Hatujitambui tu. hata ukienda vijijini unakuta nyanya, bamia, nyanya chungu zimejaa malundo nje ya nyumba. Vijana wapo kijiweni na pikipiki abiria wachache wapo wanacheza pool ambayo siku hizi ni kamali na wanacheza karata za kamali.
Ipo NGO ya Mrs Astronaut Bagile inaitwa WISE. Amesaidia akina mama kupata a small cold storage vehicle (Chakula Barafu) wanasafirisha mazao yao ya bustani mpaka nyumbani kwako na hotelini kama wana order yako. Bank zipo-CRDB na nyingine zinatoa mikopo ya kibiashara. Lakini-wakipewa mafunzo, kuandikishwa kikundi na kupewa mkopo-wanakula hela kianasa hawafanyi linalotegemewa pamoja na empowerment kimafunzo na vifaa. Mashirika mengi yamefanya youth empowerment na kuwasaidia na kuwasaidia kufungua account SACCOS au Bank. Walichukua hela na ile miradi ya nguruwe, mbuzi za maziwa, kil;imo cha nyanya, mpunga kikafa. Badala ya kulila hela ya mkopo wanagawana. Hata vyuo vikuu hupata nafasi ya warsha za kuwaelekeza nafasi zilizopo za ajira na kujiajiri. Wanafunzi wana vyama vyao. Lakini kama uonavyo-hata ile mikopo ya GVT hawaitumii vizuri. Hela apatayo ya mkopo na posho yake inclusive-anakimbilia kununua gari ya kusotasota. Anatoka bwenini hadi darasani kwa gari sio atembee! Anasahau kuboresha nyumba kwao au kuanzisha mradi bali kununua ambacho hakina maana. Likizo harudi nyumbani-analipa malaki nyumba ya kupanga au bwenini anakaa na kutafuta baba au mama lea. Wapo wachache sana wanaoanzisha miradi makwao au mijini ya vigenge etc.
Elimu itolewayo nayo ina utata. Daima huweka hata picha hapa mtandaoni kuonyesha-hiki ni chuo chenye mainjinia wa sanitation, construction na masociologists et mpaka maprofesa. Lakini-ngazi za concrete za chuo zimebomoka, concrete slates or slabs zilizofanyiwa reinforcement ya open storm-water drainage system zimebomoka na kuondoka katika kingo za mitaro, zinazagaa na kuvunjika na kingo za mtaro kuwa eroded. Hapo unakuta ni chuo za kutoa wataalamu ambao wanatakiwa wawe na practical experience ili waikomboe nchi. Leo hapo wanakosomeshwa ndio ngazi za kwenda na kurudi darasani, caferetia, posta, administration etc ambako wote wanapita-zimeporomoka! Kwenye sanitary engineers-vyoo vimefurika kuanzia mabwenini hadi vya madarasani vinafura kinyesi system ipo clogged. Na ipo hivyo kutokana na wao kutumbukiza vyupa vya plastiki, condon, nguo za akina mama, makaratasi ya magazeti badala ya kutumia toilet papers. Kuna maji chooni ktk ndoo mtu anaweka mzigo wake anaondoaka inajazana hapo hawezi kumwaga maji asafishe. Huyu ndio unamtegemea atajifunza kwa bidii ajiletee na kuleta mabadiliko? Awaze jinsi ya kujituma ajikwamue ambapo hata zigo lake hawei kuchukua maji amwage a flashi yaende?
Usishangae kuona hata soko la mwenge linalotembelewa na wengi kuona linavuja mvua ikinyesha pia la mabibo etc Wanafanya biashara, wanauongozi wa soko unakusanyakodi. Lakini hawawezi kukaa kujadili na kupanga jinsi ya kuboresha soko. Wakamuona Mchechu kuomba awajengee baada ya kuweka hela bank na kuchukua mkopo. Wakajenga section mbali mbali mpaka za cold storage likawa safi na kuwashughulikia wenye majengo, busha, ma magjorofa waliounganisha maji yao machafu mtaro wazo unaopita mbele yao. Akili zetu zina utata. Jee hayo mashamba usemayo? Japanese financed irrigation systems zipo TZ huko Ruvu, Kisanga-Malolo kilosa, Ukienda Moro Rural mabonde mazuri na World Vision, JWTZ imesaidia sana huko uboreshaji wa miundombinu ya umwagiliaji maji mifereji asili. Mashamba ya wetlads za kuzalisha mpunga, nyanya etc hayatolimika na kuleta faida kukwamua wananchi hata hao wasomi kama tutaendelea na sera za Siasa ya USISUMBUE WAPIGA KURA KUWAONDOA kwani MIFUGO kwa sana ni balaa mpaka wetlands za Ruvu, Rufiji, Kilombero, Kilosa hakulimiki ni mapigano na kulishia mashamba. Tukiboresha kilimo na ufugaji bora wa kisasa kuhamahama no-hata wasomi wachache wataingia katika kilimo na kusafirisha sukuma wiki hadi London na Hongkong!! Mkuranga ardhi yake ni kiboko. Pamoja na maeneo mengoine kama Kibaha na bonde na Ruvu Mlandizi-Ruvu JKT. Lakini-mifugo na ile tabia Eti Mji umekuwa na sasa Sio Kibaha village bali ni KIbaha City, Mlandizi City, Bunju City, Ruaha City-!!!!!!!-????? kwa nini upime arable land viwanja vya kujenga nyumba, godowns karakana za kuhifadhi magari, karakana za kuosha magari? Unachukua arable land ya Zinga, Kitopeni Bagamoyo upime nyumba au kuweka bandari kavu na ya majini wakati hapo kuna wazee ambao wanategemea mashamba ya mpunga, mihogo, minazi na korosho, mananazi na miembe yao ya umri wa miaka 50+ wauze embe!? Kwa nini huendi maeneo yasiyokaliwa, ukaondoa mikoko, ukajenga bandari au kuchimba ile ya zamani na maeneo ya GVT yapo ufukweni? Au ukaiweke Saadan na kuweka highway ya magari kwenda kubeba mizigo malori njia yake to and from na gari za abiria njia zao wasichangie na kontena kuua watu. Unachokitaka kutesa wazee Zinga na bandari kitu gani? Itabakia wao kutegemea kuuza vishoga na vichangu doa ili wale washibe.
University of Sokoine imefanya tafiti za mazao nyingi, za pollution ya maji, kuzalisha panya wanaotumwa, nguruwe na mbuzi za maziwa. Utafiti ufanywe-jee waliomaliza shule hapo wangapi pamoja na ajira wanafuga na kulima kisasa? Fanya tracer study kuanzia 20 years ago. Jee, wangapi waliomaliza UDSM kama mainjinia wamejenga nyumba zao binafsi za kisasa na za wazazi wao na kama hana ajira anafanya nini? Kama unaweza ukakuta wasomi chuoni wanatupa taka hovyo campus nzima takataka zimezagaa na wanasomea kuwa Health Officers, Sanitary Engineers, Medical doctors-unategemea mabadiliko gani? Kama chuo kina architects na civil engineers lakini hakuna hata vyoo na njia za walemavu hapo chuoni-Nani amfunge paka Kengelee? Lazima wakitoka hapo ni kukimbilia SIASA kugombea uongozi ktk chama fulani!!
Chambi-Mtanzania hapendi ukweli. Ukimpa ukweli uusemao-atakuambia Wewe ni wa Chama Tawala au ni fisadi una hela hutaki kusikiliza matatizo ya wenzako. Realism-hatuioni. Ndipo tulipoondoa wafanyakazi wa kufagia tukaweka PPP makampuni ya usafi ambapo kulikuwa na cleaners 2 kwa jengo sana kuna wafagiaji/cleaners 10 plus kwa jengo au total ktk campus au wizara 100+ Hawa wanakoga, kwenda haja kubwa na ndogo, kuchaji simu na kutumia umeme na kuongeza mzigo mkubwa katima matumizi ya resources zetu hapa ktk taasisi. Pili, baadhi vibaka, huvamia seminars na warsha wakatia aibu kuja kugombania chakula ambacho hesabu yao haipo. Wanakimbilia kuchota kula kabla ya participants wa warsha hawajatoka kula-wameshaiba na kusema nacho na kujaza chupa zao chai, kuchukua vipande vya kuku mpaka wasimamiwe wafukuzwe! choo badala ya staff mia kuvuta mara 3 kwa siku kwa sasa kinavutwa 3 mara 100 kwa siku-WC inabomoka due to over use and over flushing! Mtu mmoja anatakiwa kutoa ikg ya solid waste (sewage au kinyesi per day). Sasa ni 100 kg na maji hakuna na mizigo mingine kama mkaa wa mawe!
Huyo wa makabrasha akipata kazi-kutwa ofisini ktk Instagram, Facebook etc. Hapo ofisini mjengo hauna Choo, kuta zimebomoka, shule jirani haina vyoo lakini resources zipo. Hataki kuingia tope kufanya kazi za community mobilization wajenge au kukarabati choo-Serikali haijaja kujenga, mafungu bado! Fungu ni udogo, maji, mawe yanayopatikana bure nje ya jengo alipo na nguvu kazi ipo naye ni Health Officer au environmenta officer! Unafika ofisi ya Kata au Wilaya Extension staff mama kavaa kaguo na viatu ndala ndala kimtindo-anafika site kwenye tope na maji huyu jinsi alivyovaa? Jengo jipya lililosimama ujenzi-limeota miti ndani miti mikubwa haweezi kuhamasisha ikatwe visiki viondolewe. Unapokuta Zahanati ya Kata au Tarafa slab imejaa kinyesi na understructure imeporomoka na kuna shimo kati yake na slab ya kuchutamia uende haja watu wanaogopa kuingia wanazunguka nyuma ya choo na hapo pana Clinical officer, Health officer, nurses-unategemea nini wakati Tarafa au Vijiji vina mafundi, uongozi na materials kibao? Lakini-hawaoni tatizo-Serikali na budget!! Excuse me!! Waache wafu wazike wafu wao na wenye makabrasha wakimbile Botwana, Losotho kwenye ajira. Na huko interview tutashindwa tu. Tutatorokea Germany, uarabuni tukafagie na kudhalilishwa kinamna pia.
Kama Kawa
--------------------------------------------
On Sat, 2/4/16, Chambi Chachage chambi78@yahoo.com [Wanazuoni] <Wanazuoni@yahoogroups.com> wrote:
Subject: [Wanazuoni] Mashamba Bwerere Wasomi Hawayaoni?
To: "Wanazuoni" <wanazuoni@yahoogroups.com>
Date: Saturday, 2 April, 2016, 5:08
"Ukweli
ni kwamba kundi hili la zaidi ya vijana milioni moja
linalotemwa na vyuo vyetu kil mwaka, limezagaa mitaani
likiwa halina kabisa mbinu mbadala za kujinasua kutoka
katika lindi la umaskini licha ya kutumia miongo mingi
darasani na rasilimali nyingi za Taifa katika kuwaondolea
adui ujinga vichwani mwao. Ni kundi hili la vijana ambalo
ukibahatika kukutana nalo mtaani utakuta limebeba makabrasha
makubwa ya vyeti na nyaraka mbalimbali za kitaaluma zenye
kuonyesha ufaulu wao mzuri darasani. Hata hivyo, ukiwategea
sikio na kusikiliza maongezi yao hakuna utakachoambulia
zaidi ya malalamiko dhidi ya Serikali na taasisi za binafsi
kwa kuwanyima ajira au kutoa ajira kwa upendeleo. Ukitaka
kuoga mvua ya matusi basi jaribu kuwagusia suala la
kujiajiri hususani katika sekta ya kilimo iliyojaa fursa
lukuki. Wasomi hawa wa makabrasha watakuambia uwape mtaji wa
kujiajiri wakimaanisha fedha bila kujua kwamba fedha ni
silaha ya mwisho kabisa katika masuala ya ujasiriamali na
biashara. Kwao baada ya kuwapa fedha na kuhakikisha
wamezishika mkononi ndipo huanza kutafakarinini cha kufanya
kupitia fedha hizo! Vijana wetu hawa wamekuwa wakilalamikia
upatikanaji mgumu wa mashamba kwa ajili ya kilimo, ilhali
ukienda katika bonde la Mto Ruvu au Mto Rufiji mkoani Pwani
unakodishiwamashamba
kwa bei ya kutupwa na wenyeji wa maeneo hayo waliojaa
ukarimu usio na kifani" - http://www.mwananchi.co.tz/Makala/Tanzania-na-ugonjwa-wa-wasomi-wa-vyeti/-/1597592/3138068/-/kh7ehs/-/index.html
__._,_.___
Posted by: Chambi Chachage
<chambi78@yahoo.com>
Reply
via web post
•
Reply to sender
•
Reply to group
•
Start a New
Topic
•
Messages in this
topic
(1)
Have you tried the highest rated
email app?
With 4.5 stars in iTunes, the Yahoo Mail app is the
highest rated email app on the market. What are you waiting
for? The Yahoo Mail app is fast, beautiful and intuitive.
Try it today!
Visit Your Group
• Privacy • Unsubscribe • Terms of Use
.
__,_._,___
#yiv9192698684 #yiv9192698684 --
#yiv9192698684ygrp-mkp {
border:1px solid #d8d8d8;font-family:Arial;margin:10px
0;padding:0 10px;}
#yiv9192698684 #yiv9192698684ygrp-mkp hr {
border:1px solid #d8d8d8;}
#yiv9192698684 #yiv9192698684ygrp-mkp #yiv9192698684hd {
color:#628c2a;font-size:85%;font-weight:700;line-height:122%;margin:10px
0;}
#yiv9192698684 #yiv9192698684ygrp-mkp #yiv9192698684ads {
margin-bottom:10px;}
#yiv9192698684 #yiv9192698684ygrp-mkp .yiv9192698684ad {
padding:0 0;}
#yiv9192698684 #yiv9192698684ygrp-mkp .yiv9192698684ad p {
margin:0;}
#yiv9192698684 #yiv9192698684ygrp-mkp .yiv9192698684ad a {
color:#0000ff;text-decoration:none;}
#yiv9192698684 #yiv9192698684ygrp-sponsor
#yiv9192698684ygrp-lc {
font-family:Arial;}
#yiv9192698684 #yiv9192698684ygrp-sponsor
#yiv9192698684ygrp-lc #yiv9192698684hd {
margin:10px
0px;font-weight:700;font-size:78%;line-height:122%;}
#yiv9192698684 #yiv9192698684ygrp-sponsor
#yiv9192698684ygrp-lc .yiv9192698684ad {
margin-bottom:10px;padding:0 0;}
#yiv9192698684 #yiv9192698684actions {
font-family:Verdana;font-size:11px;padding:10px 0;}
#yiv9192698684 #yiv9192698684activity {
background-color:#e0ecee;float:left;font-family:Verdana;font-size:10px;padding:10px;}
#yiv9192698684 #yiv9192698684activity span {
font-weight:700;}
#yiv9192698684 #yiv9192698684activity span:first-child {
text-transform:uppercase;}
#yiv9192698684 #yiv9192698684activity span a {
color:#5085b6;text-decoration:none;}
#yiv9192698684 #yiv9192698684activity span span {
color:#ff7900;}
#yiv9192698684 #yiv9192698684activity span
.yiv9192698684underline {
text-decoration:underline;}
#yiv9192698684 .yiv9192698684attach {
clear:both;display:table;font-family:Arial;font-size:12px;padding:10px
0;width:400px;}
#yiv9192698684 .yiv9192698684attach div a {
text-decoration:none;}
#yiv9192698684 .yiv9192698684attach img {
border:none;padding-right:5px;}
#yiv9192698684 .yiv9192698684attach label {
display:block;margin-bottom:5px;}
#yiv9192698684 .yiv9192698684attach label a {
text-decoration:none;}
#yiv9192698684 blockquote {
margin:0 0 0 4px;}
#yiv9192698684 .yiv9192698684bold {
font-family:Arial;font-size:13px;font-weight:700;}
#yiv9192698684 .yiv9192698684bold a {
text-decoration:none;}
#yiv9192698684 dd.yiv9192698684last p a {
font-family:Verdana;font-weight:700;}
#yiv9192698684 dd.yiv9192698684last p span {
margin-right:10px;font-family:Verdana;font-weight:700;}
#yiv9192698684 dd.yiv9192698684last p
span.yiv9192698684yshortcuts {
margin-right:0;}
#yiv9192698684 div.yiv9192698684attach-table div div a {
text-decoration:none;}
#yiv9192698684 div.yiv9192698684attach-table {
width:400px;}
#yiv9192698684 div.yiv9192698684file-title a, #yiv9192698684
div.yiv9192698684file-title a:active, #yiv9192698684
div.yiv9192698684file-title a:hover, #yiv9192698684
div.yiv9192698684file-title a:visited {
text-decoration:none;}
#yiv9192698684 div.yiv9192698684photo-title a,
#yiv9192698684 div.yiv9192698684photo-title a:active,
#yiv9192698684 div.yiv9192698684photo-title a:hover,
#yiv9192698684 div.yiv9192698684photo-title a:visited {
text-decoration:none;}
#yiv9192698684 div#yiv9192698684ygrp-mlmsg
#yiv9192698684ygrp-msg p a span.yiv9192698684yshortcuts {
font-family:Verdana;font-size:10px;font-weight:normal;}
#yiv9192698684 .yiv9192698684green {
color:#628c2a;}
#yiv9192698684 .yiv9192698684MsoNormal {
margin:0 0 0 0;}
#yiv9192698684 o {
font-size:0;}
#yiv9192698684 #yiv9192698684photos div {
float:left;width:72px;}
#yiv9192698684 #yiv9192698684photos div div {
border:1px solid
#666666;height:62px;overflow:hidden;width:62px;}
#yiv9192698684 #yiv9192698684photos div label {
color:#666666;font-size:10px;overflow:hidden;text-align:center;white-space:nowrap;width:64px;}
#yiv9192698684 #yiv9192698684reco-category {
font-size:77%;}
#yiv9192698684 #yiv9192698684reco-desc {
font-size:77%;}
#yiv9192698684 .yiv9192698684replbq {
margin:4px;}
#yiv9192698684 #yiv9192698684ygrp-actbar div a:first-child {
margin-right:2px;padding-right:5px;}
#yiv9192698684 #yiv9192698684ygrp-mlmsg {
font-size:13px;font-family:Arial, helvetica, clean,
sans-serif;}
#yiv9192698684 #yiv9192698684ygrp-mlmsg table {
font-size:inherit;font:100%;}
#yiv9192698684 #yiv9192698684ygrp-mlmsg select,
#yiv9192698684 input, #yiv9192698684 textarea {
font:99% Arial, Helvetica, clean, sans-serif;}
#yiv9192698684 #yiv9192698684ygrp-mlmsg pre, #yiv9192698684
code {
font:115% monospace;}
#yiv9192698684 #yiv9192698684ygrp-mlmsg * {
line-height:1.22em;}
#yiv9192698684 #yiv9192698684ygrp-mlmsg #yiv9192698684logo {
padding-bottom:10px;}
#yiv9192698684 #yiv9192698684ygrp-msg p a {
font-family:Verdana;}
#yiv9192698684 #yiv9192698684ygrp-msg
p#yiv9192698684attach-count span {
color:#1E66AE;font-weight:700;}
#yiv9192698684 #yiv9192698684ygrp-reco
#yiv9192698684reco-head {
color:#ff7900;font-weight:700;}
#yiv9192698684 #yiv9192698684ygrp-reco {
margin-bottom:20px;padding:0px;}
#yiv9192698684 #yiv9192698684ygrp-sponsor #yiv9192698684ov
li a {
font-size:130%;text-decoration:none;}
#yiv9192698684 #yiv9192698684ygrp-sponsor #yiv9192698684ov
li {
font-size:77%;list-style-type:square;padding:6px 0;}
#yiv9192698684 #yiv9192698684ygrp-sponsor #yiv9192698684ov
ul {
margin:0;padding:0 0 0 8px;}
#yiv9192698684 #yiv9192698684ygrp-text {
font-family:Georgia;}
#yiv9192698684 #yiv9192698684ygrp-text p {
margin:0 0 1em 0;}
#yiv9192698684 #yiv9192698684ygrp-text tt {
font-size:120%;}
#yiv9192698684 #yiv9192698684ygrp-vital ul li:last-child {
border-right:none !important;
}
#yiv9192698684
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment