Monday, 9 July 2012

Re: [wanabidii] Re: Msaada : Mpango wa Matumizi bora ya Ardhi ya Kijiji/Village Land Use Plan (VLUP)

Gud. But unadhan vlup kama ikiacha ktk hatua hy imemkomboa mwanakijiji! Hl swali kaniuliza jana mh chambi and gave hm a little brief. But vlup nyng zinakufa hapa nchini bse of kutofikishwa hatua ya mwisho 9 step as per mwongozo. Watu wa mboz ndo mfano mzuri wa jambo hili. Anyway haya yote yapo but let me tell u guys vlup ya kijiji a haiwez hata kdg kufanana na kijiji b, kama imefanywa in a participatory manner, halafu mara nyng the documents produced ni legal document na mara ya kijiji husika, so cha msing hapa ni kama unataka kua na vlup smart lazima itoke kwa wananch wenyewe after be guided kama alivyosema huyu mwandish kua must be trained on land laws, hapa kuna mambo meng wanakua trained. Vlup makini ikishatenga maeneo suala la climate change hujitenga autamaticly ie forest nk.Tchao
------------------------------
On Mon, Jul 9, 2012 8:50 AM EDT Hildegarda Kiwasila wrote:

>Attached ni kutoka Mtandaoni kama vitasaidia vimejaa bwerere. Kuna reports nyingi za experiences ya land use planning. Miradi ya donors mingi imetumia guidelines za village land use planning ambazo sasa zimeboreshwa (2002). HIMA (Danida funded programme Iringa ilitumia) Danida in Mid 1980s-Late 1990s ikihusika na soil and moistrure conservation, afforestation and catchment forest protection. Ilibidi ifanye community participatory land use planning kabla ya yote na ilihusisha Idara husika za serikali kufanya mipango hiyo na wanavijiji Iringa Rural, Njombe, Makete. Mradi wao umekuwa evaluated. Tanzania Women Legal NGO, LHR, TAMWA zilipanta Danida Funds zikafundisha vijiji katika Mikoa 5 kuhusu Land Law, wakafundisha ward tribunals na Vilage land Committees na adjudication committees  kwa kutumia sheria za ardhi na mradi wao umekuwa evaluated. Wana vitabu vya kiswahili vya trainers of trainers na vya kamati husika. WLAC, TAMWA, TAWLA etc. Sheria ya
> ardhi baadae ikaboreshwa. Hakuna kisichojaribiwa nchi hii lakini continuity na institutional memory, sharing huwaga matatizo hivyo duplication including of mistakes huwa kama togwa kwetu.

>Kwa sasa VLUP guidelines lazima ziangalie issues za Climate change na MKUHUMI (REDD. Huwezi ukawa na Mkumumi bila ya VLUP ugomvi wa mafao utazuka. Pamoja na haya masuala ya ulimbikizaji mifugo, uhamiaji eneo ambalo tayari lina VLUPs na village titles kisha unaingia unaleta conflics na mifugo au kuvamia msitu kukata miti kwa ajili ya mkaa au kuchimba madini. Kisha unauza eneo kwa kampuni ulikotokea huko wewe upate hela wenyeji wenye customary land au title au wakazi wasipate wewe umeingia kinamna. Au, upo ofisini unahusika na ardhi au madini. Ukisikia yameonekana mahala fulani mwekezaji anapataka, unajiandikia leseni huko kama mmiliki eneo hilo na wala wenyeji hawakujui. Tahamaki mwekezaji ana maofisa 20 wa kuwalipa kila mtu dola milioni 2 za eneo la madini ambapo wanakijiji wamelala mboji hawaelewi kinachoendelea bali wanakuta list ya wamiliki/mmiliki mdogo alikotokea hawakujui.Wawekesaji nao baadhi huamua kuwa machori au kuondoka maana gharama huwa
> kubwa baada ya utafiti kwa mfano wa madini kuonyesha mali ipo.  Bora kila kijiji kipimwe, kuwe na land use plans with title deed na michoro ya matumizi ardhi. Wakazi waamue wanaiharibu, kuichakachua wafe njaa; au, waitunze kwa kuganga njaa, waitumie sustainably sasa na vizazi vijavyo. Wataamua wao sasa ndani ya general title group au individual titles zitakuwaje. Na kama ni msitu wa taifa au halmashauri, wao walizi watapata fedha kiasi gani ili kufanya maendeleo yao. Hapo kiongozi chori wa kijiji, kata au taifa atakosa kupenyeza wageni wakae msituni, wahamie, walime, waharibu maana land use plans zitawasuta. Kwa sasa, tuendako na ardhi na misitu mgeni ajiingilia apendavyo-kubaya.

>
>
>________________________________
>From: lesian mollel <aramakurias@yahoo.com>
>To: wanabidii@googlegroups.com
>Sent: Monday, 9 July 2012, 0:26
>Subject: Re: [wanabidii] Re: Msaada : Mpango wa Matumizi bora ya Ardhi ya Kijiji/Village Land Use Plan (VLUP)
>
>
>Dr kigwa concern yako nzur sana, mayb kesho nikishapitia web yako hy ntaona halafu ntakushaur as we meet na c humu. Chambi nae yy ni mambo ya research ah, research bw fanya ila vlup kopi ukitaka nenda ktk vjj vya mkuranga vko kibao watakupa na morogoro vjjn nenda kuna ngo wanaitwa morogoro para legal  pale onana na mama masoi au amani watakusaidia. Thats all.
>------------------------------
>On Sun, Jul 8, 2012 3:46 PM EDT Dr. Hamisi A. Kigwangalla wrote:
>
>>Ndg Mollel,
>>
>>Niko serious really, siyo kwamba natania...
>>
>>Ukisoma website yangu utakuta kuna idea inafanyiwa kazi, na ningependa
>>kupata more ideas on how to work out jinsi nzuri ya kuhamasisha mpango wa
>>vijiji salama na bora zaidi kuliko vilivyo sasa kwenye jimbo letu.
>>
>>website yangu ni www.hamisikigwangalla.com (bahati mbaya kwa sasa imekuwa
>>hacked na wahuni fulani ila wataalamu wanafanya kazi ya kurekebisha,
>>endelea kuifuatilia ndani ya siku hizi 2/3 itarudi hewani utasoma unipe
>>ushauri!) and then we will take it from there...
>>
>>
>>Regards,
>>HK.
>
>--
>Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment