Au unataka kusema ndo wametuona matahila kiasi hicho kwamba ata hizi ahadi za sasa hivi ikifika 2015 tutakuwa hatukumbuki?. Hizi ndizo deal za hao jamaa.
Mradi huu ni mzuri lakini yawezekana ikawa ndo hivyo tena ukaishia kwenye magazeti. Tunachoweza ambulia sisi akina pangu pakavu ni miradi kama hiyo bila kujali kama ni masalia au vinginevyo
2012/11/27 Nyabenda Juma <jngama@yahoo.co.uk>
Ni habari njema, but, miradi mikubwa kama hiyo hubali kwenye michoro zaidi kabla ya kutekelezwa kama siyo kutelekezwa. ninayo mifano mingi:DART AMBAYO INATEKELEZWA SASA ilikuwa kwenye makablasha kwa miongo kadhaa, vivyo hivyo jukwaa la kigamboni bila kusahau mradi wa machinjio ya kisasa wa Ruvu ambao muda uliopangiwa kuwa umekamilika umekwisha pita na mradi haujafika hata onethird. tusisahau na mradi wa machinjio ya kisasa wa KILTEX ambao pesa zilikuwa mobilized kisha zikaliwa na mradi ukafutwa.
From: Fred Alphonce <fredrick197958@yahoo.com>
Subject: [wanabidii] Fw: Muhimbili University New Campus
To: "wababidii" <wanabidii@googlegroups.com>, "TAFESAssociates@yahoogroups.com" <TAFESAssociates@yahoogroups.com>
Date: Monday, 26 November, 2012, 14:33
--
Wapendwa huu mjengo wa quality!Michoro ya ujenzi wa Kampasi ya Mloganzila iliyo katikati ya Wilaya za Kisarawe Mkoa wa Pwani na Kinondoni Mkoa wa Dar es salaam ambayo ni sehemu ya Hospitali kuu ya Muhimbili inajengwa kwenye eneo la ekari 3800 kwa ajili ya kutolea mafunzo kwa wanafunzi wa udaktari na huduma za Afya wapatao 15,000 kwa mwaka, na pia itakua sehemu ya kutolea matibabu ya maradhi yote makuu na ya kawaida nchini.
Ujenzi wa Hospitali hii, ambayo pesa ya ujenzi wake imeshapatikana, unatarajiwa kuanza mwishoni mwa mwezi Januari, 2013 na unatarajiwa kukamilika miaka miwili baada ya ujenzi kuanza. Tayari wataalamu na wafanyakazi wanaotarajiwa kufanya kazi katika kampasi ya Mloganzila wameshaanza mafunzo ndani na nje ya nchi. Mara hospitali hiyo kubwa na ya kisasa itakapokamilika itakua na uwezo wa vitanda vya kulaza wagonjwa mia sita (600). Hii ni mojawapo ya juhudi za serikali ya awamu ya nne katika kuhakikisha nchi inaondokana na adha ya kupeleka wagonjwa nje ya nchi kwa ajili ya matibabu.Visit a youtube site for more audiovisualhttp://www.youtube.com/watch?feature=player_embedded&v=DLzsq3JiUYA
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
DELL LATITUDE D 620 & D30
80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,2 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:
Post a Comment