Mimi huwa natamani watu wote wangemchunia akileta hoja isiyokuwa na mshiko au yenye maslahi binafsi yake. Toka uchaguzi mkuu 2010 umeisha inaonyesha Yona Maro anamaslahi binafsi na Dr Slaa.
Kimsingi nchi yetu ilipofika kwa rushwa na ufisadi tunahitaji rais ambaye ana ujasiri wa kutosha na bila kumung'unya maneno atuambie nani ni fisadi na hatua za hapo hapo. Ndo faida ambayo watanzania wengi wanasubiri.
Kwasasa ili ufisadi tuuzike ni raisi pekee anatakiwa aanze kuukana na kuwa mwiko, ndipo wengine wafuate. Ndo maana Dr. Slaa ameweza kuwavuta watanzania walio wengi. Si utakatifu wa familia yake bali ni jinsi ambavyo anaweza kushughulikia ufisadi katika nchi hii. Watanzania tuliowengi tunaamini rushwa na ufisadi ndio kikwazo kuu cha maendeleo ya taifa letu. Kama kuna mtu halioni hili kuna tatizo kubwa na safari yetu itakuwa ndefu sana au analiona tatizo lakini ananufaika na mfumo huu.
Tutafika tu tusonge.
Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.
From: Azaveli Lwaitama <kerezesia_mukalugaisa@hotmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Fri, 13 Jul 2012 00:31:53 +0000
To: <wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: RE: [wanabidii] Dr Slaa Kushitakiwa kwa Kutelekeza Familia na Kutaka Kufunga Ndoa
Yona Maro,
Kama angekuwa Rais bado angeweza akazuiwa kuoa na mzazi mwenzake na hiyo ingwekuwa njia ya kuonyesha kuwa hata Rais ni binadamu tu kama wewe Yona na mimi. Mahakama zimewekwa kwa watu wote bila kujali ni viongozi wa kisiasa au la. Kama unataka kumkosoa Dr Slaa na unao ushaidi wa unalolizunguza wewe mkosoe tu, sielewi ni hoja hipi hiyo kusema eti "Imagine saa hizi angekuwa rais wetu huyu sijui ingekuwaje". Heri Rais mwenye kuruhusu kushitakiwa na mzazi mwenzake kwa mambo yao ya kuhusu kutelekezana na kutunza watoto kuliko Rais mwenye kutaka hasihojiwe na yeyote kuhusu lolote bali asifiwe tu kila kukicha....Rais ni binadamu kama wewe na mimi..tunamchangua atuongoze vile tunamwamini hatauza nchi au kumwonea mtu yoyote kwa kutumia cheo chake.... Tumjadili Dr Slaa kama ambavyo tungeweza kukujadili wewe Yona au mimi Lwaitama kama wazazi wenzetu wangeamua siku yoyote kutushitaki kuhusu kuwatelekeza au kutotunza watoto. Mandela, Clinton, Mao Tse Tung, Sarkoz, etc, wote hawa wamewahi kuwana na matatizo katiaka maisha yao ya ndoa lakini hilo aliondoi kuwa ni viongozi waliomudu kazi zao vizuri za ukuu wa nchi...
Kama kigezo kingekuwa kutokuwa na matatizo katika ndoa nadhani tusingekuwa na Rais tangu uhuru hadi leo...Tungebidi tungoje hadi Yona Maro labda awe na sifa nyingine zote pamoja na hii unayoiwekea mkazo!!! Rais si kiongozi wa dini na wala hatumchangui vile ni mtakatifu... Mara hii umesahau yaliyomsibu Rais Mwai Kibaki wa Kenya na wake zake wale wawili, hususani yule wa mke mkubwa mwenye kipaji cha kucharaza makonde waandishi wa habari!! Lakini ndiye Rais wa Kenya huyo, Yona Maro!!!! Ma-Rais wengine Afrika mambo yao yanazungumzwa mtaani (labda kama wewe Mtakatifu Yona Maro hujayasikia!) lakini waandishi wanoogopa kuyaandika au tuseme wana wanawastahi wahusika vile kuyaanika hayo wakati mwingine si muhimu kiasi hicho... Yona , hacha hizo bifu zisizo na msingi dhidi ya mzee wa watu...Hata angekuwa Rais hakuna cha ajabu, ingekuwa brududani naye aburuzwe mahakamani kama siye wengine, eti! Muhimu ni kwamba sasa tungekuwa na Baraza la Mawaziri dogo hivyo gharama za kuendesha serikali labda zingekuwa zimepungua hivyo labda madaktari wasingekuwa wamegoma na labda bei ya bati na sementi vingekuwa chini kuliko sasa...Hupo hapo?!!!
Mwl. Lwaitama
Date: Thu, 12 Jul 2012 10:09:15 +0300
Subject: Re: [wanabidii] Dr Slaa Kushitakiwa kwa Kutelekeza Familia na Kutaka Kufunga Ndoa
From: oldmoshi@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com
Imagine saa hizi angekuwa rais wetu huyu sijui ingekuwaje
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

2012/7/12 Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>
Katibu mkuu wa Chadema Dr Slaa anatarajiwa kupandishwa kizimbani na
Mkewe wa zamani mhe rose kamili baada ya kutelekeza familia hiyo na
kutaka kufunga ndoa na mwanamke mwingine anayeitwa joseph Mushumbusi .
Taarifa zaidi zasema ndoa hiyo ilitakiwa kufungwa julai 21 mwaka huu
lakini pingamizi limeshafikishwa mahakamani
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment