Wednesday, 1 July 2015

Re: [wanabidii] (Lowasa maji yamekushinda utaweza foleni au porojo za kisiasa?)

Kwanza sehemu kubwa yenye protected catchment forests ni kwa wakulima hazipo semi-arid areas.
Mbuga chache sana na protected forests zipo semi-arid areas. Ila labda mbuga kuu ya hifadhi tu ya Serengeti yenye jina kuu ipo huko. Kama kuna mhifadhi mazingira na uoto asili-Mpare ndio namba moja wanafuatilia weengine.

Mito mikuu inaanzia misitu kwa wakulima na ikilindwa kwa mila na desturi TZ. Na ndiko huko wanakohamia Sasa-Sumbawanga, Rufiji, Lindi, Morogoro ndio usiseme na kuharibu hata irrigation scheme. Kutokana na kuona hoja za wazungu kutetea wafugaji ndio bora kuna kusahau indigenous knowledge na practices za ulinzi wa mazingira kwa wakulima na wakulima wafugaji. Hata nami nimetembea kute huko unakosema na degradation ipo kubwa. Ila yale maeneo ambayo wawekezaji waliweka tented camps kisheria au maeneo ya zoo-breeding wanyama pori ndiko huko wanafanya uvamizi na kudai ardhi imeporwa. Na kama wakoloni wasingeanzisha protected area na GVT kwa miaka kufanya nguvu ya kuweka corridors na buffer zone-kiukweli TZ ingekuwa jangwa. angalia juhudi za kupanda miti dodoma zinavyobadili sura ya mji na vijiji. Lakini-ukifika mfano Maswa Game Reserve-utatembea kilometa za machaka na ukifika karibu na hiyo reserve ndio kuna nyumba mbanano na kuingia kulima mpaka ndani ya hiyo
GM (Fika Nyanza village) na serikali kuwatoa humo ndani kwa kuchoma vibanda. Fika Mikumi National Park-utapita machaka lakini kabla ya kuingia Park-nyumba na kilimo kipana. Jiulize-kwa nini wasonge kule badala kinyume chake. Kwa sasa hakulimiki Mikumi-mifugo inapita kuhamia ndani ya N.P. ya kutoka limoleta maefu. Lakini fika Loliondo, NCAA, Vijiji vya Simanjiro uone kilimo kinachoendelea ndani ya wildlife conservation area. Change ya livelihoods za wafuigaji zikubalike na mbinu za matumizi ardhi kiendelevu ziboreshwe na kuzingatiwa. Kwa wakulima pia. Kukata misitu asili hovyo, kilimo kisich endelevu ardhi haitotosha daima na mito itakauka.

Source ya migogoro ni rushwa na kutozingatia sheria ya ardhi na ethnocentrism. Mbona hilishii shamba lako ukilima ulikohamia au place of origin. Kama carrying capacity ni eka tano kwa livestock unit-unao elfu 5 katika ekari mbili. Hupandi majani na eneo leupe-hata conservation area ipunguzwe tatizo halitatatulika. Tuna centres za kilimo na mifugo zonal zinajulikana na mikoa mingine zaidi ya 1 ya mifugo. Support zipo tuzitumie. Tafiti kibao na ushauri mpaka za kuangalia Value chain ya Red meat na matatizo katika ufugaji. Soma UNIDO (2012) Tanzania Red Meat Value Chain. A diagnistc study na nyinginezo kibao. Studies za Farmer-Pastoral Conflicts zipo kibao na ushauri. Hatuzingatii. Na land use planning inakwepwa kwani hela zipo mbona posho nene hatuachi kujipa ktk vikao lakini LUP ni 8-10 million kwa kijiji. Tuone kupimwe, wapate hati za kimila za makazi na mashamba au maeneo ya ufugaji halafu tumuone atakayezurura na kusabisha mapigano na mauaji.

Kama eneo ni la kufuga, mfugaji akianzisha kilimo cha kupanuka eneo la kuchunga kijiji chake kimfanye nini? Siku hizi hata wazee wa mila corrupt ndio maana mtu anaweza kuingiza wafugaji wageni, kulima ktk common grazing land. Kuwakemea-tutakosa kura. Miaka ya nyma Kijiji cha Robanda kilikuwa cha waikoma-wafugaji na kilimo kiasi. Baada ya hoteli ya Grumeti kujenga-ugomvi wa waikoma na wamasai kutoka serengeti ukamalizwa in mid-1990s kwa kusainiana mkataba wa kimila. Kumejaa wafugaji wa kimasai. si mbaya ila mafao ya kutoka grumrti hayataonekana kutokana na population growth, overconcentration of people and livestock, business-petty and major. Ardhi itakuwa ndogo na kutaka degazettement ya Grumeti na Ikorongo na ardhi ya Robanda ni rocky mawe ya gypsum. In 1980s STDs na TB vikiongoza sasa itakuwa balaa na vitakuwa vinapaa pamoja na malnutrition kwani chakula cha nafaka na kimoro itakuwa tabu. Solution sio kupunguza mbuga na mwisho kuona tunaonewa. Pale
ulipo unazingatia matumizi bora hata ukizaa sana? Mifugo mpaka Mgeta mlimani morogoro, Bunju, Kiromo bagamoyo kwa visingizio vya kila aina? Ndio tunauliza wengine. Uhuru wa wengine kuzurura watatako ila mkulima hawezi kuhamia NCAA, Loliondo Game Reserve area akalima atakavyo-atahamiaje? Kwa nini tusikubali kutumia research, ushauri tukaendelea? hata ukichukua ramani za ukoloni za social anthropologist na maps zao za makabila mbali mbali na maeneo yao na protected areas-kisha uchukue satellite images kwa miaka kadhaa uone ulinganishe na mipaka ya zamani na uoto over years utaona uharibifu wetu wenyewe kimipaka-hiyo research ilifanyika chini ya DIFD funds likapatikana lisilotegemea waliokuwa wakidhani serikali ndio mkosa mkuu kuonea jamii moja tu. Hiyo ndio ilikuwa dhana ya wahisani hao na NGO funded nao zilizokuwa zikileta tafrani Mkomazi na ndani ya Serengeti NP. na NCAA na vijiji vyake ndani na nje yake. Vijiji 92 vinavyozunguka National Park ya
Serengiti vilifanyiwa utafiti kwa kuzinguka sampled areas kuangalia matumizi na kufaidika na NP. Report kama hizi ziopo ndani ya makabati na matatizo yanakua. Tufike mahali watanzania tukubali kubadilika na viongozi wawajibike kikamilifu. Sera na sheria zitekelezwe na kila sekta tuache kuwa na sheria, sera, mikakati mizuri, raslimali zipo lakini tunabali kuwa
kichwa cha mwendawazimu. Inapofika uchaguzi tu-kusema yasioyo kweli na kurahisisha utatuzi wa mambo ambayo miaka yote tulikuwa tunayaangalia tu. Ni nadharia tu na changa la macho. Utatatua hata tatizo la msongamano wakati Wizara moja magari mia kila kiongozi anatoka na lake? Kila nyumba familia inatoka na gari? Walioziba njia za mkato huwabomolei?

Transport sector-wataalamu wake wanasoma na kwenda ulaya-wanaona wenzetu walivyotenganisha njia/barabara tofauti za magari na matumizi yake zipo parallel hazikutani- wewe unachanganya tankers za petroli, lori za trela za mizigo, mabasi ya abiria, taxi, bajaji, bodaboda na kuruhusu wauza biashara kuzuia njia kwa kutumia magari yao ya biashara za kuuza mbao; wapanga biashara njia za mapito ya miguu, garage na frame za biashara kwenye feeder roads/ ujenzi katika right of way ya barabara kuu ambapo wenye bajaji hawawezi kukaa mbali na main road; kituo cha bus kinakuwa meza za biashara kiasi bus linabidi lisimame barabarani kutokana na meza za mauzo kuwa njiani. Leo unatudanganya na suluhisho la msongamano wa magari-SIKU ZOTE UPO WAPI na ni mshauri Bungeni au Serikalini? Ufugaji kisasa-Mbona jimboni kwako hakuna mfano? Kwa ni jirani na chuo cha kilimo milima iwe haina misitu watu wanalima unsustainably nawe hilo ni jimbo lako-umewaweka wawajibike na
kuwasaidia vipi? tunauliza-upo DSM, Mbunge na Waziri au Mbunge-kwa nini mito katika jimbo lako ichimbwe mchang imomonyoke na kuhatarisha majumba na usalama wa watoto waendao shule huchukui hatua kuwaunganisha vijana wajitengenezee ajira katika vikundi hivyo vyao vya mchanga na kuvuta bangi na donors wapo. Chama chako kina wasomi na wanasheria wa kuwasaidia mafunzo, katiba zao na kupata mikopo bank na donor support. Upo kuilaumu CCM tu na serikali yake, kelele bungeni unalala kusoma kipengee hadi kipengee cha sera na sheria na mengineo. Wewe umewajibikaje na yote haya unayajua ya kuwezesha? Kuhoji dhambi? wanasoma michango ya wanazuoni na wanabidii na mitandao mingine. Ndio maana tunaandika hivi ili waingize katika utendaji wao. Tumechoka kuchapwa barora Mkoa wa Morogoro!! Kilimo kinakufa wazee wenye watoto yatima wanateseka. Siku hizi ukifukuza mfugo shambani kama ni mama/mwanamke-unabakwa. Yupo aliyebakwa mama mtu mzina hadi leo kesi imeishia. Mume
kapata shock kaanguka kafa. Inaniuma mimi watu wakwetu wanateseka. Hata shamba langu halilimiki tena limeliwa kila kitu mpaka miti iliyopandwa. Ndio maana ninaongea daima kuhusu kilimo na ufugaji endelevu iewe kama sheria. Mbuzi na ng'ombe za kisasa za maziwa wano zaidi kwa uchache. Mbona zipo sokoine University na vituo vingine kibao? Why no mabadiliko. Support ya panda miti kibiashara ya donors (Finnida) ipo. Mkuhumi na carbon money ipo. Kwa nini hatutaki kubadilika? Tumelogwa Baha na mchawi wetu-Kafa. Kutuokoa ni sheria tu iwe msumeno. Kuhamasisha na kuelimisha bila sheria kukaziwa na kutekelezwa bure, matokeo chanya ni % ndogo sana.
--------------------------------------------
On Wed, 1/7/15, 'bernard baha' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] (Lowasa maji yamekushinda utaweza foleni au porojo za kisiasa?)
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, 1 July, 2015, 23:40he
Namchukulia
Kiwasila kama mwanamazingira ambaye kafumbwa macho na
umazingira ila maelezo yake kuhusu Mheshimiwa na nafasi yake
kuleta mabadiliko inapaswa tenganishwa na imani yake juu ya
ulinzi wa mazingira. Binafsi nimeshiriki kutafiti kiasi
mambo ya migogoro, Mwita upo sahihi, sasa si ndio changa la
macho hapa? Lowassa na hawa watangaza nia wengineo ama
walikuwa sehemu ya maamuzi ama blander wengine toka enzi za
Nyerere juu ya suala la wafugaji, ati tupo namba tatu Afrika
ila hatuoni manufaa..tunafikiria usasa. Nilipendekeza
upimwaji wa vijiji na kuangalia uwezo wa eneo kuingiza
ufugaji nk. But study zetu zipo kavazini. Ila baadhi yetu
tumeshuhudia binadamu wenzetu waliozikwa kwenye shallow
graves,kisa Ardhi, Tanzania. Acheni nadharia hapa.Kama
Mhishimiwa haya yalimshinda enzi hizo mnafikiri ana
mwarobaini? Kiwasila yupo sahihi, ebu tafuteni namna
alivyoshughulika hapo awali na kero ya traffic jams na idadi
ya ajali baada ya kulazimisha maono yake.
From: Emmanuel Muganda
<emuganda@gmail.com>
To:
"wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Sent:
Wednesday, July 1, 2015 11:13 PM
Subject:
Re: [wanabidii] (Lowasa maji yamekushinda utaweza foleni au
porojo za kisiasa?)

NI
mentality hii hii ya zimwi likujualo itakayoizika kabisa
Tanzania yetu.em
2015-07-01
14:44 GMT-04:00 Neatness Msemo <nmuzeh@gmail.com>:


hebu tumpe naye akajaribu ni bora zimwi likujualo
kuliko ambao hawatabiriki
On Jul 1,
2015 9:08 PM, "Victor Mwita" <victormwita@gmail.com>
wrote:
Sipendi
sana kubishana na Hilde Kiwasila na napenda umahiri wake wa
kuchambua masuala mbalimbali, lakini hili la wafugaji
nadhani anahitaji kuliangalia upya. Maeneo hayo anayodai
yametunzwa na wawekezaji na watu wengine anaowasifia
yalikuwa maeneo ya malisho. KIA, Monduli TMA, Basotu,
Serengeti National Park, NCAA, Maswa Game Reserve na mengine
mengi zilikuwa rangelanda ambazo zilichukuliwa na
kubadilishwa matumizi bila kuwapa wafugaji na watumiaji
halali maeneo mbadala. Achilia mbali maeneo ambayo miji kama
Arusha inazidi kupanuka ni rangelands. Zaidi ya hayo maeneo
ambayo walikuwa wanatumia kwa kulisha wakati wa kiangazi
kama wembere plains ambayo ina-extend hadi Tabora, bonde la
mgongola na mengineyo sasa ni maeneo ya umwagiliaji na
kilimo. Watu wakiongeza maeneo ya kilimo na hata kuziba njia
za mifugo kwenda kwenye maji hakuna anayesema. Ila mfugaji
akilazimika kwenda kunywesha mifugo anapigiwa kelele. Lazima
tutambue kwamba ufugaji ni sehemu ya maisha. Na hizo tuhuma
za kuharibu mazingira ni za kufikirika zaidi. Research
haisemi hivyo. Ni pale wafugaji wanapolazimishwa kuwa
squeezed sana ndio kuna effect. Na sio kubwa kiasi hicho.
Kuna madhara makubwa zaidi kwa mfano kutokana na kilimo cha
tumbaku kuliko mifugo.

Nimeenda Kiteto na kuona madhara makubwa yanayotokana na
kilimo cha kuhamahama ambayo ni ya kiwango kikubwa.

Tuache kuwaonea wafugaji kwa kila baya na tuwe rational dada
yangu Hilde
Sent from My Ipad
On 1 Jul 2015 19:28,
"'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii"
<wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Mollel,
nichambe laniki nipo ngangari sina upendeleo wala chuki na
mtu wako. Tunahoji ya uhalali.



Labda nisipate uongozi-nitahakikisha kila kijiji kimefanya
land use planning na certification. Tuone kama mifugo
itakuwa inaingia kutoka Mwanza. Arusha, Manyara. Wenyeji wa
Pwani mpaka Zanzibar ng'ombe hawaachii wakazagaa hovyo,
huwafunga kamba. Wana mbuzi wa kienyeji na sasa za Maziwa
vituo vya kilimo na miradi ya ufugajii huwasaidia kwa ajili
ya lishe.



Coastal areas huheshimu ardhi ya mtu mwingine hawezi kuingia
hovyo kulishia mifugo, kukata miti au kulima bila ruhusa.
Ninyi mkitoka kwenu mna tribalism. Mnadharau mtu mwingine
yeyote ambae si Mmasai. Hivyo huingiza mifugo na kulishia
mashambani, mkulima akiwafukuza-anapigwa bakora. Mna hela za
kuhonga polisi na mahakama. Mnalima mwakenu ila hamlishii
mifugo yenu hata siku moja. Ila mkifika kwa wenzenu iwe
mbali Rukwa, Tunduru, Kisarawe, Morogoro, Kilosa-mnalishia
hata ekari tano plus kwa mchana au usiku-ni dharau.
mmepimiwa vijiji vyenu kilosa-mnalima kwa plau na treka,
mifugo mnahamishia kwingine na kusema mnaonewa.



Ardhi haipanuki Simanjiro, Monduli, babati hata
Loliondo-mnavuna madini mererani mnaongeza mifugo.
Mnalimbikiza mifugo ardhi inakuwa nyeupe kisha mnataka
wildlife conservation areas ziwe degazetted eti mnaonewa
ardhi wanapewa wageni. Wildlife raching, game hunting
inaruhusiwa kisheria na OBC kawapa mafao mamilioni ushahidi
upo mafao kibao wilaya na vijiji-mnamvamia eti mnaonewa.
Kumbe mnaharibu mazingira vijijini mwenu halafu hoteli
zimelinda mazingira yao na wawekezaji-mnaingiza mifugo. Kama
mnaweza kupambana mbona hatujasikia mkilishia mashamba ya
mchaga jirani yenu? Mnawaogopa na kuwaonea hao wa kisarawe
etc.



Sasa mchangieni aje kutawala ili mzagae na mifugo hadi
Ikulu. Hatumchukii kama uonavyo wewe team Lowasa, tunahoji
issues kama tunavyohoji kwa wagombea wengine. Mbona wewe
tumbo joto na Lowasa? umepewa vijisenti nini? umo kwenye
hayo magari yaliyokodishwa yanayotembea mikoa yote na wamama
kupiga vigelegele na kutamka maneno tunayosikia ktk TV na
radio? kinidhamu-ukiambiwa maombi haya ulete referees 3
huleti referee 6 ukafanya wasaini karatasi yenye nafasi 3 au
kutaka watatu tu. Tunachosema-kila mgombea amefanya nini
jimboni kwake na alikuwa mbunge? Kama ni muhudumu wa
afya-eti huwezi kutembelea kata na kuhamasisha maendeleo kwa
kuwa huna usafiri. SAWA. Lakini pamoja na kukosa
usafiri-umefanikisha maendeleo gani kile kijiji unachoishi
pale katani? Kama kijiji ni kikumbwa kuna wanyamapori-jee
pale kitongoji unapoishi una cha kuonyesha? Utaona nani
anawajibika sawasawa. Sikatai kama mimi ni researcher-sawa
na nimeimaliza TZ hii nitakuwekea picha za Maasai

 area kibao hapa kukuonyesha mazuri na mabaya katika
kuhoji. Vuneni madini Mererani na ongezeni mifugo, ozeni
vichanga-ongezeni mifugo-Rais mimi naja-ukizidisha beyond
land's carrying capacity-unalipa fine tuinazipora.
Tunataka maendeleo endelevu ya kilimo, uvuvi na ufugaji.
Tumechoka lele mama ya hadithi za alinacha.



Ninakuwekea kiambata kingine uone kwamba tunachohoji katika
maendeleo ni kile realistic sio lele mama hadithi ya kuahidi
ahadi za kushusha mana kwa waliojangwani ambao wanazembea
maendeleo yao wenyewe na kuchakachua resources. Mbona kuna
visima vya gar na mafuta Mafia na minara yake toka 1950s.
Unapigia kelele Gas ya Mtwara kulikoni na kuweka ahadi kibao
watu kuandamana kuchoma nyumba na wanasiasa kushabikia? Ipo
minara ya Shell BP Mafia ya 1950s. Tunawasubiri akina
Dangote kwani matajiri wa hapa kama ninyi melala!! Aluta
continua.

--------------------------------------------

On Tue, 30/6/15, 'Lesian Mollel' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
wrote:



 Subject: Re: [wanabidii] (Lowasa maji yamekushinda
utaweza foleni au porojo za kisiasa?)

 To: wanabidii@googlegroups.com

 Date: Tuesday, 30 June, 2015, 2:57



 Hilder dada wee na wee nshakuona

 hujui unachozungumza bse akways ur against
lowasa'hv haaya

 unyoyasema yako monduli tu sister....amazing words or
a

 serious long served researcher,mbn wasomi wetu
mnashindwaga

 kua analytical,wee,aaaggh napata shaka na watu hawa

 Najibu kdg kdg...suala la mifugo sidhan kama ni
ng'ombe toka

 monduli ndo zikomihefu sister,wafugaji can come
from

 simanjro na tena simanjiro na kiteto ndo wanaopakna na
hayao

 maeneo ulotaja na si wamasai tu,ni wafugaji na sio
suaka la

 lowasa pekee hili na si mbaya watu kua na wafugaji
kisarawe

 au hata mbeya issue ni hii,arre those land properly
planned

 to allow all activities to be done,si dhambi hata
kdg

 mfugaji kuwepo kisarawe...nimefanya mradi pale
kisarawe na

 ngo yangu 2010 nikiwa na ufadhili wa action aid uk
na

 nikifanya vjj kumi na vie vya wafugaji tulifanya
kule

 gwata,nyani,marumbo etc.....lakin shida wanasiasa

 wanaingilia technical matters na ndio maaana land
planning

 bado hazifanikiw

 Shortly nisiingie ndani...ni hv lowasa si kweli
kuna

 asiloweza na amefanya mengi jimbon kwake usitake
kuaminisha

 wt kasoro chache ambazo zipo monduli kua ndio iwe
weakness

 ya kumfanya asiwe presida,hujui kua leo mikoa ya

 shy,geita,wana mai ya victoria na huyu mwanaume ndo
kapigana

 na wamisri,huju kabisa wee,staki sina muda wa
kuandika

 meengi wee mchukie lakini usitushawishimkwa hoja
dhaifu

 kumchukuia lowasa,hata kama kweli utagombea ubunge
unatakiwa

 ujipange kweli hoja zako ziwe realistic maana naona

 unaokoteza hazina mashiko ,unapotaka kumshushia mtu
basi

 mpime kwa haki,look at membe,jauar,wasira,sumaye et
al

 halafu sema hawa wamefanya vyem a but lowasa hajfanya
kitu

 na uje na option or your choice,acheni kulalamikaaaa
bila

 kuja na suluhu,argue kisome sio'kitoto



 Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>

 wrote:



 >Ngulupa,

 >Sema linakuudhi wewe and the likes. Mimi hainiudhi
kwa

 sababu nisingependa kuona fisadi mwingine ndani ya
Ikulu. I

 am speaking for myself lakini nitafarijika kuona
kuna

 Watanzania wengine wenye msimamo huu.

 >em

 >

 >Sent from my iPhone

 >

 >> On Jun 29, 2015, at 2:52 PM,
"'ngupula' via

 Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>

 wrote:

 >>

 >> Kama kuna jambo linaudhi watu kwa kiasi
kikubwa ni

 hili la kumpinga Lowassa kila kukicha....hivi hao
wengine

 hawahaidi? Mbona Lowassa tu? Inawezekana hili ndio
jiwe

 wanalolikataa waashi? ....swali langu bado ni

 lilelile....kumbukeni, mnapompinga Lowassa mtupe na
jibu

 nani anafaa na kwa lipi?........kwa kuwa ni kwel
wananchi

 wanampenda, nashauri tu ni vema kuwa makini na huyu

 jamaa.....  bila kumungunya maneno...nasema
Tanzania

 watu wanaoweza kuisadia ni Lowassa na Mwigulu

 tu   hawa ndio wenye muarobaini wa
shida za

 watz......hawa hawaamin katika misaada ni ni watenda
kazi

 hodari........na mtu akitaka kuzungumzia Richmond
asisahau

 kuwa...ipo escrow na mwenyewe wanamjua...

 >>

 >> 'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>

 wrote:

 >>

 >>> Lowasa akatatue tatizo la maji kwa mwaka
mmoja

 au muda mfupi ambapo mifugo ya kutoka kwao na Mwanza
imejaa

 kwa mamilioni au maelfu hadi Milima ya Uluguru kwenye
vyanzo

 vya maji? Kilombelo kwenye Ramsa Site kwa malaki,
wetlands

 zinazopeleka pia maji Rufiji-kwisha; Ruaha imezagaa
baada ya

 kuondolewa Ihefu Ruvuma, Tunduru, Rukwa, Kisarawe,
Rufiji,

 Morogoro vijijini wanakoma kwa bakora sio wilaya
Kilosa tu.

 Angemudu kusaidia jimboni kwake ufugaji na kilimo
endelevu

 lakini hajafanya hivyo; kusaidia wananchi wake wawe na
muono

 wa mbali wa mifugo katika kukuza kipato na kulinda
mazingira

 na kuboresha ng'ombe na mbuzi wa kienyeji kwa
value added

 products za kuingiza kipato. kuhamahama,
kulimbikiza

 mifugo  sio tija. Kisha, uharibifu wa
mazingira

 ufwanyao na wananchi wennyewe ndio wa kuhangaika nao
ili

 maji yapatikane. Kuacha tabia ya kuharibu na kuvamia
vyanzo

 vya maji, uchafuzi wa mazingira ndio akazanie ili
baada ya

 miaka kadhaa matokeo ya maji mengi (sio muda

 >>> mfupi tu) yaonekane kutokana na re-charge
ktk

 mazingira. Ikiwa sisi watanzania hatutobadilika
kiakili na

 kimatendo-tusitegemee kubadili maendeleo yakue
ghafla.

 Tunatiana umasikini na kujifanya masikini wenyewe.

 >>>

 >>> Cha kujiuliza-huko Monduli kuna land

 degradation, utata wa maji wananchi kuchota barabarani
mvua

 ikinyesha maji huwa machafu, kuchangia maji na
mifugo

 -amefanya nini miaka yote hiyo? Anaweza kuonyesha
miradi ipi

 akigharimia yy binafsi au kutafuta donors kwa
proposals zake

 na kushirikiza watumishi ugani? Kuna boreholes za
toka

 ukoloni kwenye maeneo yaliyokuwa estate farms. Ni hivi
basi

 wagombea wengine ambao walikuwa wabunge na mawaziri
pia

 waulizwe walichokifanya miaka yote iliyopita.i Unaweza
ukawa

 waziri lakini utendaji unategemea walio chini yako
lakini

 mbunge upo jimboni. Jee kijiji chako pale ulipo
wananchi

 wako wanatofauti gani na hao wa vijiji vingine vya
mbali?

 Hapo ulipo-nyumba bora, choo bora, shule bora na
ufaulu

 mzuri maji safi yapo na huduma ya mifugo na ufugaji
na

 kilimo cha kisasa na endelevu. Huenda hivi vichache
havipo

 hata kata na kijiji cha mbunge! Leo unadai taifa
zima

 utabadili kwa sekunde? Jee, wabunge hufanyiwa
evaluation ya

 >>> majukumu yao na kila mmoja kila baada ya
miaka

 5 kutoa taarifa ya utekelezaji ya mipango binafsi na
ile

 ambayo anashiriki kupitisha ktk Halmashauri ya Wilaya
chini

 ya O&OD na ile inayopita bungeni ya national
vertical

 programs?  Bila ya kutathiminiwa-kunawekwa uwazi
wa

 kutumia hela, kuruhusu rushwa itumike kupitisha
wagombea

 vilaza. Daima maendeleo yapo duni wakati kuna kila
aina ya

 resources vijijini, wataalamu wa serikali, vituo vya
mifugo

 na vya kilimo, uvuvi na VETA juu na bajeti

 inawekwa.Tubadilike ili tusonge mbele viongozi na
wananchi

 mijini na vijijini tuwe na muono chanya wa mbali.

 >>>

 >>> Ona malalamiko ya bandari huko
Zinga-Mlingotini

 yanayoonyeshwa ktk TV. Inasikitisha na
ilinisikitisha

 binafsi kuona jinsi wavuvi walivyojijengea nyumba
nzuri sana

 kwa juhudi za karne; miembe na minazi inayowapa
chakula na

 fedha. Iliwezekana kabisa kukwemba nyumba za
wanavijiji,

 kuchukua eneo ambalo ni arable land ya kilimo pia
kuweka

 bandari ambapo yapo maeneo mengine yasiyo makazi kama
hayo.

 Ila hapo -inaonekana-lililengwa pia shamba kubwa la

 mheshimiwa mmoja liondoke ambalo ni maelfu ya ekari
amepanda

 pamoja na maembe dwarf burunge ya kisasa ambaye ana
kesi

 moja ambayoimeleta utata. Shamba hilo litakuwa bandari
kavu.

 Inatokea sasa kukomoa wananchi. Ni muda mrefu
hawakutakiwi

 kuendelezwa maeneo yao lakini hawajalipwa. fikiria
historia

 ya eneo kutoka utumwa, fikiria ya kuwa population
kubwa ya

 huko ni ya wazee ambao wanategemea nazi, embe, mihogo
wauze

 wale. Miembe inaumri wa zaidi ya miaka 60+ licha ya
hiyo

 mipya. Leo kibibi/kibabu kianze moja atafute

 >>> pa kuhamia, alime, apande na climate
chage hii,

 nguvu za kilimo zimekwisha, utata upo ktk jamii zetu
wa

 kuamini hata vijukuu vibaka kuvipa hela za mafao au
za

 valuation na compensation watekeleze ujenzi-vinasepa
navyo.

 >>>

 >>> Ofisi ya kijiji cha Mlingotini
(Mgotini)

 inaishinda hata ofisi ya RC au DC. Niliipiga picha
mwenyewe

 wakati wa utafiti usiohusu uhamishaji mwingine kabisa
mwaak

 2010 nililikuta zahama hilo la kihamo hadi leo
hawajalipwa

 na hawaendelezi makazi au mashamba! Hiyo ofisi
imejengwa na

 mwekezaji kama mafao yao na ipo katika kubomolewa.
Sijui

 huyo mwekezaji kama atapona. Nimeiambatisha ofisi ya
kijiji

 hicho uone.Majumba ya tofari za simenti waliyojenga
wavuvi

 yanaumiza sana kuona yatabomolewa. Mungu atusaidie.

 >>>

 >>>

 >>>
--------------------------------------------

 >>> On Sun, 28/6/15, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>

 wrote:

 >>>

 >>> Subject: Re: [wanabidii] (Lowasa maji

 yamekushinda utaweza foleni au porojo za kisiasa?)

 >>> To: "wanabidii@googlegroups.com"

 <wanabidii@googlegroups.com>

 >>> Date: Sunday, 28 June, 2015, 20:16

 >>>

 >>> Ni mwizi tu na

 >>> mwongo!em

 >>> 2015-06-28 12:35

 >>> GMT-04:00 fadhil fadhil <fadhil.fadhil96@gmail.com>:

 >>>

 >>>

 >>> Wakati

 >>> Lowasa akitangaza nia katika uwanja wa
sheikh

 Amri Abeid

 >>> Arusha,  a

 >>

 >> --

 >> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 >>

 >> Kujiondoa Tuma Email kwenda

 >> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 

 Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 >>

 >> Disclaimer:

 >> Everyone posting to this Forum bears the
sole

 responsibility for any legal consequences of his or
her

 postings, and hence statements and facts must be
presented

 responsibly. Your continued membership signifies that
you

 agree to this disclaimer and pledge to abide by our
Rules

 and Guidelines.

 >> ---

 >> You received this message because you are

 subscribed to the Google Groups "Wanabidii"
group.

 >> To unsubscribe from this group and stop
receiving

 emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 >> For more options, visit

 https://groups.google.com/d/optout.

 >

 >--

 >Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 >

 >Kujiondoa Tuma Email kwenda

 >wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 

 Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 >

 >Disclaimer:

 >Everyone posting to this Forum bears the sole

 responsibility for any legal consequences of his or
her

 postings, and hence statements and facts must be
presented

 responsibly. Your continued membership signifies that
you

 agree to this disclaimer and pledge to abide by our
Rules

 and Guidelines.

 >---

 >You received this message because you are
subscribed to

 the Google Groups "Wanabidii" group.

 >To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 >For more options, visit

 https://groups.google.com/d/optout.



 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com



 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 

 Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma



 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

 continued membership signifies that you agree to
this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed
to the

 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit

 https://groups.google.com/d/optout.



--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com



Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma



Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.





--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.





--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.






--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.






--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment