2012/7/17 Vincent Mhangwa <vmhangwa@gmail.com>
NDIYOOOOOOOOOO!!!!!!!!!
Ni kwa mimi na wewe kujiandikisha katika daftari la wapiga kura na kujitokeza kwenda kupiga kura wakati ukifika. Sababu za eti wizi, uzoefu wa CCM, Udini, na eti vijiji bado vinaimani CCM hazina mashiko na hazijafanyiwa utafiti wa kutosha. Ninavifahamu vijiji vingi vya Mkoa wa Mara, Mwanza, Shinyanga, Geita, Simiyu, Kagera, Siku hizi hata Dodoma (Mpwapwa), Morogoro (Mvomero), na Tabora (Igunga) vinaunga mkono CHADEMA kwa sana.
Nafahamu pia miji kama vile, Bukombe, Geita (Geita), Kahama (Shy), Maswa, Bariadi (Simiyu); Mwanza, Ngudu, Misungwi, Magu (Mwz), Bukoba, Muleba, Ngara, Chato (Kagera), Tarime, Bunda, Musoma (Mara) ni CHADEMA tupu!! Nimeorodhesha maeneo haya ninayoyafahamu. Sitaki kugusa Mbeya, Iringa, Arusha, nk nisiko kufahamu. TUBADILIKE, TUTASHINDA na NCHI ITAFUNGUKA KUTOKA JELA YA UMASKINI.
Vin2012/7/15 Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>
jibu la haraka ni kuwaHAPANA. pana uwezekano mkubwa wa ccm kushinda.
kwa nn nasema hivi?
1- ccm wanauzoefu wa kumpitisha mgombea na tofauti zao zikaisha.
rasharasha huwepo lkn huwa chache sn!
2- vijijini bado wana imani kubwa na ccm na hata baadhi ya miji.
3- tofauti za safu ya juu ya chadema zinaweza kukipa zilzala
(mtikisiko) kipindi cha uchaguzi wa mwenyekiti na mgombea urais. Hii
itakua neema kwa ccm.
4- propaganda za ukanda na udini zimekua mwiba kooni mwa chadema.
hakikubaliki sn kwa waislamu. anae bisha apitie matokeo ya uchaguzi wa
2010 ktk tovuti ya NEC. Ataona chdm ilivyofanya ktk maeneo yenye
waislamu wengi nchini.
5- cuf imekuwa ikiiharibia chadema. uwepo wa cuf ni kihunzi kwa
chadema. na hivi sasa uadui bungeni wa cuf na chdm ni mkubwa. Cuf
itaendelea kupunguza kura za chdm.
6- ili ccm ifanye vizuri, pana uwezekano ikakubaliana kuwapa cuf znz
ili wanacuf wa bara wote waipigie ccm. Mpango huu unaweza kuinufaisha
ccm huku bara. Ktk siasa lolote linawezekana. WANASIASA NI WANAHARAMU
SANA! (ashakum…!)
7- siyo siri uchaguzi wa 2010 ulitawaliwa na udini (anaekataa hili
atakua na matatizo). ccm ilikua na mgombea muislamu. cuf ilikua na
mgombea muislamu. chdm ilikua na mgombea mkristo. wakristo wengi
walipeleka kura zao chdm. kura za waislamu wengi zilikwenda ccm na
cuf. mwaka 2015, pana uwezekano mkubwa ccm watampitisha mkristo. hali
hii itapunguza kura za chadema. maaskofu ambao walikuwa upande wa
chdm, wakiona mgombea mkristo ccm, bila shaka watahama na wafuasi wao
kwenda upande wa ccm.
Ikumbukwe kuwa ccm inajua KULA VIZURI na viongozi wa dini!
http://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/292602-ili-chadema-ishinde-2015-ifanye-hivi-la-sivyo-ni-ushauri-wa-bure.html#post4243249
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:
Post a Comment