Maamuzi ya hekima hayo. Pongezi kwenu...
Regards,
Mugittu, Zephaniah,
Cell: +255 784 769 481 No matter how high one is talented , business acumen still a necessity "Poverty is a result of attitude ..."
--- On Thu, 12/7/12, Dahlia Majid <dahliamajid@yahoo.com> wrote:
From: Dahlia Majid <dahliamajid@yahoo.com> Subject: [wanabidii] BREAKING NEWS To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com> Date: Thursday, 12 July, 2012, 19:36
BREAKING NEWS: MKUTANO WA JANGWANI WA JUMAPILI TAREHE 15.07.2012 UMEAHIRISHWA. Ndugu zangu, ule mkutano uliokuwa ukisubiriwa sana na WAPENZI NA WANACHAMA wa CUF pamoja na WANANCHI KWA UJUMLA umeahirishwa. Baada ya majadiliano ya muda mrefu kati yetu, kanisa katoliki na mamlaka za ILALA tumekubaliana kuwa wakatoliki waendelee na MKUTANO WAO WA KIMATAIFA WA UPONYAJI ambao utachukua takribani MWEZ...I MZIMA. Maombi yetu na ya wakatoliki yalifika pamoja Sasa kilichofuata ni kukubaliana na kwa sababu chama chetu hakina makuu tumekubali kuwapisha wenzetu kwa sababu itakuw vigumu wao kukatisha mkutano wao halafu waendelee tena. Tulitizamia kupata kiwanja kingine lakini utafiti umeonesha UWANJA UNAOWEZA KUHIMILI SHUGHULI YA CUF DSM NI JANGWANI, kwa hiyo tunasubiri wenzetu wamalize kisha tutafanya. Hivi Sasa tunaendelea na oparesheni mbalimbali na wiki ijayo tutakuwa mkoa wa morogoro kwenye baadhi ya wilaya. Poleni kwa usumbufu wowote ambao umejitokeza. Mtatiro. -- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
|
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment