Wednesday, 18 July 2012

Re: [wanabidii] Tetesi : Ndege ya ATCL Yapasuka kioo Angani

Ikithibitika kuwa ni kweli, basi mimi naona Tufunge tu hili shirika. Litakuja maliza watu wengi. Hatuko makini na biashara hii, hatuoni hata faida zake!!. Lakini ndo biashara inayoweza kutangaza utalii kwa haraka sana, kuitangaza nchi pia, kupata wawekezaji, kupata hemshima ya nchi, kupata pato linaloweza kukuza uchumi wetu. Haya ndo madhara ya kukosa "Uongozi Bora na Siasa safi" licha ya kuwa na Watu na Ardhi tele yenye kuweza kutupatia kila kitu. 

Kuna nchi hazina viwanda vya kutisha kama vile Uholazi lakini walikusanya zao hela "kutoka kwetu", wakazitumia vizuri kuwekeza katika Miundo mbinu kama hii ya viwaja vya ndege na ndege, barabara nk.Usafiri wa anga kwao ni lulu na wanapata pato kubwa sana kiasi cha kuweza tena "kutusaidia sisi". 

Mungu Tuhurumie!
Vin

On Wed, Jul 18, 2012 at 12:26 PM, A S Kivamwo <kivamwo@yahoo.com> wrote:
Yona

Fuatilia zaidi chanzo chako hicho bwana utujuzee zaidi. Hii ni hatari hii!!

From: Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
To: Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Wednesday, July 18, 2012 12:22 PM
Subject: [wanabidii] Tetesi : Ndege ya ATCL Yapasuka kioo Angani

Ndugu zangu nimepata tetesi kwamba Ndege ya ATCL Yapasuka kioo Angani
ikitokea Dar es salaam

Naomba kujua kama ni kweli au la

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment