ccm ina wenyewe hata wakifanya madudu hawataguswa hadi kiama
--- On Tue, 6/11/12, godfred mbanyi <mbanyibg@yahoo.com> wrote:
From: godfred mbanyi <mbanyibg@yahoo.com> Subject: Re: [wanabidii] Serikali Yakili, TPI ya "Kina" Madabida Ilitengeneza ARV Bandia - Mwanzo To: wanabidii@googlegroups.com Date: Tuesday, 6 November, 2012, 18:05
Nchi hii bwana, watu ni wapole kweli! Yaani mtu anazalisha dawa feki halafu anazawadiwa madaraka ndani ya chama tawala?? hahahaaahaaaa Halafu ulimsikia tamko alilotoa siku kadhaa baada ya tukio?? Alisema wizara haina ubavu wa kumzuia asiendelee na uzalishaji wa dawa!!! Yeye leseni yake ni kutoka TFDA na siyo wizarani!!!! Jamani, jamani, hivi kweli jeuri hii ni ya kawaida????
--- On Tue, 11/6/12, tikooza@yahoo.com <tikooza@yahoo.com> wrote:
From: tikooza@yahoo.com <tikooza@yahoo.com> Subject: Re: [wanabidii] Serikali Yakili, TPI ya "Kina" Madabida Ilitengeneza ARV Bandia - Mwanzo To: wanabidii@googlegroups.com Date: Tuesday, November 6, 2012, 7:30 AM
Msishangae ndugu zangu kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa CCM wanaenda kujificha humo na madhambi yao. Walafi wamevamia chama Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania. From: Abdul Karim <abdul_m_karim@yahoo.com> Sender: wanabidii@googlegroups.com Date: Tue, 6 Nov 2012 07:09:05 -0800 (PST) To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com> ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com Subject: Re: [wanabidii] Serikali Yakili, TPI ya "Kina" Madabida Ilitengeneza ARV Bandia - Mwanzo
La kushangaza CCM bado wamemzawadia Uenyekiti wa CCM wa mkoa wa Dar es salaam. Ingekuwa China wangeshamnyonga siku nyingi!
From: Magiri paul <kiganyi@gmail.com> To: wanabidii@googlegroups.com Sent: Tuesday, November 6, 2012 12:34 PM Subject: [wanabidii] Serikali Yakili, TPI ya "Kina" Madabida Ilitengeneza ARV Bandia - Mwanzo
LICHA ya wamiliki wa kiwanda cha Tanzania Pharmaceutical Industries Limited (TPI) kukana kutengeneza na kusambaza dawa bandia za kupunguza makali ya UKIMWI, serikali imethibitisha kuwa kiwanda hicho ndicho kilitengeneza dawa hizo aina ya TT-VIR 30 yenye toleo Na OC.01.85. http://wotepamoja.com/archives/10112#.UJjZTzATP6o.gmail -- Karibu Jukwaa la http://www.mwanabidii.com/Pata nafasi mpya za Kazi http://www.kazibongo.blogspot.com/Blogu ya Habari na Picha http://www.patahabari.blogspot.com/ Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. -- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. -- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
| -- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
|
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment