Monday, 23 July 2012

Re: [wanabidii] MIRADI ILIYOKAMILIKA KIPINDI CHA RAIS JAKAYA KIKWETE

Hili la maboresho ya kanuni za mifuko ya hifadhi ya jamii! Nitamkumbuka mh. kwa kufanikisha hili.

2012/7/23 Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com>
Nchi isiyokuwa na utamaduni wa kuwajibishana na kinga za kudumu kama vile watu ni wateule wa mungu waweza toa ahadi yoyote na ndio mzee ukazikwaaa kwa wingi. Kwanza si ajabu akumbuki kutoa hata hizi ahadi kwani si hotuba wanaandika wanaojifanya wanajua matatizo ya watanzania bwana!

2012/7/22 Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
Ndugu zangu

Naomba Mwenye orodha ya miradi iliyokamilika ya Rais Jakaya Mrisho
kikwete toka ameingia madarakani au ambayo inakaribia kukamilika .

Nimeambiwa kipindi chake barabara nyingi sana zimejengwa na nyingine
kupanuliwa ni zipi hizo kwa mfano na kwa kiwango urefu gani ?

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

Wasalaam
 
Denis Matanda,
Mine Supt,
Nzega - Tanzania.
 
" Low aim, not failure, is a crime"

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment