Wednesday, 11 July 2012

Re: [wanabidii] Re: Majina ya Madaktari waliokuwa wanafanya Internship waliopoteza Sifa za Kupata Usajili wa Muda (Provisional Registration).

Mimi sijawahi kutoa; hiyo haimaanishi kuwa siugui na sitibiwi!! LKK
 


From: Leo Ludewa <ludewaleo@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Wednesday, July 11, 2012 10:47 PM
Subject: Re: [wanabidii] Re: Majina ya Madaktari waliokuwa wanafanya Internship waliopoteza Sifa za Kupata Usajili wa Muda (Provisional Registration).

Liwalo na liwe! Tutasomesha wengine.
Ambaye hajawahi kutoa "asante" kwa daktari aseme hapa! Hizi alfulela u lela za vifaa ni geresha tu!
On Jul 11, 2012 9:19 PM, "paul lawala" <pasamila292000@gmail.com> wrote:
MAT=Medical association of Tanzania
MCT=Medical council of Tanganyiaka

MAT=Chama cha kitaaluma ya utabibu
MCT=Ni chombo cha kisheria kinachoongoza taratibu za kazi kwa upande
wa maadili ya utabibu
Tuanzie hapo,naona wanajukwaa wanaenda chaka sana

2012/7/11 Laurean Rugambwa B. <rugambwa@hotmail.com>:
> Said,
> Ni kweli;  na huyo mganga mkuu si ndio hao vijana waliweka masharti afukuzwe wizarani?
>
> What an irony! Hii ni kama horror movie!kama wewe ni mwoga uzime TV yako.
>
> LR
> Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.
>
> -----Original Message-----
> From: Said Mwemba <smwemba@gmail.com>
> Date: Wed, 11 Jul 2012 18:05:31
> To: <wanabidii@googlegroups.com>
> Subject: Re: [wanabidii] Re: Majina ya Madaktari waliokuwa wanafanya
>  Internship waliopoteza Sifa za Kupata Usajili wa Muda (Provisional
>  Registration).
>
> Kiongozi wa MAT ni daktari ambaye ni mganga mkuu wa serikali,,katibu wake ndio mwanasheria
>
>
> 2012/7/11 paul lawala <pasamila292000@gmail.com <mailto:pasamila292000@gmail.com> >
>  Matinyi
>  Nakusahihisha,Medical council of Tanganyika(MCT) inaongozwa na
>  mwanasheria sio daktari
>  Kwa sababu usajili ni takwa la kisheria
>
>  Nakubaliana kwamba madaktari walioajiriwa wizarani hawawezi kuwatetea
>  wenzao ambao wanapambana na seikali
>
>  2012/7/11 Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com <mailto:matinyi@hotmail.com> >:
>
>
>> Leila,
>  > Ina maana tangu tatizo la madaktari lianze wewe hujajua kwamba madai yao
>  > yamegawanyika katika makundi mangapi? Hukusikia popote wakitaja vifaa vya
>  > kazi na mazingira ya kazi ili wamudu kuwaokoa hawa hawa Watanzania wnzetu
>  > tunaowalilia?
>  >
>  > Wote nadhani hatupendi wagome lakini tusipotoshe wanachokidai kwa ushabiki
>  > ama kuzembea tu au sijui sababu gani.
>  >
>  > ________________________________
>  > Date: Wed, 11 Jul 2012 19:56:03 +0300
>  >
>  > Subject: Re: [wanabidii] Re: Majina ya Madaktari waliokuwa wanafanya
>  > Internship waliopoteza Sifa za Kupata Usajili wa Muda (Provisional
>  > Registration).
>  > From: hifadhi@gmail.com <mailto:hifadhi@gmail.com>
>  > To: wanabidii@googlegroups.com <mailto:wanabidii@googlegroups.com>
>  >
>  >
>  > Kama wanagomea maslahi mazuri si waombe kazi huko kwingine waondoke waje
>  > hata hapa south africa kwanini wanaumiza walalahoi wenzao wasio na hatia
>  > wafutiwe leseni tu wajifunze .
>  >
>  >
>  > 2012/7/11 <tikooza@yahoo.com <mailto:tikooza@yahoo.com> >
>  >
>  >
>  > Mambo ya ajabu kabisa haya. Kinacho nishangaza ni kwamba MWAJIRI aliagiza
>  > waliotayari kuendelea mazingira yaliyopo warudi kazini na wasiotaka waache
>  > wakatafutwe kwingine ambako kuna malipo mazuri na itangazwa deadline ya
>  > kurudi kazini vinginevyo wamejifukuza kazi wenyewe. Madaktari wakaendelea na
>  > mgomo which means walijifukuza wenyewe. Sasa KUFUTA LESENI zao kuna toka
>  > wapi???
>  >
>  > Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.
>  > ________________________________
>  > From: Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com <mailto:matinyi@hotmail.com> >
>  > Sender: wanabidii@googlegroups.com <mailto:wanabidii@googlegroups.com>
>  > Date: Wed, 11 Jul 2012 16:30:52 +0000
>  > To: Wanabidii googlegroups<wanabidii@googlegroups.com <mailto:wanabidii@googlegroups.com> >
>  > ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com <mailto:wanabidii@googlegroups.com>
>  > Subject: RE: [wanabidii] Re: Majina ya Madaktari waliokuwa wanafanya
>  > Internship waliopoteza Sifa za Kupata Usajili wa Muda (Provisional
>  > Registration).
>  >
>  > Kali ni kwamba kile chama chenye dhamana ya usajili kinaongozwa na daktari
>  > ambaye pale wizarani yeye ni mmoja wa wakurugenzi. Isingewezekana wapewe
>  > haki kwa sababu yeye yuko serikalini pia.
>  >
>  >
>  >
>  >
>  >> Date: Wed, 11 Jul 2012 08:26:04 -0700
>  >> Subject: [wanabidii] Re: Majina ya Madaktari waliokuwa wanafanya
>  >> Internship waliopoteza Sifa za Kupata Usajili wa Muda (Provisional
>  >> Registration).
>  >> From: subbyjames@gmail.com <mailto:subbyjames@gmail.com>
>  >> To: wanabidii@googlegroups.com <mailto:wanabidii@googlegroups.com>
>  >>
>  >> Mimi nadhani mgogoro ulikuwa wa kikazi hivyo serikali ilipaswa
>  >> kuwafukuza kazi wale ambao wamekwenda kinyume na taratibu za utumishi
>  >> lakini sio kuwafutia leseni. Hii ni dalili mbaya kuwa serikali haikuwa
>  >> na dhamira ya dhati katika kulipatia suluhu suala la mgomo wa
>  >> madaktari. Hapo ndipo UDHAIFU unapodhihiri, kumbukeni Kenya kulikuwa
>  >> na mgomo wa madaktari na serilkali ya huko ikawafukuza wote,
>  >> kilichotokea ni aibu kubwa kwa serikali Mwai Kibaka. My Take serikali
>  >> isifanye mambo kwa kukomoana.
>  >>
>  >> On Jul 11, 10:15 am, tiko...@yahoo.com <mailto:tiko...@yahoo.com>  wrote:
>  >> > Rugambwa,
>  >> >
>  >> > Ezekiel kunyaranyara ni kawaida yake kufurahia matatizo yanapotokea kwa
>  >> > watu wengine. Kwenye ajali ya mhe. Selasin aliandika hivi "ajali kwa hawa
>  >> > viongozi mimi nadhani ni sahihi wapate huenda wakajifunza kuwa, kuwa
>  >> > kiongozi au kununua gari sio ruksa ya kujua kuendesha gari bila hata kupitia
>  >> > vyuo vya mafunzo ya udereva" Hata hivyo baadaye alikanusha kuwa si nia yake
>  >> > kuwalaumu viongozi baada ya MTOLERA kwa kumwambia "dua la kuku alimpate
>  >> > mwewe"
>  >> >
>  >> > Kwahiyo siwezi kushangaa nikiona mchango wake unashabikia kufukuzwa kwa
>  >> > madaktari na kunyang'anywa leseni. Kwa wale ambao hawakumbuki "kunyang'anya
>  >> > leseni madaktari" ni moja ya mapendekezo yake kwenye mgomo wa mwezi
>  >> > februali.
>  >> >
>  >> >  Maana mbegu hii inayopandwa kizazi hiki kwenye sekta ya afya tusubiri
>  >> > mavuno muda mfupi ujao.
>  >> > Tuombe Mungu neema yake itawale.
>  >> >
>  >> > Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.
>  >> >
>  >> >
>  >> >
>  >> >
>  >> >
>  >> >
>  >> >
>  >> > -----Original Message-----
>  >> > From: neatness msemo <nmu...@gmail.com <mailto:nmu...@gmail.com> >
>  >> >
>  >> > Sender: wanabidii@googlegroups.com <mailto:wanabidii@googlegroups.com>
>  >> > Date: Wed, 11 Jul 2012 16:18:15
>  >> > To: <wanabidii@googlegroups.com <mailto:wanabidii@googlegroups.com> >
>  >> > Reply-To: wanabidii@googlegroups.com <mailto:wanabidii@googlegroups.com>
>  >> > Subject: Re: [wanabidii] Re: Majina ya Madaktari waliokuwa wanafanya
>  >> >  Internship waliopoteza Sifa za Kupata Usajili wa Muda (Provisional
>  >> > Registration).
>  >> >
>  >> > kama wamewafukuza huku rais ameingilia huku shauri liko mahakamani
>  >> > lakini
>  >> > bunge haliruhusiwi wala wananchi kujadili sasa hii maana yake nini kama
>  >> > sio
>  >> > uonevu.nadhani dawa io kufukuza kwani mtoto wako akikukosea bado
>  >> > unatakiwa
>  >> > hekima itawale ili tuone busara zikitumika lakini ubabe hausaidii kwani
>  >> > wanaoumia sio madaktari wala serikali bali ni umma wa mtanzania kwani
>  >> > wakiondoa leseni je watawakataza kufanya ujasiriamali?si mradi mkono
>  >> > uende
>  >> > kinywani lakini si bado utaalamu wao unahitajika?tutumie busara
>  >> > tunachekwa
>  >> > sana ujue.nakuambia wakienda huko majuu watapat kazi z kuwatunza wazee
>  >> > na
>  >> > baadaye watapewa kazi kwa experience zao.na <http://zao.na>  wakijua kuwa walitimuliwa
>  >> > wanaweza kufanya jambo kwani wao wanahitajika duniani basi tu hapa kwetu
>  >> > ubabe mtupu wakati mali zetu zinachukuliwa wala hakuna anayekeme nani
>  >> > anaweza kuchukua lesini za urais au uwaziri mkuu kama wanao mbona wengi
>  >> > walifei lakini leo ni marais.tusiwaonee jamani hao watoto wengine ni
>  >> > watoto
>  >> > wa wakulima na jamaa yao yote inawategemea.tuwe na jicho la kuona mbali
>  >> > na
>  >> > huruma kwani walikuwa wanatetea wananchi .kwan mtu kwenda hospital
>  >> > hakuna
>  >> > dawa hakuna vifaa haipendezi ka una wito na sidhan kweli eti maslahi yao
>  >> > ndio chanzo cha huu mjadala haya Mungu anawaona wote
>  >> >
>  >> > 2012/7/11 Laurean Rugambwa B. <rugam...@hotmail.com <mailto:rugam...@hotmail.com> >
>  >> >
>  >> > >  Mzee Ezekiel,
>  >> > >  Sasa tunazungumza; tafadhali soma majibu ya maswali na maoni yako
>  >> > > hapo
>  >> > > chini nimeweka kwa rangi nyekundu:
>  >> >
>  >> > > Naomba nitangaze kwa mara nyingine kuwa mimi sijawahi kuwa mwanachama,
>  >> > > siko chama chochote, iwe CCM, CHADEMA au vyama vingine.. Na sioni
>  >> > > sababu ya
>  >> > > kujificha, ndo maana natumia majina yangu halisi..  I wanted to get
>  >> > > this
>  >> > > out of the way ili uelewe muktadha wa misimamo na maoni yangu.. Amini
>  >> > > ndugu
>  >> > > Ezekiel kuwa kuna watu hawana vyama, si washabiki wa vyama, lakini
>  >> > > wakisema
>  >> > > yale yanasemwa na vyama, usiwaone ni wapinzani tu.. itakusaidia
>  >> > > kujadili
>  >> > > hoja.
>  >> > > Kwa taarifa yako, mimi napenda mijadala kama hii ya kwako..endelea
>  >> > > kusoma
>  >> > > maoni yangu hapo chini
>  >> >
>  >> > > ------------------------------
>  >> > > Date: Wed, 11 Jul 2012 12:24:13 +0100
>  >> >
>  >> > > From: ekunyarany...@yahoo.co.uk <mailto:ekunyarany...@yahoo.co.uk>
>  >> > > Subject: Re: [wanabidii] Re: Majina ya Madaktari waliokuwa wanafanya
>  >> > > Internship waliopoteza Sifa za Kupata Usajili wa Muda (Provisional
>  >> > > Registration).
>  >> > > To: wanabidii@googlegroups.com <mailto:wanabidii@googlegroups.com>
>  >> >
>  >> > > Laurean RB
>  >> >
>  >> > > Nakushukuru sana kwa maoni yako. Mimi naona umechangia kwa mambo
>  >> > > mawili
>  >> > > muhimu sana kwa sasa. Moja nilifikiri katika postings zangu hapo nyuma
>  >> > > ulisoma na kuelewa huenda kwa nini sikuomba msamaha na sijui kama
>  >> > > nitafanya
>  >> > > hivyo kwa jinsi nilivyosema.
>  >> >
>  >> > > Moja: Swala la ajali hakuna mahala popote ambapo nadhani kwa maneno
>  >> > > yako
>  >> > > nayanukuru hapa "wewe Ezekiel ulofurahia ajali ya Selasini kwa sababu
>  >> > > ni
>  >> > > mwanasiasa tu au ni mpinzani." . kama unadhani nilifurahia ajali
>  >> > > nadhani
>  >> > > huo ulikuwa ni mtizamo wako ambao kimsingi  siwezi kuubadilisha. Na
>  >> > > ndiyo
>  >> > > maana ukaamua kama ulivyoamua. Mimi nilisema " Viongozi kimsingi
>  >> > > hawatakiwi
>  >> > > kuendesha magari kwa vile vichwani mwao huwa wana mambo mengi kwa
>  >> > > ajili ya
>  >> > > wananchi wao. Na kwamba kitaalamu jambi hili linawapunguzia uwezo wa
>  >> > > kuamua
>  >> > > wawapo barabarani, yaani PIEVE TIME kwao ni chini sana ya kiwango
>  >> > > kinachotakiwa yaani sekunde tatu". Wao huweza kufika hata sekunde sita
>  >> > > ambazo ni nyingi mno na ajali huwa imetokea. Nikasema uwapo barabarani
>  >> > > kazi
>  >> > > ni kufanya maamuzi ndio udereva huo. Udereva siyo kushika usukani tu
>  >> > > na
>  >> > > kukanyaga mafuta ndugu yangu Rugambwa. Kwa mtizamo wako ulitaka niseme
>  >> > > nini
>  >> > > sasa zaidi ya maelezo hayo. Kama hukuyaelewa ndugu yangu Rugambwa
>  >> > > sijui
>  >> > > sasa nikusaidieje. Safi, nashukuru kwa kuwa muugwana kulitolea maelezo
>  >> > > hili. Hapa nimekuelewa na naomba msamaha kama nilidhani wewe uliona ni
>  >> > > heri
>  >> > > apate ajali maana alipaswa kuwa na dereva, ila niseme tu kwa ubinadamu
>  >> > > wa
>  >> > > kawaida, sio vema kwa desturi zetu sis waafrika kuanza kumponda mtu
>  >> > > kwa
>  >> > > kosa akiwa na msiba, ungesubiri amalize msiba. I would say, the
>  >> > > argument
>  >> > > you had is valid but its timing was bad. Nadhani hapo unapata muktadha
>  >> > > wa
>  >> > > maoni yangu, kwa taarifa mimi Mh. Selasini simfahamu zaidi ya kuwa
>  >> > > mwanafunzi wa kaka yake Dr. Lamwai.
>  >> >
>  >> > > Pili: Kuhusu mgomo wa madaktari: Najua hisia walizo nazo watanzania,
>  >> > > naomba nikwambie inawezekana ni wewe na kundi dogo sana mnashadidia
>  >> > > watanzania wa kawaida tena maskini waendelee kuteseka kutokana na
>  >> > > mgomo
>  >> > > huu. na mnafanya hivi kwa sababu mnazozijua ninyi na wala sio za
>  >> > > kiubinadamu kabisa. Wala kundi hili linalishabikia hawana hata *chembe
>  >> > > ya
>  >> > > ubinadamu isipokuwa hata hapa *utawasikia wakiunganisha mgomo huu na
>  >> > > CCM!!!! utadhani wanaoumia na mgomo huu wana CCM hawamo. Nadhani hapa
>  >> > > umetoa msimamo wa kijumla jumla, hakuna mtu anasema CCM, na unakuwaje
>  >> > > na
>  >> > > ujasiri wa kusema kuwa watu hawana ubinadamu? mbona unawa hukumu watu
>  >> > > tu,
>  >> > > bila kujua dhamira zao?  mimi najigamba kuwa nina ubinadamu, ndo kazi
>  >> > > nimeifanya maisha yangu yote ya kazi, I have been  for many years
>  >> > > lived
>  >> > > and  indeed I am   humanitarian  worker  all my professional life. I
>  >> > > believe in humanity . I do also value humanitarian values that include
>  >> > > some
>  >> > > of my positions like advocating for rights of less advatanged,
>  >> > > discriminated, voiceless. Kwahiyo, kinachonisukuma kuandika haya na
>  >> > > kueleza
>  >> > > msimamo wangu ni utu na ubinadamu.. na sio kuandika, naishi maisha ya
>  >> > > kusaidia watu.
>  >> >
>  >> > > Hoja kama hizi ndio zinafanya watu wawaone ninyi kama siyo watanzania
>  >> > > hasa,  hapa unakosea, ndo unatukosea, sisi akina nani, just because we
>  >> > > are demanding good governancem accountability, hii tu ndugu Ezekiel
>  >> > > ndo
>  >> > > inakufanya uamini kuwa sisi hatuna utanzania kama wako? utanzania ni
>  >> > > upi?
>  >> > > kukaa kimya? kunayamazia maovu yakitendeka?  na mimi sisemi ninyi,
>  >> > > hapa
>  >> > > nazungumza na wewe.. watu wanaotaka uraia wa nchi mbili ili
>  >> > > mkishavuruga
>  >> > > mambo na huduma kodorola basi muende huko mnakojua. Ki ukweli hii ni
>  >> > > cheap argument, unapaswa utoe hoja, nani kasema habari za uraia wa
>  >> > > nchi
>  >> > > mbili? usichanganye mada, nani kasema vita, mgogoro?  huo ni mjadala
>  >> > > wa
>  >> > > siku nyingine,  hapa umechanganya,  lakini niseme tu kuwa nchi nyingi
>  >> > > zimefaidika na dual citizenship, ukitaka tuijadili, nitaijadili.
>  >> > > Jambo
>  >> > > hili hatulitaki kabisa kama wananchi wa kawaida bwana Rugambwa.
>  >> > > Sifurahii
>  >> > > kabisa mgomo nA WATU kuendelea kuteseka kwa sababu tu maslahi duni.
>  >> > > Ndugu
>  >> > > yangu Rugambwa, sijui kama unafahamu kuwa Watanzania wengi wanajua
>  >> > > kabisa
>  >> > > kubwa tatizo kubwa la kurundikana kwa wagonjwa ni la Madaktari
>  >> > > kuhitaji
>  >> > > rushwa, na kwamba dawa zinapatikana katika maduka yao na wengine
>  >> > > hutibiwa
>  >> > > vizuri kwa madaktari hao hao wakiwa katika hospitali binafsi kuliko
>  >> > > wakiwa
>  >> > > katika Hospitali za Umma, Hivi unayajua haya?
>  >> >
>  >> > > Sinahakika kama unayafahamu, kama unayafahamu basi saidia nchi yetu na
>  >> > > watu wake wapate unafuu wa maisha.  Ulosema hapo juu nakubaliana na
>  >> > > wewe
>  >> > > najua kuwa hawafanyi kazi, wako busy na mambo yao. Kila mtu mbona
>  >> > > anajua
>  >> > > hili.. Nitalieleza baadae. Hakuna mahala umeona nimesema hawa wachapa
>  >> > > kazi.. la hasha!.. Mimi nafahamu kuwa madaktari ni kada pekee
>  >> > > iliruhusiwa
>  >> > > na serikali kuvunja kanuni ya mgongano wa kimaslahi.. (conflict of
>  >> > > interest) Kwa mfano, Kamishan Kova hawezi ruhusiwa kuwa na kampuni ya
>  >> > > ulinzi akiwa bado polisi, Kitilya hawezi kuwa tax consultant etc..
>  >> > > Lakini
>  >> > > tatizo la wao kutofanya kazi ni kosa lao? kwanini usiseme kuwa mwajiri
>  >> > > anapaswa awe strict, awabane, wafanye kazi.. Huo ni uongozi mbovu wa
>  >> > > mfumo.
>  >> > > Tunashidwa nini kuwapa timesheet hao madaktari? pay for performance,
>  >> > > tusifanye kazi kwa mazoea eti wagonjwa wanakufa kwasababu dawa
>  >> > > zinaibiwa,
>  >> > > na tunajua? kwahiyo nani alaumiwe ndugu Ezekiel? Daktari, mimi na
>  >> > > wewe? .
>  >> > > Nani anapaswa kulaumiwa hapa? wewe umempa mtu kazi na unapaswa
>  >> > > kumsimamia,
>  >> > > asiyemsimamia mtumishi ndo anapaswa kushtakiwa kwa manslaugther..
>  >> > > Hapa
>  >> > > hakuna cha mambo ya kiitikadi, naongea kama mlipa kodi..
>  >> >
>  >> > > Nne: kuhusu sekta nyingine kusababisha maafa kwa watanzania, ndiyo
>  >> > > maana
>  >> > > nasema sheria ichukue mkondo wake, kwa kila mmoja lile linalomgusa
>  >> > > lishughulikiwe ndipo tutakapo kwenda, hili lisipofanyika basi tutazama
>  >> > > kama
>  >> > > taifa na kama watanzania. Nakubaliana na wewe kabisa.
>  >> >
>  >> > > Nakushukuru kwa mchango wako tuendelee kujadiliana. Asante kwa muda
>  >> > > wako
>  >> >
>  >> > > K.E.M.S.
>  >> > >   ------------------------------
>  >> > > *From:* Laurean Rugambwa B. <rugam...@hotmail.com <mailto:rugam...@hotmail.com> >
>  >> > > *To:* wanabidii wanabidii <wanabidii@googlegroups.com <mailto:wanabidii@googlegroups.com> >
>  >> > > *Sent:* Wednesday, 11 July 2012, 3:55
>  >> > > *Subject:* RE: [wanabidii] Re: Majina ya Madaktari waliokuwa wanafanya
>  >> > > Internship waliopoteza Sifa za Kupata Usajili wa Muda (Provisional
>  >> > > Registration).
>  >> >
>  >> > >  Jane and KEMS:
>  >> > > Kwanza napenda niwape tu pongezi kwa kutoa maoni yenu, nadhani ni haki
>  >> > > yenu. Suala la
>  >> >
>  >> > ...
>  >> >
>  >> > read more »
>  >>
>  >> --
>  >> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com <http://www.mwanabidii.com>
>  >> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com <http://www.kazibongo.blogspot.com>
>  >> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com <http://www.patahabari.blogspot.com>
>  >>
>  >> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>  >> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com <mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com>  Utapata Email ya kudhibitisha
>  >> ukishatuma
>  >>
>  >> Disclaimer:
>  >> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>  >> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
>  >> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
>  >> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>  >
>  > --
>  > Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com <http://www.mwanabidii.com>
>  > Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com <http://www.kazibongo.blogspot.com>
>  > Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com <http://www.patahabari.blogspot.com>
>  >
>  > Kujiondoa Tuma Email kwenda
>  > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com <mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com>  Utapata Email ya kudhibitisha
>  > ukishatuma
>  >
>  > Disclaimer:
>  > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>  > consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
>  > presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
>  > this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>  >
>  > --
>  > Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com <http://www.mwanabidii.com>
>  > Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com <http://www.kazibongo.blogspot.com>
>  > Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com <http://www.patahabari.blogspot.com>
>  >
>  > Kujiondoa Tuma Email kwenda
>  > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com <mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com>  Utapata Email ya kudhibitisha
>  > ukishatuma
>  >
>  > Disclaimer:
>  > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>  > consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
>  > presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
>  > this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>  >
>  >
>  >
>  > --
>  > Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com <http://www.mwanabidii.com>
>  > Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com <http://www.kazibongo.blogspot.com>
>  > Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com <http://www.patahabari.blogspot.com>
>  >
>  > Kujiondoa Tuma Email kwenda
>  > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com <mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com>  Utapata Email ya kudhibitisha
>  > ukishatuma
>  >
>  > Disclaimer:
>  > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>  > consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
>  > presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
>  > this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>  >
>  > --
>  > Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com <http://www.mwanabidii.com>
>  > Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com <http://www.kazibongo.blogspot.com>
>  > Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com <http://www.patahabari.blogspot.com>
>  >
>  > Kujiondoa Tuma Email kwenda
>  > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com <mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com>  Utapata Email ya kudhibitisha
>  > ukishatuma
>  >
>  > Disclaimer:
>  > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>  > consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
>  > presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
>  > this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>  --
>  Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com <http://www.mwanabidii.com>
>  Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com <http://www.kazibongo.blogspot.com>
>  Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com <http://www.patahabari.blogspot.com>
>
>  Kujiondoa Tuma Email kwenda
>  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com <mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com>   Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>  Disclaimer:
>  Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>  --
>  Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>  Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>  Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
>  Kujiondoa Tuma Email kwenda
>  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>  Disclaimer:
>  Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.


0 comments:

Post a Comment