Monday, 26 August 2013

Re: [wanabidii] Vyombo vya habari Tanzania vyashindwa kukabili propaganda za Malawi na Rwanda

Rwanda kama taifa wanajua wanachokitaka,sisi hatujui.sasa kwa nini
tuwalaumu wao kwa kujitambua badala ya kuhangaika na kutojitambua
kwetu.nani anajua nchi yetu kimkakati ina maslahi gani ya kiuchumi,au
yoyote yale ukiacha sifa ya kisiwa cha amani ile ya zamani (maana siku
hizi hata hiyo hatuna) katika migogoro lukuki tunayopeleka wanajeshi
wetu kupigana? mwenye kujua tafadhali anieleze,ili nianze na mimi
kujenga uzalendo huu wa kupigania wakoloni wetu weusi

On 8/25/13, ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk> wrote:
> EM,
> Sina uhakika kama Denis atakupa jibu unalohitaji. Yeye anajua ni kwa nini na
> mimi najua ni kwa nini, Sisi wawili tunazo sababu zetu ambazo tumeapiana
> kutozitoa kwa watu wengine - Hii ndio jadi. Hata wewe unajua kuna mambo
> ambayo mzee wa Kijita hawezi kumweleza kijana wake kabla hajafikia umri
> fulani au mfano halisi kumwambia kuoa kabla hajabarehe.
>
> LKK
>
> Nimesema tangu mwanzo kwamba Kicheere amesema ambacho wengi wa wanafiki
> wasingeweza kukisema. Na sababu za kutokisema ni za kisiasa tu tena hazina
> hata chembe ya kizalendo utadhani wamezaliwa nje ya Tanzania. Ni heri waamue
> kukaa kimya kwa sehemu zote kuliko kushangilia na kumfunua nguo Mtanzania
> eti kwa kuwa tu anashambuliwa na Rwanda. Uko wapi uzalendo wako? Unless
> unampango wa kuiuza nchi hii mara itakapokuwa mikononi mwako, La sivyo hii
> si haki hata kidogo.
>
> Kusema huna Chama siyo sahihi, It is either you are or you are not. Nasema
> hivi YESU alisema kama hauko pamoja nasi basi uko kinyume nasi. Hata ukija
> kwenye sayansi unayoiamini (huenda sina hakika) inasema Nature does not
> allow a gap. Wewe unataka kuniambia unaishi katika utupu kwamba huguswi na
> siasa hizi? hivi ya kweli haya? Ni ama uko nasi kama watanzania au Uko na
> Wanyarwanda hakuna nafasi ya katikati. That is the mere fact.
>
> Sijui kwa nini nimeitwa Mhafidhina. Hili nitakuuliza ndugu yangu Denis
> tukiwa wawili tu. Huenda una maana kubwa zaidi.
>
> K.E.M.S.
>
>
> ________________________________
> From: Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Sent: Sunday, 25 August 2013, 12:26
> Subject: Re: [wanabidii] Vyombo vya habari Tanzania vyashindwa kukabili
> propaganda za Malawi na Rwanda
>
> Denis,'
> Hivi Kunyaranyara ni CCM?
> em
>
> 2013/8/25 denis Matanda <denis.matanda@gmail.com>
> Mama LKK,
>>
>>Hata ukijifanya huna chama mbele ya macho ya ndugu yangu Kunyaranyara wewe
>> ni "CDM" tu. You either support the status quo or u are just
>> "CDM".........
>>
>>Ndugu yangu Kunyaranyara ni mhafidhina!
>>2013/8/25 Lutgard Kokulinda Kagaruki <lutgardk@yahoo.com>
>>Ahsante sana  Naronyo, kwa kuyasema niliyokuwa nawaza!
>>>
>>>
>>>Ezekiel, mimi sina chama, lakini nasema hivi: hii nchi ilishatekwa siku
>>> nyingi sana; ina wenyewe na si yetu sote tena,watekaji wanajulikana,
>>> mnawajua, msiwatetee kwa kusingizia vyama!! LKK
>>>
>>>
>>>
>>>
>>>
>>>________________________________
>>>From: Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
>>>To: wanabidii@googlegroups.com
>>>Sent: Saturday, August 24, 2013 11:31 PM
>>>Subject: Re: [wanabidii] Vyombo vya habari Tanzania vyashindwa kukabili
>>> propaganda za Malawi na Rwanda
>>>Ezekiel,'
>>>Hivi busara za JKN alizikwa nazo? Kwa nini hawa viongozi wa sasa
>>> hawajaribu angalau hata kidogo tu kufikiria hapa JKN angesemaje?
>>>Ni kweli hii nchi ni yetu sote. Lakini tusikubali kumpa nafasi kiongozi
>>> bila kuhoji kama walivyofanya Wajerumani wakati wa Hitler.
>>>Madhara aliyoyaleta Hitler Ujerumani yaliwaumiza raia wote. Tusiruhusu
>>> rais wetu, kwa kujitafutia umaarufu kama wa Sadat, usio na tija kwa taifa
>>> letu, atupeleke huko. Nimemwelewa kabisa Kicheere.
>>>em
>>>
>>>2013/8/24 ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk>
>>>Nyaronyo
>>>>Huu ndio ukweli ambao wengi na wanafiki hawawezi kuusema. Heri yako
>>>> umeusema. Sasa mimi nataka nikuulize jambo moja ama mawili hivi.
>>>>Wewe hioni kwamba hata baba hamsemeshani huyo adui akimshambulia na
>>>> akimzidi nguvu ayakushambilia na wewe?. Tatizo wengi mnadhani kuwa uadui
>>>> wa wanyarwanda ni kwa JK tu kumbe wao ni kutaka wawatawale na wachukue
>>>> mali zenu.
>>>>Pili wanahabari wengi ni wanaCDM kwao jambo zuri haliwezi kutoka uupande
>>>> wa pili. Kwao hakuna jambo linaweza kusemwa na mtu likakubaliwa hadi
>>>> litamkwe na wateule wao.
>>>>Lakini jambo la msingi ni kwamba nchi hii ni yetu wote. Ikishambuliwa ni
>>>> pamoja na nyie wenye nafasi ya kuisemea vizuri lakini mmeamua kuisema
>>>> vibaya kwa saababu zenu za kisiasa tu.
>>>>Nyaronyo iko siku kama ni kulia ruyalia wotee au kama ni kucheka
>>>> tutacheka wote, llabda tu uwe na uraia wa nchi mbili kaka kwamba mambo
>>>> yakiharribika huku utakimbilia kwingine.
>>>>Sent from Yahoo! Mail on Android
>>>>
>>>>________________________________
>>>>From: nyaronyo kicheere <kicheere@yahoo.com>; To:
>>>> wanabidii@googlegroups.com <wanabidii@googlegroups.com>;
>>>>Subject: Re: [wanabidii] Vyombo vya habari Tanzania vyashindwa kukabili
>>>> propaganda za Malawi na Rwanda Sent: Sat, Aug 24, 2013 7:56:36 PM
>>>>bandugu,nimeshangaa sana ninayoyasoma mtandaoni na hasa baada ya kumsoma
>>>> mgamba na wale wanaoonekana kumpinga.hivi kweli kama baba yako ni
>>>> mturutumbi/mwanga/mchawi/mrogi anakulogea wanao wanakufa utamtetea
>>>> katika shauri lake na majirani zenu?mimi naweza kumtetea kama atapigwa
>>>> lakini sidhani kama nitamtetea katika mzozo wa maneno kwa sababu mimi na
>>>> yeye hatusemi!tutasemaje mimi na baba yango ambaye kila mke wangu
>>>> akijifungua anakula wanangu na wanga/waturutumbi/wachawi,warogi
>>>> wenzake?yaani baba yangu anatarajia mimi niwe mzalendo kutetea mashamba
>>>> ya ukoo ambayo amezuia mimi na wanangu tusiyalime?yaani baba yangu
>>>> anatarajia mimi niwe mzalendo kupambana na majirani zetu wanaotaka
>>>> kumnyanganya shamba wakati yeye baba anawatumia vibarua wake kuchoma
>>>> shamba langu la mtama uliokauka unasubiri kuvunwa? baba anayeniombea
>>>> kifo, njaa na umaskininimpendeje kiasi cha kujitoa maisha yangu
>>>> kumwokoa?nasema hivi mimi nitaionaje nchi hii kama yetu wote wakati
>>>> napigwa
> mabomu na pale ninapolalamika naambiwa nimijilipua mwenyewe?mnaotaka wpote
> tuwe wazalendo mjiulize kumetokea nini kati ya 1978 na 2013 kiasi kwamba
> wale wale waliokuwa wanachanga ngombe kusiadia nchi vitani, waliojitolea
> kupigana bure kama mgambo, waliofanya ushushu bure bila kuombwa leo hii
> hawataki kusaidia!mtoto mmoja wa shule darasa la tatu aliulizwa na mzungu
> mmoja mjini mrogoro, wapi mzinga? mtoto akamjibu twende nikuonyeshe halafu
> akampeleka kituo cha polisi - mzungu kuona kibao cha Police station kakimbia
> bystanders wakahoji kulikoni mtoto akasema alitaka nimweleze mzinga iko
> wapinashangaa anakimbia; kukatolewa msaada mzungu akakamatwa - leo hii mtoto
> gani atafanya hivyo?watu watapenda nchi yao na viongozi wao kama watatendewa
> haki na kuona nchi ni yao kweliwatu watapenda viongozi wao kama viongozi hao
> watachaguliwa kihalali na siyo kwa mtindo ule aliousema lipumba
> msikitini.tukubaliane nchi ni yetu wote, tuchaguane katika chaguzi huru na
> za
> haki, tusioneane, tusinyofoane kucha, tusikatane vidole, tusing'oane meno
> bila ganzimwone jinsi tutakavyoipenda nchi yetu na kuitetea; otherwise
> kwanini nitetee kwa mandishi wanaonivizia kuning'oa meno na kuninyofoa kucha
> bila ganzi?KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.kicheere, tungi, kigamboni, tanganyika
> territory
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>________________________________
>>>>From: RICHARD MGAMBA <rmgamba2000@yahoo.com>
>>>>To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
>>>>Sent: Saturday, August 24, 2013 11:19 AM
>>>>Subject: Re: [wanabidii] Vyombo vya habari Tanzania vyashindwa kukabili
>>>> propaganda za Malawi na Rwanda
>>>>
>>>>Rwandan media propaganda can't be tamed by using the same means. Blaming
>>>> Tanzanian media for not responding to reckless journalism in Rwanda is
>>>> barbaric and a proof of how many of us are naïve about what journalism
>>>> is all about.
>>>>
>>>>  Journalism isn't about engaging in reckless, mudsling and war-mongering
>>>> politics. Rwandan media is well-known in hate propaganda, which was
>>>> first observed in 1990s, few months before the genocide.
>>>>
>>>> But, again in this case what was propagated by the Rwandan media needs
>>>> to be studied thoroughly before embarking in 'countering' their stories.
>>>> One of the stories that sparked the debate recently was the Wikileaks
>>>> cable.
>>>>
>>>> To my understanding, any information that is in the public domain can be
>>>> used as source of news. The Wikileaks cable used by News of Rwanda was
>>>> written by American top diplomat in Tanzania, not a Rwandese. Now this
>>>> being the case, why should we, the media industry in Tanzania, embark on
>>>> attacking the News of Rwanda while it has used an information that's in
>>>> the public domain?
>>>>
>>>> Last year, were we not happy in this country when we quoted Wikileaks
>>>> cables about Dr. Hosea, Former Chief of Defence Forces George Waithara
>>>> as well as President Kikwete's claims that he was bribed designed
>>>> clothes by the owner of Kempinski? Now if we did it, why all the fuss,
>>>> when our neighbours have followed the path that we showed them?
>>>>
>>>> But above all the media from both sides have played the role of
>>>> sensational and reckless journalism during the past few months when
>>>> Tanzania-Rwanda relations has been shaken as President Kikwete put it.
>>>> The difference is that we have been hit at our hearts, while we hit them
>>>> somewhere where it doesn't pain them.
>>>>
>>>>
>>>>From: ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk>
>>>>>To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
>>>>>Sent: Saturday, August 24, 2013 11:07 AM
>>>>>Subject: Re: [wanabidii] Vyombo vya habari Tanzania vyashindwa kukabili
>>>>> propaganda za Malawi na Rwanda
>>>>>
>>>>>BwamkuuYou are right, but the Government can't do any thing if the
>>>>> people themselves are adamant as they are. Peoples minds are corrupted
>>>>> by pet internal politics. Some are acting agents of the enemy what do
>>>>> you expect from them.
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>>K. E.M.S.
>>>>>From: Africa j bwamkuu <jbwamkuu@gmail.com>
>>>>>To: wanabidii@googlegroups.com
>>>>>Sent: Saturday, 24 August 2013, 0:56
>>>>>Subject: Re: [wanabidii] Vyombo vya habari Tanzania vyashindwa kukabili
>>>>> propaganda za Malawi na Rwanda
>>>>>
>>>>>Interesting observation.
>>>>>I noticed this awhile now, however, I think Government has to do more to
>>>>> assist / empower independent media to build a culture of patriotism
>>>>> when it comes to Tanzania against outsiders.
>>>>>For now, I guess, media, sadly has a very limited awareness of their
>>>>> role in the  National building. They look at things from internal
>>>>> politics, we are too local even though we are increasingly pulled into
>>>>> Global platform.
>>>>>Government needs to do more to drive news circles
>>>>>2013/8/23 Joseph Ludovick <josephludovick@gmail.com>
>>>>>Abdallah unatafuta miguu kwa nyoka wewe
>>>>>>2013/8/23 Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>
>>>>>>Wanyarwanda wamekuwa wazuri katika siku za hivi karibuni kwenye anga la
>>>>>> habari za kipropaganda na kuwazidi ndugu zetu Wakenya ambao kwa mda
>>>>>> mrefu wamekuwa wakiongoza wa ukanda huu wa Afrika ya Mashariki.Kwanza
>>>>>> ifahamike kuwa PROPAGANDA za aina yoyote ile ni msingi wa taifa
>>>>>> linalokuwa nakujitambua.Tulipoingia kwenye vita vya Kagera kati yetu
>>>>>> na Uganda, vyombo vya habari wakati huo vilikuwa vichache sana,
>>>>>> tulikuwa na "Radio Tanzania" na magazeti machache ya serikali na chama
>>>>>> tu.Lakini ufanisi wavyo katika propaganda ile ya kivita hakika
>>>>>> vilitawala nyoyo za Watanzania nakutufanya sote tujione tupo katika
>>>>>> jando la taifa huru.Leo hii tupo kwenye mgogoro wa kidiplomasia na
>>>>>> nchi mbili yani Malawi na Rwanda, vyombo vyetu vya habari vimejiweka
>>>>>> kando kabisa na masuala haya ukilinganisha na propaganda za
>>>>>> wenzetu.Mfano, nchini Malawi gazeti la NyasaTimes na mtandao wa
>>>>>> intaneti wa gazeti hilo limekuwa ni chombo
>>>>>>>muhimu kwa Wamalawi na dunia kwa ujumla kuuelezea kwa ufasaha mgogoro
>>>>>>> wa Ziwa Nyasa na kuhanikiza kuwa ziwa lote ni lao.Vivyo hivyo
>>>>>>> tulipoingia kwenye mgogoro wa kidiplomasia na nchi ya Rwanda vyombo
>>>>>>> vyao vya habari kama gazeti lao maarufu la NewTimes Rwanda na
>>>>>>> mitandao maarufu ya intaneti kama www.umuvugizi.com nk vimekuwa
>>>>>>> vyombo muhimu vya propaganda kwa Rwanda dhidi ya Tanzania.Mfano wa
>>>>>>> kwanza ni agizo la Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania la kuwaondoa
>>>>>>> wahamia HARAMU nchini, vyombo hivyo vya Rwanda vimegeuza kauli na
>>>>>>> kusema rais alitoa amri Wanyarwanda wote WAFUKUZWE jambo ambolo sio
>>>>>>> kweli.Pili ni taarifa za vyombo hivyo vya Rwanda kusema Mke wa Rais
>>>>>>> Mama Salma ni Mhutu.Taarifa hii imelistua taifa na kuilazimu serikali
>>>>>>> kujibu tena kwa utulivu wa hali ya juu.Binafsi nimesikitishwa sana
>>>>>>> kuona serikali inaamua kujibu taarifa hii ambayo kimsingi ilistahili
>>>>>>> kujibiwa kiplopaganda hivyohivyo na vyombo vyetu vya habari kwakuwa
>>>>>>> taarifa hii sio "ngeni"
> kabisa.Kwa wale wasiojua nikuwa asili ya habari hii ya "Uhutu" wa mke wa
> rais wa Tanzania ni siasa za majita za 2005.Mtandao wa kijasu wa Wikileaks
> uliitoa habari hii tangu 2005 wakati wa harakati za uchaguzi wa Urais nchini
> Tanzania, ni Wanachama wa Chama cha Mapinduzi ndio waliopeleka habari hii
> huko Wikileaks kupitia kambi zao za Uraia hasa kambi iliyokuwa ikiongozwa na
> Mwandosya.Sasa vyombo vetu kwakuwa vimezoea propaganda za ndani yani za
> CHADEMA na CCM hivyo viliona kama habari ile ni mpya na yakustua sana
> havikujua hata cha kujibu.Unaweza kujiuliza sana, hivi uimara wa vyombo
> vyetu katika anga za kimataifa upo wapi?Je, Taifa leo likiingia vitani ipi
> nafasi ya vyombo vyetu katika anga za kimataifa?Katika propaganda za
> kiuchumi kimataifa huko ndio kabisaaaa hatuhitaji hata kuhoji kwakuwa vipo
> gizani kabisa.
>>>>>>>
>>>>>>>Source: http://www.wavuti.com/4/post/2013/08/yericko-nyerere-vyombo-vya-habari-tanzania-vyashindwa-kukabili-propaganda-za-rwanda-malawi.html#ixzz2coFziUKL
>>>>>>>--
>>>>>>>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>>>>>
>>>>>>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>>>>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>>>>>> ukishatuma
>>>>>>>
>>>>>>>Disclaimer:
>>>>>>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>>>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>>>>>> facts must be presented responsibly. Your continued membership
>>>>>>> signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by
>>>>>>> our Rules and Guidelines.
>>>>>>>---
>>>>>>>You received this message because you are subscribed to the Google
>>>>>>> Groups "Wanabidii" group.
>>>>>>>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>>>>>> an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>>>>>For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>>>>>-- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email
>>>>>>> kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
>>>>>>> kudhibitisha ukishatuma Disclaimer:Everyone posting to this Forum
>>>>>>> bears the sole responsibility for any legal consequences of his or
>>>>>>> her postings, and hence statements and facts must be presented
>>>>>>> responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
>>>>>>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.---
>>>>>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>>>>>>> Groups "Wanabidii" group.To unsubscribe from this group and stop
>>>>>>> receiving emails from it, send an email to
>>>>>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.For more options, visit
>>>>>>> https://groups.google.com/groups/opt_out.--
>>>>>Africa Jumanne BwamkuuDirectorship; Window 2 Africa -
>>>>> www.window2africa.nl
>>>>>Strategic leadership; African Digital Library Support Network -
>>>>> www.adlsn.org
>>>>>Mob: +31 (0)6 443 67051
>>>>>Amsterdam | Dar es salaam | Addis Ababa | Accra
>>>>>Alternative e-mail: africa.bwamkuu@adlsn.org  -- Send Emails to
>>>>> wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>>> mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
>>>>> kudhibitisha ukishatuma Disclaimer:Everyone posting to this Forum bears
>>>>> the sole responsibility for any legal consequences of his or her
>>>>> postings, and hence statements and facts must be presented responsibly.
>>>>> Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer
>>>>> and pledge to abide by our Rules and Guidelines.--- You received this
>>>>> message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii"
>>>>> group.To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it,
>>>>> send an email to mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com.For
>>>>> more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.-- Send
>>>>> Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>>> mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
>>>>> kudhibitisha
> ukishatuma Disclaimer:Everyone posting to this Forum bears the sole
> responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your continued
> membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide
> by our Rules and Guidelines.--- You received this message because you are
> subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.To unsubscribe from this
> group and stop receiving emails from it, send an email to
> mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com.For more options, visit
> https://groups.google.com/groups/opt_out.-- Send Emails to
> wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda
> mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma Disclaimer:Everyone posting to this Forum bears the
> sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and
> hence statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge
> to abide by our Rules and Guidelines.--- You received this message because
> you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.To unsubscribe
> from this group and stop receiving emails from it, send an email to
> mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com.For more options, visit
> https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>>-- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>> mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
>>>> kudhibitisha ukishatuma Disclaimer:Everyone posting to this Forum bears
>>>> the sole responsibility for any legal consequences of his or her
>>>> postings, and hence statements and facts must be presented responsibly.
>>>> Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer
>>>> and pledge to abide by our Rules and Guidelines.--- You received this
>>>> message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii"
>>>> group.To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it,
>>>> send an email to mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com.For
>>>> more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.-- Send
>>>> Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>> mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
>>>> kudhibitisha ukishatuma Disclaimer:Everyone posting to this Forum
> bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her
> postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge
> to abide by our Rules and Guidelines.--- You received this message because
> you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.To unsubscribe
> from this group and stop receiving emails from it, send an email to
> mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com.For more options, visit
> https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>-- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
>>> kudhibitisha ukishatuma Disclaimer:Everyone posting to this Forum bears
>>> the sole responsibility for any legal consequences of his or her
>>> postings, and hence statements and facts must be presented responsibly.
>>> Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and
>>> pledge to abide by our Rules and Guidelines.--- You received this message
>>> because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.To
>>> unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>>> email to mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com.For more
>>> options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.--
>>
>>Wasalaam,
>>
>>Denis Matanda,
>>Mine Planning Supt,
>>Tanzania.
>>
>>" Low aim, not failure, is a crime"
>>-- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
>> kudhibitisha ukishatuma Disclaimer:Everyone posting to this Forum bears
>> the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings,
>> and hence statements and facts must be presented responsibly. Your
>> continued membership signifies that you agree to this disclaimer and
>> pledge to abide by our Rules and Guidelines.--- You received this message
>> because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.To
>> unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com.For more options,
>> visit https://groups.google.com/groups/opt_out.-- Send Emails to
>> wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma Disclaimer:Everyone posting to this Forum bears the
> sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and
> hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued
> membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide
> by our Rules and Guidelines.--- You received this message because you are
> subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.To unsubscribe from this
> group and stop receiving emails from it, send an email to
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.For more options, visit
> https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment