Thursday, 12 July 2012

Re: [wanabidii] Randama ni nini

Jamani kwa sisi wahusika wa Randama, naomba nifafanue kama ifuatavyo: Randama ni kama neno lililotoholewa kutoka kwenye neno la Kiingereza "Memorandum" (maelezo ya Vifungu vilivyokasmiwa fedha = maelezo yanayolenga kutoka ufafanuzi kwa ajili ya vifungu vilivyokasimiwa fedha kwenye Bajeti)

On 12 July 2012 09:47, dos Santos Silayo <dsilayo@yahoo.co.uk> wrote:
mkuu hiyo itakuwa ni 'Proposal'
 
From: Boniface Magessa <magessabm@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Thursday, 12 July 2012, 9:14
Subject: Re: [wanabidii] Randama ni nini

mwenye kujua tafsiri atueleze..hata miye naona marue rue tu!

2012/7/12 Fred Alphonce <fredrick197958@yahoo.com>
Ndugu zangu hivi karibuni nimekuwa nasikia kila mara mjengoni wanasema randama?

Ni kiswahili kipya na sijapata kufahamu neno hili ni nini hasa?
Wabeja
--
Karibu Jukwaa la http://www.mwanabidii.com/
Pata nafasi mpya za Kazi http://www.kazibongo.blogspot.com/
Blogu ya Habari na Picha http://www.patahabari.blogspot.com/
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--

Sent from Samsung Galaxy Ace GT-S 5830 --The future of Android Technology

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Bariki G. Mwasaga,
P.O. Box 3021,
Dar es Salaam, Tanzania
+255 754 812 387

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment