Monday, 26 November 2012

RE: [wanabidii] RE: KINANA ANAJIDANGANYA KUWAKOMBOA WATANZANIA

Ndugu Ezekiel,
Nashukuru na asante sana kwa majibu yako, hii ndio mijadala tunataka na kwa kuwa umetumia muda wako kujibu hoja kwa kirefu,  nitakujibu kwa heshima hiyo hiyo uliyonipa, naomba nikupe majibu yangu ikiwezekana leo jioni au kesho alfajiri, nimebanwa kwa sasa.
asante sana,
LR

Date: Mon, 26 Nov 2012 10:46:41 +0000
From: ekunyaranyara@yahoo.co.uk
Subject: Re: [wanabidii] RE: KINANA ANAJIDANGANYA KUWAKOMBOA WATANZANIA
To: rugambwa@hotmail.com

Laurean R,

Habari za leo. Nashukuru sana kwa kutaka kunishirikisha na mimi katika mjadala huu mtamu na wenye mrengo wenye manufaa kwa nchi yetu. Wakati fulani ulinitupia hoja fulani lakini sikuwahi kuipata hadi nilipoiona ikiwa baada ya mijadala mingine. Anyway, naomba kujielekeza zaidi kwa mambo uliyoyahoji kwangu:-

1.    Ni kweli kabisa nilisema mimi ni mwana CCM na nilisema sina haja ya kuficha kwa kuwa ndivyo nilivyo. Nilipo ninishi na watu wenye itikadi tofauti na mimi lakini tunaishi kwa kuheshimiana na kuthaminiana kabisa. Ni mwanachama wa kawaida na maisha yangu ni ya kawaida kama walivyo watu wengine. Baadhi wananifahamu hapa Jukwaani. Tatizo la Watanzania hapa wakikufahamu zaidi basi wanaanza "KUKUSHUGHULIKIA". tunalifahamu hilo kama watanzania. Sina cheo chochote kwenye chama hata Ubalozi wa nyumba kumi. Ingekuwa jeshini ningesema mimi ni "Private" .
2.    Haki kucheleweshwa ndiyo haki inayokataliwa. Ni kweli lakini kama mazingira yenyewe ya kupatikana kwa haki hiyo ni marefu sasa tufanyeje. Tufunge mtu kwa vile tu Ezekiel kasema kuwa huyu ni fisadi? kesho ikigundulika kuwa hakuwa fisadi isipokuwa ilikuwa ni fitina au mambo ya kisiasa tu kama ilivyo hapa kwetu utasemaje? Hii ni sawa na mgonjwa ambaye matibabu yake ni ya muda mrefu utamtibu vipi kwa muda mfupi? hebu jaribu kufuatilia kwa hapa ukumbini Kesi ya MAHALU jinsi ilivyokuwa ikiandikwa na washabiki na vyombo vya habari vilivyokuwa vikitoa hukumu. Kama Serikali isingekuwa makini ikafanya jinsi watu wanavyotaka haraka haraka sasa ingekuwaje?
3.    Kuchaguliwa kwa rushwa. Hili ni jambo ambalo mimi silibishii kabisa kwa kuwa nimeona kwa mamcho yangu. Ninalobisha hapa sioni mtu wala sijaona mtu ambaye ana ubavu wa kusema hajashiriki rushwa au kwa kushawishi au kuangalia tu. Na tena jambo hili si kwa CCM pekee. Nimeona mimi hata hicho chama chenu wakati wa uchaguzi Mkuu 2010 mahali fulani sitaji eneo. Walinunua wenye pikipiki wote kama kumi na tano siku ya uchaguzi na walizunguka usiku kucha wakigawa fedha wengine binafsi niliwakamata. Kesho yake wakawa maeneo ya kupigia kura wakigawa shs: 500 kwa wazee ili wawapigie kura. Nilitoa taarifa hii Takukuru ambao walifika na kuwafanya wenye pikipiki wakakimbia.

jambo lingine ni kwamba nilishuhudia hata kwa ndugu zangu wa damu nilipokuwa nampigia kampeini mgombea mmoja waliniambia hivi, sawa tutakupa kura lakini hata mia mbili tupatie kwa kuwa mwenzio katoa shilingi elfu mbili - wa upinzani huyo....yako wapi sasa lakini alipigwa chini. RUSHWA siku hizi katika ngazi ya wananchi wetu hali ni mbaya sana kuliko mtu anavyoweza kufikiria. Ni wale wasiojua huku chini kuna nini ndio wanaoweza kuwanyooshea kidole wengine wakidhani kuwa wao wako salama.

Laurean,

Kimsingi sifurahii kabisa jinsi mambo yalivyo lakini pia sifurahii jinsi watu wengine wanavyowatwisha wengine mzigo wa rushwa bila kutoa majibu ya jinsi gani tufanye. Chukulia mfano huu ambao ni halisi. Unaletwa mradi kijijini, watu wanagombea kuwa wajumbe wa mradi, ukianza usimamizi unakuwa hovyo hovyo, ukifanya ukaguzi wandani unakuta fedha imeliwa. Waulize sasa imekuwaje wakati wote wananchi walikuwepo wanaona majibu utayapata... Utashangaa.

Chaguzi hali kadhalika ni hovyo hovyo, watu wanathamini shilingi mia mbili mia mbili. hata useme ulisaidia shule vitabu, ulisaidia kuchimba kisima cha maji kama hutatoa hata mia moja kwa wapiga kuwa hupati kitu. Je wale wenye uwezo wa kuongoza waache kugombea waache kwa kuwa hawataki kutoa rushwa? ikiwa hivyo tutakuwa na viongozi wa aina gani sasa na nchi itakwendsa wapi.

Mwisho nimejaribu kutoa uzoefu wangu kama mwananchi wa kawaida na ambaye kwa kiasi kikubwa nimeshiriki mambo machache ambayo kwa mtizamo wangu hakuna Mtanzania mwenye haki ya kumwambia mwenzie kuwa wewe unakula RUSHWA.

Linalotakiwa kufanyika ni kwamba tukubali kuwa ni tatizo halafu tukae chini tukubaliane "The way Forward" lakini kama mmoja anasema wewe unakula rushwa na mwingine anasema siri rushwa hakuna kitu kitakachofanyika na nchi yetu itafika tusikotaka wote kwenda....
 
K.E.M.S.

From: Laurean Rugambwa <rugambwa@hotmail.com>
To: ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk>; "wanabidii@googlegroups.com " <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Sunday, 25 November 2012, 5:46
Subject: Re: [wanabidii] RE: KINANA ANAJIDANGANYA KUWAKOMBOA WATANZANIA

KEMS,
Just delayed justice denied, you and Tony seem to defend things just because they touch on the interests of the ruling party, the party you truly belief in its policies. I have no problems with your moral and ideological beliefs.

Last time you declared here that you are a CCM member, I don't know if you are holding any elective post inside your party, but if you are and didn't use loads of money to get there you are lucky. One of the very few, this don't  need evidence.

It is a an exception and not the rule for someone to be elected without bribing fellow members. A recent exception to the rule is a young man called Fadhil Liwaka who defeated Hon.M. Chikawe on Nanchigwea NEC ticket. This was big news as if that's isn't how elective politics should be.

This isn't about anti CCM, its about us all looking at our moral fibre as a country maana watanzania ndio hawa hawa huko CCM wanako nunuliwa kwa nguvu ndio labda watanunuliwa wakiwa CHADEMA. So that's why some of us are against this trend which may become a Tanzania tradition. Unahonga uchaguliwe maana chama tawala ndio kimekuwa mfano kwa muda mrefu na karibu tunazoea sisi watanzania hawa hawa.

Finally,  are you real happy the way elections are done inside CCM? Be fair, just and honest with yourself.
Use your conscience on this, you don't have to publicly hang yourself here, I want you internally to analyse it.

Have a nice evening,
LR
Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.

-----Original Message-----
From: ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk>
Date: Sun, 25 Nov 2012 13:29:45
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Subject: Re: [wanabidii] RE: KINANA ANAJIDANGANYA KUWAKOMBOA WATANZANIA1



Willy (Learned brother)
 
Sasa kama hili la ushahidi kama alivyosema Tony,  hata wewe mwanasheria unaona halifai basi kuna tatizo kubwa zaidi ya hili linalojadiliwa hapa. Picha ya haraka ni kuwa kile kinachosema utawala wa sheria kwako ni bure au likoje hili...

 
K.E.M.S.



 
From: Willy Makundi <wrlmakundi@aol.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Sunday, 25 November 2012, 5:15
Subject: Re: [wanabidii] RE: KINANA ANAJIDANGANYA KUWAKOMBOA WATANZANIA1
 
Tony yaani kama ufumbuzi wako ni kuleta mtandaoni "mambo, scanned copies, descriptive analysis ya uozo, credible na ukiwa bado ripe sio history", ni kuwa unaniambia kuwa taasisi husika zimeshindwa au ndio makuadi wa ufisadi. Kama hivyo nilete mtandaoni ili nini kama wamepelekewa faili na SY na SFO na bado wanatudanganya uchunguzi bado unaendelea?

By the way, what is the statute of limitations on TREASON? Tony, iko siku Watanzania watachukua hatamu za kuongoza nchi yao na hawa watu watanyongwa Mnazi Mmoja kama alivyofanya Jenerali Achiempong.

You can not do so much harm to a destitute people and callously snide at them that they have no scanned evidence that is uptodate. Hii arrogance hii itakoma siku wananchi wanaoibiwa mali zao watakapochukua nchi yao. Its just a matter of time.


mchilyi7.0




-----Original Message-----
From: Tony PT <tony_uk45@yahoo.co.uk>
To: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Sun, Nov 25, 2012 3:37 pm
Subject: Re: [wanabidii] RE: KINANA ANAJIDANGANYA KUWAKOMBOA WATANZANIA


Willy,

Hivi unakubaliana nami kuwa uliyoyasema hayazomewi vya kutosha kama ulivyodadavua?
Mengi uliyoyasema hapa bado ni heresy na makosa yalifanyika watu wakatokomeza ushahidi nawewe leo imebaki stori za kijiweni tu. Leta hapa mtandaoni, mambo, scanned copies au descriptive analysis ya uozo ulio credible na ukiwa bado ripe sio history.

Pia acheni uoga na waandishi wapunguze uoga pia kwenye mambo yenye ushahidi waandike waziwazi. Kwa mtindo huu utaongeza uwajibikaji na pia kupunguza uozo hapa nchini.


Sent wirelessly from my BlackBerry device on the Bell network.
Envoyé sans fil par mon terminal mobile BlackBerry sur le réseau de Bell.

From:  Willy Makundi <wrlmakundi@aol.com <> >
Sender:  wanabidii@googlegroups.com <>
Date: Sun, 25 Nov 2012 07:20:58 -0500 (EST)
To: <wanabidii@googlegroups.com <> >
ReplyTo:  wanabidii@googlegroups.com <>
Subject: Re: [wanabidii] RE: KINANA ANAJIDANGANYA KUWAKOMBOA WATANZANIA


Tony ndugu yangu unaamini haya unayosema? Nani amletee nani ushahidi? Tuna jeshi la polisi kitengo cha Criminal Investigations, wana maofisa wachunguzi na mashushushu wa plain clothes. Tuna kitengo cha uchunguzi wa udobi wa fedha haramu. Tuna "takukuru"ambayo ni designated kwa kuchunguza na kuwajibisha maswala ya rushwa nchini na nje ya nchi kwa Watanzania. Kuna Usalama wa Taifa. Taasisi hizi zimesheheni wataalamu waliobobea na wana bajeti kubwa sana sana.

Kama hizi taasisi mahsusi haziwezi kuuwinda na kupata ushahidi wewe Tony bin Raia utaupata wapi? Seriously, what you are saying is that these institutions and officiodoms are so incompetent and inept that they are incapable of performing their job. If you believe that they are so impotent, why dont you propose that they should be abolished as instruments of investigation and instead we form judicial or quasi-judicial commissions to investigate any credible serious fraud allegation?

Unahitaji ushahidi wa bahasha Bungeni kwenye vikao vya bajeti? Unahitaji ushahidi wa rushwa wazi wazi kwenye chaguzi zote za wilaya na taifa za vyama vya siasa na taasisi zake? Kama UWT, takukuru, na CID hawawezi kukamata watoaji na wapokeaji rushwa kwenye ukumbi wa mkutano na kwenye laini za MPESA na hoteli za wajumbe ambako kila mjumbe mpumbavu ku[pindukia anajua mahali pa kupokea bahasha yake isipokuwa tu Manumba, Hosea na Othman? Come on Tony. You aint that dumb.

Wewe na uzee wako na uraia wako unashindwa kumkamata trafiki anayepokea toka kwa kondakta nyuma ya gari? Kama kila kijana wa upinzani anajua pa kuuza kitambulisho chake cha uchaguzi na mahali pa kwenda kupokea balance baada ya uchaguzi Inamshindaje Hosea angalau kukamata wachache wanunuzi?

Tony this argument about presenting credible and provable evidence is the lamest excuse I have heard for a government not to do its job. TRA wanapokamata wasiolipa kodi wanapelekewa ushahidi na nani? Hebu ujaribu kupanga kupindua serikali halafu usikie kama kuna mtu atakaeuliza ushahidi kabla hujabanwa kisawasawa.

Kama waizi ni hao hao viongozi huo ushahidi utampelekea nani? Hosea hakuisafisha Richmond? Ushahidi wa Ulimboka utampelekea nani wakati DCI ameshasema kuna Mkenya aliyehusika? Eti ile sinema ya huyu Mkenya wa Ulimboka unajua imeishia wapi?

Unawalaumu walalamikaji unasahau kwamba hata kahatua kadooogo kalikofikiwa kametokana na ulalamikaji kwenye mitandao, kule Mwembe Yanga, Kidongo Chekundu na Mchamba Wima. Unaamini hao unaosema tuwapelekee ushahidi walijaribu kuchunguza Kagoda ni kampuni ya nani na nani wamehusika kuzoa ile bilioni 40 kule BOT wakashindwa? Walifika hatua gani wakashindwa? Toni Toni Toni. Ona aibu ndugu yangu baada ya umri fulani the only thing left to guide your conduct is your conscience, faith and shame/rectitude. Haya maneno ya kulaghai achia vijana wadogo ambao labda hawajaoa au kujenga angalau watakuwa na kisingizio kuwa walikuwa wanatafuta mshiko nao waoe.

EPA memo zimetoka Ikulu utampelekea ushahidi nani? Au unaamini Toni unaweza tu kufika BOT na kikaratasi feki na Cantor ukaambiwa egesha strong gate ikapakiwa 40 billion shillings? Slaa walipolalamika wakaambiwa (Bungeni no less) kuwa wanajitafutia umashukuri wasiostahili. Watuhumiwa waliahidi kwenda mahakamani kushtaki Chadema lakini hakuna hata mmoja aliyedhubutu.

Mmeletewa ushahidi wa radar na SFO ya Uingereza pamoja na majina na account za watuhumiwa wote. Ni yupi aliyefikishwa mahakamani? Vathlani yuko hapo Uswisi ushahidi serikali imeletewa, wakati wanasema benki za Uswiss zinadai majina kamili na ushahidi si wangeanza na huyu? How stupid do these theives think Tanzanians are?

Ushahidi gani unataka Toni? Millions of dollars are not carried on a boat to offshore banks. BOT has most of these transactions if they ever touch our financial sphere. Angalia transactions za EPA zote zimekwenda via bank to bank transfers. Ushahidi gani unataka? Waliokwiba za EPA baadhi walirudisha at one time it was 56 billion. Unataka ushahidi gani? Nimeibiwa kuku nikainua panga nikasema aliyeiba arudishe, ukaniletea kuku wangu. Ushahidi gani nataka?

Gavana wa BOT Balali (rip) alisema miaka kadhaa iliyopita kuwa fedha za Watanzania zilizo kwenye taasisi za fedha za nje zilikuwa $2.5 billion. Huyo ndio msemaji wa serikali kwenye maswala haya. Ni kitu gani serikali ilichowahi kufanya tangu enzi hizo angalau kudhihirisha uhalali wa hizi fedha?

Can you first show your seriousness on the evidence on the table? IPTL. Kiwira. Meremeta. Valhambya. BAE Radar. The President's Leojet. ATCL plane rental. BOT Towers (Dar and Zanzibar). EADB attempted forfeiture case. RICHMOND-Dowans-Symbion troika. EPA account culminating in 2005. TICTS, Double Payments for MP Allowances. Buzwagi and possibly the other Mining Agreements. Magendo ya nafaka na sukari Holili na Sirari yanayozidi lori semi-trailer 100 kwa siku wakati wa msimu yakipita mbele ya kituo cha polisi na vizuizi lukuki bara bara zote. Toni mnataka ushahidi gani wakati makoplo wa polisi wana Fuso 6 na Hiace 10 na makasri kwa kipindi cha mwaka mmoja?

I am sorry for this rambling retort, but at least one has to point out that the corruption we are talking about is institutionalized, it is embedded in the system of party and government and presenting evidence to the same cabal of theives is laughable since they either have the evidence already or they are indeed the thieves.

The only chance you have for cleaning up the house is a new group of leaders, even if there is always a chance that, unchecked, they may eventually become corrupted. At least Tanzanians will have a chance not to repeat the old mistakes.

By the way, in my opinion, this new group will - ipso facto - arise from the ruling party and the opposition.

Again, apologies for taking too many bites off your virtual memory and some minutes off your sunday.

Unedited

mchilyi7.0





Willy Makundi wrlmakundi@aol.com <>




-----Original Message----- From: Tony PT <tony_uk45@yahoo.co.uk <> > To: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com <> > Sent: Sun, Nov 25, 2012 1:50 pm Subject: Re: [wanabidii] RE: KINANA ANAJIDANGANYA KUWAKOMBOA WATANZANIA
Neville, Mbona unaji-contradict? Kumbe kuvuana gamba kumeanza, na wamewavua hao baada ya kushindwa kuwavua gamba wahalifu? Haya huyo Chadema atatumia njia ipi kuwaadabisha wahalifu bila ushahidi? Atawapiga risasi kutokana na tuhuma za mitaani? Mfano wako wa Kenya sio kweli bila kueleza sababu kamili! Serikali zinazoundwa kutokana na vyama zaidi ya kimoja zina uwajibikaji mkubwa zaidi. Tuhuma Kenya huanzia bungeni kwa sababu kuna checks and balances ndani ya bunge. Uchunguzi unafanywa na vyombo vilivyo huru (havijateuliwa na serikali), vinawajibika kwa bunge na sio serikali. Hapa tutafaulu ikiwa katiba utabadilika na kuleta mfumo wenye tija zaidi. Swali ni kama hili litatokea, maana juzi umeona bungeni tuhuma dhidi yao walivyoteteana. Uliona wapi waliohojiwa na tume ya bunge ni watuhumiwa peke yake na katibu mkuu wa nishati tu. Utapata jibu sahihi kihivyo kweli? Judicial or quasi-judicial probe teams ndizo pekee zinakuwa na uwezo wa kuchunguza na ndizo Kenya wanazitumia sana siku hizi. Neville, sawa kuwaandika jamaa mafisadi kwenye magazeti au redio au kuwatuhumu waziwazi ni kazi ngumu kwavile hauna ushahidi. Mtandaoni ni rahisi zaidi lakini napo uwe basi na ushahidi wa kuwezesha kuridhisha na hivyo kufanya vyombo husika vione aibu na kufufuatilia. Sasa waTz tumebakia na maneno ya vijiweni tu na hakuna hata gazeti lenye uwezo wa kuja na uchunguzi wenye mashiko ya ushahidi. Kama mnaogopa nanyi mnabakia na uzushi tu mnataka nchi isaidikaje? Uzushi na malalamiko peke yake hayasaidii. Tafuteni ushahidi, mwaga hapa mtandaoni hata kwa kutumia psudo-names, lakini ushahidi wa maana. Usalama na vyombo vingi wanasoma mitandao yote kila saa na hivyo itasaidia (authentic whistle-blowing!)
Sent wirelessly from my BlackBerry device on the Bell network.
Envoyé sans fil par mon terminal mobile BlackBerry sur le réseau de Bell.

From:  nevilletz@gmail.com <>
Sender:  wanabidii@googlegroups.com <>
Date: Sun, 25 Nov 2012 10:34:58 +0000
To: <wanabidii@googlegroups.com <> >
ReplyTo:  wanabidii@googlegroups.com <>
Subject: Re: [wanabidii] RE: KINANA ANAJIDANGANYA KUWAKOMBOA WATANZANIA

Ushahidi, ushahidi, ushahidi, Kamwe hatutaupata. Hatutaupata kwa sababu katika nchi yetu tuko chini viwango vya Kiafrika. Jirani zetu Kenya wanaweza kusikia jambo kuhusu rushwa wakachukua hatua kesho yake, wakachunguza hata kama ni Waziri na wakatoa taarifa kwa umma. Hapa kwetu ukiandika kuhusu tuhuma jamaa wanasimama kwamba eti kama una ushahidi tuletee. Hata ile level ya taasisi kuwajibisha watuhumiwa kwa sababu za kimaadili haipo. Ndo maana Mukama, Chiligati na Msekwa wamevuliwa gamba kwa sababu tu walijaribu kuwagusa watuhumiwa wasiogusika. Ukisema rushwa waziwazi ndani ya CCM unageuka kuwa adui wa wengi. Jana nilisema kwamba kwamba sijui akina Mangula wataanzia wapi, maana utulivu unaodaiwa kuwa upo ndani ya CCM ni kutokana na watuhumiwa wa ufisadi kuachiwa watambe katika uchaguzi wa ndani ya chama. Siku wakiguswa tu, mtaniambia. Katika mazingira kama hayo, hatuwezi kusonga mbele. Rushwa na ufisadi ndani ya CCM vimetaasisiwa (instituted corruption) na ndiyo maana maadui wa chama ni wale wanaopinga rushwa. Wachapa kazi ndani ya CCM hawatakiwi, ndo maana watu kama Dk Magufuli, Dk Mwakyembe na wengine wenye kasi kama yao, hawapendwi na wengine utendaji wao umewagharimu afya zao. Tony Diallo akiwa Maliasili na Utalii alimgusa Severe akang'olewa. Kumbe CS Luhanjo aliyekuwa akimlinda Jairo na madudu yake, aliacha mizizi maliasili wakati akiwa KM chini ya Zakia Meghji. Katika mazingira haya, tunawaaminije hawa wapya katika sekretarieti ya CCM?
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

From:  "Tony PT" <tony_uk45@yahoo.co.uk <> >
Sender:  wanabidii@googlegroups.com <>
Date: Sun, 25 Nov 2012 09:58:52 +0000
To: <wanabidii@googlegroups.com <> >
ReplyTo:  wanabidii@googlegroups.com <>
Subject: Re: [wanabidii] RE: KINANA ANAJIDANGANYA KUWAKOMBOA WATANZANIA

Ernest, Unadandia treni jamani! Ngoja tuone mwelekeo. Kwani trafiki hao wataacha chadema wakitawala? Mwenye kosa ni chama ama serikali chini ya JK? Je, akija mtu kama Slaa lakini upande wa ccm utaacha ubishi au wewe kosa ni rangi tu? Kimbuka serikali za kiafrica institutional governance hakuna, ipo individual head of state effort na jinsi atakavyo washughulikia wakosaji chini ya serikali yake. Kwahiyo, vyama ni vyombo vya kupitia tu, inategemea ujasiri wa mkuu wa kaya, period!
Sent wirelessly from my BlackBerry device on the Bell network.
Envoyé sans fil par mon terminal mobile BlackBerry sur le réseau de Bell.

From:  Ernest Mmbaga <emmbaga@hotmail.com <> >
Sender:  wanabidii@googlegroups.com <>
Date: Sun, 25 Nov 2012 09:47:00 +0000
To: wanabidii<wanabidii@googlegroups.com <> >
ReplyTo:  wanabidii@googlegroups.com <>
Subject: RE: [wanabidii] RE: KINANA ANAJIDANGANYA KUWAKOMBOA WATANZANIA


Ndugu  yangu  Tony Hicho  kigezo  cha  kusema "lete  ushahidi"  ndicho  kilichoifikisha  CCM  hapo  ilipo  na  kuitwa  kichaka  cha  wanyang`anyi.  ikimanisha  kwamba  , ujambazi  wote  unaosemwa  juu  ya kiongozi  wa CCM  anaeusema  ataulizwa  lete  ushahidi.  sasa  ingekua  kuna  uzalendo  kwamab  ukiletwa  ushahidi   utafanyiwa  kazi ,  labada  ungeletwa .  lakini  tofauti  ni  kwamba  atakaeleta  ushahidi  ,  atasakamwa  gizani  (  tumeshuhudia  hayo). Mfano  mdogo  ni  ushahidi  uliotolewa  katika  sakata  la  Richmond.  lakini  hao  takukuru  unaodai  wapelekewe  walisafisha  wakasema  hakukua  na  kosa.   hivi  ndugu  tony  sema  tu  kama  mtanzania  halisi  unaepita  mtaani  au  hat  unaendesha  gari,  hujawahi  ona  rushwa  ya  wazi  kabisa  inayofaanywa  na  baadhi  ya  askari  wa  usalam  Traffic??   hivi  TAKUKURU  hawaoni  kabisa  hayo  tunayoona  sisi??  kweli  kabisa  toka  moyoni  mwako??   Au  wataka  kutuambiwa  hayaa  yote  yasemwayo  kuhusu  Ufisadi   wa  Baadhi  ya  viongozi   ni  uongoo??   tuache  unafiki  na  sio  eti  kwakua  amechaguliwa  kinana  kua  Katibu  Mkuu.  basii  kabala  hata  hajafanya  chochote  CCM  imeshakua  Safi  ??  du  kwe;li  mmeona  watanzania  ni  wajinga  na  hawatfakari.....  endeleeni   Ernest     Hiv  


Subject: Re: [wanabidii] RE: KINANA ANAJIDANGANYA KUWAKOMBOA WATANZANIA To: wanabidii@googlegroups.com <> From: tony_uk45@yahoo.co.uk <> Date: Sun, 25 Nov 2012 07:02:20 +0000 Langai Mlima wa moto! Hilo nalo neno, na kweli wananchi wanaudhika sana. Lakini pia kwanini msiwe mnawasema hapa: mfano badala ya kuhisia tu ana magari 600, kwanini usilete orodha ya hayo malori (Reg number) na jina la usajiri na kujua jina hilo ni la mtoto au ndugu yake? Pia mafisadi, vizuri mfano hapo arusha majengo plot nr na hati kama unaifahamu itasaidia. Takukuru nayo sasa inajipanga kupokea taarifa kama hizi maana hisia tu hazitasaidia. Kuna watu siku moja watasema Mbowe ana dola milioni 50 kaweka Uswiss bila kuwa na details haisaidii sana. Watanzania ni woga wa kutoa taarifa sahihi lakini wepesi kudakia maneno. Sasa kwanini hata ushupavu huu wa udaku tusiutumie kutaja mali za mafisadi hapa ukiwa na ushahidi? Mitandao inaweza kutumika productively ikasaidia kuongeza uwajibikaji na kupunguza ufisadi nchini; iwe kwa ccm au chadema au Cuf. Umbeya na malalamiko tu yasiyo na takwimu sahihi haitasaidia hata tone na tatizo litaendelea hata kwa serikali zisizo za ccm. Watu ni walewale; watakuwa wamebadili rangi, matendo hayohayo.
Sent wirelessly from my BlackBerry device on the Bell network.
Envoyé sans fil par mon terminal mobile BlackBerry sur le réseau de Bell.

From: LENGAI OLDOINYO <lengai2000@yahoo.co.uk <> >
Sender: wanabidii@googlegroups.com <> 
Date: Sun, 25 Nov 2012 05:50:02 +0000 (GMT)
To: <hlib@muhas.ac.tz <> >; <mum@mum.ac.tz <> >; <info@mzumbe.ac.tz <> >; <info@out.ac.tz <> >; <info@ruco.ac.tz <> >; <mfumbusa@yahoo.com <> >; <vcsaut@saut.ac.tz <> >; <admission@saut.ac.tz <> >; <stmarksadmin@sjut.ac.tz <> >; <gchelelo@sjut.ac.tz <> >; <admin@sjut.ac.tz <> >; <sua@suanet.ac.tz <> >; <vc@suanet.ac.tz <> >; <dvc@suanet.ac.tz <> >; <dvcadminfin@suanet.ac.tz <> >; <fos@suanet.ac.tz <> >; <ice@suanet.ac.tz <> >; <sua-tu@suanet.ac.tz <> >; <scsrd@suanet.ac.tz <> >; <pestman@suanet.ac.tz <> >; <plan@suanet.ac.tz <> >; <pro@suanet.ac.tz <> >; <support@suza.ac.tz <> >; <info@teku.ac.tz <> >; <dpacademic@duce.ac.tz <> >; <elctsmmuco@smmuco.ac.tz <> >; <info@butmaninternational.com <> >; <sematangotours@cybernet.co.tz <> >; <serenacarhire@habari.co.tz <> >; <sgresort@yahoo.com <> >; <sss@habari.co.tz <> >; <tours@albatros.co.tz <> >; <mia@albatros.co.tz <> >; <info@chadema.or.tz <> >; <rassingida@pmoralg.go.tz <> >; <mhariri@habarileo.co.tz <> >; <advertising@dailynews.co.tz <> >; <jennie@albatros.co.tz <> >; <shidolya@yako.habari.co.tz <> >; <sssafaris@cybernet.co.tz <> >; <s-s.kolowa@web.de <> >; <wanabidii@googlegroups.com <> >; <unasemaje@radiofreeafricatz.com <> >; <mwananchipapers@mwananchi.co.tz <> >; <globalpublishers@dar.bol.co.tz <> >; <educate@intafrica.com <> >; <costech@costech.opc.org <> >; <info@satif.or.tz <> >; <info@satf.org <> >; <eotf@raha.com <> >; <eotf@cats-net.com <> >; <zitto@chadema.or.tz <> >; <worldtourstanzania@hotmail.com <> >
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com <> 
Subject: [wanabidii] RE: KINANA ANAJIDANGANYA KUWAKOMBOA WATANZANIA



Katika mambo ambayo Katibu Mkuu wa chama tawala CCM ndugu Abdulrahaman Kinana anajidanganya nayo ni kutegemea kuwa ataweza kuleta mabadiliko Tanzania bila kuwatoa mhanga Mafisadi na watu waliojilimbikizia mali wakiwa madarakani. Kinachofanya watu waichukie CCM sio kitu kingine zaidi ya Viongozi walioko madarakani kuibia Watanbzania na kujilimbikizia mali.
 
Serekali ya CCM haitaweza kabisa kuleta imani kwa Watanzania bila kurudisha mali walizoiba na kufuta mikataba mibovu yote ya wawekezaji inayolifilisi Taifa. CHADEMA itaendelea kupeta na wakizubaa watajikuta wako nje ya utawala na mali zao zote kutaifishwa. CCM wakati ni huu wa kurudisha kila mlichokwapua. Sasa hivi tusiwadanganye Watanzania kwa kuwa kila linalofanyika Watanzania wanaliona. Mtoto wa Rais anamiliki biashara za kuchimba madini, kusafirisha mafuta, kusafirisha mizigo huku akiwa na malori zaidi ya 600 fedha hizo amezipata wapi?.
 
Mawaziri mbali mbali na viongozi wa ngazi za juu wa CCM na Serekali yake wanajihusisha na biashara. Chama kinaua viwanda kikidai hakitaki kujihusisha na biashara lakini viongozi wake wote ni Wafanya biashara. Kama Serekali imeviua viwanda vyote na kunyima Watanzania ajira kwa kisingizio cha kutokutaka kufanya biashara wao kama viongozi wanafanya biashara za kazi gani?.
 
CHADEMA tunaomba muikomboe Tanzania kabla ya kufilisika, na pingeni majeshi ya Tanzania kupelekwa Congo. Wale waasi wanapinga matumizi mabaya ya rasilimali hivyo hawana tofauti na nyie CHADEMA. Hakuna kumsaidia kabila anachezea mali za Wakongo kama CCM. Tanzania tuna matatizo makubwa ya rushwa, umasikini, uongozi mbobu, kupanda kwa maisha kwa nini tumsaidie mtu anayechezea rasilimali za nchi kama Kabila. CCM inataka kutoletee mambomu Tanzania.
 
 CHEDEMA piteni kila mahali kuhakikisha mnashinda uchaguzi Mwaka 2015. CCM ni usanii tu hakuna jipya. Mwisho kila Mtanzania anayeitakia mema Tanzania ajiulize ni kwa nini Mwalimu Julius Kambarage Nyerere hajawahi katika maisha yake kuvaa mavazi ya CCM. Mwalimu Julius Nyerere alikuwa anaona mbali. Alijua CCM itamsaliti kwa kuzika juhudi zake zote za kumkomboa Mtanzania. CHADEMA kazi kwenu kuikomboa nchi, Kinana akitaka Watanzania tumuamini kuwa sio Kondoo aliyevaa ngozi ya chui awafunge kwanza wezi wa mali za umma.
Mkereketwa
Lengai Ole Letipipi -- Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com <> nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com <> Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com <>   DELL LATITUDE D 620 & D30   80 GB HardDisk CORE 2 DUO 2.0 GHZ CPU 2 GB RAM DVD/CD - RW WINDOWS 7 /WINDOWS XP WIRELESS , BLUE TOOTH .   TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY   CALL : 0718 637905 0786 806028   Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com <>  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma   Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.     -- Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com <> nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com <> Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com <>   DELL LATITUDE D 620 & D30   80 GB HardDisk CORE 2 DUO 2.0 GHZ CPU 2 GB RAM DVD/CD - RW WINDOWS 7 /WINDOWS XP WIRELESS , BLUE TOOTH .   TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY   CALL : 0718 637905 0786 806028   Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com <>  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma   Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.                        
-- Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com <> nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com <> Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com <>   DELL LATITUDE D 620 & D30   80 GB HardDisk CORE 2 DUO 2.0 GHZ CPU 2 GB RAM DVD/CD - RW WINDOWS 7 /WINDOWS XP WIRELESS , BLUE TOOTH .   TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY   CALL : 0718 637905 0786 806028   Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com <>  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma   Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.    
-- Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com <> nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com <> Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com <>   DELL LATITUDE D 620 & D30   80 GB HardDisk CORE 2 DUO 2.0 GHZ CPU 2 GB RAM DVD/CD - RW WINDOWS 7 /WINDOWS XP WIRELESS , BLUE TOOTH .   TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY   CALL : 0718 637905 0786 806028   Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com <>  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma   Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.    
-- Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com <> nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com <> Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com <>   DELL LATITUDE D 620 & D30   80 GB HardDisk CORE 2 DUO 2.0 GHZ CPU 2 GB RAM DVD/CD - RW WINDOWS 7 /WINDOWS XP WIRELESS , BLUE TOOTH .   TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY   CALL : 0718 637905 0786 806028   Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com <>  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma   Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.    
-- Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com <> nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com <> Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com <>   DELL LATITUDE D 620 & D30   80 GB HardDisk CORE 2 DUO 2.0 GHZ CPU 2 GB RAM DVD/CD - RW WINDOWS 7 /WINDOWS XP WIRELESS , BLUE TOOTH .   TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY   CALL : 0718 637905 0786 806028   Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com <>  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma   Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.    
-- Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com <> nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com <> Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com <>   DELL LATITUDE D 620 & D30   80 GB HardDisk CORE 2 DUO 2.0 GHZ CPU 2 GB RAM DVD/CD - RW WINDOWS 7 /WINDOWS XP WIRELESS , BLUE TOOTH .   TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY   CALL : 0718 637905 0786 806028   Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com <>  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma   Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.    
-- Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com <> nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com <> Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com <>   DELL LATITUDE D 620 & D30   80 GB HardDisk CORE 2 DUO 2.0 GHZ CPU 2 GB RAM DVD/CD - RW WINDOWS 7 /WINDOWS XP WIRELESS , BLUE TOOTH .   TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY   CALL : 0718 637905 0786 806028   Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com <>  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma   Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.     -- Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com   DELL LATITUDE D 620 & D30   80 GB HardDisk CORE 2 DUO 2.0 GHZ CPU 2 GB RAM DVD/CD - RW WINDOWS 7 /WINDOWS XP WIRELESS , BLUE TOOTH .   TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY   CALL : 0718 637905 0786 806028   Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma   Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.    


0 comments:

Post a Comment