Ndugu Jonathan wakati mwingine weka pembeni ushabiki wako wa kisiasa
na jaribu kutumia uzoefu pamoja na akili ya ziada kuchambua hoja za
watu. Inaelekea wewe ni muumini wa serikali ya awamu ya tatu na hivyo
kila kinachakuja mbele yako huna sababu ya kuwa na swali bali kusifia
tu.
Unapowatuhumu wenzio kuwa wana mtizamo HASI na kwamba wasanifu
hawakuwa na mawazo mgando si sawa, yawezekana ni wazungu hawana uzoefu
na magonjwa ya nchi za tropiki. si unajua fedha za kuomba zilivyo na
masharti? lakini pia ata kama ni wazoefu bado ni binadamu wanaweza
wasiwe perfect. Hukuweza kuona hoja zao kwa mapana yake.
Binafsi nakuona wewe kama ndo mtu mwenye mtazamo hasi na mawazo
mgando. Kwa haraka haraka karibu wachangiaji wote wana mawazo chanya
juu ya mradi huu, wameangalia mchoro kwa makini na kuweza kubaini
baadhi ya mambo ambayo wanahisi yangehitaji uboreshwaji. Jengo ni kitu
cha kudumu kwa miaka mingi hivyo kila tahadhari inayoweza kuchukuliwa
lazima ichukuliwe mapema. Siku nyingine ndugu Jonathan jitahidi
kuchungulia jambo au mchoro kama huu kwa makini ili na wewe ukachangie
namna ya kuboresha siyo kukurupuka na kusifia tu ukifikiri huo ndo
mchango na ushauri mzuri kwa serikali yako.
Wazo la kuwa na mradi huu ni la siku nyingi ata kabla ya serikali hii
ya awamu ya tatu kuwa madarakani hivyo unavyosema ni kazi ya serikali
hii ya awamu ya tatu si kweli. Siku zote serikali ina mipango ya muda
mfupi na mrefu serikali zote zinazofuata ni busara na sahihi
kuendeleza mipango iliyokwishapangwa na kutumia fedha za walala
hoi.Kutotekeleza mipango yote iliyolengwa kuboresha maisha ya
walalahoi basi hiyo ni serikali mufilisi.
Awamu zilizopita ziliweka mazingira bora kwa awamu hii kutekeleza
mipango waliyoanzisha kama ni kushukuru shukurani nyingi ziwaendee
waanzilishi siyo walioendeleza. Kutoa mfano wa kuifananisha serikali
na baba si kweli watoto ndani ya familia hawampigii kura mtu ili awe
baba na wala awamuapishi kulinda katiba na wala baba hakusanyi kodi
kutoka kwa watoto ili afanye mradi anaopanga kufanya
2012/11/27 Jonathan Mnyela <jonathan.mnyela@gmail.com>:
> Habari wanabidii!
> Mpango wa kujenga hospital ya aina hii unastahili kupongezwa. Matarajio
> yangu nikuwa huduma zinazopatikana hapo zitakuwa nizahali ya juu na weredi.
>
> Serikali ya awamu ya nne inastahili pongezi kwa mipango madhubuti namna hii.
>
> Jambo la ajabu toka kwa Watanzania wenzangu wengi waliochangia wamekuwa na
> mtazamo HASI, siamini kama wasanifu wa mradi huu walikuwa na mawazo mgando
> juu ya swala la maegesho, usalama na mengineyo.
>
> Tuwena support kwa program za serikali yatu. Wewe baba yako ameleta chakula
> hata kabla hakijapikwa unaanza kuponda.
>
> On Nov 26, 2012 5:33 PM, "Fred Alphonce" <fredrick197958@yahoo.com> wrote:
>>
>>
>>
>>
>>
>> Wapendwa huu mjengo wa quality!
>>
>> Michoro ya ujenzi wa Kampasi ya Mloganzila iliyo katikati ya Wilaya za
>> Kisarawe Mkoa wa Pwani na Kinondoni Mkoa wa Dar es salaam ambayo ni sehemu
>> ya Hospitali kuu ya Muhimbili inajengwa kwenye eneo la ekari 3800 kwa ajili
>> ya kutolea mafunzo kwa wanafunzi wa udaktari na huduma za Afya wapatao
>> 15,000 kwa mwaka, na pia itakua sehemu ya kutolea matibabu ya maradhi yote
>> makuu na ya kawaida nchini.
>> Ujenzi wa Hospitali hii, ambayo pesa ya ujenzi wake imeshapatikana,
>> unatarajiwa kuanza mwishoni mwa mwezi Januari, 2013 na unatarajiwa
>> kukamilika miaka miwili baada ya ujenzi kuanza. Tayari wataalamu na
>> wafanyakazi wanaotarajiwa kufanya kazi katika kampasi ya Mloganzila
>> wameshaanza mafunzo ndani na nje ya nchi. Mara hospitali hiyo kubwa na ya
>> kisasa itakapokamilika itakua na uwezo wa vitanda vya kulaza wagonjwa mia
>> sita (600). Hii ni mojawapo ya juhudi za serikali ya awamu ya nne katika
>> kuhakikisha nchi inaondokana na adha ya kupeleka wagonjwa nje ya nchi kwa
>> ajili ya matibabu.
>>
>> Visit a youtube site for more audiovisual
>> http://www.youtube.com/watch?feature=player_embedded&v=DLzsq3JiUYA
>>
>>
>> --
>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>> nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>> DELL LATITUDE D 620 & D30
>>
>> 80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,2 GB RAM
>> DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
>>
>> TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
>>
>> CALL : 0786 806028
>> Free Delivery in Dar es salaam
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> DELL LATITUDE D 620 & D30
>
> 80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,2 GB RAM
> DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
>
> TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
>
> CALL : 0786 806028
> Free Delivery in Dar es salaam
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
DELL LATITUDE D 620 & D30
80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,2 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment