Monday, 26 November 2012

Re: [wanabidii] UKAHABA VYUONI: WANAFUNZI WA KIKE WAJIUZA UDOM-STAR TV

DKK

Kwa mtindo huo hatufiki ng'o. Tutaishia hapa hapa tulipo wengine wanasonga mbele tutabakia na majungu tu. Tuchukue tahadhali sana.
 
K.E.M.S.

From: De kleinson kim <dekleinson@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Sunday, 25 November 2012, 12:05
Subject: Re: [wanabidii] UKAHABA VYUONI: WANAFUNZI WA KIKE WAJIUZA UDOM-STAR TV

HIldegarda,
You say, it, si hao tu wa UDOM peke yao, tena hili jiji la sardalama
hali ndio mbaya zaidi ya tujuavyo. hii style ya kusomea mitihani
inayoendelea sijui tutafika wapi., na bado kuna watu wanafanya
research, coursework e.t.c. kwa malipo, that mean mtu hajisumbui
kuunguza kichwa hata kidogo.

Tutafika tu japo hatujui tuendako.

--
*"Anyone who conducts an argument by appealing to authority is not using
his intelligence; he is just using his memory." Leonardo daa Vinci
*

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

DELL LATITUDE D 620 & D30

80 GB HardDisk
CORE 2 DUO
2.0 GHZ CPU
2 GB RAM
DVD/CD - RW
WINDOWS 7 /WINDOWS XP
WIRELESS , BLUE TOOTH .

TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY

CALL : 0718 637905
0786 806028

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.




0 comments:

Post a Comment