Thursday, 12 July 2012

Re: [wanabidii] Dr Slaa Kushitakiwa kwa Kutelekeza Familia na Kutaka Kufunga Ndoa

Hivi ufuska ni sehemu ya siasa za Tanzania? maana kusikia kiongozi kazaa mahala fulani au kukutana na mtoto anafanana na kiongozi fulani na mama anahangaika kumtunza ni jambo la kawaida. Kama wanasiasa wakitaka kuumbuana utakuta vipicha za vitoto vinavyofanana na viongozi wetu vitoto hivyo vikilelewa na mama zao vinabandikwa magazetini. Hapo ndipo tutakapoona aibu kama tunazo

--- On Thu, 7/12/12, Yona Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:

From: Yona Maro <oldmoshi@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] Dr Slaa Kushitakiwa kwa Kutelekeza Familia na Kutaka Kufunga Ndoa
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, July 12, 2012, 5:54 AM

Mimi binafsi sina shida yoyote na yeye kuamua kuwa na wake wengi ni uamuzi wake na huo wa wake zake ila kinachonishangaza ni hiyo kauli ya " Kutelekeza watoto " hebu tuambieni huko ulaya wakina clinton walitelekeza watoto wao ? Je sakozy wa ufaransa anatuhuma za kutelekeza watoto ?

2012/7/12 masedon Bagile <bagilem@yahoo.com>

Kama Simba Chawene alizushiwa fumanizi na watu wakajadili mbona hili linaleta mshangao wakujadiliwa? Kazi ipo!!

Masedon B Bagile
P O Box 9818 Dar es Salaam
Mobile: +255 718 31 41 58
+255 762 95 49 21

--- On Thu, 7/12/12, Jones Nyakwana <jonesn1478@yahoo.co.uk> wrote:

From: Jones Nyakwana <jonesn1478@yahoo.co.uk>
Subject: Re: [wanabidii] Dr Slaa Kushitakiwa kwa Kutelekeza Familia na Kutaka Kufunga Ndoa
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, July 12, 2012, 5:16 AM

Hii nayo mnataka tuijadili au? si bora tushike majembe tukalime kama tumekosa hoja!

--- On Thu, 12/7/12, Yona Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:

From: Yona Maro <oldmoshi@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] Dr Slaa Kushitakiwa kwa Kutelekeza Familia na Kutaka Kufunga Ndoa
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, 12 July, 2012, 8:09

Imagine saa hizi angekuwa rais wetu huyu sijui ingekuwaje

2012/7/12 Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>
Katibu mkuu wa Chadema Dr Slaa anatarajiwa kupandishwa kizimbani na
Mkewe wa zamani mhe rose kamili baada ya kutelekeza familia hiyo na
kutaka kufunga ndoa na mwanamke mwingine anayeitwa joseph Mushumbusi .

Taarifa zaidi zasema ndoa hiyo ilitakiwa kufungwa julai 21 mwaka huu
lakini pingamizi limeshafikishwa mahakamani

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment