Wednesday, 11 July 2012

Re: [wanabidii] Re: Majina ya Madaktari waliokuwa wanafanya Internship waliopoteza Sifa za Kupata Usajili wa Muda (Provisional Registration).

Kama wanagomea maslahi mazuri si waombe kazi huko kwingine waondoke waje hata hapa south africa kwanini wanaumiza walalahoi wenzao wasio na hatia wafutiwe leseni tu wajifunze .


2012/7/11 <tikooza@yahoo.com>

Mambo ya ajabu kabisa haya. Kinacho nishangaza ni kwamba MWAJIRI aliagiza waliotayari kuendelea mazingira yaliyopo warudi kazini na wasiotaka waache wakatafutwe kwingine ambako kuna malipo mazuri na itangazwa deadline ya kurudi kazini vinginevyo wamejifukuza kazi wenyewe. Madaktari wakaendelea na mgomo which means walijifukuza wenyewe. Sasa KUFUTA LESENI zao kuna toka wapi???

Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.

From: Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com>
Date: Wed, 11 Jul 2012 16:30:52 +0000
To: Wanabidii googlegroups<wanabidii@googlegroups.com>
Subject: RE: [wanabidii] Re: Majina ya Madaktari waliokuwa wanafanya Internship waliopoteza Sifa za Kupata Usajili wa Muda (Provisional Registration).

Kali ni kwamba kile chama chenye dhamana ya usajili kinaongozwa na daktari ambaye pale wizarani yeye ni mmoja wa wakurugenzi. Isingewezekana wapewe haki kwa sababu yeye yuko serikalini pia.
 
 

 
> Date: Wed, 11 Jul 2012 08:26:04 -0700
> Subject: [wanabidii] Re: Majina ya Madaktari waliokuwa wanafanya Internship waliopoteza Sifa za Kupata Usajili wa Muda (Provisional Registration).
> From: subbyjames@gmail.com
> To: wanabidii@googlegroups.com
>
> Mimi nadhani mgogoro ulikuwa wa kikazi hivyo serikali ilipaswa
> kuwafukuza kazi wale ambao wamekwenda kinyume na taratibu za utumishi
> lakini sio kuwafutia leseni. Hii ni dalili mbaya kuwa serikali haikuwa
> na dhamira ya dhati katika kulipatia suluhu suala la mgomo wa
> madaktari. Hapo ndipo UDHAIFU unapodhihiri, kumbukeni Kenya kulikuwa
> na mgomo wa madaktari na serilkali ya huko ikawafukuza wote,
> kilichotokea ni aibu kubwa kwa serikali Mwai Kibaka. My Take serikali
> isifanye mambo kwa kukomoana.
>
> On Jul 11, 10:15 am, tiko...@yahoo.com wrote:
> > Rugambwa,
> >
> > Ezekiel kunyaranyara ni kawaida yake kufurahia matatizo yanapotokea kwa watu wengine. Kwenye ajali ya mhe. Selasin aliandika hivi "ajali kwa hawa viongozi mimi nadhani ni sahihi wapate huenda wakajifunza kuwa, kuwa kiongozi au kununua gari sio ruksa ya kujua kuendesha gari bila hata kupitia vyuo vya mafunzo ya udereva" Hata hivyo baadaye alikanusha kuwa si nia yake kuwalaumu viongozi baada ya MTOLERA kwa kumwambia "dua la kuku alimpate mwewe"
> >
> > Kwahiyo siwezi kushangaa nikiona mchango wake unashabikia kufukuzwa kwa madaktari na kunyang'anywa leseni. Kwa wale ambao hawakumbuki "kunyang'anya leseni madaktari" ni moja ya mapendekezo yake kwenye mgomo wa mwezi februali.
> >
> >  Maana mbegu hii inayopandwa kizazi hiki kwenye sekta ya afya tusubiri mavuno muda mfupi ujao.
> > Tuombe Mungu neema yake itawale.
> >
> > Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> > -----Original Message-----
> > From: neatness msemo <nmu...@gmail.com>
> >
> > Sender: wanabidii@googlegroups.com
> > Date: Wed, 11 Jul 2012 16:18:15
> > To: <wanabidii@googlegroups.com>
> > Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
> > Subject: Re: [wanabidii] Re: Majina ya Madaktari waliokuwa wanafanya
> >  Internship waliopoteza Sifa za Kupata Usajili wa Muda (Provisional Registration).
> >
> > kama wamewafukuza huku rais ameingilia huku shauri liko mahakamani lakini
> > bunge haliruhusiwi wala wananchi kujadili sasa hii maana yake nini kama sio
> > uonevu.nadhani dawa io kufukuza kwani mtoto wako akikukosea bado unatakiwa
> > hekima itawale ili tuone busara zikitumika lakini ubabe hausaidii kwani
> > wanaoumia sio madaktari wala serikali bali ni umma wa mtanzania kwani
> > wakiondoa leseni je watawakataza kufanya ujasiriamali?si mradi mkono uende
> > kinywani lakini si bado utaalamu wao unahitajika?tutumie busara tunachekwa
> > sana ujue.nakuambia wakienda huko majuu watapat kazi z kuwatunza wazee na
> > baadaye watapewa kazi kwa experience zao.na wakijua kuwa walitimuliwa
> > wanaweza kufanya jambo kwani wao wanahitajika duniani basi tu hapa kwetu
> > ubabe mtupu wakati mali zetu zinachukuliwa wala hakuna anayekeme nani
> > anaweza kuchukua lesini za urais au uwaziri mkuu kama wanao mbona wengi
> > walifei lakini leo ni marais.tusiwaonee jamani hao watoto wengine ni watoto
> > wa wakulima na jamaa yao yote inawategemea.tuwe na jicho la kuona mbali na
> > huruma kwani walikuwa wanatetea wananchi .kwan mtu kwenda hospital hakuna
> > dawa hakuna vifaa haipendezi ka una wito na sidhan kweli eti maslahi yao
> > ndio chanzo cha huu mjadala haya Mungu anawaona wote
> >
> > 2012/7/11 Laurean Rugambwa B. <rugam...@hotmail.com>
> >
> > >  Mzee Ezekiel,
> > >  Sasa tunazungumza; tafadhali soma majibu ya maswali na maoni yako hapo
> > > chini nimeweka kwa rangi nyekundu:
> >
> > > Naomba nitangaze kwa mara nyingine kuwa mimi sijawahi kuwa mwanachama,
> > > siko chama chochote, iwe CCM, CHADEMA au vyama vingine.. Na sioni sababu ya
> > > kujificha, ndo maana natumia majina yangu halisi..  I wanted to get this
> > > out of the way ili uelewe muktadha wa misimamo na maoni yangu.. Amini ndugu
> > > Ezekiel kuwa kuna watu hawana vyama, si washabiki wa vyama, lakini wakisema
> > > yale yanasemwa na vyama, usiwaone ni wapinzani tu.. itakusaidia kujadili
> > > hoja.
> > > Kwa taarifa yako, mimi napenda mijadala kama hii ya kwako..endelea kusoma
> > > maoni yangu hapo chini
> >
> > > ------------------------------
> > > Date: Wed, 11 Jul 2012 12:24:13 +0100
> >
> > > From: ekunyarany...@yahoo.co.uk
> > > Subject: Re: [wanabidii] Re: Majina ya Madaktari waliokuwa wanafanya
> > > Internship waliopoteza Sifa za Kupata Usajili wa Muda (Provisional
> > > Registration).
> > > To: wanabidii@googlegroups.com
> >
> > > Laurean RB
> >
> > > Nakushukuru sana kwa maoni yako. Mimi naona umechangia kwa mambo mawili
> > > muhimu sana kwa sasa. Moja nilifikiri katika postings zangu hapo nyuma
> > > ulisoma na kuelewa huenda kwa nini sikuomba msamaha na sijui kama nitafanya
> > > hivyo kwa jinsi nilivyosema.
> >
> > > Moja: Swala la ajali hakuna mahala popote ambapo nadhani kwa maneno yako
> > > nayanukuru hapa "wewe Ezekiel ulofurahia ajali ya Selasini kwa sababu ni
> > > mwanasiasa tu au ni mpinzani." . kama unadhani nilifurahia ajali nadhani
> > > huo ulikuwa ni mtizamo wako ambao kimsingi  siwezi kuubadilisha. Na  ndiyo
> > > maana ukaamua kama ulivyoamua. Mimi nilisema " Viongozi kimsingi hawatakiwi
> > > kuendesha magari kwa vile vichwani mwao huwa wana mambo mengi kwa ajili ya
> > > wananchi wao. Na kwamba kitaalamu jambi hili linawapunguzia uwezo wa kuamua
> > > wawapo barabarani, yaani PIEVE TIME kwao ni chini sana ya kiwango
> > > kinachotakiwa yaani sekunde tatu". Wao huweza kufika hata sekunde sita
> > > ambazo ni nyingi mno na ajali huwa imetokea. Nikasema uwapo barabarani kazi
> > > ni kufanya maamuzi ndio udereva huo. Udereva siyo kushika usukani tu na
> > > kukanyaga mafuta ndugu yangu Rugambwa. Kwa mtizamo wako ulitaka niseme nini
> > > sasa zaidi ya maelezo hayo. Kama hukuyaelewa ndugu yangu Rugambwa sijui
> > > sasa nikusaidieje. Safi, nashukuru kwa kuwa muugwana kulitolea maelezo
> > > hili. Hapa nimekuelewa na naomba msamaha kama nilidhani wewe uliona ni heri
> > > apate ajali maana alipaswa kuwa na dereva, ila niseme tu kwa ubinadamu wa
> > > kawaida, sio vema kwa desturi zetu sis waafrika kuanza kumponda mtu kwa
> > > kosa akiwa na msiba, ungesubiri amalize msiba. I would say, the argument
> > > you had is valid but its timing was bad. Nadhani hapo unapata muktadha wa
> > > maoni yangu, kwa taarifa mimi Mh. Selasini simfahamu zaidi ya kuwa
> > > mwanafunzi wa kaka yake Dr. Lamwai.
> >
> > > Pili: Kuhusu mgomo wa madaktari: Najua hisia walizo nazo watanzania,
> > > naomba nikwambie inawezekana ni wewe na kundi dogo sana mnashadidia
> > > watanzania wa kawaida tena maskini waendelee kuteseka kutokana na mgomo
> > > huu. na mnafanya hivi kwa sababu mnazozijua ninyi na wala sio za
> > > kiubinadamu kabisa. Wala kundi hili linalishabikia hawana hata *chembe ya
> > > ubinadamu isipokuwa hata hapa *utawasikia wakiunganisha mgomo huu na
> > > CCM!!!! utadhani wanaoumia na mgomo huu wana CCM hawamo. Nadhani hapa
> > > umetoa msimamo wa kijumla jumla, hakuna mtu anasema CCM, na unakuwaje na
> > > ujasiri wa kusema kuwa watu hawana ubinadamu? mbona unawa hukumu watu tu,
> > > bila kujua dhamira zao?  mimi najigamba kuwa nina ubinadamu, ndo kazi
> > > nimeifanya maisha yangu yote ya kazi, I have been  for many years lived
> > > and  indeed I am   humanitarian  worker  all my professional life. I
> > > believe in humanity . I do also value humanitarian values that include some
> > > of my positions like advocating for rights of less advatanged,
> > > discriminated, voiceless. Kwahiyo, kinachonisukuma kuandika haya na kueleza
> > > msimamo wangu ni utu na ubinadamu.. na sio kuandika, naishi maisha ya
> > > kusaidia watu.
> >
> > > Hoja kama hizi ndio zinafanya watu wawaone ninyi kama siyo watanzania
> > > hasa,  hapa unakosea, ndo unatukosea, sisi akina nani, just because we
> > > are demanding good governancem accountability, hii tu ndugu Ezekiel ndo
> > > inakufanya uamini kuwa sisi hatuna utanzania kama wako? utanzania ni upi?
> > > kukaa kimya? kunayamazia maovu yakitendeka?  na mimi sisemi ninyi, hapa
> > > nazungumza na wewe.. watu wanaotaka uraia wa nchi mbili ili mkishavuruga
> > > mambo na huduma kodorola basi muende huko mnakojua. Ki ukweli hii ni
> > > cheap argument, unapaswa utoe hoja, nani kasema habari za uraia wa nchi
> > > mbili? usichanganye mada, nani kasema vita, mgogoro?  huo ni mjadala wa
> > > siku nyingine,  hapa umechanganya,  lakini niseme tu kuwa nchi nyingi
> > > zimefaidika na dual citizenship, ukitaka tuijadili, nitaijadili.  Jambo
> > > hili hatulitaki kabisa kama wananchi wa kawaida bwana Rugambwa. Sifurahii
> > > kabisa mgomo nA WATU kuendelea kuteseka kwa sababu tu maslahi duni. Ndugu
> > > yangu Rugambwa, sijui kama unafahamu kuwa Watanzania wengi wanajua kabisa
> > > kubwa tatizo kubwa la kurundikana kwa wagonjwa ni la Madaktari kuhitaji
> > > rushwa, na kwamba dawa zinapatikana katika maduka yao na wengine hutibiwa
> > > vizuri kwa madaktari hao hao wakiwa katika hospitali binafsi kuliko wakiwa
> > > katika Hospitali za Umma, Hivi unayajua haya?
> >
> > > Sinahakika kama unayafahamu, kama unayafahamu basi saidia nchi yetu na
> > > watu wake wapate unafuu wa maisha.  Ulosema hapo juu nakubaliana na wewe
> > > najua kuwa hawafanyi kazi, wako busy na mambo yao. Kila mtu mbona anajua
> > > hili.. Nitalieleza baadae. Hakuna mahala umeona nimesema hawa wachapa
> > > kazi.. la hasha!.. Mimi nafahamu kuwa madaktari ni kada pekee iliruhusiwa
> > > na serikali kuvunja kanuni ya mgongano wa kimaslahi.. (conflict of
> > > interest) Kwa mfano, Kamishan Kova hawezi ruhusiwa kuwa na kampuni ya
> > > ulinzi akiwa bado polisi, Kitilya hawezi kuwa tax consultant etc.. Lakini
> > > tatizo la wao kutofanya kazi ni kosa lao? kwanini usiseme kuwa mwajiri
> > > anapaswa awe strict, awabane, wafanye kazi.. Huo ni uongozi mbovu wa mfumo.
> > > Tunashidwa nini kuwapa timesheet hao madaktari? pay for performance,
> > > tusifanye kazi kwa mazoea eti wagonjwa wanakufa kwasababu dawa zinaibiwa,
> > > na tunajua? kwahiyo nani alaumiwe ndugu Ezekiel? Daktari, mimi na wewe? .
> > > Nani anapaswa kulaumiwa hapa? wewe umempa mtu kazi na unapaswa kumsimamia,
> > > asiyemsimamia mtumishi ndo anapaswa kushtakiwa kwa manslaugther..  Hapa
> > > hakuna cha mambo ya kiitikadi, naongea kama mlipa kodi..
> >
> > > Nne: kuhusu sekta nyingine kusababisha maafa kwa watanzania, ndiyo maana
> > > nasema sheria ichukue mkondo wake, kwa kila mmoja lile linalomgusa
> > > lishughulikiwe ndipo tutakapo kwenda, hili lisipofanyika basi tutazama kama
> > > taifa na kama watanzania. Nakubaliana na wewe kabisa.
> >
> > > Nakushukuru kwa mchango wako tuendelee kujadiliana. Asante kwa muda wako
> >
> > > K.E.M.S.
> > >   ------------------------------
> > > *From:* Laurean Rugambwa B. <rugam...@hotmail.com>
> > > *To:* wanabidii wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> > > *Sent:* Wednesday, 11 July 2012, 3:55
> > > *Subject:* RE: [wanabidii] Re: Majina ya Madaktari waliokuwa wanafanya
> > > Internship waliopoteza Sifa za Kupata Usajili wa Muda (Provisional
> > > Registration).
> >
> > >  Jane and KEMS:
> > > Kwanza napenda niwape tu pongezi kwa kutoa maoni yenu, nadhani ni haki
> > > yenu. Suala la
> >
> > ...
> >
> > read more »
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment