Wednesday, 11 July 2012

Re: [wanabidii] CHADEMA THIBITISHENI MADAU YA KUTISHIWA VIONGOZI WENU

Yona,

Waachie wenye kazi yao waifanye vema. Tanbihi: Polisi na maofisa usalama waliomtesa Raila Odinga Kenya ndio wanaompigia saluti na kulinda leo. Unalijua hilo?

Ansbert Ngurumo
Deputy Managing Editor

Free Media

P.O. Box 15261

Dar es Salaam
Tanzania

Mobile      .+255 719 001 001

                  +255 767 172 665

www.freemedia.co.tz

www.voxmediatz.com
www.ngurumo.wordpress.com
www.ngurumo.blogspot.com



--- On Wed, 7/11/12, Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:

From: Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
Subject: [wanabidii] CHADEMA THIBITISHENI MADAU YA KUTISHIWA VIONGOZI WENU
To: "Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, July 11, 2012, 8:39 PM

Ndugu zangu

Ni kwa muda sasa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kimekuwa
kikituhumu vyombo mbalimbali vya dola kama Mahakama , Jeshi la
Polisi , Idara ya Usalama wa taifa na hata baadhi ya viongozi wa juu
ndani ya vyombo hivyo bila kutoa ushahidi wa uhakika .

Tunakumbuka katika uchaguzi mkuu uliopita CHADEMA walituhumu idara ya
usalama wa taifa kwa kuhusika na uchakachuaji wa matokeo mbalimbali ya
uchaguzi huo , malalamiko yao yalikuwa katika yale maeneo
waliyoshindwa wao haswa urais .

Katika siku za karibuni viongozi wa chama hicho wameibuka tena na
madai ya kutishiwa maisha na vyombo vya dola na hata pale walipotakiwa
kutoa maelezo zaidi na waziri mwenye dhamana hiyo wamekataa kwa sababu
ambazo wanazijua wenyewe .

Tuhuma hizi zimechafua serikali yetu na vyombo vyake vingine vya
ulinzi na usalama kama jeshi la polisi , idara ya usalama wa taifa na
baadhi ya viongozi wa taasisi hizo nyeti .

CHADEMA kama chama kinachotarajia kushika dola siku za mbeleni
kilitakiwa kiwe mfano kwa kutoa taarifa za ukweli na zenye uhakika na
hata pale inapotakiwa kuthibitishwa basi wawe wa mwanzo kuthibitisha
kwa kushirikiana na vyombo vingine vya dola .

Kwa mtindo huu wa kila mtu haswa wanasiasa kutumia majukwaa ya vyama
vyao kumtuhumu mtu au makundi ya watu bila kuwa na ushahidi ni vibaya
na inaonyesha jinsi ya baadhi ya vyama vinapokosa hoja za maana na
kurukia vitisho .

Kwa kuwa wana idara zao za ulinzi na usalama Ni wakati muafaka kwa
CHADEMA kuthibitisha madai yao ya kutika kuuwawa kwa baadhi ya
viongozi wake mbele ya umma wa watanzania ili hatua nyingine ziendelee
kuchukuliwa .

Na wajue hata wakishika dola kesho , idara ya usalama wa taifa ni ile
ile , jeshi la polisi ni lile lile lazima kuwe na heshima na kuweka
mipaka .

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment