Eleza maegesho ya kutosha yako wapi? Angalia suala la usalama na hata magonjwav ya kuambukiza ni ujenzi huo. Hapa Marekani majengo yote ya hospitali yana kanuni zake na hairuhusiwi ujenzi uanze mpaka wasanifu wa pili wafanyie upekuzi michoro ili kukidhi haya tuyasemayo. Tuache ulimbukeni, kila kitu kinahitaji umakini, siyo ili mradi kipo.
Matinyi.
T-Mobile. America's First Nationwide 4G Network
----- Reply message -----
From: "Jonathan Mnyela" <jonathan.mnyela@gmail.com>
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Subject: [wanabidii] Fw: Muhimbili University New Campus
Date: Tue, Nov 27, 2012 10:24 am
From: "Jonathan Mnyela" <jonathan.mnyela@gmail.com>
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Subject: [wanabidii] Fw: Muhimbili University New Campus
Date: Tue, Nov 27, 2012 10:24 am
Habari wanabidii!
Mpango wa kujenga hospital ya aina hii unastahili kupongezwa. Matarajio yangu nikuwa huduma zinazopatikana hapo zitakuwa nizahali ya juu na weredi.
Serikali ya awamu ya nne inastahili pongezi kwa mipango madhubuti namna hii.
Jambo la ajabu toka kwa Watanzania wenzangu wengi waliochangia wamekuwa na mtazamo HASI, siamini kama wasanifu wa mradi huu walikuwa na mawazo mgando juu ya swala la maegesho, usalama na mengineyo.
Tuwena support kwa program za serikali yatu. Wewe baba yako ameleta chakula hata kabla hakijapikwa unaanza kuponda.
On Nov 26, 2012 5:33 PM, "Fred Alphonce" <fredrick197958@yahoo.com> wrote:
-- --
Wapendwa huu mjengo wa quality!Michoro ya ujenzi wa Kampasi ya Mloganzila iliyo katikati ya Wilaya za Kisarawe Mkoa wa Pwani na Kinondoni Mkoa wa Dar es salaam ambayo ni sehemu ya Hospitali kuu ya Muhimbili inajengwa kwenye eneo la ekari 3800 kwa ajili ya kutolea mafunzo kwa wanafunzi wa udaktari na huduma za Afya wapatao 15,000 kwa mwaka, na pia itakua sehemu ya kutolea matibabu ya maradhi yote makuu na ya kawaida nchini.
Ujenzi wa Hospitali hii, ambayo pesa ya ujenzi wake imeshapatikana, unatarajiwa kuanza mwishoni mwa mwezi Januari, 2013 na unatarajiwa kukamilika miaka miwili baada ya ujenzi kuanza. Tayari wataalamu na wafanyakazi wanaotarajiwa kufanya kazi katika kampasi ya Mloganzila wameshaanza mafunzo ndani na nje ya nchi. Mara hospitali hiyo kubwa na ya kisasa itakapokamilika itakua na uwezo wa vitanda vya kulaza wagonjwa mia sita (600). Hii ni mojawapo ya juhudi za serikali ya awamu ya nne katika kuhakikisha nchi inaondokana na adha ya kupeleka wagonjwa nje ya nchi kwa ajili ya matibabu.Visit a youtube site for more audiovisualhttp://www.youtube.com/watch?feature=player_embedded&v=DLzsq3JiUYA
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
DELL LATITUDE D 620 & D30
80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,2 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--

0 comments:
Post a Comment