Saturday, 2 April 2016

Re: [wanabidii] Magufuli na wanyonge vs UKAWA na wahisani

Mama Nkya

upo sahihi kabisa watanzania tunapenda kudanganya na wanaotudanganya na viongozi wetu wa kisiasa hebu Labda tukumbushe kigodo jinsi miaka miwili mitatu kabla ya uchaguzi mkuu tulivyodanganya na hawa wanaasiasa wetu

, Mbowe, alitangaza kwamba wamejifunza kutokana na kuchukua watu kadhaa kugombea vyeo fulani dakika za mwisho na kuleta usumbufu baadaye ndani ya chadema.

Aliweka wazi safari ijayo hawataki 'makapi' ya CCM. Heko kabisa!
Sasa cha ajabu kabisa ni maneno aliyotamka juu ya Lowassa kuelekea mchakato wa urais kuanza ndani ya CCM: "CCM wanajidanganya, Lowassa ni dhaifu sana, amekaa serikalini zaidi ya miaka 30 na hakuna maendeleo yanayoonekana ndani ya serikali zaidi ya kila siku wizi na ubadhirifu kuongezeka.

"Hao wanaomtaka Lowassa ni wale wanaojua watanufaika binafsi akipita kwenye urais, lakini kimsingi huyu jamaa ni dhaifu sana na hafai kuongoza Tanzania ya sasa yenye changamoto lukuki. Wapambe wake wanasema Lowassa si msemaji bali mtendaji, hivi nani atakubali porojo hizo wakati tunajua akiwa Waziri Mkuu hakufanya lolote kukemea wizi, ubadhirifu na ufisadi? Richmond ilikuja akiwa wapi?

"Sina ugomvi wala simchukii Lowassa binafsi, lakini ni vema hawa wanaosema ni mtu wa maamuzi magumu wakaueleza umma wakati watendaji wa serikali wakitafuna mabilioni ya fedha, CCM wakipitisha Katiba Inayopendekezwa ya ovyo pale Dodoma, yeye alisema au kufanya nini?"

Isitoshe sasa. Kufuatia kukatwa kwa Lowassa, katika kile kilichoonekana kwangu kama kumsafishia njia Lowassa kuingia CHADEMA, Mwenyekiti wa chama hicho alitamka maneno ya hatari mno tarehe 21 Julai 2015: "CHADEMA haimzuii mtu kujiunga kwani CHADEMA kuna kila aina ya wanachama - kuna vibaka, majambazi, wezi, wachawi, wala rushwa, mafisadi na wengineo.

"Hiki ni chama cha siasa, kina jumuisha watu wengi, siwezi kusimama na kusema wanachama wa CHADEMA wote ni wasafi, itakuwa si kweli, hivyo anayetaka kujiunga na chama chetu anakaribishwa ila lazima kuzingatia kanuni na maadili ya chama."

Ndio maana naungana nawe Mama Nkya tunadanganywa sana cha msingi kuwa makini na wanaotudanganya na tuwakatae

2016-04-01 23:47 GMT+03:00 'ananilea nkya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:

Tatizo la Watanzania tunapenda sana kujidanganya na zaidi tunadanganyika  kirahisi.
Hakika, hata kama nchi yetu ingekuwa haiitaji msaada kutoka nchi yoyote kwa ajili ya kugharamia miradi yake ya maendeleo, kama taifa, hatuwezi kupiga hatua kubwa ya kuleta maendeleo endelevu yanayowanufaisha wananchi wote na siyo kikundi kidogo cha watawala, kama  nchi haitakuwa na UPINZANI WA KWELI, MADHUBUTI, MAKINI, ADILIFU  NA WENYE MAONO.  Kitendo cha watawala kutaka kuuwa upinzani Zanzibar, maana yake ni kukataa nchi isipate maendeleo yanayonufaisha wananchi wote. Ni jipu kubwa.

Ananilea Nkya
 E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com

--------------------------------------------
On Wed, 3/30/16, 'Ansbert Ngurumo' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

 Subject: Re: [wanabidii] Magufuli na wanyonge vs UKAWA na wahisani
 To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
 Date: Wednesday, March 30, 2016, 10:33 AM

 Huu
 ni ujinga! Wakati wewe unajaribu kupotosha hoja ya MCC,
 msikilize Waziri wa Mambo ya Nje, Dk. Augustine Mahiga
 anavyosema:

 "Kitendo
 hiki ni kibaya. Unamuumiza mtu pale panapouma katika suala
 la maendeleo. Kitendo hicho kinafuta imani na uelewano kati
 yetu (Marekani na Tanzania) kwa sababu suala la nishati ni
 nyenzo ya maendeleo. Fedha hizo zingesaidia miradi ya umeme
 vijijini, kwa hiyo, watoto wetu wangesoma, wangepata elimu
 bora na zingeboresha huduma za afya. Walitutamanisha kuwa
 watatupa hizo fedha, lakini lakini wanafuta pale ambapo
 maendeleo yetu yamejikita.
 SWALI:
 Unataka kusema kwamba Balozi Mahiga ni mwana UKAWA? Ametumwa
 na UKAWA kusema hayo? Kama hujajipanga vema, acha
 propaganda. Zitakuaibisha. UKAWA hawalili misaada ya nje.
 Wanasisitiza kuwa jeuri ya watawala ndiyo imesababisha hayo.
 Rais Magufuli alisema ya Zanzibar hayamhusu. Ona sasa
 kinachotokea. Kinaathiri Tanzania nzima. Tulipiga kelele
 dhidi ya Sheria ya Makosa ya Mtandaoni kwamba ni ya
 kikatili, ni dhalimu, ni ya kikoloni. Watawala wakafunika
 nyuso zao kwa viganja kama nyani. Wakaficha vichwa mchangani
 kama mbuni,, kumbe mwili mzima upo nje nje. Fedha hizi
 zilikuwa zinaelekezwa katika kuboresha huduma kwa wanyonge.
 Atahri zitawapata wanyonge, si Magufuli na wenzake.
  Ansbert Ngurumo
 Managing
 EditorFree
 Media

 P.O. Box 15261Dar es Salaam
 Tanzania

 Mobile    +255 767 172
 665www.freemedia.co.tzwww.voxmediatz.com
 www.ngurumo.wordpress.com
 www.ngurumo.blogspot.com




    On Wednesday, March
 30, 2016 10:35 AM, 'lang'itomoni lokomoi' via
 Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:


  Magufuli
 na wanyonge vs UKAWA na wahisani
      Hatimaye UKAWA
 wamejipambanua katika rangi yao halisi ya kutaka kuuza uhuru
 kamili wa
 nchi...kwa kuwalilia na kuwashabikia wazungu!!
 Reference iko humu humu jamvini.
      Ni ukweli usio na shaka kwamba
 UKAWA walipambana sana hata kabla ya matokeo ya uchaguzi wa
 Rais Nov 2015...
      Ukawa walipambana vilivyo
 kuwaonesha wazungu kuwa Tanzania hakuna amani...
      Ukawa kwa mara ya kwanza Tanzania walihakikisha kuwa
 vyombo vya
 habari vya kimagharibi vinaonesha Tanzania kuna tension
 kiasi cha amani
 kutoweka....
 Ila kwa weledi mkubwa na uzalendo uliokithiri
 vyombo vyetu vya kiuongozi na kiusalama vikashinda jaribio
 hilo ovu la
 UKAWA na wananchi wa Tanzania wakamaliza uchaguzi kwa amani
 na ustaarabu
  kama ikivyo desturi yetu.
      UKAWA waliandaa maandamano UK
 na
 USA na sio Manzese,Magomeni au Tandahimba ili kuonesha kuwa
 nchi hii
 haina demokrasia kisa CCM ilikuwa imeshinda na inaendelea
 kushinda...huku wakisahau kuwa ndani ya vyama vyao wanacheza
 tikitaka na
  kugeuza gia za angani ili tu viongozi wao wawe wa kudumu
 yaani
 wanahubiri demokrasia ambayo ndani ya vyama vyao
 haipo.
      UKAWA wako tayari kuomba
 majeshi nje ili tukupambana na CCM(REFERENCE: Vijana wa IT
 na mabodyguard kutoka nje ya nchi)

      UKAWA inaendelea kujidhihirisha kwa sera
 zake za utegemezi kwa
 mataifa ya nje...yaani UKAWA inaachana na dhana ya kutumia
 resource
 nyingi tulizonazo kukwamua wananchi kutoka kwenye matatizo
 na badala
 yake inajikita kwenye kuamini kuwa maendeleo yatakuja kwa
 msaada na
 hisani ya watu wa marekani.
 UKAWA inatukumbusha vikundi vya miaka ile ya kudai uhuru
 ...vikundi tulivyoviita vibaraka wa wakoloni.
      HII NI HULKA CHAFU YA UKAWA
 iliyotubadilishia gia angani!!
      UKAWA hii ya sasa ni UKAWA inayonukia kinyesi cha
 UFISADI PAPA
 baada ya kukiokota na kujipaka yenyewe karibia na uchaguzi
 wa 2015.

      Hii ni UKAWA iliyopoteza agenda muhimu za
 kitaifa kama vile vita
 dhidi ya ufisadi,ukosefu wa ajira,ukosefu wa uadilifu,elimu
 duni na afya
  isiyoridhisha....UKAWA inahaha kutafuta Agenda ya kubakia
 kwenye ulingo
  wa siasa kwa gharama yoyote baada ya kuvurunda
 ...!
      UKAWA inajitenga rasmi na hoja
 za wananchi na badala yake inachukua mrengo wa kunyenyekea
 wakoloni!

      UKAWA inaanzisha mapambano upya ya sisi
 wazalendo dhidi ya Ukoloni
 wa kisasa na kwa nguvu zetu,adabu,uvumilivu na msimamo
 tutashinda tu...!
      UKAWA haisikiki kwebye vita dhidi ya mauaji ya albino
 lakini
 inataka isikike kwenye msaada wa MCC...HUU NI UNAFIKI WA
 KUTUPWA!!
      SHAME UPON UKAWA ILIYOAMINIWA
 NA KUJIGEUZIA GIA ANGANI...!
 KWA MAGUFULI HAKIKA MTAISOMA NAMBA....KWANI AGENDA YETU NI
 KAZI TU KAZI TU KAZI TU!

 iliwahi kusemwa kuwa 'NGUO YA KUAZIMA
 HAISITIRI.....Tufanye kazi na tulipe kodi!
 KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!



 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

  

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
 kudhibitisha ukishatuma

  

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
 Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.





 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

  

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
 kudhibitisha ukishatuma

  

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
 Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment