>>> utaratibu huu haki itatendeka na inaonekana kutendeka. Ni vigumu sana
>>> kusema kwamba haki yangu ya msingi ya kusikilizwa na kujitetea imelindwa
>>> wakati tayari adhabu imeshatolewa na chombo kile kile ninachotakiwa
>>> kujitetea mbele yake.
>>>
>>> 1.2. Kama kiongozi ambaye nimeadhibiwa na Kamati Kuu ninayo haki ya
>>> kukata
>>> rufaa Baraza Kuu dhidi ya haya yafuatayo;
>>> 1.2.1. utaratibu uliotumika na Kamati Kuu kunivua nyadhifa zote za
>>> uongozi.
>>> 1.2.2. sababu zilizotumika kunivua nyadhifa zote za uongozi.
>>>
>>> Mheshimiwa Katibu Mkuu;
>>>
>>> Katiba ya Chama pamoja na Kanuni za Uendeshaji zinatoa HAKI hii ya
>>> msingi
>>> na UTARATIBU kwa maneno haya;
>>>
>>> Ibara 6.3.6(d) ya Katiba ya Chama; "Kiongozi aliyechukuliwa hatua za
>>> kinidhamu na mamlaka yake ya nidhamu anayo haki ya kukata rufaa ngazi ya
>>> juu ya ile mamlaka yake ya nidhamu na uamuzi wa ngazi hiyo utakuwa wa
>>> mwisho".
>>>
>>> Ibara 6.3.6(e) ya Katiba ya Chama; "Rufaa yoyote lazima ifanyike katika
>>> muda wa siku thelathini tangu tarehe ya kupokea rasmi kwa maandishi
>>> maamuzi
>>> ya mamlaka iliyotoa adhabu". Mheshimiwa Katibu Mkuu; Kanuni za
>>> Uendeshaji
>>> zinatoa UTARATIBU ambao unatakiwa ufuatwe ili kiongozi aliyeadhibiwa
>>> aweze
>>> kutumia HAKI yake ya kukata rufani kwa maneno haya; Kanuni ya 6.5.8 ya
>>> Kanuni za Uendeshaji; "Kiongozi aliyeadhibiwa atapewa taarifa ya msingi
>>> wa
>>> maamuzi ya mamlaka ya nidhamu ili kumuwezesha kuamua kukata rufani au
>>> la"
>>>
>>> Kanuni ya 6.5.9 ya Kanuni za Uendeshaji; "Mwadhibiwa atakayeamua kukata
>>> rufani atatakiwa kufanya hivyo katika muda wa siku thelathini baada ya
>>> kuarifiwa uamuzi wa adhabu" Kanuni ya 6.5.10 ya Kanuni za Uendeshaji;
>>> "Baada ya kutoa uamuzi kikao husika kinalazimika kuandaa taarifa kamili
>>> ya
>>> mwenendo wa shauri na kuwasilisha ngazi ya juu. Taarifa hiyo lazima
>>> ifike
>>> katika muda wa siku kumi na nne baada ya kikao cha mamuzi"
>>>
>>> Mheshimiwa Katibu Mkuu;
>>>
>>> Mpaka tarehe 01/12/2013 siku ambayo nimepokea barua yako ya mashtaka
>>> dhidi
>>> yangu sijapokea taarifa ya msingi wa maamuzi ya mamlaka ya nidhamu na
>>> pia
>>> taarifa kamili ya mwenendo wa shauri langu haujawasilishwa Baraza Kuu.
>>> Wakati hayo yote hayajafanyika natakiwa kutoa utetezi wangu wa maandishi
>>> kwa mujibu wa Kanuni ya 6.5.2(a) ikisomwa pamoja na Kanuni ya 6.5.6 ya
>>> Kanuni za Uendeshaji kwa makosa yaleyale ambayo tayari nimeshaadhibiwa
>>> na
>>> Kamati Kuu. Ni wazi kabisa kwamba barua yako ya mashtaka ni muendelezo
>>> wa
>>> hatua au maazimio ya Kamati Kuu kama ilivyoandikwa "Aidha Kamati Kuu
>>> iliazimia kwamba hatua zaidi za kinidhamu za kuachishwa ama kufukuzwa
>>> uanachama zichukuliwe…."
>>>
>>> Mheshimiwa Katibu Mkuu;
>>>
>>> Utaratibu uliotumika na Kamati Kuu sio wa HAKI na ni ukiukaji wa Katiba
>>> na
>>> Kanuni za Uendeshaji. Nalazimika kutoa utetezi wangu nikiwa napinga
>>> (under
>>> protest) kwa sababu kwa Chama ambacho kinasifika kwa kupigania misingi
>>> ya
>>> utawala bora na utawala wa sheria ni lazima kiheshimu haki za wanachama
>>> na
>>> viongozi wake pamoja na kufuata utaratibu kilichojiwekea wakati wa
>>> kuchukua
>>> hatua za kinidhamu. 1.3. Baadhi ya wajumbe wa Kamati Kuu kwa nyakati
>>> mbalimbali wametoa matamko kwamba tumefukuzwa uongozi na hatua zaidi
>>> zitachukuliwa dhidi yetu kabla hata ya ofisi yako kutoa Mashtaka dhidi
>>> yetu. Mheshimiwa Tundu Lissu na Mheshimiwa John Mnyika walitoa matamko
>>> hayo
>>> wakati wakiongea na Waandishi wa Habari.
>>>
>>> Mheshimiwa Katibu Mkuu;
>>>
>>> Kitendo cha wajumbe hao kutoa misimamo kwa niaba ya Chama au Kamati Kuu
>>> ni
>>> ukiukwaji wa haki yangu ya msingi ya kusikilizwa. Ni wazi kabisa kwamba
>>> tayari hukumu dhidi yangu imeshapitishwa kabla sijasikilizwa. Sina imani
>>> na
>>> wajumbe ambao tayari wameonyesha waziwazi misimamo yao kuhusu tuhuma
>>> dhidi
>>> yangu.
>>>
>>> Mheshimiwa Katibu Mkuu;
>>>
>>> Kutokana na hayo yote ambayo nimeyataja hapo juu naomba ofisi yako
>>> isitishe utekelazaji wa maamuzi au maazimio ya Kamati Kuu mpaka pale
>>> ambapo
>>> nitakuwa nimepatiwa taarifa ya msingi wa maamuzi ya Kamati Kuu na kuweza
>>> kukata rufaa ngazi ya juu kwa mujibu wa Katiba na Kanuni za Uendeshaji.
>>> Hatua zozote za Kamati Kuu zitaendelea kukiuka Katiba na Kanuni za
>>> Uendeshaji.
>>>
>>> Bila kuathiri hayo niliyoyasema;
>>>
>>> 1 UTETEZI WANGU DHIDI YA MASHTAKA Mheshimiwa Katibu Mkuu; Kwa ujumla
>>> nakanusha na kukataa kuhusu tuhuma zinazoelekezwa kwangu kuhusu
>>> kinachoelezwa kwamba niliandaa mkakati wa mabadiliko 2013, mimi binafsi
>>> sijawahi kushiriki, kuhusika kuandaa au kufahamu kwa namna yoyote ile
>>> kinachoitwa waraka wa Mkakati wa Mabadiliko 2013 kama ulivyoainisha
>>> kwenye
>>> barua yako.
>>>
>>> KOSA LA KWANZA
>>>
>>> Kukashifu Chama kiongozi au mwanachama yeyote wa chama kinyume na
>>> masharti
>>> ya 10.1(xii) ya Kanuni za Uendeshaji. Mheshimiwa Katibu Mkuu;
>>>
>>> 1. Nakanusha kwamba mimi pamoja na Dk. Kitila Mkumbo, Bw. Samson
>>> Mwigamba
>>> na Mtu mwingine ambaye hajajulikana niliandaa waraka ulioitwa Mkakati wa
>>> Mabadiliko 2013.
>>>
>>> 2. Sijawahi kushiriki kwa njia yoyote kuandaa waraka huo peke yangu au
>>> nikiwa na mtu mwingine yeyote. Nakanusha kumkashifu Mwenyekiti wa Chama
>>> Taifa kwa njia yoyote ile.
>>>
>>> 3. Kuhusu kutoa kashfa kwa Katibu Katibu Mkuu wa Chama na Mbunge wa
>>> Arusha
>>> Mjini Mh. Godbles Lema kama ulivyoainisha kwenye barua yako mimi binafsi
>>> sijawahi kutoa kashfa hizo na wala kuhusika kwa namna yoyote ile kwenye
>>> maandalizi ya mkakati huo wa mabadiliko.
>>>
>>> KOSA LA PILI
>>>
>>> Kutokuwa wakweli na wawazi wakati wote na kushirikiana na vikundi vya
>>> majungu na wadanganyifu (rumour mongers) Kinyume na Kanuni ya Uendeshaji
>>> 10.1 (vii) ya Kanuni za Uendeshaji. Mheshimiwa Katibu Mkuu;
>>>
>>> 1. Nakanusha kwamba mimi pamoja na Dk. Kitila Mkumbo, Bw. Samson
>>> Mwigamba
>>> na Mtu mwingine ambaye hajajulikana nilianzisha mtandao wa siri ulioitwa
>>> "Mtandao wa Ushindi' ili kuniwezesha mimi kutwaa madaraka ya Mwenyekiti
>>> wa
>>> Chama Taifa kwa njia zilizo kinyume na Katiba, Kanuni za Uendeshaji na
>>> Kanuni za Kusimamia Shughuli, Mwenendo na Maadili ya Wabunge wa CHADEMA
>>> na
>>> Mwongozo wa Kutangaza Kusudio la Kuwania Nafasi za Uongozi Kwenye Chama,
>>> Mabaraza na Serikali 2012.
>>> 2. Nakanusha kuanzisha, kushiriki uanzishwaji au kuufahamu unaoitwa
>>> mtandao wa ushindi kama ilivyoelezwa na barua yako.
>>> 3. Siku zote nimekuwa mkweli muwazi kwa yale ninayoyaamini na katika
>>> kutekeleza majukumu yangu kama kiongozi na mwanachama mtiifu wa CHADEMA.
>>> Pia sijashirikiana na kikundi chochote cha majungu au wadanganyifu kama
>>> iliyoainishwa kwenye barua yako.
>>>
>>>
>>> KOSA LA TATU
>>>
>>> Kutoa tuhuma juu ya viongozi wenzenu pasipo kupitia vikao halali na
>>> kuzingatia taratibu na ngazi zilizowekwa kwenye Kanuni kinyume na Kanuni
>>> ya
>>> 10.1(x) ya Kanuni za Uendeshaji. Mheshimiwa Katibu Mkuu;
>>>
>>> 1. Nakanusha kwamba mimi pamoja na Dk. Kitila Mkumbo, Bw. Samson
>>> Mwigamba
>>> na Mtu mwingine ambaye hajajulikana nilitoa tuhuma nzito na za uongo
>>> dhidi
>>> ya viongozi wakuu wa Chama, yaani Mwenyekiti wa Chama Taifa na Katibu
>>> Mkuu
>>> pasipo kupitia vikao halali na bila kuzingatia taratibu na ngazi
>>> zilizowekwa na Kanuni za Uendeshaji.
>>> 2. Sijawahi kushiriki kwa njia yoyote kuandaa waraka huo peke yangu au
>>> nikiwa na mtu mwingine yeyote. Nakanusha kwamba nilitoa tuhuma nzito na
>>> za
>>> uongo dhidi ya viongozi wakuu wa Chama, yaani Mwenyekiti wa Chama Taifa
>>> n
>>> Katibu Mkuu pasipo kupitia vikao halali na bila kuzingatia taratibu na
>>> ngazi zilizowekwa na Kanuni za Uendeshaji.
>>>
>>> KOSA LA NNE
>>>
>>> Kujihusisha na vikundi vyenye misingi ya ukabila, udini, au ukanda
>>> ambavyo
>>> vina makusudi ya kubaguana ndani ya chama na miongoni mwa jamii kisiasa
>>> au
>>> kijamii na Kanuni ya 10.1(iv) ya Kanuni za Uendeshaji. Mheshimiwa Katibu
>>> Mkuu;
>>>
>>> 1. Nakanusha kwamba nimejihusisha katika kuanzisha, kushiriki
>>> uanzishwaji
>>> au kufahamu kikundi chochote chenye misingi ya ukabila, udini, au ukanda
>>> ambacho kina makusudi ya kubaguana ndani ya chama na miongoni mwa jamii
>>> kisiasa au kijamii kwa kutumia waraka unaosemekana kuandaliwa nami.
>>>
>>> 2. Mimi binafsi sio mdini, mkabila au mkanda na sijawahi kujihusisha na
>>> kikundi au mtu yeyote mwenye tabia hizo.
>>>
>>> KOSA LA TANO
>>>
>>> Kujihusisha na vikundi na vitendo vya kuchonganisha au kuzua migogoro
>>> ndani ya uongozi wa chama au wanachama wake na kinyume na Kanuni ya 10.1
>>> (x) ya Kanuni za Uendeshaji. Mheshimiwa Katibu Mkuu;
>>>
>>> 1. Nakanusha kwamba nimejihusisha na vikundi na vitendo vya
>>> kuchonganisha
>>> au kuzua migogoro ndani ya uongozi wa chama au wanachama wake.
>>>
>>> 2. Mimi binafsi sikifahamu kikundi chochote ambacho nashutumiwa
>>> kujihusisha nacho.
>>>
>>> KOSA LA SITA
>>>
>>> Kutekeleza mpango wa kusudio la kugombea nafasi ya mwenyekiti wa Chama
>>> Taifa bila kutangaza kusudio la kugombea nafasi hiyo kinyume na kifungu
>>> cha
>>> 2(g) cha Mwongozo wa Kutangaza Kusudio la Kuwania Nafasi za Uongozi
>>> Kwenye
>>> Chama, Mabaraza na Serikali 2012. Mheshimiwa Katibu Mkuu;
>>>
>>> 1. Nakanusha kwamba nimetekeleza au kuhusika katika utekelezaji wa
>>> mpango
>>> wa kusudio la kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa Chama Taifa bila
>>> kutangaza
>>> kusudio la kugombea nafasi hiyo.
>>>
>>> 2. Sijatangaza sehemu yeyote kwamba nitagombea nafasi hiyo na pia vile
>>> vile sijatekeleza mpango wowote kama ilivyoelezwa kwenye barua yako.
>>>
>>> KOSA LA SABA
>>>
>>> Kutengeneza makundi au mitandao ya kuwania uongozi ndani ya chama kwa
>>> nia
>>> ya kujihakikisha ushindi kinyume nakifungu cha 2(d) cha mwongozo wa
>>> kuwania
>>> uongozi. Mheshimiwa Katibu Mkuu;
>>>
>>> 1. Nakanusha kwamba nimejihusisha katika kutengeneza, kuanzisha,
>>> kushiriki
>>> uanzishwaji au kufahamu kikundi chochote kwa ajili ya kuniwezesha
>>> kuwania
>>> uongozi ndani ya chama na kujihakikishia ushindi kutwaa Uenyekiti wa
>>> Chama
>>> Taifa kinyume na taratibu.
>>>
>>> KOSA LA NANE
>>>
>>> Kuwachafua viongozi na wanachama wengine wenye kusudio/nia ya kutaka
>>> kugombea nafasi ya Uenyekiti wa Chama Taifa kinyume nakifungu cha 2(e)
>>> cha
>>> Mwongozo wa Kuwania Uongozi. Mheshimiwa Katibu Mkuu;
>>>
>>> 1. Nakanusha kwamba mimi pamoja na Dk. Kitila Mkumbo, Bw. Samson
>>> Mwigamba
>>> na Mtu mwingine ambaye hajajulikana niliandaa waraka ulioitwa Mkakati wa
>>> Mabadiliko 2013.
>>>
>>> 2. Sijawahi kushiriki kwa njia yoyote kuandaa waraka huo peke yangu au
>>> nikiwa na mtu mwingine yeyote. Nakanusha kumkashifu Mwenyekiti wa Chama
>>> Taifa, kiongozi mwenzangu au mwanachama yeyote Yule.
>>>
>>> KOSA LA TISA
>>>
>>> Kujihusisha na upinzani dhidi ya Chama na makundi ya majungu ya
>>> kugonganisha viongozi na wanachama wakati wa Uchaguzi wa Chama kinyume
>>> na
>>> Kanuni ya 10.3(4) ya Kanuni za Uendeshaji. Mheshimiwa Katibu Mkuu;
>>>
>>> 1. Nakanusha kwamba mimi pamoja na Dk. Kitila Mkumbo, Bw. Samson
>>> Mwigamba
>>> na Mtu mwingine ambaye hajajulikana niliandaa mkakati wa kugonganisha
>>> viongozi na wanachama wakati wa Uchaguzi wa Chama kwa kuwachafua
>>> viongozi
>>> wakuu wa Chama yaani Mwenyekiti wa Chama Taifa na Katibu Mkuu kwa tuhuma
>>> nzito za uongo na kunipamba mimi.
>>> 2. Sijawahi kushiriki kwa njia yoyote kuandaa waraka huo peke yangu au
>>> nikiwa na mtu mwingine yeyote.
>>>
>>> KOSA LA KUMI
>>>
>>> Kukashifu Chama au Kiongozi wa Chama nje ya Bunge kinyume na Kanuni 2(b)
>>> ikisomwa pamoja na Kanuni 3(b) ya Kanuni za Mwenendo na Maadili ya
>>> Wabunge.
>>> Mheshimiwa Katibu Mkuu;
>>>
>>> 1. Nakanusha kwamba mimi pamoja na Dk. Kitila Mkumbo, Bw. Samson
>>> Mwigamba
>>> na Mtu mwingine ambaye hajajulikana kwa kuandaa na kutumia waraka uitwao
>>> Mkakati wa Mabadiliko 2013 nilitengeneza mtandao haramu ndani ya Chama
>>> na
>>> nilitoa kashfa, matusi na uzushi dhidi ya Chama na viongozi wake wakuu
>>> kwa
>>> lengo la kuchochea mgawanyiko ndani ya Chama.
>>>
>>> 2. ambao ulikashifu Chama na/au viongozi wake wakuu nikiwa Mbunge wa
>>> CHADEMA na Naibu Kiongozi wa Upinzani Bungeni.
>>>
>>> 3. Sijawahi kushiriki kwa njia yoyote kuandaa waraka huo peke yangu au
>>> nikiwa na mtu mwingine yeyote. Nakanusha kwamba nimekashifu Chama au
>>> viongozi wake wakuu nikiwa Mbunge wa CHADEMA na Naibu Kiongozi wa
>>> Upinzani
>>> Bungeni kwa njia yoyote ile.
>>>
>>> KOSA LA KUMI NA MOJA
>>>
>>> Kuchochea mgawanyiko ndani ya Chama kinyume na Kanuni ya 3(f) ya Kanuni
>>> za
>>> mwenendo na maadili ya Wabunge. Mheshimiwa Katibu Mkuu;
>>>
>>> 1. Mimi kama kiongozi wa Kitaifa sijawahi kutengeneza mtandao haramu
>>> ndani
>>> ya Chama wala kutoa lugha ya matusi na uzushi dhidi ya Chama na viongozi
>>> wake wakuu kwa lengo la kuchochea mgawanyiko ndani ya Chama.
>>>
>>> HITIMISHO:
>>>
>>> Mheshimiwa Katibu Mkuu;
>>>
>>> a) Nakanusha kila tuhuma mojamoja na kwa ujumla wake dhidi yangu.
>>> Mashtaka
>>> yote dhidi yangu sio kweli na sijavunja Katiba au Kanuni za Chama.
>>> b) Naiomba Kamati Kuu ijiridhishe kwa kiasi kinachostahili kuhusu
>>> mashtaka
>>> yote niliyoshtakiwa nayo kwa kuangalia ushahidi wote uliotolewa au
>>> utakaotolewa dhidi yangu.
>>> c) Utetezi wangu umetolewa bila kupewa nakala ya Waraka unaosemekana
>>> nimeuandaa ilhali kukiwa na maelezo kwamba kuna waraka 'feki' na waraka
>>> 'original' ambao umetumika na Kamati Kuu kufikia maamuzi yake.
>>> d) Ndugu Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba kwa maneno yao wenyewe
>>> wametamka
>>> kwamba hawakunishirikisa na sikushiriki kwenye uandaaji wa waraka ambao
>>> ndio msingi wa mashtaka haya. Kamati Kuu inao ushahidi huo.
>>>
>>> Wako katika ujenzi wa Chama,
>>>
>>>
>>> .............................. ......................
>>> Mh. Zitto Zuberi Kabwe (MB).
>>>
>>> --
>>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>> ukishatuma
>>>
>>> Disclaimer:
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>> legal
>>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>>> be
>>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>>> agree
>>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>> ---
>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>>> Groups
>>> "Wanabidii" group.
>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>> an
>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>
>>>
>>>
>>>
>>> --
>>> XAVERY LANGA NJOVU
>>>
>>> 0783 662681
>>>
>>> " The Poor man is not he without cent, but he who is without a
>>> dream"

>>> Bariki G. Mwasaga,
>>> P.O. Box 3021,
>>> Dar es Salaam, Tanzania
>>> +255 754 812 387

>>--
>>XAVERY LANGA NJOVU
>>
>>0783 662681
>>
>>" The Poor man is not he without cent, but he who is without a
>>dream"
>>
>>--
>>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>>Disclaimer:
>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>---
>>You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:
Post a Comment