Sikupenda kuendelea na mjadala huu kwa sababu wako watu walishahukumu na kuwa na majawabu yao ambayo nimeyaona yakijirudia rudia mara kwa mara imebidi nifanye hivyo baada ya kuombwa na kiongozi mmoja wa CHADEMA kueleza suala hili kidogo .
Kuhusu namba ya simu .
Hiyo namba ya simu ilitumika kwenye uchaguzi ule pengine kosa ni kutokuitoa hapo baada ya uchaguzi , kwa asili namba yangu ya voda sio hiyo .
FOS ni nini ? Nia Yake ?
Fos ilikuwa friends of slaa au marafiki wa slaa , nia yake ilikuwa kumuunga mkono mgombea urais kwa tiketi ya chadema mwaka 2012 dr w p slaa .
Makubaliano yetu yalikuwa sio kuingilia taratibu nyingine za kichama za uchaguzi wa mwaka 2012 na tusiwe upande wowote haswa kwa wagombea na baadhi ya makundi ndani ya chama hicho .
Michango ?
Kama nilivyosema awali namba yangu ilipokea michango chini ya laki mbili ilikuwa ni shilingi laki 1.7 . Kuna wengine ndani ya FOS waliokuwa na namba za michango pia mmoja nakumbuka alipata laki 5 na mwingine zaidi ya laki 8 wao sijui walizifanyia nini lakini sipendi kuwataja na naomba iwe hivyo .
Hela hizo zangu zilitumia kuendesha FOS haswa kwa njia ya mtandao na kulipia huduma nyingine na kununua DVD na video za DR Slaa za midahalo na shuguli nyingine .
DVD hizi ziliuzwa shilingi alfu 10 kwa moja nilijaribu kumwomba mdau huyu kupunguza bei lakini haikuwahi kuwa hivyo , zilinunuliwa kwa bei hiyo na kuuzwa kwa shilingi alfu 15 kwa watu mbalimbali waliopenda kumsikia na kumjua dr slaa .
Kuna wengine wengi hata kwenye jukwaa hili waliagiza DVD hizi kwa ahadi ya kulipa hawajalipa mpaka leo hii , wengine walitumiwa mikoani hawajalipa mpaka leo hii hiyo ilikuwa hasara kubwa .
Pia kuna michango iliyopatikana kutokana na kadi za kwenda kwenye midahalo ya dr slaa kwa njia ya TV waliochangia ni 5 kati ya wengi waliopelekewa .
Kampeni za mtandao zilivyoendeshwa .
1 – Kuna watu walilipwa kwa ajili ya kutumia kompyuta zao kueleza sera na masuala mbalimbali ya Dr Slaa na FOS kwa ujumla wengine kumonitor shuguli nzima kwenye mitandao ya kijamii .
2 – Kuna kampeni zilifanyika kwa njia ya mtandao ni vipeperushi vilitengenezwa na kuwekwa kwenye Infolinks ( Text ) na Adbrite (Picture ) pamoja na Facebook ingawa facebook walikuwa wanablock baadhi ya vitu .
Kampeni hizi za kwa njia ya mtandao ziligharibu fedha nyingi maana ilitakiwa kulipa kwa njia ya mtandao na malipo kwa fedha za kigeni , pia kutengeneza picha na aina nyingine ya maurembo kwa ajili ya kuonekana kila baadhi ya sekunde na masaa kadhaa kwa baadhi ya nchi na maeneo – matangazo haya yalileta traffic kwenye blogu za friends of slaa au marafiki wa dr slaa .
3 – Hizi hela ziliisha na mtu mmoja anayeitwa Mbogo aliniongezea hala kwa ajili ya kampeni zaidi na kuendesha masuala mengine ya kimtandao zaidi .
4 - Wengine walikuwa nje ya nch haswa uingereza walitumiwa vitu kama kofia na tshirt kwa hela hizi hizi wengine waliahidi kulipa lakini hawajalipa mpaka leo ninavyoandika ujumbe huu .
Baadaye ilikuwaje ?
Baadhi yetu tulikuwa na makundi na kuunga mkono moja kwa moja chama huku baadhi yetu tukitumia NGO moja iliyoundwa na vijana wa chama hicho kuendeleza shuguli za kisiasa kujiimarisha binafsi kwa ajili ya chaguzi nyingine haswa za 2015 hapo ndipo tulipoanza kuona kifo cha FOS kidogo kidogo .
Neno la Ushauri :
Watu wawe wanatafuta taarifa za kutosha na za ukweli kabla ya kuamua kutuhumu na kushambulia wengine au kujichukulia sheria mkononi dhidi ya wenzao .
Kwa vijana wenzangu na wengine wengi siasa sio humu kwenye majukwaa au siasa haziendeshwi kwa kuandika mada ndeefu ambazo mtu wa tunduru hawezi kupata fursa ya mtando kusoma au kutoa maoni yake .
Twendeni mitaani , vijijini na sehemu nyingine za raia kueneza sera zetu na kutoa elimu ya uraia kwa watu tusitumie fursa za FOS Kulaghai watu haswa viongozi wa CHADEMA na waendesha mikakati mwengine .
Kama una NGO yako aachia ngazi jiunge na chama kafanye kazi kwa raia usitumie NGO yako vinginevyo , kama wewe ni mfanyakazi sehemu nyingine unaweza kufanya hivyo pia .
Mwisho .
Nawashukuru wote kwa maswali na kebehi na lugha za matusi na nyingine nyingi zilizotumika kwenye mjadala huu , nawasamehe wote waliotumia lugha za vitisho na nyingine kwa njia ya email yangu binafsi na sms siwachukulii hatua yoyote .
Najua kuna watu ndani ya CHADEMA hawakutaka kuiona FOS na baadhi ya watu ndani ya FOS sipendi kuwataja majina pengine ni kutokana na utabiri wao kuhusu mamluki ambao kwa kiasi kikubwa umetimia .
Mchana mwema .
Samahani kwa lugha mbaya au ya kukwaza kama nilitumia hapo nyumna hata sasa hivi .
Sisi sote ni Ndugu , tutumie fursa hizi kukosoana na kujenga nchi yetu tuweze kufika mbele zaidi .
Mchana mwema .
Karibuni kutazinduliwa mkakati mwingine kabambe wa masuala ya kisiasa na kijamii tanzania lakini sio na FOS au CHADEMA kama ilivyo awali .
Ephata.--
Nitaendelea kuwa rahim kwake nikisubiria majibu yake. Kama ataendelea kuwa kimya majibu pia yatakuwa yamepatikana.
Kwa upande wangu nimejitahidi kuweka vizuri kisu kwenye mfupa. Kama roho zikiwa hai na kumpendeza Mungu nitauhitimisha mjadala huu siku ya Ijumaa nitakapo kuwa nimetoka kufanya ibada ya Hijja. Naomba atumie vizuri siku ya leo na kesho ili kurejesha imani na heshima yake.
Kila jema na lenye kheri lisiwaponyoke na mbarikiwe mpaka mpigwe na butwaa hadi mseme huyu Mungu huyu!Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania NetworkFrom: Ephata Nanyaro <nanyaro04@gmail.com>Sender: wanabidii@googlegroups.comDate: Tue, 6 Nov 2012 18:54:57 +0300ReplyTo: wanabidii@googlegroups.comSubject: Re: [wanabidii] Re: Yona Maro tusaidie katika hiliKwa hali hii sidhani kama Yona Maro ana ujasiri wa kujitokeza tena kwenye huu mjadala--2012/11/6 Mohamedi Mtoi <mouddymtoi@gmail.com>
Kwenye hiyo link kuna huu mchango wa Bartholomeo Mkinga unao sema "Yona maliciously played with our brains on Friends of Slaa, since that time Yona lost credibility and any respect as a normal sensible human being. He is a person who qualifies the higest geree of being ignored in any respectful society."Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania NetworkFrom: "Mohamedi Mtoi" <mouddymtoi@gmail.com>Date: Tue, 6 Nov 2012 15:43:09 +0000ReplyTo: mouddymtoi@gmail.comSubject: Re: [wanabidii] Re: Yona Maro tusaidie katika hiliSamahani mwanzoni niliandika kuwa Yona alisema Ally Ullanga kakamatwa Kenya. Ukisoma mchango wa kaka Bart Mkinga kwenye link hii http://mail.google.com/mail/x/lmjmpvh4n6m6-hp-opera-mini/?&v=c&s=q&q=ally+ulanga+&th=134f598e7903eb5f inasahihisha nilicho andika awali. Ilikuwa ni Uganda na si Kenya. Kumradhi kwa kukosea.
Kwenye mchango wa kaka bart Mkinga pia amekugusia swala la FoS ambalo ndio chanzo cha huu mjadala. Someni kwa nukta na kuunganisha mantiki mtaona kitu.
Kisha tuendelee kuwa na subira tumsubiri Yona Maro aje kujibu, na akiendelea kukaa kimya tumkumbushe.Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania NetworkFrom: "Mohamedi Mtoi" <mouddymtoi@gmail.com>Date: Tue, 6 Nov 2012 15:30:53 +0000ReplyTo: mouddymtoi@gmail.comSubject: Re: [wanabidii] Re: Yona Maro tusaidie katika hiliLink ni hii hii hapa http://mail.google.com/mail/x/lmjmpvh4n6m6-hp-opera-mini/?&v=c&s=q&q=ally+ulanga+&th=134f590bdb60fd66
Na nyingine hii hapa, ambayo angalau ina comment za watu walio doubt kukamatwa kwa Ally Ulanga.
http://mail.google.com/mail/x/lmjmpvh4n6m6-hp-opera-mini/?&v=c&s=q&q=ally+ulanga+&th=134f598e7903eb5fSent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania NetworkFrom: Zephaniah Mugittu <zephymugittu@yahoo.co.uk>Sender: wanabidii@googlegroups.comDate: Tue, 6 Nov 2012 14:24:57 +0000 (GMT)ReplyTo: wanabidii@googlegroups.comSubject: Re: [wanabidii] Re: Yona Maro tusaidie katika hili
Mtoi,Link hiyo haitoi majibu tarajiwaRegards,
Mugittu, Zephaniah,
Cell: +255 784 769 481
Skype: Zephaniah N.N. Mugittu
No matter how high one is talented , business acumen still a necessity
"Poverty is a result of attitude ..."
--- On Tue, 6/11/12, Mohamedi Mtoi <mouddymtoi@gmail.com> wrote:
--
From: Mohamedi Mtoi <mouddymtoi@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] Re: Yona Maro tusaidie katika hili
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tuesday, 6 November, 2012, 13:38
Tukiwa tunasubiria majibu kutoka kwa Yona Maro juu ya maelezo aliyo yaleta kuwa yametoka kwa nani kwenda kwa nani maana hajielezi kwa kujitosheleza naomba niwatoe mashaka wale wenye hisia
kwamba labda Yona sio Ally Ulanga na kwamba Ally Ulanga hawezi kugeuka kuwa Abdallah Hamisi.
Bofya kwenye hiyo link hapa chini ujionee
http://mail.google.com/mail/x/kmkms131pyyg-hp-opera-mini/?&v=c&s=q&q=ally+ulanga+&th=134f590bdb60fd66
Ipo nyingine moja naitafuta ambayo Yona alikuja kutuambia kuwa Ally Ulanga amekamatwa na Polisi Kenya halafu aliye enda kumshughulikia atoke alikuwa Leila huyuhuyu ambaye kwenye namba ya M-pesa ya Yona alimwambia magessa "Jina litatokea la Leila". (Unganisha nukta vizuri).
Naendelea kumuomba na kumsihi ajibu maswali niliyo uliza ikiwa ni pamoja na huyo anayeitwa Leila kujibu lile swali Kaka Chambi alilo muuliza "Wewe ni Leila Abdul Razak?"
Ni muhimu kuyajua haya ili tuweze kuwa salama mbele ya safari. Sisi wote ni ndugu, kuna leo kuna kesho na matatizo bado ni sehemu ya maisha yetu.
Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network
-----Original Message-----
From: "Mohamedi Mtoi" <mouddymtoi@gmail.com>
Date: Tue, 6 Nov 2012 11:23:06
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: mouddymtoi@gmail.com
Subject: Re: [wanabidii] Re: Yona Maro tusaidie katika hili
Maro.
Haya ni maelezo ya nani kutoka kwa nani kwenda kwa nani?!
Wala usiwe na muhemko ndugu yangu, jipange tu vizuri utoe majibu yasiyo acha chembe chembe za shaka na utata. Rafiki mwema humtanguliza rafikiye kufanya mema, sipendi uharibikiwa, lakini nachukizwa na tabia zinazokufanya uharibikiwe.
Kumbuka! Thamani ya mtu hushuka pale uaminifu unapo muisha. Rudisha uaminifu wako unao potea ili tunao kushangaa tukuamini na kurejesha imani kwako tena.
Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network
-----Original Message-----
From: Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tue, 6 Nov 2012 02:46:44
To: Wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] Re: Yona Maro tusaidie katika hili
Sijambo Yona,
Mimi kwa kweli nakumbuka mwaka Juzi mwishoni nilipata sms Kutoka kwa
Mobile ya Simon Mkina kuwa amepata ajali maeneo ya Tegeta alipokuwa
akirudi nyumbani kwake Bunju. Nilikuwa mtu wa kwanza kukujulisha kwa
kufoward hiyo sms, Pia ukanijulisha swala la Mchango kwa ajili ya watu
walioko Dar kumtembelea Hospital alikolazwa na Pale na kumbuka alienda
Leyla Abdul ila wewe hukwenda kwa sababu ulikuwa ukimpeleka mtoto
Matibabu kama sijakosea!
Huyu Bwana S Mkina nimewahi kuongea naye tokea siku kama ya pili
aliporuhusiwa Kutoka Hospital na kunijulisha kuwa ameumia maeneo ya
Kifuani lakini alikuwa akiendelea vizuri na mpaka sasa huwa
tunawasiliana na hajawahi kunijulisha kuhusu hilo ila nakumbuka hata
wewe kulitaja jina la huyo Joyce kuwa alikabidhiwa Pesa za Mchango na
Leyla Abdul.
Nimejaribu sasa hivi kumpigia Saimon Mkina kwa Mobile yake no lakini
simu ameifungwa,
Yona huu ni Ulimwengu Lazima tukutane na vitu kama hivi naomba hata
huyu aliyeomba Pesa zake zirudishwe umforwadie hii mail ili ajue kuwa
ni kweli nilipokea sms ya Mkina nakujulisha Wanabidii kwa simu na wa
kwanza ni wewe.
On Nov 6, 9:35 am, Boniface Magessa <magess...@gmail.com> wrote:
> Abdallah Hamis..
> Unapotoka!
> Unatetea uovu!
> Unatetea ujinga!
> Unatetea wizi!
> Unakumbuka gazeti la mwanahalisi lilifungiwa kwa nini?!kwa kusema ukweli,
> kunasa ukweli na kuuanika!
> Kwa hiyo wewe hujaridhika kwa ushahidi huu, bado unatetea uovu..shame!
>
> 2012/11/6 Abdalah Hamis <hamis...@gmail.com>
>
>
>
>
>
>
>
> > Rafiki yangu Yona niliwahi kukuonya kuhusu marafiki hawa hukunisikia
> > sasa unaona hata mtu anapoamua kuleta mawasiliano binafsi hapa inaleta
> > mashaka makubwa . wasemehe bure endelea na maisha yako .
>
> > On Nov 5, 11:09 pm, "Sanya, Peter James"
> > <peter.jsa...@AngloGoldAshanti.com> wrote:
> > > Hali ya kusaidiana kama itatokea, sina uhakika sana kama watu
> > watajitokeza kusaidia, ni hayo tu.
>
> > > From: wanabidii@googlegroups.com [mailto:wanabidii@googlegroups.com] On
> > Behalf Of Zephaniah Mugittu
> > > Sent: Monday, November 05, 2012 10:56 PM
> > > To: wanabidii@googlegroups.com
> > > Subject: Re: [wanabidii] Yona Maro tusaidie katika hili
>
> > > Mhhh... Sina neno hiyo nukuu ni yona tu ndo menye kuikana au kuikubali...
>
> > > Regards,
>
> > > Mugittu, Zephaniah,
>
> > > Cell: +255 784 769 481
>
> > > Skype: Zephaniah N.N. Mugittu
>
> > > No matter how high one is talented , business acumen still a necessity
>
> > > "Poverty is a result of attitude ..."
>
> > > --- On Mon, 5/11/12, Laurean Rugambwa <rugam...@hotmail.com> wrote:
>
> > > From: Laurean Rugambwa <rugam...@hotmail.com>
> > > Subject: Re: [wanabidii] Yona Maro tusaidie katika hili
> > > To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
> > > Cc: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
> > > Date: Monday, 5 November, 2012, 19:36
>
> > > Duh hii noma! Ni kama sinema ya James Bond! Hapa kweli benki ya
> > wanabidii tutaweza?
>
> > > From LR
>
> > > On 5 Nov 2012, at 21:22, "Mohamedi Mtoi" <mouddym...@gmail.com <
> > http://uk.mc297.mail.yahoo.com/mc/compose?to=mouddym...@gmail.com> >
> > wrote:
>
> > > Kaka Meena ameongea mambo ya msingi sana! Hata kutolea mfano wa
> > namna kaka Mjengwa alivyo fanikisha zoezi la mke wa Mwangosi. Tusipo kuwa
> > makini tunaweza kuja kushindwa kuaminiana na kusaidia mbele ya safari.
>
> > > Bora nichukiwe kwa kusema ukweli na kuutafuta ukweli! Oneni tena
> > haya mawasiliano hapa chini.
>
> > > From:
> > > Yona Maro <oldmo...@gmail.com <
> > http://uk.mc297.mail.yahoo.com/mc/compose?to=oldmo...@gmail.com> > Date:
> > 2012/11/5
> > > Subject: Chat with Yona Maro
> > > To:magess...@gmail.com10:54 AM
>
> > > me: Habari Yona, kwa nini unazuia meseji zangu kaka10:55 AM
>
> > > Yona: HAPANA
>
> > > me: usizuie.tunataka kujua ukweli umezuia
>
> > > Yona: sizuii mimi sio moderator
>
> > > me: nimetuma meseji kwenye topic inayokuhusu umezuia nimetuma
> > zaidi ya mara 2 haiji jukwaani pliz10:56 AM mbona zingine natuma zinaingia
> > jukwaani?iweje iinayokuhusu ndo isiingie?!
>
> > > Yona: nini fos ?10:58 AM
>
> > > me: kumbe unajua halafu unakataa kwamba hujaiona!!weka jukwaani
> > watu waujue ukweli..
>
> > > Yona: 2011/8/7 Yona Maro <oldmo...@gmail.com <
> > http://uk.mc297.mail.yahoo.com/mc/compose?to=oldmo...@gmail.com> >Kama
> > ukipata ujumbe huu tafadhali nicheki kwenye simu nataka nije kukutembelea
> > leo11:00 AM
>
> > > me: ndo nini hii nipigie simu yangu unayo!11:01 AM lakini
> > sijafurahishwa na kuzuia meseji yangu isiingie jukwaani
>
> > > Yona: umesema nimekula fedha za simon mkina ?11:02 AM Umesema
> > ujumbe huu 2011/8/7 Yona Maro <oldmo...@gmail.com <
> > http://uk.mc297.mail.yahoo.com/mc/compose?to=oldmo...@gmail.com> >Kama
> > ukipata ujumbe huu tafadhali nicheki kwenye simu nataka nije kukutembelea
> > leo ujumbe huo ulitumwa kwa simon mkina tarehe hiyo siku hiyo11:03 AM
>
> > > me: sielewi kaka.. ruhusu meseji yangu iingie jukwaani
> > utajitetea huko huko jukwaani!11:04 AM
>
> > > Yona: anzisha mada nyingine yenye kichwa hicho cha habari11:07
> > AM Hata hivyo ahsanteni11:08 nawasisitizia tupambane kwa hoja jukwaani na
> > sio lazima tukubaliane vitu au si lazima wote tuwe chama kimoja11:09 AM
>
> > > me: kama ndivyo, kwa nini uzuie mjadala? tupambane jukwaani!
> > nimetuma topic tayari
>
> > > Yona: that is a private matter11:10 AM
>
> > > me: naomba uruhusu mjadala tafadhali.. private matter kvp?
>
> > > Yona: uko tayari kubeba mzigo huu ?
>
> > > me: mzigo gani?!11:11 AM sihitaji mizigo ya watu kaka...twende
> > kwa hoja
>
> > > Yona: ulinipa wewe na nani ? kwanza nijibu hilo11:12 AM wewe na
> > nani mlinipa mchango wa mkina ?11:13 AM
>
> > > me: sijui, nimejitaja mwenyewe kama hukumpa ni vyema
> > unirudishie fedha yangu 20,000
>
> > > Yona: umeona ujumbe huu ?11:14 AM sawa ntakurudishia hiyo hela
>
> > > me: Yona.usinichanganye kaka.ujumbe huo haunihusu na
> > siuelewi.weka topic jukwaani tu basi ukinirudishia yataisha
>
> > > Yona: ntakurudishia11:15 AM
>
> > > me: ..na kama ukiweza nirushie leo leo
>
> > > Yona: but u dont know the thruth bora ungeniuliza
>
> > > me: sawa.sijajua the truth.nirudishie kaka11:16 AM
>
> > > Yona: jumatano itawezekana leo na kesho niko mbali
>
> > > me: nirudishie leo
>
> > > Yona: jina litajiandika leila
>
> > > me: agiza mtu anirushie ninaihitaji kaka11:17 AM nirushie muda
> > huu pliz sio j5!11:18 AM
>
> > > Yona: huku nilipo siwezi kama ikiwezekana basi jina sio langu
> > atatuma leila mimi mpaka j5
>
> > > me: muagize huyo leila anirushie leo leo utamrudishia
> > ukirudi11:19 AM
>
> > > Yona: poa usijali samahani but tafuta ukweli ukuweke
> > huru11:20 AM
>
> > > me: tulishatoka huko..sasa ni fedha tu..nirushie tafadhali11:21
> > AM
>
> > > Yona: zitakuja
>
> > > me: kumbuka ni leo11:23 AM
>
> > > Yona: ntajitahidi leo11:24 AM ila jumatano ndio nzuri11:25 AM
> > poa baadaye mimi natoka
>
> > > me: natumai kuona m pesa leo 0767 940 494 haya.
>
> > > Sent from my BlackBerryŽ smartphone on the Tigo Tanzania Network
>
> > > ________________________________
>
> > > From: Chambi Chachage <chamb...@yahoo.com <
> > http://uk.mc297.mail.yahoo.com/mc/compose?to=chamb...@yahoo.com> >
>
> > > Sender: wanabidii@googlegroups.com <
> >http://uk.mc297.mail.yahoo.com/mc/compose?to=wanabidii@googlegroups.com>
>
> > > Date: Mon, 5 Nov 2012 09:52:55 -0800 (PST)
>
> > > To: wanabidii@googlegroups.com <
> >http://uk.mc297.mail.yahoo.com/mc/compose?to=wanabidii@googlegroups.com> <
> > wanabidii@googlegroups.com <
> >http://uk.mc297.mail.yahoo.com/mc/compose?to=wanabidii@googlegroups.com> >
>
> > > ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com <
> >http://uk.mc297.mail.yahoo.com/mc/compose?to=wanabidii@googlegroups.com>
>
> > > Subject: Re: [wanabidii] Yona Maro tusaidie katika hili
>
> > > Pole Mkina, ila hii sentensi yako haimsaidii mhusika - inamweka
> > kitanzani, heri uwatafute wanaokumbuka kilichojiri wamsafishe: "hivyo
> > naomba sana, kwa wakati huu nisihusishwe na Yona na kitu kinaitwa michango
> > ya fedha".
>
> > > -------
>
> > > My mission is to acquire, produce and disseminate knowledge on
> > and about humanity as well as divinity, especially as it relates to Africa,
> > in a constructive and liberating manner to people wherever they may be.
>
> > > Address: 41 Banks Street # 1, Cambridge, MA 02138 USA
> > > Cellphone: US = +1 (857) 413 - 9521/TZ = +255754771763
> > > Skype: chambi100
> > > Twitter: @Udadisi
>
> > > Facebook:http://www.facebook.com/chambi78
>
> > > Blogs:http://udadisi.blogspot.com<http://udadisi.blogspot.com/>
> > &http://ufunuo.blogspot.com<http://ufunuo.blogspot.com/>
> > > Group:http://groups.yahoo.com/group/wanazuoni<
> >http://groups.yahoo.com/group/wanazuoni>
>
> > > ________________________________
>
> > > From: Zephaniah Mugittu <zephymugi...@yahoo.co.uk <
> > http://uk.mc297.mail.yahoo.com/mc/compose?to=zephymugi...@yahoo.co.uk> >
> > > To: wanabidii@googlegroups.com <
> >http://uk.mc297.mail.yahoo.com/mc/compose?to=wanabidii@googlegroups.com>
> > > Sent: Monday, November 5, 2012 12:48 PM
> > > Subject: Re: [wanabidii] Yona Maro tusaidie katika hili
>
> > > Kazi kwenu mnaokunywa hata uji wa wagonjwa...
>
> > > Regards,
>
> > > Mugittu, Zephaniah,
>
> > > Cell: +255 784 769 481
>
> > > Skype: Zephaniah N.N. Mugittu
>
> > > No matter how high one is talented , business acumen still a necessity
>
> > > "Poverty is a result of attitude ..."
>
> > > --- On Mon, 5/11/12, nevill...@gmail.com <
> > http://uk.mc297.mail.yahoo.com/mc/compose?to=nevill...@gmail.com> <
> > nevill...@gmail.com <
> > http://uk.mc297.mail.yahoo.com/mc/compose?to=nevill...@gmail.com> > wrote:
>
> > > From: nevill...@gmail.com <
> > http://uk.mc297.mail.yahoo.com/mc/compose?to=nevill...@gmail.com> <
> > nevill...@gmail.com <
> > http://uk.mc297.mail.yahoo.com/mc/compose?to=nevill...@gmail.com> >
> > > Subject: Re: [wanabidii] Yona Maro tusaidie katika hili
> > > To: wanabidii@googlegroups.com <
> >http://uk.mc297.mail.yahoo.com/mc/compose?to=wanabidii@googlegroups.com>
> > > Date: Monday, 5 November, 2012, 18:39
>
> > > Kaka Mkina,
> > > Pole kwa yote. Mjadala guu chimbuko lake ni michango ya FOS.
> > Sasa kweli inawezekana usiwe na tija but tija ikawepo kwa upande mwingine.
>
> > > Kupitia kule jirani (Mabadiliko), Majid Mjengwa alifanya kazi
> > nzuri ya kukusanya fedha za rambirambi kwa ajili ya mke wa Daudi Mwangosi.
> > Sasa kwa kiwango hicho, lolote linaweza kumtokea mmoja wetu, liwe la heri
> > au shari!
>
> > > Kwa maana
>
> ...
>
> read more »
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

Ephata Nanyaro
P.o.box 15359
Arusha
+255 754 834152Skype.nanyaro.ephata

0 comments:
Post a Comment