Ndugu, inaelekea umetumwa kupotosha umaa. Bunge la JMT ni chombo cha wananchi kinachowajibisha serikali. Ni mamlaka ya wananchi kuwajibisha watawala. Hayo mambo ya kipindupindu au njaa na kadhalika yanasababishwa na serikali kutowajibika kwa wananchi. Vikao vya Bunge kutangazwa live ni haki ya wananchi (wanaowakilishwa na wabunge) kupewa fursa kuwajibisha serikali/watawala. Uwazi, uwajibikaji, utawala wa sharia na ushiriki wa watu ni nguzo kuu za demokrasia na utawala bora. Bunge kuoneshwa live ni kukamilisha nguzo za utawala bora. Kutofanya hivyo ni kukiuka nguzo kuu za utawala bora. Kukosekana kwa utawala bora ndio chanzo cha matatizo ya uchafu, na njaa, ambayo wewe unayaona kuwa ndiyo matatizo halisi yanayotakiwa kushughulikiwa na Bunge. Tukimaliza kushughulikia tatiza la utawala bora, itakuwa rahisi kushughulikia kero za wananchi kama waswahili wanavyoziita. Tusipotoshe umma. Katika uamuzi huu serikali/nape inakosea. Bunge ni la wananchi, sharti lioneshwe live. Gharama za kuendesha Bunge ikiwa ni pamoja na kuonesha mijadala yake live kwa wananchi zinalipwa na wananchi wenyewe kupitia kodi. Nape na watetezi wake hawana hoja. Ndugu, inaelekea umetumwa kupotosha umaa. Bunge la JMT ni chombo cha wananchi kinachowajibisha serikali. Ni mamlaka ya wananchi kuwajibisha watawala. Hayo mambo ya kipindupindu au njaa na kadhalika yanasababishwa na serikali kutowajibika kwa wananchi. Vikao vya Bunge kutangazwa live ni haki ya wananchi (wanaowakilishwa na wabunge) kupewa fursa kuwajibisha serikali/watawala. Uwazi, uwajibikaji, utawala wa sharia na ushiriki wa watu ni nguzo kuu za demokrasia na utawala bora. Bunge kuoneshwa live ni kukamilisha nguzo za utawala bora. Kutofanya hivyo ni kukiuka nguzo kuu za utawala bora. Kukosekana kwa utawala bora ndio chanzo cha matatizo ya uchafu, na njaa, ambayo wewe unayaona kuwa ndiyo matatizo halisi yanayotakiwa kushughulikiwa na Bunge. Tukimaliza kushughulikia tatiza la utawala bora, itakuwa rahisi kushughulikia kero za wananchi kama waswahili wanavyoziita. Tusipotoshe umma. Katika uamuzi huu serikali/nape inakosea. Bunge ni la wananchi, sharti lioneshwe live. Gharama za kuendesha Bunge ikiwa ni pamoja na kuonesha mijadala yake live kwa wananchi zinalipwa na wananchi wenyewe kupitia kodi. Nape na watetezi wake hawana hoja. Ndugu, inaelekea umetumwa kupotosha umaa. Bunge la JMT ni chombo cha wananchi kinachowajibisha serikali. Ni mamlaka ya wananchi kuwajibisha watawala. Hayo mambo ya kipindupindu au njaa na kadhalika yanasababishwa na serikali kutowajibika kwa wananchi. Vikao vya Bunge kutangazwa live ni haki ya wananchi (wanaowakilishwa na wabunge) kupewa fursa kuwajibisha serikali/watawala. Uwazi, uwajibikaji, utawala wa sharia na ushiriki wa watu ni nguzo kuu za demokrasia na utawala bora. Bunge kuoneshwa live ni kukamilisha nguzo za utawala bora. Kutofanya hivyo ni kukiuka nguzo kuu za utawala bora. Kukosekana kwa utawala bora ndio chanzo cha matatizo ya uchafu, na njaa, ambayo wewe unayaona kuwa ndiyo matatizo halisi yanayotakiwa kushughulikiwa na Bunge. Tukimaliza kushughulikia tatiza la utawala bora, itakuwa rahisi kushughulikia kero za wananchi kama waswahili wanavyoziita. Tusipotoshe umma. Katika uamuzi huu serikali/nape inakosea. Bunge ni la wananchi, sharti lioneshwe live. Gharama za kuendesha Bunge ikiwa ni pamoja na kuonesha mijadala yake live kwa wananchi zinalipwa na wananchi wenyewe kupitia kodi. Nape na watetezi wake hawana hoja. Ndugu, inaelekea umetumwa kupotosha umaa. Bunge la JMT ni chombo cha wananchi kinachowajibisha serikali. Ni mamlaka ya wananchi kuwajibisha watawala. Hayo mambo ya kipindupindu au njaa na kadhalika yanasababishwa na serikali kutowajibika kwa wananchi. Vikao vya Bunge kutangazwa live ni haki ya wananchi (wanaowakilishwa na wabunge) kupewa fursa kuwajibisha serikali/watawala. Uwazi, uwajibikaji, utawala wa sharia na ushiriki wa watu ni nguzo kuu za demokrasia na utawala bora. Bunge kuoneshwa live ni kukamilisha nguzo za utawala bora. Kutofanya hivyo ni kukiuka nguzo kuu za utawala bora. Kukosekana kwa utawala bora ndio chanzo cha matatizo ya uchafu, na njaa, ambayo wewe unayaona kuwa ndiyo matatizo halisi yanayotakiwa kushughulikiwa na Bunge. Tukimaliza kushughulikia tatiza la utawala bora, itakuwa rahisi kushughulikia kero za wananchi kama waswahili wanavyoziita. Tusipotoshe umma. Katika uamuzi huu serikali/nape inakosea. Bunge ni la wananchi, sharti lioneshwe live. Gharama za kuendesha Bunge ikiwa ni pamoja na kuonesha mijadala yake live kwa wananchi zinalipwa na wananchi wenyewe kupitia kodi. Nape na watetezi wake hawana hoja.
Bubelwa E Kaiza,
Executive Director,
Concern for Development Initiatives in Africa (ForDIA),
P. O. Box 32505,
Ph.: +255784410939,
E-mail: bubelwa.kaiza@fordia.org
Dar es Salaam.
From: wanabidii@googlegroups.com [mailto:wanabidii@googlegroups.com]
Sent: 27 January 2016 23:14
To: Abridged recipients
Subject: [wanabidii] Abridged summary of wanabidii@googlegroups.com - 36 updates in 21 topics
· Kwanini wabunge wanagombana sababu ya live coverage ya bunge kwani ndo kitu walichotumwa na wananch? - 1 Update
· New content updates - 6 Updates
· Press Releases: Remarks With Chinese President Xi Before Their Meeting - 1 Update
· [TPN] TLS kuendesha kongamano - 2 Updates
· Mnyika tumekupa Madiwani wote, watendaji wote lakini barabara hazipitiki - 10 Updates
· Press Releases: Deputy Secretary Blinken's to Travel to California - 1 Update
· Press Releases: 2016 P3 Impact Award Applications Open - 1 Update
· Press Releases: Press Availability With Chinese Foreign Minister Wang Yi - 1 Update
· Press Releases: Finalists for the 2015 Secretary of State's Award for Corporate Excellence - 1 Update
· Press Releases: Remarks With Chinese State Councilor Yang Jiechi - 1 Update
· [Wanazuoni] Re: [wanabidii] Tamko la kipindupindu - 1 Update
· United Kingdom Parliament Daily Digest Bulletin - 1 Update
· KAMPUNI YA MAGARI YA ALLIANCE AUTOS WAFANYA MAONYESHO NDANI YA JENGO LA GOLDEN JUBILEE TOWER (PSPF) - 1 Update
· UNESCO YAFANYA KONGAMANO LA KUJADILI MPANGO WA MAENDELEO YA SEKTA YA ELIMU (ESDP) KWA MWAKA 2017 - 2021 - 1 Update
· Press Releases: Remarks With Chinese Foreign Minister Wang Yi Before Their Meeting - 1 Update
· Mtandao Wa Mjengwablog.com Umekuandalia Habari 30 Muhimu Za Kurasa Za Ndani Magazeti Ya Leo Jumatano.. - 1 Update
· Magazeti Leo Jumatano.. - 1 Update
· Top Headlines: China companies bet big on India, internet giants invest into startups - 1 Update
· 7 things under Rs 800 to keep your gadgets clean - 1 Update
Kwanini wabunge wanagombana sababu ya live coverage ya bunge kwani ndo kitu walichotumwa na wananch?
mpombe mtalika <kofiabaya@yahoo.com>: Jan 27 06:19PM |
African Development Bank <noreply@afdb.org>: Jan 27 09:59AM |
African Development Bank <noreply@afdb.org>: Jan 27 10:59AM |
African Development Bank <noreply@afdb.org>: Jan 27 12:10PM |
African Development Bank <noreply@afdb.org>: Jan 27 04:10PM |
African Development Bank <noreply@afdb.org>: Jan 27 05:10PM |
African Development Bank <noreply@afdb.org>: Jan 27 06:10PM |
"U.S. Department of State" <usstatebpa@subscriptions.fcg.gov>: Jan 27 11:51AM -0600 |
Herment Mrema <hmrema11@hotmail.com>: Jan 27 05:12PM |
Herment Mrema <hmrema11@hotmail.com>: Jan 27 05:26PM |
isack mchungu <isackmn1965@gmail.com>: Jan 26 11:25PM +0300 |
Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>: Jan 26 03:53PM -0500 |
Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com>: Jan 26 03:34PM -0600 |
Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>: Jan 26 06:06PM -0500 |
Mashaka Makana <mashakamakana@yahoo.com>: Jan 27 03:32AM |
Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com>: Jan 26 10:53PM -0600 |
isack mchungu <isackmn1965@gmail.com>: Jan 27 10:54AM +0300 |
isack mchungu <isackmn1965@gmail.com>: Jan 27 11:07AM +0300 |
Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>: Jan 27 09:32AM |
isack mchungu <isackmn1965@gmail.com>: Jan 27 07:53PM +0300 |
"U.S. Department of State" <usstatebpa@subscriptions.fcg.gov>: Jan 27 10:21AM -0600 |
"U.S. Department of State" <usstatebpa@subscriptions.fcg.gov>: Jan 27 09:52AM -0600 |
Ancient Rabbis' grave discovered, Ban Ki-Moon's Israel obsession, Eichmann begged for life, Kahane's grandson, More Gaza tunnels collapse - Jan. 27, 2016
"JewishPress.com" <JewishExpress@WebAds.co.il>: Jan 27 08:24AM -0700 |
"U.S. Department of State" <usstatebpa@subscriptions.fcg.gov>: Jan 27 09:06AM -0600 |
"U.S. Department of State" <usstatebpa@subscriptions.fcg.gov>: Jan 27 09:06AM -0600 |
"U.S. Department of State" <usstatebpa@subscriptions.fcg.gov>: Jan 27 08:52AM -0600 |
Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>: Jan 27 10:10AM |
UK Parliament <webmaster@parliament.uk>: Jan 27 03:21AM -0600 |
Zainul Mzige <zmzige@gmail.com>: Jan 27 11:24AM +0300 |
UNESCO YAFANYA KONGAMANO LA KUJADILI MPANGO WA MAENDELEO YA SEKTA YA ELIMU (ESDP) KWA MWAKA 2017 - 2021
Zainul Mzige <zmzige@gmail.com>: Jan 27 07:50AM +0300 |
"U.S. Department of State" <usstatebpa@subscriptions.fcg.gov>: Jan 26 10:22PM -0600 |
Mtandao Wa Mjengwablog.com Umekuandalia Habari 30 Muhimu Za Kurasa Za Ndani Magazeti Ya Leo Jumatano..
Maggid Mjengwa <mjengwamaggid@gmail.com>: Jan 26 07:49PM -0800 |
THE TONY ELUMELU FOUNDATION, UNITED BANK FOR AFRICA PLC AND THE UNITED STATES DEPARTMENT OF COMMERCE PARTNER TO ENABLE ENTREPRENEURSHIP IN AFRICA
zainul mzige <zainul.mzige21@gmail.com>: Jan 27 06:21AM +0300 |
Maggid Mjengwa <mjengwamaggid@gmail.com>: Jan 26 06:59PM -0800 |
The Times of India <mailerservice@timesofindia.com>: Jan 27 07:30AM +0530 |
The Times of India <mailerservice@timesofindia.com>: Jan 27 07:10AM +0530 |
You received this digest because you're subscribed to updates for this group. You can change your settings on the group membership page. |
0 comments:
Post a Comment