Friday, 23 November 2012

Re: [wanabidii] RE: CCM INAONYESHA MIRADI YA BENKI YA DUNIA

HK

Ni kweli kabisa. Mimi mtaa mwingine nilishauri na nitaendelea kushauri, kila mtu ajikite kwa kile kinachomhusu lakini ajabu wengi wamekuwa wakijadili chama chako kana kwamba ndiyo sera za chama chao.


2012/11/23 <hkigwangalla@gmail.com>
Kama ulivyosema mtoa mada hapa, kwamba hakuna mtanzania mjinga, nami nakubali kabisa waTZ wameerevuka hawatokuwa tayari kusikiliza na kuinternalize propaganda zenu tena wataangalia CCM imefanya kazi gani, na kujiuliza je inaleta matumaini ama la kisha watapigia tena CCM. Maana kwa miaka miwili sasa tumeusema sana ubadhirifu na uzembe serikalini mpaka kumenyooka, sasa mmekosa la kusema! Tunasonga mbele kuwaeleza wananchi nini tumefanya mpaka sasa na watarajie nini - siasa za kiwango cha juu sana hizo, vyama vingine hamtoziweza!
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

From: GILL DAVID <gilldavidk@yahoo.co.uk>
Date: Thu, 22 Nov 2012 18:47:55 +0000 (GMT)
To: <hlib@muhas.ac.tz>; <mum@mum.ac.tz>; <info@mzumbe.ac.tz>; <info@out.ac.tz>; <info@ruco.ac.tz>; <mfumbusa@yahoo.com>; <vcsaut@saut.ac.tz>; <admission@saut.ac.tz>; <stmarksadmin@sjut.ac.tz>; <gchelelo@sjut.ac.tz>; <admin@sjut.ac.tz>; <sua@suanet.ac.tz>; <vc@suanet.ac.tz>; <dvc@suanet.ac.tz>; <dvcadminfin@suanet.ac.tz>; <fos@suanet.ac.tz>; <ice@suanet.ac.tz>; <sua-tu@suanet.ac.tz>; <scsrd@suanet.ac.tz>; <pestman@suanet.ac.tz>; <plan@suanet.ac.tz>; <pro@suanet.ac.tz>; <support@suza.ac.tz>; <info@teku.ac.tz>; <dpacademic@duce.ac.tz>; <elctsmmuco@smmuco.ac.tz>; <info@butmaninternational.com>; <sematangotours@cybernet.co.tz>; <serenacarhire@habari.co.tz>; <sgresort@yahoo.com>; <sss@habari.co.tz>; <tours@albatros.co.tz>; <mia@albatros.co.tz>; <info@chadema.or.tz>; <rassingida@pmoralg.go.tz>; <mhariri@habarileo.co.tz>; <advertising@dailynews.co.tz>; <jennie@albatros.co.tz>; <shidolya@yako.habari.co.tz>; <sssafaris@cybernet.co.tz>; <s-s.kolowa@web.de>; <wanabidii@googlegroups.com>; <unasemaje@radiofreeafricatz.com>; <mwananchipapers@mwananchi.co.tz>; <globalpublishers@dar.bol.co.tz>; <educate@intafrica.com>; <costech@costech.opc.org>; <info@satif.or.tz>; <info@satf.org>; <eotf@raha.com>; <eotf@cats-net.com>; <zitto@chadema.or.tz>; <worldtourstanzania@hotmail.com>
Subject: [wanabidii] RE: CCM INAONYESHA MIRADI YA BENKI YA DUNIA

 

Katika hali ya kuchekesha na kusikitisha chama cha mapinduzi CCM sasa kimeanza kupita Wilayani na Mikoani kuwahadaa na kuwadanyanya Watanzania kwa kuwaonyesha miradi ya Benki ya Dunia kwa kisingizio wao ndio wameihudumia, na kuijenga. "Wizi mtupu".

 

Miradi mingi sana ya Barabara za mijini na Visima vya Maji katika baadhi ya Wilaya na vijiji mbali mbali na Mikoa vinafadhilia na NGO's mbali mbali pamoja na Benki ya Dunia baada ya kuona Watanzania wanataabika kwa kutokuwa na uongozi makini. Mbona msionyeshe reli mlizoua, Shirika la ndege mliloua, Bandari kama za Tanga mlizoua, Bandari ya Mtwara mliyouza na viwanja vya michezo mlivyoua nk. Hakuna Mtanzania mjinga sasa hivi. "Wizi mtupu".

 

Mimi nimeshuhudia Waziri wa Maji Ndugu Jumanne Maghembe akikisifia chama chake cha CCM kule Manyara kuwa CCM inawajali Watanzania ndio maana wanawajengea Visima vya maji. CCM hata haijui fedha hizo zinapatikanaje. World Bank ndio wamechangia kila kitu. CCM inakera kwa wongo. Mumeua mpaka kiwanda ya Matairi kwa kupenda cha juu. "Wizi mtupu".

 

Barabara za Mkoa au mji kama wa Arusha Serekali ya CCM hata haijui fedha za kujenga barabara za mji huo zimetoka wapi lakini wasivyo na aibu na soni wakisimama majukwaani wanadai wao ndio wamezijenga wakati wao wamekalia wizi tu. Kwani jamani hamuoni. Mtoto kama Ridhiwani Kikwete anayo malori ya mafuta na Mizigo takribani 600 fedha za kununua hayo magari amepata wapi?. "Wizi mtupu".

 

CCM piteni kila pahali kutangaza sera zenu za uongo kwa Watanzania lakini nawaambia bila kurudisha mali mlizoiba tuwe sawa msitegemee kuingia madarani Mwaka 2015. Mnapita kupoteza mda wenu. Wasomi wote tumeamua kuwafundisha Wazazi wetu jinsi ya kuwakataa kwenye kura. Watanzania watachukua rushwa zenu za fedha, Kanga, Surwali, Kofia, Miavuli, Vitenge, Shati, T-shirts, Vilemba nk lakini kura za "NDIO" mtazisikia tu kwenye bomba. Mnaiba mpaka sera za vyama Duh! "Wizi mtupu".

 

Mwisho mumekifanya chama ni cha ukoo mtashangaa na familia zenu. Watanzania CCM ni chama cha Ukoo, Ukabila, Ufisadi, Wezi, Wabadhirifu wa mali za umma. Hakuna kuwapa kura mpaka warudishe mali walizoiba na kuuziana kwa bei za kutupa na warudishe viwanda, viwanja na nyumba za umma.

Mkereketwa

Galliard David

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
DELL LATITUDE D 620 & D30
 
80 GB HardDisk
CORE 2 DUO
2.0 GHZ CPU
2 GB RAM
DVD/CD - RW
WINDOWS 7 /WINDOWS XP
WIRELESS , BLUE TOOTH .
 
TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
 
CALL : 0718 637905
0786 806028
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
DELL LATITUDE D 620 & D30
 
80 GB HardDisk
CORE 2 DUO
2.0 GHZ CPU
2 GB RAM
DVD/CD - RW
WINDOWS 7 /WINDOWS XP
WIRELESS , BLUE TOOTH .
 
TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
 
CALL : 0718 637905
0786 806028
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 



--
Bariki G. Mwasaga,
P.O. Box 3021,
Dar es Salaam, Tanzania
+255 754 812 387

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
DELL LATITUDE D 620 & D30
 
80 GB HardDisk
CORE 2 DUO
2.0 GHZ CPU
2 GB RAM
DVD/CD - RW
WINDOWS 7 /WINDOWS XP
WIRELESS , BLUE TOOTH .
 
TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
 
CALL : 0718 637905
0786 806028
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment