Saturday, 24 November 2012

Re: [wanabidii] Absalom Kibanda : NAMUOGOPA ABDURAHMAN KINANA

Kwa hiyo unaona pamoja na kuonekana kujenga hoja zote hgizi hujui hata kama chadema watafuta vyeo vya kikoloni? Sasa wakati tunawakataa nnmakada wenu wakuu wa wilaya kuwa kwenye katiba mpya mbona mlisema hao ni watendaji wa serikali? Leo unawaita makada? Hooo! Yarabi
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

From: "Tony PT" <tony_uk45@yahoo.co.uk>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sat, 24 Nov 2012 14:27:38 +0000
To: <wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Absalom Kibanda : NAMUOGOPA ABDURAHMAN KINANA

Joseph,

Wewe ndiyo hukubali Kinana kiongozi wa serikali! Kinana ni KM wa chama Tawala, namba 3 kwenye chama tawala chini ya Kikwete. Kudekezwa kutolijua hili ndicho kimejenga dharau tunayoiona leo. Tangia sasa Chama ndicho mtawala na M'kiti wa wilaya ya Arusha ni Boss wa wilaya na hivyo Mkuu wa Wilaya ni Kada tu wa chama serikali na mtekelezaji wa Ilani ya chama.

Utaratibu huu ni vizuri ukauzoea, maana hata Chadema yako ikija kutawala utaratibu huu utabaki! Kudekeza serikali ikawa kama kaya isiyo na baba ndiko kumefikisha baadhi ya watendaji wa serikali kudharau uwepo wa chama tawala! Wavumilieni, ndio watawala wetu.

Sent wirelessly from my BlackBerry device on the Bell network.
Envoyé sans fil par mon terminal mobile BlackBerry sur le réseau de Bell.

From: josephludovick@gmail.com
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sat, 24 Nov 2012 14:16:58 +0000
To: <wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Absalom Kibanda : NAMUOGOPA ABDURAHMAN KINANA

Sasa bariki na wewe mbona hivi? Yani hujui kuwa dola linatumiwa na ccm kudhibiti chadema? Mfano hujui kuwa hata leo wamezuiwa kufanya mkutano kule arusha eti polisi inasema imezuia mikutano yote ya kisiasa ili kupisha ujio wa kinana. Sasa kinana ni kiongozi wa serikali? Na hata angekuwa,hiyo ni sababu ya kuzuia kazi za chama?.sasa hivi ccm na vyama washirika wake vyote vinaishambulia chadema.hii ndo sababu ya watu kuihurumia chadema. Rejea kauli ya JK ameomba ccm waache kutegemea polisi
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

From: Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sat, 24 Nov 2012 16:58:20 +0300
To: wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Absalom Kibanda : NAMUOGOPA ABDURAHMAN KINANA

Niliuliza kwanini chama kingine kikifanya jitihada zake za kukiimarisha chama hicho wengine hususan wafuasi/wapenzi wa Chadema wanaona hao wengine kama si mali kitu. Hivi kwani Watanzania lazima wawe ni watu wenye kufuata chama kimoja tu? ukiwa muumini na mfuasi wa ADC basi ni kosa kubwa kwani Jahazi Asili au NLD watakuona wewe ni msaliti huku Chausta nao wakitoa sababu zao na PPT - Maendeleo wakishutumu vile. Nafikiri ufike wakati kila mmoja ajipange kwa faida yake na sio kusakama juhudi/mipango ya chama kingine.

2012/11/24 Tony PT <tony_uk45@yahoo.co.uk>
Mo,

Kuibiwa kura ni sababu inayotumika kuridhisha nafsi za collectivist member of society (mwafrika). Kila failure, kifo, success ina sababu kwa mwafrika.
Hujakosea kitu, upo sahihi.
Sent wirelessly from my BlackBerry device on the Bell network.
Envoyé sans fil par mon terminal mobile BlackBerry sur le réseau de Bell.

From: "Mohamedi Mtoi" <mouddymtoi@gmail.com>
Date: Sat, 24 Nov 2012 11:17:32 +0000
Subject: Re: [wanabidii] Absalom Kibanda : NAMUOGOPA ABDURAHMAN KINANA

Move za kuogopa kuwekewa wezi na wanyang'anyi wa kura na wabakaji wa demokrasia ni move nzuri kuliko hewal bwana.
Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network

From: "Tony PT" <tony_uk45@yahoo.co.uk>
Date: Sat, 24 Nov 2012 10:14:30 +0000
Subject: Re: [wanabidii] Absalom Kibanda : NAMUOGOPA ABDURAHMAN KINANA

Joseph,

Naona hata mimi wanahaha kulalama hapa, nadhani wana hofu na move za wenzao!
Sent wirelessly from my BlackBerry device on the Bell network.
Envoyé sans fil par mon terminal mobile BlackBerry sur le réseau de Bell.

From: Joseph Kulangwa <kulangwa@yahoo.com>
Date: Sat, 24 Nov 2012 02:10:27 -0800 (PST)
Subject: Re: [wanabidii] Absalom Kibanda : NAMUOGOPA ABDURAHMAN KINANA

Ah mbona mimi naona kama hatua hii ya CCM inawajaza hofu wasioitaka! Au ni mawazo yangu?

From: RICHARD MGAMBA <rmgamba2000@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Friday, November 23, 2012 3:23 PM
Subject: Re: [wanabidii] Absalom Kibanda : NAMUOGOPA ABDURAHMAN KINANA

Mchili,

Leo hii wanasifiwa CCM eti kwa kuanzisha operesheni kagua utekelezaji wa ilani ya chama nchi nzima—lakini hakuna anayehoji "operesheni vua gamba" ambayo nayo ilianza kwa kasi hii chini ya akina Nape imefia wapi?

Operesheni vua gamba ilisifiwa na watu wale wale kwa namna ile ile, lakini ikafa kifo cha kawaida. Leo hii mafisadi au hao wanaoitwa mafisadi nadhani wameshinda—wakubwa wa Chama wako kimya—sasa tunaambiwa kuna operesheni ya chama kukagua miradi ya maendeleo.

Jambo kama hili lingekuwa na impacts wakati ule wa Chama kushika hatamu—wakati wa chama kimoja. Sijawahi kusikia chama tawala kinakaa katika NEC au CC na kuwa na tafakuri ya kina juu ya sera ya uwekezaji na hatima ya raslimali za nchi hii. Sasa inakuwaje leo eti wako mikoani kukagua utekekelezaji wa ilani?

 Huku ni kuhalalisha posho hasa kwa wateule wapya maana wamekuwa juu ya mawe kwa muda mpaka mmoja akatamka wazi kwamba siasa basi—lakini ghafla karejea kwa kasi mpya, nguvu mpya na ari mpya.

Kazi ipo

From: Joseph Ludovick <josephludovick@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Friday, November 23, 2012 12:52 PM
Subject: Re: [wanabidii] Absalom Kibanda : NAMUOGOPA ABDURAHMAN KINANA

he heeeee!

2012/11/23 Willy Makundi <wrlmakundi@aol.com>
Ndugu Mgamba shukurani nyingi kwa mwanga ulioangazia wateule hawa. Bila ya kujua nia na dhamira ya Absalom Kibanda kwenye safu hii, ningependa kuamini labda anawaasa wapinzani kuwa uwezo wa hawa viongozi wapya kutekeleza azma ya CCM kubaki madarakani kwa njia zozote zile ni mkubwa kuliko wale walioondolewa km Msekwa na Mukama. Kama hivyo ndivyo nadhani amevuka hata mstari kwa kuwapa umahiri wasiostahili. Having said that, a soldier preparing for war should never underestimate the enemy.

La msingi zaidi ulilozungumzia ni uwepo wa hii safu "mpya" wakati wa msimu wa maovu makubwa yaliyotendwa na CCM au serikali yake. Uuzaji wa tunu za taifa pamoja na kugawa raslimali zetu kwa makampuni ya kigeni bila faida ya kimsingi kwa taifa yamefanyika chini ya uongozi huu huu. Ufisadi uliokithiri ulitendeka wakati hawa wakiwa ni viongozi waandamizi wa Chama. Kwa mfano, Kinana amekuweko kwenye kitchen cabinet ya CCM miaka yote tangu wakati wa Mkapa hadi leo wakati wa Kikwete, na tujuavyo maamuzi mengi ya Chama hufanyika kwa consultation kupitia vyombo vyake, na kwa hiyo CCM imedorora wakati wakitoa mawaidha yao Sekretariat na Nec.

Wizi wote wa kura na mikakati ya kushinda kidhalimu kama kununua kadi na kuweka wakala pandikizi kwenye vyama vya upinzani tangu 1995 umefanyika chini ya uongozi wa Kinana. Unyang'anywaji ushindi chama cha CUF na kubatizwa kwa udhalimu huo huko visiwani 1995, 2000 na 2005 umefanyika chini ya uongozi huu wa CCM. Na hapa wala sijataja Mwembechai au Pemba kwani yamefanywa na serikali inayosimamiwa na uongozi huu "mpya" na haukuwahi kulaaniwa na Chama.

Kwa haya na mengine, sioni sababu ya upinzani kuweweseka eti kwa vile kuna viongozi wapya waliotukuka - Kinana, Mangula, Mehji nk. Wamekuwako wakati nchi ikiingizwa kwenye mfumo wa kifisadi na hawawezi kusimamia vita dhidi ya ufisadi ambayo ndilo tatizo kuu la zama hizi. Na kama inavyonong'onwa, bila shaka na wao ni sehemu ya muhimili wa ufisadi nchini. Hawa si ndio walihalalisha rushwa kwenye kura kwa kuibatiza na kuiita takrima?

Why is Kabanda so awestruck by Kinana may lie in what he knows about never stopping at anything to meet his goals. If so, the opposition is well aforewarned. In 2005 I heard him say, to paraphrase, "we want to sweep the opposition off the political landscape of this country". That is the geopolitical shortsightedness of the man Mr Kibanda seems to be scared of. Any longsighted statesman would want to harnes a formidable responsible opposition in order to stabilize and pacify the process of changing political leadership in the country, while being a watch dog to the ruling party. Kinana is far from this person.

My two cents,

mchilyi7.0

Willy Makundi
wrlmakundi@aol.com

-----Original Message-----
From: RICHARD MGAMBA <rmgamba2000@yahoo.com>
To: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Thu, Nov 22, 2012 6:01 pm
Subject: Re: [wanabidii] Absalom Kibanda : NAMUOGOPA ABDURAHMAN KINANA

Wasifu mzito na historia za kutukuka? Ninaheshimu sana mawazo ya Kibanda lakini nashindwa kujizuia kuhoji baadhi ya sifa alizotoa kwa hao anaowaita wateule. Kwanza ni kweli CCM imefanya ilichokifanya, lakini kinachotia shaka ni sifa wanazopewa hawa watu.

Mathalan, Kinana amekuwa Waziri wa Ulinzi, Spika wa Bunge la Afrika Mashariki, na hatimaye akawa kampeni Meneja wa Mkapa na Kikwete—sijui katika kipindi hicho alilifanyia taifa hili kitu ghani cha kutufanya tuseme ana wasifu mzito na historia iliyotukuka. Kampuni ya kinana na wenzake hawajalipa mabilioni waliyochota NSSF kwenda kujenga kiwanda cha madawa mikocheni—na mradi ukafa mpaka leo. Hizi siyo fedha za serikali, ni fedha zetu sisi watanzania wafanyakazi. Kamuulizeni, akikana mnione.

Pili, Philip Mangula alikuwa katibu mkuu kwa miaka kama kumi hivi wakati wa Mkapa, na akatuhumiwa na wana-mtandao hawa hawa kwamba alihongwa na kundi la Sumaye ili kumuhujumu JK katika mchakato wa 2005. Siyo hilo tu wakati wa kuchotwa kwa mabilioni ya EPA pale benki kuu upo ushahidi mkubwa kwamba alihusika kutoa recommendations kwa baadhi ya wachotaji kwa sharti la kwamba asilimia fulani inakwenda katika chama. Ushahidi upo na kama mnabisha katafuteni maelezo ya wakili Maregesi katika tume ya kuchunguza ufisadi huu, na pia ya kwake yeye Mwenyewe Mangula mbele ya tume.

Zakhia Meghji ndiye mliyemshambulia hapa katika vyombo vya habari kwamba hafai kuwa waziri eti kwa sababu ni fisadi tangu akiwa mali asili na hatimaye wizara ya fedha. Au mnataka kutuambia kwamba zile kashfa zilikuwa za kutunga ili hatimaye wateule wenu waingie katika baraza la mawaziri?

Mwigulu Nchemba naye anayo historia iliyotukuka ambayo iliandikwa lini na wapi?

 Napata shida sana kuona tunakuwa wepesi wa kutoa sifa badala ya kusubiri kuona utendaji wa wahusika hawa. Mangula alipogombea uenyekiti wa CCM akapigwa chini akalalama kama Sumaye na kusema uongozi ndani ya chama umekuwa ni wa kulangua kama bidhaa, lakini leo amerejea katika nafasi ya juu kwenye Chama ambacho uongozi unauzwa kama bidhaa.

Kwa kifupi, hawa jamaa ni wale wale waliokuwepo juzi, jana, na leo—hivyo kuwapa sifa kibao ni ushabiki usio na kifani. Tusubiri tuone makeke haya ya kuanza kwa mbwembwe—na hii ni kawaida ya CCM, maana hata 2006 walianza kwa kutembelea masoko yetu, kukagua madaraja, na sifa kibao, lakini leo, hali imegeuka. Kazi ipo.

From: Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com>
To: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Thursday, November 22, 2012 3:43 PM
Subject: Re: [wanabidii] Absalom Kibanda : NAMUOGOPA ABDURAHMAN KINANA

Makundi,

Usijisumbue kaka watu hawatakuelewa hapa jukwaani trust me.

2012/11/22 Willy Makundi <wrlmakundi@aol.com>
Kusema kuwa Kinana kauza meno ya tembo ni sawa na kusema mzee Mremi mwenye mabasi ya Dar Express anauza mirungi kwa vile kuna abiria mmoja alikutwa na kijaluba cha mirungi akiwa kwenye basi lake moja liendalo Nairobi. Sijaona ushahidi unaomhusisha Kinana na nyara zilizokamatwa.

mchilyi7.0

-----Original Message-----
From: Lushengo Lutinwa <lutinwa@gmail.com>
To: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Thu, Nov 22, 2012 3:24 pm
Subject: Re: [wanabidii] Absalom Kibanda : NAMUOGOPA ABDURAHMAN KINANA

Piece of RUBBISH, Mtu anauza meno ya tembo atakuwaje muadirifu?
LL

2012/11/22 Joseph Ludovick <josephludovick@gmail.com>:
> Nasikia hasira zinanipanda kwa article hii.hivi kibanda si amewahi kukiri
> kuwa alitumika na JK? au ndo kaanza tena mradi wa muda mrefu kuelekea 2015?
> nisaidieni na nisahihisheni
>
>
> 2012/11/22 Juma Mzuri <jumamzuri@gmail.com>
>>
>> Na Absalom Kibanda
>>
>> Kwa mara nyingine tena, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeandika historia
>> mpya baada ya kufanya mabadiliko mazito katika safu yake ya uongozi wa
>> kitaifa.
>>
>> Ni mabadiliko mazito si kwa sababu tu yamefanywa na CCM ambayo imekuwa
>> na rekodi ya kubadili sura za watendaji wake kwa namna na kwa njia
>> tofauti, bali kutokana na ukweli kwamba safari hii mabadiliko hayo
>> yamehusisha watu wazito, wenye historia ya kipekee katika medani ya
>> uongozi ndani na nje ya chama hicho.
>>
>> Ingawa kwa mtazamo wa haraka haraka, mabadiliko hayo yanaweza
>> yakaonekana kuwa ni ya kuyabeza au kuyapuuza kama ilivyotamkwa na
>> baadhi ya wadadisi wa mambo wakiwamo wachambuzi wa masuala ya siasa na
>> hata wanazuoni, ukweli unabaki pale pale kwamba kile kilichofanywa na
>> CCM kinaweka alama ya kipekee katika mwenendo wa siasa za kitaifa za
>> siku zijazo.
>>
>> Wasifu mzito na historia za kutukuka za baadhi ya wateule wanaounda
>> timu 'mpya' ya viongozi watendaji wa CCM kwa kiwango kikubwa ndicho
>> kitu kikubwa pekee kinachosababisha mtu yeyote makini ajikute akipata
>> shida kuyabeza yale yaliyofanywa na chama hicho tawala mwishoni mwa
>> wiki kule Dodoma.
>>
>> Msuko mpya wa safu ya wakuu wa idara za CCM uliotangazwa na Rais
>> Jakaya Kikwete ukiwajumuisha wanasiasa wasiojua mizaha wawapo kazini
>> kama alivyo Philip Mangula, au makada wa muda mrefu wa chama hicho wa
>> kariba ya Muhammad Seif Khatib na Zakia Meghji una kila sababu ya
>> kutafutiwa dawa mahususi na makamanda wa kambi ya upinzani ambao kwa
>> muda mrefu wamekuwa wakipambana kuing'oa CCM madarakani.
>>
>> Ni mtu asiyejali au mpuuzi asiyezijua vyema siasa za Tanzania
>> anayeweza akasimama na kuudharau uteuzi uliofanywa na Rais Kikwete
>> ambaye baada ya kushindwa mara kadhaa hatimaye amefanikiwa
>> kumshawishi, mmoja wa wanasiasa makini na wakongwe, mtumishi wa umma
>> wa muda mrefu, mwanadiplomasia na Kanali Mstaafu wa Jeshi,
>> Abdulrahaman Kinana kuwa Katibu Mkuu wa CCM.
>>
>> Kwa muktadha wa makala ya leo na kwa kuzingatia nafasi kuu ya utendaji
>> aliyopewa, nitazungumzia kwa sehemu tu wasifu wa Kinana, mtu ambaye
>> naamini anapaswa kuangaliwa kwa jicho la karibu na wakati mwingine
>> kudhibitiwa ili kasi yake ya kukijenga chama alichopewa dhamana ya
>> kukinusuru isije ikasababisha kuyumba kama si mauti ya kisiasa kwa
>> baadhi ya vyama vya upinzani.
>>
>> Ni wazi kwamba, kuteuliwa kwa Kinana kuwa Mtendaji Mkuu wa CCM Taifa,
>> akirithi mikoba iliyomshinda, Wilson Mukama, kumetutia ganzi baadhi
>> yetu ambao kwa muda mrefu tumekuwa 'mashabiki' au waumini wa kuchagiza
>> kwa njia ya kalamu na wakati mwingine katika mijadala ya wazi kwamba,
>> taifa lilikuwa na haja ya kutafuta mabadiliko ya uongozi kutoka nje ya
>> chama tawala.
>>
>> Sitaki kuwa miongoni mwa wapenda mabadiliko ambao kwa njia za
>> kujifariji au za kujipa matumaini hewa wameingia katika mkumbo wa
>> jumla jumla wa kumbeza Kinana kwa namna wanayotaka kuuaminisha umma wa
>> Watanzania kwamba, mtu huyo anaweza akasukumwa kirahisi kwa namna ile
>> ile ilivyopata kuwa kwa watangulizi wake kadhaa waliopata kushika
>> wadhifa huo.
>>
>> Hupaswi kuwa na akili nyingi kutambua kwamba, umahututi wa CCM
>> kisiasa, kulikokifikisha chama hicho tawala kufikia hatua ya kupoteza
>> dira na kuanza kuliona kaburi la kupoteza madaraka ya dola ndiko
>> kulikorejesha hekima za usikivu kichwani mwa Kikwete hata akalazimika
>> kuwarejesha akina Kinana, Mangula, Seif Khatib na Meghji katika
>> kilinge cha siasa za ushindani mkali ndani na nje ya CCM.
>>
>> Siyo siri hata kidogo kwamba, hekima hii mpya ya Kikwete ya kumrejesha
>> Kinana ulingoni, ambaye siku chache tu zilizopita alitangaza kustaafu
>> siasa huku akisema alikuwa akikusudia kuwaachia vijana kusukuma
>> gurudumu la uongozi, inahusisha kichwa zaidi ya kimoja kutoka ndani na
>> nje ya CCM.
>>
>> Kama ilivyo kwa wengi wengine nilianza kulisikia jina la Kinana
>> likihusishwa na ukatibu mkuu wa CCM miaka miwili au mitatu iliyopita
>> hali ambayo ilipata kusababisha nifikie uamuzi hata wa kumuuliza yeye
>> mwenyewe kuhusu taarifa hizo.
>>
>> Jibu ambalo Kinana mwenyewe alipata kunipa kwamba alikuwa akipenda
>> kuona akiendelea kupata fursa ya kukitumikia chama chake kama mshauri
>> na kwa nyakati mahususi kama zile za kampeni na si kwa nafasi ya
>> ukatibu mkuu lilikuwa likinipa sana faraja.
>>
>> Kilichokuwa kikinipa faraja si kingine chochote bali fikra zangu
>> (sahihi au potofu) ambazo siku zote zilikuwa zikinifanya niamini
>> kwamba, ukatibu mkuu kwa Kinana ilikuwa ni silaha moja ya maangamizi
>> kwa vyama vya upinzani ambavyo naamini vinapaswa kuendelea kupewa
>> fursa ya kuaminiwa na kukomaa.
>>
>> Katika mazingira ambayo CCM imeweza kuepuka zahama ya kumeguka vipande
>> viwili kwa kuzingatia maono aliyokuwa nayo Baba wa Taifa, Mwalimu
>> Julius Nyerere, kwangu mimi Kinana wa zama hizo alikuwa na anaendelea
>> kubakia kuwa tishio kubwa kwa ustawi wa upinzani ambao ni rutuba
>> muhimu kwa maendeleo ya demokrasia na misingi ya utawala bora.
>>
>> Hili ndilo ambalo naamini wapinzani wanapaswa kulitazama na
>> kulitafakari nyakati hizi wanapoendesha harakati zao za kukabiliana na
>> maguvu ya dola na haya mapya ya hoja ambazo aghalab zitaongozwa na
>> Kinana nyakati hizi taifa linapojiandaa kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa
>> miaka mitatu ijayo.
>>
>> Haitoshi kwa kina Freeman Mbowe, Profesa Ibrahim Lipumba, James
>> Mbatia, Dk. Willibrod Slaa na Zitto Kabwe kumbeza Kinana na timu ya
>> watendaji wake eti kwa hoja nyepesi na zisizo na mashiko za ufisadi au
>> uchafu wa jumla jumla wa CCM.
>>
>> Wapinzani na wachambuzi wa mambo wanapaswa kujua na kutambua kwamba,
>> Kinana ni mwanasiasa wa vitendo, msomaji mzuri wa vitabu, ripoti,
>> taarifa, magazeti, msikilizaji na msikivu mzuri wa mambo mepesi na
>> mazito kuliko alivyokuwa 'utopia' Mukama anayeamini na kuzitetea
>> nadharia zisizotekelezeka.
>>
>> Si hilo tu, wapinzani wanapaswa kutambua kwamba, historia yake ya
>> uaskari alioutumikia miaka 20 hadi mwaka 1972 akifikia cheo halisi cha
>> jeshi cha Kanali ikimhusisha na mafunzo mahususi ya kimkakati ni
>> sehemu ya mambo ambayo yanatawala nidhamu ya kazi ya aina ya kipekee
>> iliyomfanya Kinana akawa jemedari wa mapambano ya CCM tangu mwaka 1995
>> hadi leo.
>>
>> Wachambuzi wa mambo, nikiwamo mimi mwenyewe ambao siku zote tumekuwa
>> tukiiona CCM kuwa chama kinachokufa kwa maana ya kuchungulia kaburi,
>> tunapaswa kuanza kutafakari upya mawazo yetu hayo, nyakati hizi Kinana
>> alipopewa dhamana ya kuwa mtendaji wake mkuu.
>>
>> Tutakuwa wendawazimu iwapo tutamlinganisha Kinana na Mukama na kusahau
>> kwamba huyu aliye kilingeni leo ndiye aliyemuongoza Benjamin Mkapa
>> katika mapambano makali ya kisiasa mwaka 1995, zama Augustine Mrema
>> alipokuwa tishio la kwanza la kweli dhidi ya CCM katika Uchaguzi Mkuu.
>>
>> Alikuwa ni Kinana aliyefanya kazi kubwa katika kipindi chote cha
>> kampeni akiratibu na kuongoza kampeni zote za Mkapa zilizomjumuisha
>> pia Mwalimu Nyerere katika mazingira ambayo wengi walikuwa wakiamini
>> CCM ilikuwa katika mwelekeo wa anguko la kihistoria.
>>
>> Kinana ambaye kabla ya mwaka 1995 alikuwa tayari amepata kuwa Naibu
>> Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Naibu Waziri wa Mambo ya
>> Nje na Waziri wa Ulinzi alitumia vyema mbinu za medani na zile za
>> kidemokrasia na kiplomasia kumjengea uhalali Mkapa ambaye wakati huo
>> alikuwa mwanasiasa ambaye hakuwa akijulikana sana.
>>
>> Ni jambo la bahati mbaya sana kwamba, siku chache tu baada ya kuingia
>> Ikulu kwa mara ya kwanza mwaka 1995, kwa sababu ama ya ulevi wa
>> madaraka au kwa kutingwa na kazi za kimamlaka, Mkapa alisahau kazi
>> kubwa aliyofanyiwa na Kinana.
>>
>> Ni katika kipindi hicho cha kati ya mwaka 1995 na 2000 ndipo
>> nilipokutana kwa mara ya kwanza na mara kadhaa na Kinana nyumbani
>> kwake Masaki, jijini Dar es Salaam nikiwa nimeongozana na mhariri
>> wangu, Muhingo Rweyemamu, ambaye sasa ni Mkuu wa Wilaya ya Handeni
>> ambako nilipata fursa ya kumsikiliza na kuufahamu upeo mkubwa wa kuona
>> mambo aliokuwa nao mwanasiasa huyo.
>>
>> Tangu wakati huo hadi wakati wa kampeni za mwisho za mwaka 2010,
>> niliendelea kukutana kwa nyakati fupi fupi na Kinana na mara kadhaa
>> nikawa mtu wa kufuatilia na kuzisikiliza kwa makini, habari zake
>> kutoka ama kwa marafiki au maadui zake wa kisiasa.
>>
>> Sikushangazwa hata kidogo niliposikia tena kwamba, Mkapa alilazimika
>> kumuangukia tena Kinana na kumuomba aongoze tena kampeni zake mwaka
>> 2000 kabla ya Kikwete naye hajafanya kile alichofanya mtangulizi wake
>> alipomuomba mwanasiasa huyo adhibiti joto la kiti cha urais mwaka
>> 2010.
>>
>> Uwezo wake mkubwa wa kisiasa, umakini wake na upeo mkubwa alionao
>> katika kuona na kuchambua masuala ya siasa, uchumi na jamii ndivyo
>> vitu ambavyo kwanza kwa nyakati tofauti vimepata kumfanya Kinana awe
>> Mbunge wa Jimbo la Arusha kwa miaka 10, Mbunge wa Afrika Mashariki na
>> Spika wa Bunge hilo.
>>
>> Si ajabu hata kidogo kwamba, hata kabla ya kufikia huko, ni Kinana
>> huyo huyo ambaye alipata kuwa Mwakilishi wa Kidiplomasia wa Rais wa
>> Tanzania katika eneo la Maziwa Makuu na kabla ya hapo akiwa Mwenyekiti
>> wa Mawaziri wa Ulinzi wa Nchi za Kusini Mwa Afrika (SADC) zama akiwa
>> Waziri wa Ulinzi katika Serikali ya Awamu ya Pili iliyokuwa ikiongozwa
>> Rais Ali Hassan Mwinyi.
>>
>> Uzoefu wake katika siasa za kiraia unaanzia mwaka 1972 wakati
>> alipostaafu jeshi akiwa Kanali baada ya kulitumikia kwa miaka 20 ndiyo
>> ambao amekuwa akiutumia kama silaha kubwa ya kukijua chama chake na
>> pengine kumfanya awe mmoja kati ya watu wachache ambao wamepata
>> kuwafanyia kazi marais wote wane wa Tanzania.
>>
>> Anarithi mikoba ya Mukama akiwa mmoja wa wanasiasa wachache wa CCM wa
>> rika ile ile la kina Kikwete ambaye alilikimbia na kulikana kundi la
>> mtandao mwaka 2005 ambalo baadhi yetu tunaamini kuwa, ndilo
>> lilisababisha kuzaliwa kwa siasa mpya za kupakana matope, kuzushiana
>> na kuhujumiana ndani na nje ya CCM.
>>
>> Lakini pengine kubwa katika yote hayo anaingia madarakani huku akiwa
>> na hazina ya uzoefu mkubwa wa kuongoza mapambano dhidi ya vyama vya
>> upinzani na kushinda katika mazingira ambayo aghalab yamekuwa yakiacha
>> vidonda visivyopona kwa wapinzani tangu mwaka 1995. Huyu si mtu wa
>> kumpuuza au kumbeza hata kidogo.
>>
>> --
>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>> nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>> DELL LATITUDE D 620 & D30
>>
>> 80 GB HardDisk
>> CORE 2 DUO
>> 2.0 GHZ CPU
>> 2 GB RAM
>> DVD/CD - RW
>> WINDOWS 7 /WINDOWS XP
>> WIRELESS , BLUE TOOTH .
>>
>> TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
>>
>> CALL : 0718 637905
>> 0786 806028
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>  
> DELL LATITUDE D 620 & D30
>  
> 80 GB HardDisk
> CORE 2 DUO
> 2.0 GHZ CPU
> 2 GB RAM
> DVD/CD - RW
> WINDOWS 7 /WINDOWS XP
> WIRELESS , BLUE TOOTH .
>  
> TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
>  
> CALL : 0718 637905
> 0786 806028
>  
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>  
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>  
>  

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
DELL LATITUDE D 620 & D30
 
80 GB HardDisk
CORE 2 DUO
2.0 GHZ CPU
2 GB RAM
DVD/CD - RW
WINDOWS 7 /WINDOWS XP
WIRELESS , BLUE TOOTH .
 
TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
 
CALL : 0718 637905
0786 806028
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
Bariki G. Mwasaga,
P.O. Box 3021,
Dar es Salaam, Tanzania
+255 754 812 387

0 comments:

Post a Comment