Thursday, 12 July 2012

Re: [wanabidii] Dr Slaa Kushitakiwa kwa Kutelekeza Familia na Kutaka Kufunga Ndoa

Hapa tujadili nini? kuachana na mke wake au kufikishwa mahakamani? kwanza hatujui kama walikuwa na ndoa? kufikishwa mahakamani ni suala la kawaida maana hata kipindi cha kampeini yule aliyetambulika sijui mme au mzazi mwenzie na huyu mchumba wa Slaa alifungua kesi mahakamani lakini alitupwa!
 
Kama hoja ni kujadili uhalali wa Slaa kuwa rais wakati akiwa ameachana na mke wake huu utakuwa utoto mkubwa! Kwanza halina uhusiano na uongozi! mbona yapo mkubwa zaidi ya namna hii kwa viongozi wetu na wale waliopita lakini haya si hoja katika uongozi.

--- On Thu, 12/7/12, masedon Bagile <bagilem@yahoo.com> wrote:

From: masedon Bagile <bagilem@yahoo.com>
Subject: Re: [wanabidii] Dr Slaa Kushitakiwa kwa Kutelekeza Familia na Kutaka Kufunga Ndoa
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, 12 July, 2012, 13:50

Kama Simba Chawene alizushiwa fumanizi na watu wakajadili mbona hili linaleta mshangao wakujadiliwa? Kazi ipo!!

Masedon B Bagile
P O Box 9818 Dar es Salaam
Mobile: +255 718 31 41 58
+255 762 95 49 21

--- On Thu, 7/12/12, Jones Nyakwana <jonesn1478@yahoo.co.uk> wrote:

From: Jones Nyakwana <jonesn1478@yahoo.co.uk>
Subject: Re: [wanabidii] Dr Slaa Kushitakiwa kwa Kutelekeza Familia na Kutaka Kufunga Ndoa
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, July 12, 2012, 5:16 AM

Hii nayo mnataka tuijadili au? si bora tushike majembe tukalime kama tumekosa hoja!

--- On Thu, 12/7/12, Yona Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:

From: Yona Maro <oldmoshi@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] Dr Slaa Kushitakiwa kwa Kutelekeza Familia na Kutaka Kufunga Ndoa
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, 12 July, 2012, 8:09

Imagine saa hizi angekuwa rais wetu huyu sijui ingekuwaje

2012/7/12 Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>
Katibu mkuu wa Chadema Dr Slaa anatarajiwa kupandishwa kizimbani na
Mkewe wa zamani mhe rose kamili baada ya kutelekeza familia hiyo na
kutaka kufunga ndoa na mwanamke mwingine anayeitwa joseph Mushumbusi .

Taarifa zaidi zasema ndoa hiyo ilitakiwa kufungwa julai 21 mwaka huu
lakini pingamizi limeshafikishwa mahakamani

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment