Sheikh Salim,
Ahsante.
M
On 10/07/2012, Salim Himidi <bwanatosha@hotmail.com> wrote:
>
> Udini una hasara, mti huo usimee
> Na wala si biashara, kwa sisi tutegemee
> Hoja na zije haraka, takwimu zirekebeshwe
> Tupate toa lawama!
>
> Takwimu zirekebeshwe, wananchi twahitaji
> Mashitaka tupeleke, kwa vyombo vya Serikali
> Mekuaje wateleze, kuzukisha ya hatari
> Dola isiende mbele?
>
> Kuzukisha ya hatari, tuhuma na misutano
> Fitina oga bahari, matusi na malumbano
> Kwa nguvu au hiari, twavunja miko na vyano
> Tuamshe Serikali!
>
> Twavunja miko na vyano, kwa sababu takwimu
> Tupoleze mashindano, mambo haya ni muhimu
> Tupate MARIDHIANO, SENSA iweze kukimu
> Tanzania 'vuke papo!
>
> SENSA iweze kukimu, bila ya wingi hasara
> Udini kitu dhaifu, shikaneni barabara
> Mapadri na masharifu, kwetu Pwani hata Bara
> Tusije fanywa madifu!
> ------
> Ukweli = Haki = Amani!
> Bwanatosha
> +33-6-33071051.
>
>
>
>
>
>
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment