Ama kweli tumepoteza uhuru wetu wakuamua vipaumbele vyetu katiaka amhusiano na nchi za nje!!! Yaani Mbunge wa Marekani kulalamika tu juu ya usajili wa meli hizo tuefanya kazi haraka kuwa hakikishia wakubwa hawa kuwa sisi ni watoto wanyenyekevu na tunawaomba wao ndio watujuze kama tumesajili meli za Iran. Tunaogopa kuwahudhi kweli kweli wakubwa hawa. Ukiniuliza mimi hakuna sababu yoyote ya kukubaliana na Marekani kuwa eti Iran Hairuhusiwi kuwa na zana za kivita za nuklia. Kwani Izraeli na Pakistan na marekani yenyewe si zina silaha za nuklia? Au vile Iran nchi ya kiislamu yenye kuwa huru na kutoegemea upande wa nchi za Magaribi kama ilivyo Pakistani? Ama kweli tumerudi utumwani kidiplomasia!!! Yote haya shauri ya nini? Vyandarua vya kupambana na malaria eti eh?!! Eh Mungu Tuhurumie!!!
Mwl. Lwaitama
Date: Thu, 12 Jul 2012 12:27:35 -0700
From: elisamuhingo@yahoo.com
Subject: Re: [wanabidii] Re: MKUTANO WA MHE BERNARD MEMBE NA MABALOZI PAMOJA NA WANAHABARI KUHUSU SAKATA LA MELI ZA IRAN
To: wanabidii@googlegroups.com
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

| Naomba kujua: Ni/si hatari kwa Tanzania Marekani kuwa na silaha za nuclea? Ni/si hatari kwa Tanzania kwa Iran kuwa na silaha za nuclea? Tunawasaidia wamarekani kuwabana waIran kwa manufaa gani kwetu? Tunastahili kumuogopa nani anayedhaniwa anaweza kutumia silaha za atomic au aliyewhi kuzitumia? --- On Fri, 7/6/12, Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com> wrote:
|
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment