Monday, 19 November 2012

Re: [wanabidii] Askofu Kilaini Akanusha Kuzungumza Na Gazeti La Mwananchi Kuhusu CCM - Mwanzo

Edgar,
Nimesema kwamba nimeondoa neno KUMSHUGHULIKIA nimelifuta on record. Tuendelee na mjadala.
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

From: Edgar Mbegu <embegu@hotmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Mon, 19 Nov 2012 11:30:30 +0000
To: Wanabidii Mawazo<wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: RE: [wanabidii] Askofu Kilaini Akanusha Kuzungumza Na Gazeti La Mwananchi Kuhusu CCM - Mwanzo

Ludovick, kama Askofu kalikoroga, nadhani ni mtazamo wako na baadhi ya wanabidii. It is not an absolute truth.
Ninachoshangaa, ni kwamba, baada ya hoja zote alizotoa Bwana Neville, ambazo kwa wengine, na hasa mimi kuonekana zina mapungufu, kaamua kumwaga vitisho dhidi ya Askofu jukwaani. "Kumshughulikia" maana yake nini? Ndiyo kazi yake kuu kama Mwandishi au mhariri au whatever wa media kubwa namna hii kama Mwananchi? Hana namna nyingine ya ku handle issue kama hii isipokuwa kwa vitisho vya "kumshughulikia" mtu? Ndo maana nikamshauri kwamba hivyo vitisho vya "kumshughulikia" Askofu amwandikie yeye na siyo kuvileta hapa jukwaani ambapo watu tunajadiliana kwa hoja na tunaweza kukubaliana kutokubaliana! Huko nyuma, mtu mmoja aliwahi kutushauri kwamba kabla ya ku-post hoja humu, ni vyema kuisoma mara kadhaa. Nadhani ushauri huu bado ni valid.


Date: Mon, 19 Nov 2012 14:17:05 +0300
Subject: Re: [wanabidii] Askofu Kilaini Akanusha Kuzungumza Na Gazeti La Mwananchi Kuhusu CCM - Mwanzo
From: josephludovick@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com

Nadhani Mbegu unakumbuka vizuri swala la askofu wa zimbabwe? kwa hiyo Meena anaposema anaweza kumshughulikia askofu anaweza.kumbuka atamshughulikia!

2012/11/19 Edgar Mbegu <embegu@hotmail.com>
Nadhani Neville hiyo ndiyo mwisho wa hoja yako. Vitisho! Hivyo vitisho dhidi ya Askofu kilaini unavyoviweka hapa, mwandikie yeye mwenyewe kwamba "utamshughulikia". Kwa wengine wetu, Mwananchi limeandika habari ya uongo!


Subject: Re: [wanabidii] Askofu Kilaini Akanusha Kuzungumza Na Gazeti La Mwananchi Kuhusu CCM - Mwanzo
To: wanabidii@googlegroups.com
From: nevilletz@gmail.com
Date: Mon, 19 Nov 2012 11:04:45 +0000


Sasa ndiko kwenye haki. Yeye hajalalamika hadi sasa. Tukiamua kumshughukia Kilaini, itakuwa aibu.
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

Date: Mon, 19 Nov 2012 10:50:56 +0000
Subject: Re: [wanabidii] Askofu Kilaini Akanusha Kuzungumza Na Gazeti La Mwananchi Kuhusu CCM - Mwanzo


Najaribu kusoma busara ya waandishi wanapobanwa kwenye kona bila kujali kama Askofu ameandika mwenyewe hiyo habari au ni propaganda!

Kumbe ni raha kuwabana watu mnapohoji nyinyi ila mkibananishwa nyinyi majibu mepesi tu eti " aende mahakaman" badala ya kujibu hoja za msingi

Kweli kazi ipo

Taratibu tutafika
Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network

Date: Mon, 19 Nov 2012 05:47:39 -0500
Subject: Re: [wanabidii] Askofu Kilaini Akanusha Kuzungumza Na Gazeti La Mwananchi Kuhusu CCM - Mwanzo

Mbuba,
Mtoi yuko safi kabisa kwenye hili. Msome tena.
Matinyi.




T-Mobile. America's First Nationwide 4G Network

----- Reply message -----
From: "weston mbuba" <matutetz@yahoo.com>
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Subject: [wanabidii] Askofu Kilaini Akanusha Kuzungumza Na Gazeti La Mwananchi Kuhusu CCM - Mwanzo
Date: Mon, Nov 19, 2012 4:10 am


Mtoi,
Matinyi atakuambia una hoja dhaifu. Shauri yako.

--- On Sun, 11/18/12, Mohamedi Mtoi <mouddymtoi@gmail.com> wrote:


From: Mohamedi Mtoi <mouddymtoi@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] Askofu Kilaini Akanusha Kuzungumza Na Gazeti La Mwananchi Kuhusu CCM - Mwanzo
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sunday, November 18, 2012, 11:16 PM



Hivi askofu Kilaini jina lake sahihi la mwanzo ni nani?

1. Methodius, au Method? (Au yote mawili ni majina yake sahihi?)

2. Na utaratibu wa maaskofu kukanusha habari wanazo ona hazija watendea haki ukoje? Kwa maana nani msemaji wa askofu? Ni Mpiga picha wa ikulu (Ikulu ndio msemaji?) Au ni yeyote aliyekuwa kwenye system kama anataka ku-polish maneno ya askofu?
Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network


From: nevilletz@gmail.com
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Mon, 19 Nov 2012 07:07:38 +0000
To: <wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Askofu Kilaini Akanusha Kuzungumza Na Gazeti La Mwananchi Kuhusu CCM - Mwanzo

Kiuthibitisha nini? Siyo kazi yangu hiyo maana sitafutwi kulalamikiwa!
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania


From: Lutgard Kagaruki <lutgardk@yahoo.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sun, 18 Nov 2012 22:32:50 -0800 (PST)
To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Askofu Kilaini Akanusha Kuzungumza Na Gazeti La Mwananchi Kuhusu CCM - Mwanzo



Neville,


Wewe unaona ugumu gani kupiga simu kwa Askofu kuthibitisha? LKK

 







From: "nevilletz@gmail.com" <nevilletz@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Monday, November 19, 2012 9:06 AM
Subject: Re: [wanabidii] Askofu Kilaini Akanusha Kuzungumza Na Gazeti La Mwananchi Kuhusu CCM - Mwanzo

Weston,
Wewe si umeona hapa kila nikiuliza ilikotoka taarifa ya Askofu Kilaini hakuna anayesema. Hata walioiweka hapa hawataki kusema walikoitoa. Wanaufahamu mchezo mzima wa taarifa hiyo kaka!

Nchi hii hatari sana. Kutumia nguvu kubwa kushughulikia vitu vidogo na kuacha mambo ya msingi.
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

-----Original Message-----
From: weston mbuba <matutetz@yahoo.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sun, 18 Nov 2012 21:48:54
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Askofu Kilaini Akanusha Kuzungumza Na Gazeti La
Mwananchi Kuhusu CCM - Mwanzo


Tehe! Tehe! Tehe! Meena Bw acha vituko. Yaani una maana ikulu imekuwa msemaji wa Mhashamu Askofu Kilaini? Kwamba imekuwa ni Afisa Uhusiano wa Kilaini!! Au Ikulu ndo mwanasheria wa Kilaini? Na nilimsikia Mkuu wa Kaya akishadidisha kuwa Mhashamu kasingiziwa. Angalieni yasijekuwakuta ya MWANAHALISI. I miss MWANAHALISI. MWANANCHI should not go the same way as MWANAHALISI.  ------------------------------ On Sun, Nov 18, 2012 21:28 PST nevilletz@gmail.com wrote:  >Katika journalism kuomba radhi unapokosea ni jambo la kawaida. Sisi tunaofanya kazi ambazo ni subject to public scrutiny huwa hatuna cha kuficha. >  >Kama tumeandika ujinga au upuuzi kesho yake tu watu wanatusoma na kutwambia, tofauti na wengine ambao upuuzi au ujinga katika kazi zao unaweza kugundulika even after ten years tangu ufanyike, huku ukiwa umeishasababisha madhara makubwa kwa watu au nchi. > >Nina sababu za kuuliza ilikotoka Press Release ya Askofu Kilaini kwa sababu kwa mujibu wa
maelezo
yaliyopo hapa sisi ndo tumemkosea, taarifa kwamba tumemlisha maneno inatokea Ikulu, kweli ni sahihi? > >Mpaka leo tunapozungumza, Kilaini hajapiga simu Mwananchi wala kutuandikia kutulaumu kwamba alilishwa maneno. Hata sisi tumeona hiyo memo ikizunguka kwa mitandao. > >Ndiyo maana inakuwa vigumu kusema chochote, maana kwa mtu kama yeye ambaye karibu kila wiki huzungumza nasi, leo hii tulikuwa na sababu gani ya kumlisha maneno. > >Kwamba tumlishe maneno kwa hiyo story ili nini na iweje? Labda niweke wazi hapa, kwa policy ya MCL kosa la kumlisha mtu maneno ni la kumfukuzisha mtu kazi bila hata kupewa nafasi ya kujitetea. Hakuna mtu mpuuzi wa kufanya hilo tena kwa lead story kama ile. > >Kwa nature ya story mnavyoiona, it was an interview based story kwa watu mbalimbali. It is on record kwamba Askofu Kilaini alizungumza na sisi. Na mpaka sasa asubuhi hii hajalalamika kwa njia yoyote ile kwetu kwamba alilishwa maneno. > >Ndiyo maana niliuliza hiyo memo ya
malalamiko ilitumwa wapi au imetokea njia ipi? Sisi kama walalamikiwa wa kwanza, tulipaswa kupata hiyo taarifa kutoka kwa Kilaini mwenyewe hata kama ingekuwa ni simu. > >Wapo watu wengi tunawakosea. Lakini hawajawahi kupeleka taarifa zao Ikulu kwanza ili Ikulu isambaze kwenye Blogs.  >Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania > >-----Original Message----- >From: gm26may@gmail.com >Sender: wanabidii@googlegroups.com >Date: Mon, 19 Nov 2012 04:34:25  >To: <wanabidii@googlegroups.com> >Reply-To: wanabidii@googlegroups.com >Subject: Re: [wanabidii] Askofu Kilaini Akanusha Kuzungumza Na Gazeti La > Mwananchi Kuhusu CCM - Mwanzo > > >Nadhan kwa swala hili Nevile na Mwananchi yake wamechemsha > >Badala ya kututhibitishia kama kweli walihojiana na Kilaini na kusema aliyoyasema wanapiga blah blah > >Meena unakazania kutuuliza sisi kuwa Kilain alifanya press conference wap kukanusha lakin pia hutwambii alifanya press conference wapi kuyatamka
hayo mliyoandika > >Kama mmekosea ombeni radhi kwani Muungwana ni vitendo na Mwananchi linasomwa na watu wote wakiwepo wanaoongozwa na huyo Askofu > >Huwezi kulazimisha kila mtu atumie njia unayotaka au kuamini wewe kukanusha au kutoa habari yoyote > >Asalaam Aleikhum > > > >  >Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network > >-----Original Message----- >From: Lushengo Lutinwa <lutinwa@gmail.com> >Sender: wanabidii@googlegroups.com >Date: Mon, 19 Nov 2012 07:24:20  >To: <wanabidii@googlegroups.com> >Reply-To: wanabidii@googlegroups.com >Subject: Re: [wanabidii] Askofu Kilaini Akanusha Kuzungumza Na Gazeti La > Mwananchi Kuhusu CCM - Mwanzo > >Ludovick , > >Hebu sema, kila unapo-comment kwenye hi thread unatangaza "conflict of >interest". ni zipi hizo? is he your mentor? Unakuwa mbogo when the bishop >is maligned, I know RC reveres their church leaders no matter what they >do/say > >Twambie. > >LL > >2012/11/19 matinyi@hotmail.com
<matinyi@hotmail.com> > >> Ludovick, >> Shauri yako kama unamwabudu mwanadamu mwenzako. Kwa mujibu wa alichosema >> mwaka ule, busara zake ziko wapi? >> >> Matinyi. >> >> >> >> >> T-Mobile. America's First Nationwide 4G Network >> >> ----- Reply message ----- >> From: "Joseph Ludovick" <josephludovick@gmail.com> >> To: <wanabidii@googlegroups.com> >> Subject: [wanabidii] Askofu Kilaini Akanusha Kuzungumza Na Gazeti La >> Mwananchi Kuhusu CCM - Mwanzo >> Date: Sun, Nov 18, 2012 6:03 pm >> >> >> Matinyi chunga kauli yako.unaweza wewe ukawa wa hovyo kipeuo cha pili kabla >> ya baba askofu.japo siingilii mjadala wenyewe kwa sasa kwa sababu za >> conflict of interest.lakini kauli rejareja tu juu ya kilaini kama >> unavyomuita huyu siyo matinyi..usinitafutie kufungiwa hapa.acha huo uovyo >> wako.kampeti obama na sera zake za kwenye suruali zetu >> >> 2012/11/18 <nevilletz@gmail.com> >> >> > ** >> >> > Kuna swali nimeuliza sana tangu jana halijibiwi, hiyo
taarifa ya Kilaini >> > ilitangazwa wapi? Kuna media yoyote kwa maana ya gazeti ilitumiwa au >> > aliyeiweka hapa aliipata wapi? >> > Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania >> > ------------------------------ >> > *From: *matinyi@hotmail.com <matinyi@hotmail.com> >> > *Sender: *wanabidii@googlegroups.com >> > *Date: *Sun, 18 Nov 2012 12:13:24 -0500 >> >> > *To: *<wanabidii@googlegroups.com> >> > *ReplyTo: *wanabidii@googlegroups.com >> > *Subject: *Re: [wanabidii] Askofu Kilaini Akanusha Kuzungumza Na Gazeti >> > La Mwananchi Kuhusu CCM - Mwanzo >> > >> > Muulize mbona hakukana ile ya chaguo la Mungu. Siasa inamhusu nini? >> > >> > T-Mobile. America's First Nationwide 4G Network >> > >> > ----- Reply message ----- >> > From: "Telesphor Magobe" <tmagobe@gmail.com> >> > To: <wanabidii@googlegroups.com> >> > Subject: [wanabidii] Askofu Kilaini Akanusha Kuzungumza Na Gazeti La >> > Mwananchi Kuhusu CCM - Mwanzo >> > Date: Sun, Nov 18,
2012 11:19 am >> > >> > >> > Matinyi, Kilaini anaweza kuwa "hovyo" kama unavyodai lakini je akubali tu >> > ambacho hajasema hata kama ni yeye hovyo? >> > >> > >> > 2012/11/18 matinyi@hotmail.com <matinyi@hotmail.com> >> > >> > > Huyu mtu aitwaye Kilaini sipendi kusikia kelele zake. Hovyo kabisa, >> > > akahubiri kanisani kwake huko. >> > > Matinyi. >> > > >> > > >> > > >> > > >> > > T-Mobile. America's First Nationwide 4G Network >> > > >> > > >> > > ----- Reply message ----- >> > > From: "Joseph Ludovick" <josephludovick@gmail.com> >> > > To: <wanabidii@googlegroups.com> >> > > Subject: [wanabidii] Askofu Kilaini Akanusha Kuzungumza Na Gazeti La >> > > Mwananchi Kuhusu CCM - Mwanzo >> > > Date: Sun, Nov 18, 2012 6:21 am >> > > >> > > >> > > Nilimaanisha Edgar Mbegu.samahani >> > > >> > > 2012/11/18 Joseph Ludovick <josephludovick@gmail.com> >> > > >> > > > hii kitu imekaa kimtego mtego nami natangaza mgongano wa kimaslahi.so >> > > > nitakuwa silent
mpaka nitakapoona structure ya ukweli inaanza >> > > kutokea.Edgar >> > > > Mbega fuatilia hii kitu kwa ajili yetu,na wana mabadiliko fuatilia >> hii >> > > > kitu. >> > > > >> > > > >> > > > 2012/11/18 Edgar Mbegu <embegu@hotmail.com> >> > > > >> > > >> Mngonge, Mwananchi wathibitishe sasa ili ukweli uwekwe wazi! >> > > >> >> > > >> ------------------------------ >> > > >> > > >> Date: Sun, 18 Nov 2012 12:30:31 +0300 >> > > >> >> > > >> Subject: Re: [wanabidii] Askofu Kilaini Akanusha Kuzungumza Na >> Gazeti >> > La >> > > >> Mwananchi Kuhusu CCM - Mwanzo >> > > >> From: mngonge@gmail.com >> > > >> To: wanabidii@googlegroups.com >> > > >> >> > > >> >> > > >> Mwanzo nilifikiri kwamba pengine mwandishi wa habari hiyo alikosea >> > jina >> > > >> lakini kwa sasa naona jina halikukosewa. Tatizo ni ama yeye >> (Kilaini) >> > > >> anakana alichosema au gazeti la mwananchi limempachika maneno >> mdomoni. >> > > >> Mbona kumaliza ubishi huo ni rahisi,
kinachotakiwa kufanywa na >> gazeti >> > la >> > > >> mwananchi ni kutoa ushahidi ambao utatufanya kuliamini na kumshangaa >> > > sana >> > > >> mchungaji huyu wa kondoo wa Bwana. >> > > >> >> > > >> Gazeti la Mwananchi ni gazeti linalopendwa na watu wengi hapa >> Tanzania >> > > >> kwa sababu ya kuandika habari zenye ukweli na zinazojitosheleza. >> > Pamoja >> > > na >> > > >> kwamba sijafanya utafiti yawezekana linaongoza kwa kuuza nakala >> > nyingi.. >> > > Ni >> > > >> juu ya uongozi wa gazeti hili kujisafisha kwa kutujulisha namna >> > > walivyopata >> > > >> habari lalamikiwa toka kwa huyo kiongozi wa kanisa. >> > > >> >> > > >> 2012/11/17 <nevilletz@gmail.com> >> > > >> >> > > >> Kweli ana haki, >> > > >> Kalalamika wapi na kwa nani? Kaitisha press conference au hiyo >> taarifa >> > > >> katuma wapi? >> > > >> Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania >> > > >> ------------------------------ >> > > >> *From: *Edgar Mbegu
<embegu@hotmail.com> >> > > >> *Sender: *wanabidii@googlegroups.com >> > > >> *Date: *Sat, 17 Nov 2012 11:19:51 +0000 >> > > >> *To: *Wanabidii Mawazo<wanabidii@googlegroups.com> >> > > >> *ReplyTo: *wanabidii@googlegroups.com >> > > >> *Subject: *RE: [wanabidii] Askofu Kilaini Akanusha Kuzungumza Na >> > Gazeti >> > > >> > > >> La Mwananchi Kuhusu CCM - Mwanzo >> > > >> >> > > >> >> > > >> Ina maana Neville alikuwa hajaiona habari hii? Hoja ya msingi ni >> > kwamba >> > > >> Askofu Kilaini anasema kwamba hajazungumza na chombo chochote cha >> > habari >> > > >> kuhusu mambo ya chaguzi za ccm. Sasa ni kazi ya gazeti la Mwananchi >> > > >> kuthibitisha kweli kwamba Askofu alihojiwa na akasema hayo. >> Vinginevyo >> > > >> itabidi Gazeti la Mwananchi liombe radhi. Kwa upande mwingine, >> nadhani >> > > >> Neville amekurupuka kusema kwamba Askofu Kilaini ni kiroboto, kwani >> > > >> hajatuthibitishia kweli kwamba kauli iliyoandikwa na Mwanachi ni ya >> > >
Askofu >> > > >> Kilaini. Hata hivyo, kama Kilaini anahisi kasingiziwa, ana haki ya >> > > >> kulalamika na kukanusha kwa kufuata njia ambazo yeye anaona zinafaa. >> > > >> ------------------------------ >> > > >> > > >> Date: Sat, 17 Nov 2012 18:02:49 +0700 >> > > >> Subject: Re: [wanabidii] Askofu Kilaini Akanusha Kuzungumza Na >> Gazeti >> > La >> > > >> Mwananchi Kuhusu CCM - Mwanzo >> > > >> From: hamisznz@gmail.com >> > > >> To: wanabidii@googlegroups.com >> > > >> >> > > >> Habari ya mwananchi inayolalamikiwa ni hii hapa >> > > >> >> > > >> > >> http://www.mwananchi.co.tz/habari/Kitaifa/-/1597296/1621274/-/11ojkjk/-/index.html >> > > >> >> > > >> >> > > >> >> > > >> 2012/11/17 <nevilletz@gmail.com> >> > > >> >> > > >> ** >> > > >> > > >> Haiwezekani Askofu asingiziwe halafu alalamike Ikulu. Taarifa rasmi >> > > >> ingetolewa na ofisi yake tena kwa vyombo vya habari likiwamo >> > Mwananchi.. >> > > >> >> > > >> Kitendo cha kupitisha taarifa hiyo
kwa mpigapicha wa Rais Ikulu, >> > > kinaleta >> > > >> mashaka makubwa sana. Viroboto, kila mahali, hadi Kanisani sasa >> > > tutamwamini >> > > >> nani? >> > > >> Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania >> > > >> ------------------------------ >> > > >> *From: *mngonge <mngonge@gmail.com> >> > > >> *Sender: *wanabidii@googlegroups.com >> > > >> *Date: *Sat, 17 Nov 2012 13:24:05 +0300 >> > > >> *To: *<wanabidii@googlegroups.com> >> > > >> *ReplyTo: *wanabidii@googlegroups.com >> > > >> *Subject: *Re: [wanabidii] Askofu Kilaini Akanusha Kuzungumza Na >> > Gazeti >> > > >> > > >> La Mwananchi Kuhusu CCM - Mwanzo >> > > >> >> > > >> kwa vile e mail address ya Kilaini ipo hapo chini ya message ya >> > Reginald >> > > >> Miruko naomba Nevilletz uwasiliane na askofu kilaini moja kwa moja >> > > kuhusu >> > > >> ukweli wa taarifa hiyo ya kukanusha iliyosambazwa kwa vyombo na hao >> > watu >> > > >> mbalimbali tulioorodheshewa. >> > > >> >>
> > >> Nasema hivyo kwa sababu inawezekana kuna watu wa politiq wameiteka >> > email >> > > >> yake na hivyo kutibua mambo. Kwa mawasiliano zaidi nakupa simu ya >> > askofu >> > > >> huyo ili upate habari ya uhakika. Simu yake siyo siri sana maana >> yeye >> > ni >> > > >> kiongozi wa kanisa na hivyo uwasiliana na waumini mbalimbali ( Mob. >> > > Phone >> > > >> No. 0786262836) >> > > >> >> > > >> 2012/11/17 Reginald Miruko <rsmiruko@gmail.com> >> > > >> >> > > >> Meena unahangaika na nini? Huyu Kilaini aliamua kulalamika Ikulu. >> > > >> Nimefuatilia mawasiliano yake na Issa Michuzi, wa Kitengo cha >> > > Mawasiliano >> > > >> ya Rais, Ikulu. Inaonyesha Tamko lake la kukanusha alilituma kwa >> > Michuzi >> > > >> (sijui aliombwa, au alilazimishwa), na yeye Michuzi akafanya kazi ya >> > > >> kulisambaza kwenye vyombo vya habari na watu wengine aliowachagua >> > kadri >> > > >> alivyoweza.. Huenda na huyu mleta mada ambaye hajajitokeza kusema >> > kapata
>> > > >> wapi, alitumiwa na Michuzi, au amechukua kwenye mitandao ya kijamii. >> > > >> Angalia hapa chini: >> > > >> >> > > >> From: MUHIDIN MICHUZI [issamichuzi@gmail.com] >> > > >> Sent: Friday, November 16, 2012 11:35 AM >> > > >> To: begumkarim@gmail.com; woindeshizza@yahoo.com; >> dande15us@yahoo.com >> > ; >> > > >> mtanzania95@yahoo.co.uk; daimanews@yahoo.com; >> fidelismbaze@yahoo.com; >> > > >> fungoomar@yahoo.com; omar.fungo1@gmail.com; guardiantz@yahoo.com; >> > > >> uhurunews@yahoo.com; mwananchipapers@yahoo.com; >> muhidinuk@yahoo.co.uk >> > ; >> > > >> majira2006@btl.co.tz; majira2006@yahoo.com; habarizapicha@gmail.com >> ; >> > > >> fadhiliakida@gmail.com; rmwaikenda@yahoo.com; >> > > jesse.kwayu@guardian.co.tz; >> > > >> badijohn30@yahoo.co.uk; mpochisel@yahoo.com; rmwangulube@yahoo.com; >> > > >> haki.yako@gmail.com; selemaninzaro@yahoo.co.uk; gogobichi@yahoo.com >> ; >> > > >> mohammedzahor@live.com; antonysiame74@yahoo.com;
alumwene@gmail.com >> ; >> > > >> albartjackson@yahoo.com; saidk20@yahoo.com; kalimanzila@yahoo.co.uk >> ; >> > > >> zanzibarleoo@yahoo.co.uk; mbeyayetu@yahoo.com; rokanda01@gmail.com; >> > > >> sagatik@yahoo.com; uhurutz@yahoo.com; rokanda01@yahoo.com; >> > > >> makamutz@gmail.com; contentsfolder@gmail.com; mmaliwanga@vpo.go.tz; >> > > >> othmanmichuzi@gmail.com; muftiiy@yahoo.com; >> > khatibsuleiman@hotmail.com; >> > > >> jerrykoto@yahoo.com; sskwayaya@yahoo.com; issamichuzi@gmail.com; >> > > >> mhamila1@gmail.com; rajabumhamila@yahoo.com; mrokim@gmail.com; >> > > >> francisgodwin2004@yahoo..com; zai_mzige@yahoo.com; >> > > >> jofreymwakibete@yahoo.com; bnkoromo@yahoo.com; johnbukuku@gmail.com >> ; >> > > >> dinazubeiry@gmail.com; mamapipiro@yahoo.com; amichuzi@gmail.com; >> > > >> lifatash@yahoo.com; salum_mwinyi83@yahoo.com; rwasinaa@yahoo.com; >> > > >> mjengwamaggid@gmail.com; machellahm@yahoo.com; janejohn02@gmail.com >> ; >> > > >>
othmanmaulid@gmail.com; mushi@thehabari.com; >> > farajakyarwenda@yahoo.com; >> > > >> josephat.lukaza@gmail.com; michietz@yahoo.com; >> > > edwardwilly2006@yahoo.com; >> > > >> jambonewspaper@yahoo.com; ombuguni@yahoo.co.uk; >> yusuf.badi@gmail.com; >> > > >> jubetranquilino@yahoo.com; manyerere@hotmail.com; >> deobalile@yahoo.com >> > ; >> > > >> nmwalyambi@vpo.go.tz; chaleslucas82@yahoo.com; >> > charleslucas82@yahoo.com >> > > ; >> > > >> majira@btl.co.tz; sautihuru@yahoo.com; alberkaw14@yahoo.com; >> > > >> rosemalale@yahoo.co.uk; cathbert39@gmail.com; magomba@gmail.com; >> > > >> magomba2004@yahoo.co.uk; saibokoblog@gmail.com; >> > stewart@theexpress.com; >> > > >> kasambalastewart@gmail.com; nipashe.gazeti@gmail.com; >> > > >> tchilala@hotmail.com; Abdul Saiboko; Absalom Kibanda; Ansbert >> > Ngurumo; >> > > >> Beda Msimbe; Benny Kisaka; Boniface Luhanga; C Mulinda; changamoto >> > > >> newspaper; Chris Mfinanga; Esther Mvungi; Gobulutsa; Godfrey
Lutego; >> > > Grace >> > > >> M Majira; H Mwadini; Habari Leo; Hilary Bujiku; Ikulu Mawasiliano; >> > Ikulu >> > > >> Press; Info Raia mwema; Jacqueline Liana; Jane M; Janet; Job; John >> > > Bwire; >> > > >> John Mapinduzi; Kiongozi gazeti; kulangwa@yahoo.com; MAELEZO; >> Magnus; >> > > >> Magori K; majira gazeti; Martin Malera; Mgaya Kingoba; >> > mwananchipapers; >> > > >> Mzalendo Npaper; National Website; news editor; News Editor Nipashe; >> > > >> Ngunge; Nipashe gazeti; Nipe Habari; Noor Shija; Nyakati Paper; PST; >> > > Radio >> > > >> Uhuru; Rai; Raia Mwema; RFI Kiswahili; Said Nguba; Salvator >> Rweyemamu; >> > > >> Salvator Rweyemamu; Sarah; Stella Nyemenohi; Tafakari; Tamali VULLU; >> > > Tazama >> > > >> Npaper; Theodatus Muchunguzi; Yahya Charahani; ZNZ Leo; Irene; >> Bakari >> > > >> Machumu; News Thecitizen; citizen paper; Express Newspaper; Fumbuka >> > > >> N'kilala; Ileta; Mbaraka Islam; mbena mwanat; Mwakisyala; >> > > >>
newsdesk@dailynews-tsn.com; Peter Nyanje; Shermax Ngahemera; The >> > > >> African; The Guardian; Thobias Nsungwe; zasose2007@hotmail.com; >> > > >> championiyetu2@gmail.com; fatmafereji@yahoo.com; >> > > >> bilal@bilal2010campaign.org; mkikwete@gmail.com; >> > > aminasalumali@yahoo.com; >> > > >> info@kikwete2010.co.tz; elly6083@gmail.com; elly6083@yahoo.co.uk; >> > > >> kwitemmanuel@gmail.com; team_bilal@bilal2010campaign.org; >> > > >> smpochi01@gmail.com; muhidinuk@gmail.com; Radio Uhuru FM; Jambo >> > London; >> > > >> nipashe_gazeti@yahoo.com; Mail Delivery Subsystem; Radio East >> Africa >> > > FM; >> > > >> yvonne kamuntu; ichikaeli maro; Esther Mbussi; RADIO CLOUDS; Mlimani >> > FM >> > > >> Radio; uhurunewspaper@yahoo.com; kwiteemmanuel@gmail.com; >> > > >> dinachahali@yahoo.com; badijohn30@gmail.com; Photo Mwananchi; >> > > >> joycemwak@yahoo.co; nmshija@gmail.com; khalfans2002@yahoo.com; >> > > >> postmaster@startv.com; Joyce Mhaville;
mlimani radio UDSM; TBC >> > > NEWSROOM; >> > > >> joyce mwakalinga; Choice FM Radio; C.G. FM Radio; >> kasabe100@yahoo.com >> > ; >> > > >> news@thisday.co.tz; mpoki Bukuku; habariclouds@hotmail.com; >> > > >> newsroom@startv.com; newsroom@startvtz.com; Radio Free Afrika; >> Kitulo >> > > >> Radio; TBC RADIO; theafrican@newhabari.com; Peter Nyanje; Radio 5 >> > > >> Arusha; Radio Free Africa (RFA); changamotonews1@gmail.com; >> > > >> ykayombo@yahoo.com; banyongo@yahoo.com; TANZANIA DAIMA; >> > > >> mailer-daemon@messagelabs.com; salvatori9@hotmail.com; Edwin >> Mjwahuzi >> > > >> Laurent; Habari Central; Independent Television; >> > postmaster@hotmail.com >> > > ; >> > > >> Magic FM Radio; Daily News TNS; mailer-daemon@yahoo.co.uk; Roderick >> > > >> LUTEMBEKA; Radio Uhuru FM; Qiblatain FM Radio; >> > > >> newsroom@radiofreeafrica.com; Daily TSN; Yusuf Badi; audax >> mutiganzi; >> > >

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 


--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment