Thursday, 2 July 2015

Re: [wanabidii] (Lowasa maji yamekushinda utaweza foleni au porojo za kisiasa?)

Fahamu pia Victor kuna ramani ya Chiefdoms iliyochorwa na wakoloni. Kuanzia wamisionari walipoingia anthropologists waliandika kuhusumakabila, kuchora ramani. Wakaja wazungi wakajifunza mila na desturi zetu ili kututawala vizuri. Nao walipoona wafugajiwahamaji wanavuruga kilimo na shughuli za uchumi-wakatengeneza Maasai Reserve kama eneo lao. Na kutoka humo kwenda kokote kwa kibali. National Archives ina record na barua hizo kwa mtu kuomba ruhusa ya kutoka na kurudi. waliruhusiwa kuishi mbugani kutokana na kuwa wao walikuwa hawalimi. Kwa sasa kuna mabadiliko ya livelihood-wanalima, wana biashara kibao za kila aina mpaka magari ya usafiri, utalii, machimbo mererani, lodges, restaurants, maduka ya jumla na rejareja. Kilimo ndani ya maeneo hifadhi ya wanyama pori inaleta utata. Ramani inakuonyesha kuwa-Mkomazi ni Himaya ya Chief wa Wapare na ndio kesi ya Mkomazi ilishindikana kuwapa hao unaowataja ushindi. Uingiliaji wa Wafugaji wa Kimasai maeneo hayo na
Bagamoyo yalkitokana na makundi yao kugombana na kuhamia huko na kuna kipindi waliruhusiwa kuishi wafugaji wa Kipare, Sambaa na Parakuyo Maasai ndani ya mbuga ya Mkomazi pamoja na wale waasili waliokuwepo humo karne kabla ya kuwekwa mipaka. lakini kilimo kiliposhamiri-waliondolewa wote. Fahamu pia kihistoria kuna wafugaji wa Kisambaa, Kimasai, Kipare waliokuwa hawalimi kabisa ambao kilimo ndio wameanza miaka ya 1980s. wao wakiuza mifugo kununua chakula. Lakini ukame na kupoteza mifugo kumewafanya walime, wauze mifugo kunapokuwa na shida kubwa. Social status ni mifugo mingi regardless ya afya. Kwa sasa ni pamoja wingi wa mifugo, ukubwa wa ardhi, wake, watoto ndio ije elimu, nyumba, gari, trakta au plough vifuate. Mkoloni alihamisha watu Njombe, Iringa na akafanya misitu ya asili na kimila iwe misitu ya hifadhi wananchi wakapelekwa kulima mashamba Tanga etc yeye akabaki kukaa milimali kama yupo ulaya. Vita vya Mkwawa na Mjerumani vikumbuke.

Ushirikiano na kuhamia na mifugo kuchunga kiangazi kulikuwa contolled na machifu kwa mawasiliano ya kikabila kuwa utaingia, utalishia eneo gani na utaondoka lini. Sio sasa ni kuvamia, kunyweshea katika malambo waliyochangia kujengwa, kulishia shamba ambapo wewe ukilima humo ndani ya NCAA, Loliondo, Simanjiro, Babati, Mwanza, Domoma-hulishii shambani kwako mazao yako-why? Mfugo mmoja (one livestock unit) kula ukue kwa TZ unahitaji hekta 4-5. Na inachukua muda kupata uzito unaotakiwa. Kwa sasa tumezaana, tumeongezeka, tunaingiza wageni kinyemela vijijini kwetu hadi wafugaji kutoka Kenya kuingia na kufuga Loliondo na NCAA na hata Monduli Mswakini Ward. Dodoma walionekana miaka ya nyuma na farasi na mifugo na silaha ktk ranch ya taifa. Imefika wakati tufanye shughuli kitaalamu. Unapolimbikiza mifugo ni utata sawa na kuvua kwa kutumia sumu au baruti au kulima kwa kuchoma moto misitu na bila makinga maji au mmomonyoko.

Kuwepo mbuga na misitu ya hifadhi ni muhimu kwa ikolojia ya nchi. hawakuwa wanazagaa na kulishia kila kona hata huko zamani. Hata wakulima hawakufanya hivyo na ndio maana unakuta misitu mikubwa mkuranga, Lindi, Kilombero na wakilinda mazingira kwa kutumia mila. Sasa mila hazizingatiwi hata makaburini watu wanalala na kuvuta baki na kufanya ngono. Kesi za mapambano ya wakulima pia zikiamuliwa kimila. Utawala wa kimila ulisimamia mazingira. Upareni -ingiza ng'ombe shambani kwako ulipe ng'ombe. wakitengeneza mifereji ya kumwagilia mashamba na mfereji wa wanyama pori wa kuwapa maji ndani ya Mkomazi ili wasitoke kuja mashambani ulikuwepo na documented na wakoloni pia.

Sehemu ya sera na sheria ya wanyama pori ni kuwa na maeneo uwindaji unaruhusiwa na kuna maeneo hairuhusiwi; live capture ya wanyama pori inaruhusiwa au kuwinga kuua na kuchukua unachotaka na nyama unawapa wananchi wanauza ktk bucha zao za WMA yao. kumiliki eneo la wanyama pori na kuweka tent, hotel au zoo inaruhusiwa sheria ikizingatiwa sio kama wamewaibia ndio hivyo kidunia. Visingizio vingi lakini utakuta kwetu tuna momonyoa, ardhi nyeupe imekuwa degraded kutokana na ulimbikizaji mifugo halafu unataka uhamehame uende kokote kule na kuvamia maeneo ambayo wengine wanamiliki kisheria si vema. Unafukuza uwekezaji au kuharibu ujirani mwema. Fananisha hii na ya wewe kulima shamba lako ukapanda miti ya matunda lakini huli ni wapita njia, jirani na watoto zao kuja kuchuma bila ya ruhusa yako. lakini vyao kwao havichumiki, ukichuma zari kali na kwanza huoni kupanda kitu wamekaakaa tu na kutupa taka hovyo, kuiharibu kwako ndio kivuri kipo wanataka wakae chini
ya miti yako. Maendeleo yetu ni majukumu yetu tuache visingizio. Kuharibu misitu na mbuga hifadhi ni kujimaliza kitaifa-tuangalie mfano wa Ethiopia, Mali, Somalia na nchi nyingine kame.
Ukiwauliza Wapare-hawataki kabisa mbuga ya Mkomazi iondolewe iwe makazi na sasa ni National Park. Huko Njombe mradi wa Rufiji River Basin umefanikiwa kurejesha misitu asili, ya kupanda na mito kuibuka tena. Bila ya shaka uliona pia walivyokuwa wanapambana na wafyatua matofari mtoni Ruaha.

Toka lini msukuma Mwanza akalishia mifugo shambani kwake? Ila atafanya hivyo Rufiji. Atalima extensively and intensively na kutumia hela kwenda Mwanza kuongeza mlimbikizo wa mifugo for social stastus. Atachakaza ardhi Rufiji na kuhamia Kilwa, Lindi-kata miti choma mkaa, uza; tumia hela kujikimu-lima kama kawa, mine soils, uza, peleka home. Ukirudi unahamia Tunduru-HII IISHE!! IKOMESHWE. Pima ardhi, toa hati miliki kwa kila mwanakijiji. Wanalima ndani ya maeneo ya hifadhi na kumaliza maeneo ya kulisha mifugo. Hii nayo Victor unaifanyaje kisha ni kutaka wildlife areas ziwe degazetted. Tulime tuharibu ardhi kisha tutake Mbuga ya Mikumi, Udzungwa, seleou zipunguzwe. Lima na fuga padogo efficiently and productively. Picha za mfano wa kilimo ndani ya wildlife protected area na maeneo ya hifadhi nchini nimekuambatishia. Hata ile ya Saadan kulikuwa na wavuvi wa coastal area bagamoyo, tanga na iliundwa na mfanyakazi wa wanyama pori. Sasa Kumejaa wafugaji kibao
migogoro,


--------------------------------------------
On Thu, 2/7/15, Victor Mwita <victormwita@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] (Lowasa maji yamekushinda utaweza foleni au porojo za kisiasa?)
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, 2 July, 2015, 13:39

Mimi sipo
kwenye NGO yyt. Nasikitika na shamba lako kuharibiwa na
madhila mengine na kwa kweli ni ya kulaaniwa. Lakini
ningependa urudi nyuma usome historia kdg: mkomazi lilikuwa
eneo la malisho. So is Ngorongoro, Serengeti na Tarangire na
Manyara. Ukichukua eneo lote la KIA na chuo cha jeshi cha
Monduli na mengine mengi yalikuwa ni maeneo ya kulisha
mifugo. Yamechukuliwa kwa ajili ya matumizi mengine. Kwa nn
hao watu wasipewe maeneo mengine? Fikiria eneo lote la
hifadhi ya Serengeti, Tarangire na Ngorongoro likibaki kuwa
la ufugaji nani angekuja Morogoro? Hayo mashamba ya mikonge
yalikuwa maeneo ya kuchungia mifugo. So wakihama ni kwa
sababu wamelazimishwa. Documents zipo za kuonesha extent ya
land grabbing in pastoral and agro-pastoral areas. Matokeo
yake ndio hayo ya kuhamahama.

Nakubaliana na ww kuhusu corruption kama source ya migogoro
kati ya wakulima na wafugaji na ulegevu katika kuandaa na
kusimamia land use plans kwa ardhi ya vijiji.

The issue is: nani anatusikia na ni nani atachukua maamuzi
muhimu ili migogoro iishe?

Nadhani migogoro ni mtaji wa kisiasa

Naomba kutoa hoja
Sent from My Ipad
On 2 Jul 2015 08:31,
"'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii"
<wanabidii@googlegroups.com>
wrote:


Kwanza sehemu kubwa yenye protected catchment forests ni kwa
wakulima hazipo semi-arid areas.

Mbuga chache sana na protected forests zipo semi-arid areas.
Ila labda mbuga kuu ya hifadhi tu ya Serengeti yenye jina
kuu ipo huko. Kama kuna mhifadhi mazingira na uoto
asili-Mpare ndio namba moja wanafuatilia weengine.



Mito mikuu inaanzia misitu kwa wakulima na ikilindwa kwa
mila na desturi TZ. Na ndiko huko wanakohamia
Sasa-Sumbawanga, Rufiji, Lindi, Morogoro ndio usiseme na
kuharibu hata irrigation scheme. Kutokana na kuona hoja za
wazungu kutetea wafugaji ndio bora kuna kusahau indigenous
knowledge na practices za ulinzi wa mazingira kwa wakulima
na wakulima wafugaji. Hata nami nimetembea kute huko
unakosema na degradation ipo kubwa. Ila yale maeneo ambayo
wawekezaji waliweka tented camps kisheria au maeneo ya
zoo-breeding wanyama pori ndiko huko wanafanya uvamizi na
kudai ardhi imeporwa. Na kama wakoloni wasingeanzisha
protected area na GVT kwa miaka kufanya nguvu ya kuweka
corridors na buffer zone-kiukweli TZ ingekuwa jangwa.
angalia juhudi za kupanda miti dodoma zinavyobadili sura ya
mji na vijiji. Lakini-ukifika mfano Maswa Game
Reserve-utatembea kilometa za machaka na ukifika karibu na
hiyo reserve ndio kuna nyumba mbanano na kuingia kulima
mpaka ndani ya hiyo

 GM (Fika Nyanza village) na serikali kuwatoa humo ndani
kwa kuchoma vibanda. Fika Mikumi National Park-utapita
machaka lakini kabla ya kuingia Park-nyumba na kilimo
kipana. Jiulize-kwa nini wasonge kule badala kinyume chake.
Kwa sasa hakulimiki Mikumi-mifugo inapita kuhamia ndani ya
N.P. ya kutoka limoleta maefu. Lakini fika Loliondo, NCAA,
Vijiji vya Simanjiro uone kilimo kinachoendelea ndani ya
wildlife conservation area. Change ya livelihoods za
wafuigaji zikubalike na mbinu za matumizi ardhi kiendelevu
ziboreshwe na kuzingatiwa. Kwa wakulima pia. Kukata misitu
asili hovyo, kilimo kisich endelevu ardhi haitotosha daima
na mito itakauka.



Source ya migogoro ni rushwa na kutozingatia sheria ya ardhi
na ethnocentrism. Mbona hilishii shamba lako ukilima
ulikohamia au place of origin. Kama carrying capacity ni eka
tano kwa livestock unit-unao elfu 5 katika ekari mbili.
Hupandi majani na eneo leupe-hata conservation area
ipunguzwe tatizo halitatatulika. Tuna centres za kilimo na
mifugo zonal zinajulikana na mikoa mingine zaidi ya 1 ya
mifugo. Support zipo tuzitumie. Tafiti kibao na ushauri
mpaka za kuangalia Value chain ya Red meat na matatizo
katika ufugaji. Soma UNIDO (2012) Tanzania Red Meat Value
Chain. A diagnistc study na nyinginezo kibao. Studies za
Farmer-Pastoral Conflicts zipo kibao na ushauri.
Hatuzingatii. Na land use planning inakwepwa kwani hela zipo
mbona posho nene hatuachi kujipa ktk vikao lakini LUP ni
8-10 million kwa kijiji. Tuone kupimwe, wapate hati za
kimila za makazi na mashamba au maeneo ya ufugaji halafu
tumuone atakayezurura na kusabisha mapigano na mauaji.



Kama eneo ni la kufuga, mfugaji akianzisha kilimo cha
kupanuka eneo la kuchunga kijiji chake kimfanye nini? Siku
hizi hata wazee wa mila corrupt ndio maana mtu anaweza
kuingiza wafugaji wageni, kulima ktk common grazing land.
Kuwakemea-tutakosa kura. Miaka ya nyma Kijiji cha Robanda
kilikuwa cha waikoma-wafugaji na kilimo kiasi. Baada ya
hoteli ya Grumeti kujenga-ugomvi wa waikoma na wamasai
kutoka serengeti ukamalizwa in mid-1990s kwa kusainiana
mkataba wa kimila. Kumejaa wafugaji wa kimasai. si mbaya ila
mafao ya kutoka grumrti hayataonekana kutokana na population
growth, overconcentration of people and livestock,
business-petty and major. Ardhi itakuwa ndogo na kutaka
degazettement ya Grumeti na Ikorongo na ardhi ya Robanda ni
rocky mawe ya gypsum. In 1980s STDs na TB vikiongoza sasa
itakuwa balaa na vitakuwa vinapaa pamoja na malnutrition
kwani chakula cha nafaka na kimoro itakuwa tabu. Solution
sio kupunguza mbuga na mwisho kuona tunaonewa. Pale

 ulipo unazingatia matumizi bora hata ukizaa sana? Mifugo
mpaka Mgeta mlimani morogoro, Bunju, Kiromo bagamoyo kwa
visingizio vya kila aina? Ndio tunauliza wengine. Uhuru wa
wengine kuzurura watatako ila mkulima hawezi kuhamia NCAA,
Loliondo Game Reserve area akalima atakavyo-atahamiaje? Kwa
nini tusikubali kutumia research, ushauri tukaendelea? hata
ukichukua ramani za ukoloni za social anthropologist na maps
zao za makabila mbali mbali na maeneo yao na protected
areas-kisha uchukue satellite images kwa miaka kadhaa uone
ulinganishe na mipaka ya zamani na uoto over years utaona
uharibifu wetu wenyewe kimipaka-hiyo research ilifanyika
chini ya DIFD funds likapatikana lisilotegemea waliokuwa
wakidhani serikali ndio mkosa mkuu kuonea jamii moja tu.
Hiyo ndio ilikuwa dhana ya wahisani hao na NGO funded nao
zilizokuwa zikileta tafrani Mkomazi na ndani ya Serengeti
NP. na NCAA na vijiji vyake  ndani na nje yake. Vijiji 92
vinavyozunguka National Park ya

 Serengiti vilifanyiwa utafiti kwa kuzinguka sampled areas
kuangalia matumizi na kufaidika na NP. Report kama hizi
ziopo ndani ya makabati na matatizo yanakua. Tufike mahali
watanzania tukubali kubadilika na viongozi wawajibike
kikamilifu. Sera na sheria zitekelezwe na kila sekta tuache
kuwa na sheria, sera, mikakati mizuri, raslimali zipo lakini
tunabali kuwa

kichwa cha mwendawazimu. Inapofika uchaguzi tu-kusema
yasioyo kweli na kurahisisha utatuzi wa mambo ambayo miaka
yote tulikuwa tunayaangalia tu. Ni nadharia tu na changa la
macho. Utatatua hata tatizo la msongamano wakati Wizara moja
magari mia kila kiongozi anatoka na lake? Kila nyumba
familia inatoka na gari? Walioziba njia za mkato
huwabomolei?



Transport sector-wataalamu wake wanasoma na kwenda
ulaya-wanaona wenzetu walivyotenganisha njia/barabara
tofauti za magari na matumizi yake zipo parallel hazikutani-
wewe unachanganya tankers za petroli, lori za trela za
mizigo, mabasi ya abiria, taxi, bajaji, bodaboda na kuruhusu
wauza biashara kuzuia njia kwa kutumia magari yao ya
biashara za kuuza mbao; wapanga biashara njia za mapito ya
miguu, garage na frame za biashara kwenye feeder roads/
ujenzi katika right of way ya barabara kuu ambapo wenye
bajaji hawawezi kukaa mbali na main road; kituo cha bus
kinakuwa meza za biashara kiasi bus linabidi lisimame
barabarani kutokana na meza za mauzo kuwa njiani. Leo
unatudanganya na suluhisho la msongamano wa magari-SIKU ZOTE
UPO WAPI na ni mshauri Bungeni au Serikalini? Ufugaji
kisasa-Mbona jimboni kwako hakuna mfano? Kwa ni jirani na
chuo cha kilimo milima iwe haina misitu watu wanalima
unsustainably nawe hilo ni jimbo lako-umewaweka wawajibike
na

 kuwasaidia vipi? tunauliza-upo DSM, Mbunge na Waziri au
Mbunge-kwa nini mito katika jimbo lako ichimbwe mchang
imomonyoke na kuhatarisha majumba na usalama wa watoto
waendao shule huchukui hatua kuwaunganisha vijana
wajitengenezee ajira katika vikundi hivyo vyao vya mchanga
na kuvuta bangi na donors wapo. Chama chako kina wasomi na
wanasheria wa kuwasaidia mafunzo, katiba zao na kupata
mikopo bank na donor support. Upo kuilaumu CCM tu na
serikali yake, kelele bungeni unalala kusoma kipengee hadi
kipengee cha sera na sheria na mengineo. Wewe umewajibikaje
na yote haya unayajua ya kuwezesha? Kuhoji dhambi? wanasoma
michango ya wanazuoni na wanabidii na mitandao mingine. Ndio
maana tunaandika hivi ili waingize katika utendaji wao.
Tumechoka kuchapwa barora Mkoa wa Morogoro!! Kilimo kinakufa
wazee wenye watoto yatima wanateseka. Siku hizi ukifukuza
mfugo shambani kama ni mama/mwanamke-unabakwa. Yupo
aliyebakwa mama mtu mzina hadi leo kesi imeishia. Mume

 kapata shock kaanguka kafa. Inaniuma mimi watu wakwetu
wanateseka. Hata shamba langu halilimiki tena limeliwa kila
kitu mpaka miti iliyopandwa. Ndio maana ninaongea daima
kuhusu kilimo na ufugaji endelevu iewe kama sheria. Mbuzi na
ng'ombe za kisasa za maziwa wano zaidi kwa uchache.
Mbona zipo sokoine University na vituo vingine kibao? Why no
mabadiliko. Support ya panda miti kibiashara ya donors
(Finnida) ipo. Mkuhumi na carbon money ipo. Kwa nini
hatutaki kubadilika? Tumelogwa Baha na mchawi wetu-Kafa.
Kutuokoa ni sheria tu iwe msumeno. Kuhamasisha na kuelimisha
bila sheria kukaziwa na kutekelezwa bure, matokeo chanya ni
% ndogo sana.

--------------------------------------------

On Wed, 1/7/15, 'bernard baha' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:



 Subject: Re: [wanabidii] (Lowasa maji yamekushinda utaweza
foleni au porojo za kisiasa?)

 To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>

 Date: Wednesday, 1 July, 2015, 23:40he

 Namchukulia

 Kiwasila kama mwanamazingira ambaye kafumbwa macho na

 umazingira ila maelezo yake kuhusu Mheshimiwa na nafasi
yake

 kuleta mabadiliko inapaswa tenganishwa na imani yake juu
ya

 ulinzi wa mazingira. Binafsi nimeshiriki kutafiti kiasi

 mambo ya migogoro, Mwita upo sahihi, sasa si ndio changa
la

 macho hapa? Lowassa na hawa watangaza nia wengineo ama

 walikuwa sehemu ya maamuzi ama blander wengine toka enzi
za

 Nyerere juu ya suala la wafugaji, ati tupo namba tatu
Afrika

 ila hatuoni manufaa..tunafikiria usasa. Nilipendekeza

 upimwaji wa vijiji na kuangalia uwezo wa eneo kuingiza

 ufugaji nk. But study zetu zipo kavazini. Ila baadhi
yetu

 tumeshuhudia binadamu wenzetu waliozikwa kwenye shallow

 graves,kisa Ardhi, Tanzania. Acheni nadharia hapa.Kama

 Mhishimiwa haya yalimshinda enzi hizo mnafikiri ana

 mwarobaini? Kiwasila yupo sahihi, ebu tafuteni namna

 alivyoshughulika hapo awali na kero ya traffic jams na
idadi

 ya ajali baada ya kulazimisha maono yake.

         From: Emmanuel Muganda

 <emuganda@gmail.com>

  To:

 "wanabidii@googlegroups.com"

 <wanabidii@googlegroups.com>

  Sent:

 Wednesday, July 1, 2015 11:13 PM

  Subject:

 Re: [wanabidii] (Lowasa maji yamekushinda utaweza foleni
au

 porojo za kisiasa?)



 NI

 mentality hii hii ya zimwi likujualo itakayoizika
kabisa

 Tanzania yetu.em

 2015-07-01

 14:44 GMT-04:00 Neatness Msemo <nmuzeh@gmail.com>:





 hebu tumpe naye akajaribu ni bora zimwi likujualo

 kuliko ambao hawatabiriki

 On Jul 1,

 2015 9:08 PM, "Victor Mwita" <victormwita@gmail.com>

 wrote:

 Sipendi

 sana kubishana na Hilde Kiwasila na napenda umahiri wake
wa

 kuchambua masuala mbalimbali, lakini hili la wafugaji

 nadhani anahitaji kuliangalia upya. Maeneo hayo
anayodai

 yametunzwa na wawekezaji na watu wengine anaowasifia

 yalikuwa maeneo ya malisho. KIA, Monduli TMA, Basotu,

 Serengeti National Park, NCAA, Maswa Game Reserve na
mengine

 mengi zilikuwa rangelanda ambazo zilichukuliwa na

 kubadilishwa matumizi bila kuwapa wafugaji na watumiaji

 halali maeneo mbadala. Achilia mbali maeneo ambayo miji
kama

 Arusha inazidi kupanuka ni rangelands. Zaidi ya hayo
maeneo

 ambayo walikuwa wanatumia kwa kulisha wakati wa
kiangazi

 kama wembere plains ambayo ina-extend hadi Tabora, bonde
la

 mgongola na mengineyo sasa ni maeneo ya umwagiliaji na

 kilimo. Watu wakiongeza maeneo ya kilimo na hata kuziba
njia

 za mifugo kwenda kwenye maji hakuna anayesema. Ila
mfugaji

 akilazimika kwenda kunywesha mifugo anapigiwa kelele.
Lazima

 tutambue kwamba ufugaji ni sehemu ya maisha. Na hizo
tuhuma

 za kuharibu mazingira ni za kufikirika zaidi. Research

 haisemi hivyo. Ni pale wafugaji wanapolazimishwa kuwa

 squeezed sana ndio kuna effect. Na sio kubwa kiasi
hicho.

 Kuna madhara makubwa zaidi kwa mfano kutokana na kilimo
cha

 tumbaku kuliko mifugo.



 Nimeenda Kiteto na kuona madhara makubwa yanayotokana
na

 kilimo cha kuhamahama ambayo ni ya kiwango kikubwa.



 Tuache kuwaonea wafugaji kwa kila baya na tuwe rational
dada

 yangu Hilde

 Sent from My Ipad

 On 1 Jul 2015 19:28,

 "'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii"

 <wanabidii@googlegroups.com>

 wrote:

 Mollel,

 nichambe laniki nipo ngangari sina upendeleo wala chuki
na

 mtu wako. Tunahoji ya uhalali.







 Labda nisipate uongozi-nitahakikisha kila kijiji
kimefanya

 land use planning na certification. Tuone kama mifugo

 itakuwa inaingia kutoka Mwanza. Arusha, Manyara. Wenyeji
wa

 Pwani mpaka Zanzibar ng'ombe hawaachii wakazagaa
hovyo,

 huwafunga kamba. Wana mbuzi wa kienyeji na sasa za
Maziwa

 vituo vya kilimo na miradi ya ufugajii huwasaidia kwa
ajili

 ya lishe.







 Coastal areas huheshimu ardhi ya mtu mwingine hawezi
kuingia

 hovyo kulishia mifugo, kukata miti au kulima bila
ruhusa.

 Ninyi mkitoka kwenu mna tribalism. Mnadharau mtu
mwingine

 yeyote ambae si Mmasai. Hivyo huingiza mifugo na
kulishia

 mashambani, mkulima akiwafukuza-anapigwa bakora. Mna hela
za

 kuhonga polisi na mahakama. Mnalima mwakenu ila
hamlishii

 mifugo yenu hata siku moja. Ila mkifika kwa wenzenu iwe

 mbali Rukwa, Tunduru, Kisarawe, Morogoro,
Kilosa-mnalishia

 hata ekari tano plus kwa mchana au usiku-ni dharau.

 mmepimiwa vijiji vyenu kilosa-mnalima kwa plau na
treka,

 mifugo mnahamishia kwingine na kusema mnaonewa.







 Ardhi haipanuki Simanjiro, Monduli, babati hata

 Loliondo-mnavuna madini mererani mnaongeza mifugo.

 Mnalimbikiza mifugo ardhi inakuwa nyeupe kisha mnataka

 wildlife conservation areas ziwe degazetted eti
mnaonewa

 ardhi wanapewa wageni. Wildlife raching, game hunting

 inaruhusiwa kisheria na OBC kawapa mafao mamilioni
ushahidi

 upo mafao kibao wilaya na vijiji-mnamvamia eti
mnaonewa.

 Kumbe mnaharibu mazingira vijijini mwenu halafu hoteli

 zimelinda mazingira yao na wawekezaji-mnaingiza mifugo.
Kama

 mnaweza kupambana mbona hatujasikia mkilishia mashamba
ya

 mchaga jirani yenu? Mnawaogopa na kuwaonea hao wa
kisarawe

 etc.







 Sasa mchangieni aje kutawala ili mzagae na mifugo hadi

 Ikulu. Hatumchukii kama uonavyo wewe team Lowasa,
tunahoji

 issues kama tunavyohoji kwa wagombea wengine. Mbona
wewe

 tumbo joto na Lowasa? umepewa vijisenti nini? umo
kwenye

 hayo magari yaliyokodishwa yanayotembea mikoa yote na
wamama

 kupiga vigelegele na kutamka maneno tunayosikia ktk TV
na

 radio? kinidhamu-ukiambiwa maombi haya ulete referees 3

 huleti referee 6 ukafanya wasaini karatasi yenye nafasi 3
au

 kutaka watatu tu. Tunachosema-kila mgombea amefanya
nini

 jimboni kwake na alikuwa mbunge? Kama ni muhudumu wa

 afya-eti huwezi kutembelea kata na kuhamasisha maendeleo
kwa

 kuwa huna usafiri. SAWA. Lakini pamoja na kukosa

 usafiri-umefanikisha maendeleo gani kile kijiji
unachoishi

 pale katani? Kama kijiji ni kikumbwa kuna
wanyamapori-jee

 pale kitongoji unapoishi una cha kuonyesha? Utaona nani

 anawajibika sawasawa. Sikatai kama mimi ni
researcher-sawa

 na nimeimaliza TZ hii nitakuwekea picha za Maasai



  area kibao hapa kukuonyesha mazuri na mabaya katika

 kuhoji. Vuneni madini Mererani na ongezeni mifugo,
ozeni

 vichanga-ongezeni mifugo-Rais mimi naja-ukizidisha
beyond

 land's carrying capacity-unalipa fine tuinazipora.

 Tunataka maendeleo endelevu ya kilimo, uvuvi na
ufugaji.

 Tumechoka lele mama ya hadithi za alinacha.







 Ninakuwekea kiambata kingine uone kwamba tunachohoji
katika

 maendeleo ni kile realistic sio lele mama hadithi ya
kuahidi

 ahadi za kushusha mana kwa waliojangwani ambao
wanazembea

 maendeleo yao wenyewe na kuchakachua resources. Mbona
kuna

 visima vya gar na mafuta Mafia na minara yake toka
1950s.

 Unapigia kelele Gas ya Mtwara kulikoni na kuweka ahadi
kibao

 watu kuandamana kuchoma nyumba na wanasiasa kushabikia?
Ipo

 minara ya Shell BP Mafia ya 1950s. Tunawasubiri akina

 Dangote kwani matajiri wa hapa kama ninyi melala!!
Aluta

 continua.



 --------------------------------------------



 On Tue, 30/6/15, 'Lesian Mollel' via Wanabidii

 <wanabidii@googlegroups.com>

 wrote:







  Subject: Re: [wanabidii] (Lowasa maji yamekushinda

 utaweza foleni au porojo za kisiasa?)



  To: wanabidii@googlegroups.com



  Date: Tuesday, 30 June, 2015, 2:57







  Hilder dada wee na wee nshakuona



  hujui unachozungumza bse akways ur against

 lowasa'hv haaya



  unyoyasema yako monduli tu sister....amazing words or

 a



  serious long served researcher,mbn wasomi wetu

 mnashindwaga



  kua analytical,wee,aaaggh napata shaka na watu hawa



  Najibu kdg kdg...suala la mifugo sidhan kama ni

 ng'ombe toka



  monduli ndo zikomihefu sister,wafugaji can come

 from



  simanjro na tena simanjiro na kiteto ndo wanaopakna
na

 hayao



  maeneo ulotaja na si wamasai tu,ni wafugaji na sio

 suaka la



  lowasa pekee hili na si mbaya watu kua na wafugaji

 kisarawe



  au hata mbeya issue ni hii,arre those land properly

 planned



  to allow all activities to be done,si dhambi hata

 kdg



  mfugaji kuwepo kisarawe...nimefanya mradi pale

 kisarawe na



  ngo yangu 2010 nikiwa na ufadhili wa action aid uk

 na



  nikifanya vjj kumi na vie vya wafugaji tulifanya

 kule



  gwata,nyani,marumbo etc.....lakin shida wanasiasa



  wanaingilia technical matters na ndio maaana land

 planning



  bado hazifanikiw



  Shortly nisiingie ndani...ni hv lowasa si kweli

 kuna



  asiloweza na amefanya mengi jimbon kwake usitake

 kuaminisha



  wt kasoro chache ambazo zipo monduli kua ndio iwe

 weakness



  ya kumfanya asiwe presida,hujui kua leo mikoa ya



  shy,geita,wana mai ya victoria na huyu mwanaume ndo

 kapigana



  na wamisri,huju kabisa wee,staki sina muda wa

 kuandika



  meengi wee mchukie lakini usitushawishimkwa hoja

 dhaifu



  kumchukuia lowasa,hata kama kweli utagombea ubunge

 unatakiwa



  ujipange kweli hoja zako ziwe realistic maana naona



  unaokoteza hazina mashiko ,unapotaka kumshushia mtu

 basi



  mpime kwa haki,look at membe,jauar,wasira,sumaye et

 al



  halafu sema hawa wamefanya vyem a but lowasa hajfanya

 kitu



  na uje na option or your choice,acheni kulalamikaaaa

 bila



  kuja na suluhu,argue kisome sio'kitoto







  Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>



  wrote:







  >Ngulupa,



  >Sema linakuudhi wewe and the likes. Mimi
hainiudhi

 kwa



  sababu nisingependa kuona fisadi mwingine ndani ya

 Ikulu. I



  am speaking for myself lakini nitafarijika kuona

 kuna



  Watanzania wengine wenye msimamo huu.



  >em



  >



  >Sent from my iPhone



  >



  >> On Jun 29, 2015, at 2:52 PM,

 "'ngupula' via



  Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>



  wrote:



  >>



  >> Kama kuna jambo linaudhi watu kwa kiasi

 kikubwa ni



  hili la kumpinga Lowassa kila kukicha....hivi hao

 wengine



  hawahaidi? Mbona Lowassa tu? Inawezekana hili ndio

 jiwe



  wanalolikataa waashi? ....swali langu bado ni



  lilelile....kumbukeni, mnapompinga Lowassa mtupe na

 jibu



  nani anafaa na kwa lipi?........kwa kuwa ni kwel

 wananchi



  wanampenda, nashauri tu ni vema kuwa makini na huyu



  jamaa.....  bila kumungunya maneno...nasema

 Tanzania



  watu wanaoweza kuisadia ni Lowassa na Mwigulu



  tu   hawa ndio wenye muarobaini wa

 shida za



  watz......hawa hawaamin katika misaada ni ni watenda

 kazi



  hodari........na mtu akitaka kuzungumzia Richmond

 asisahau



  kuwa...ipo escrow na mwenyewe wanamjua...



  >>



  >> 'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii

 <wanabidii@googlegroups.com>



  wrote:



  >>



  >>> Lowasa akatatue tatizo la maji kwa mwaka

 mmoja



  au muda mfupi ambapo mifugo ya kutoka kwao na Mwanza

 imejaa



  kwa mamilioni au maelfu hadi Milima ya Uluguru kwenye

 vyanzo



  vya maji? Kilombelo kwenye Ramsa Site kwa malaki,

 wetlands



  zinazopeleka pia maji Rufiji-kwisha; Ruaha imezagaa

 baada ya



  kuondolewa Ihefu Ruvuma, Tunduru, Rukwa, Kisarawe,

 Rufiji,



  Morogoro vijijini wanakoma kwa bakora sio wilaya

 Kilosa tu.



  Angemudu kusaidia jimboni kwake ufugaji na kilimo

 endelevu



  lakini hajafanya hivyo; kusaidia wananchi wake wawe
na

 muono



  wa mbali wa mifugo katika kukuza kipato na kulinda

 mazingira



  na kuboresha ng'ombe na mbuzi wa kienyeji kwa

 value added



  products za kuingiza kipato. kuhamahama,

 kulimbikiza



  mifugo  sio tija. Kisha, uharibifu wa

 mazingira



  ufwanyao na wananchi wennyewe ndio wa kuhangaika nao

 ili



  maji yapatikane. Kuacha tabia ya kuharibu na kuvamia

 vyanzo



  vya maji, uchafuzi wa mazingira ndio akazanie ili

 baada ya



  miaka kadhaa matokeo ya maji mengi (sio muda



  >>> mfupi tu) yaonekane kutokana na
re-charge

 ktk



  mazingira. Ikiwa sisi watanzania hatutobadilika

 kiakili na



  kimatendo-tusitegemee kubadili maendeleo yakue

 ghafla.



  Tunatiana umasikini na kujifanya masikini wenyewe.



  >>>



  >>> Cha kujiuliza-huko Monduli kuna land



  degradation, utata wa maji wananchi kuchota
barabarani

 mvua



  ikinyesha maji huwa machafu, kuchangia maji na

 mifugo



  -amefanya nini miaka yote hiyo? Anaweza kuonyesha

 miradi ipi



  akigharimia yy binafsi au kutafuta donors kwa

 proposals zake



  na kushirikiza watumishi ugani? Kuna boreholes za

 toka



  ukoloni kwenye maeneo yaliyokuwa estate farms. Ni
hivi

 basi



  wagombea wengine ambao walikuwa wabunge na mawaziri

 pia



  waulizwe walichokifanya miaka yote iliyopita.i
Unaweza

 ukawa



  waziri lakini utendaji unategemea walio chini yako

 lakini



  mbunge upo jimboni. Jee kijiji chako pale ulipo

 wananchi



  wako wanatofauti gani na hao wa vijiji vingine vya

 mbali?



  Hapo ulipo-nyumba bora, choo bora, shule bora na

 ufaulu



  mzuri maji safi yapo na huduma ya mifugo na ufugaji

 na



  kilimo cha kisasa na endelevu. Huenda hivi vichache

 havipo



  hata kata na kijiji cha mbunge! Leo unadai taifa

 zima



  utabadili kwa sekunde? Jee, wabunge hufanyiwa

 evaluation ya



  >>> majukumu yao na kila mmoja kila baada ya

 miaka



  5 kutoa taarifa ya utekelezaji ya mipango binafsi na

 ile



  ambayo anashiriki kupitisha ktk Halmashauri ya Wilaya

 chini



  ya O&OD na ile inayopita bungeni ya national

 vertical



  programs?  Bila ya kutathiminiwa-kunawekwa uwazi

 wa



  kutumia hela, kuruhusu rushwa itumike kupitisha

 wagombea



  vilaza. Daima maendeleo yapo duni wakati kuna kila

 aina ya



  resources vijijini, wataalamu wa serikali, vituo vya

 mifugo



  na vya kilimo, uvuvi na VETA juu na bajeti



  inawekwa.Tubadilike ili tusonge mbele viongozi na

 wananchi



  mijini na vijijini tuwe na muono chanya wa mbali.



  >>>



  >>> Ona malalamiko ya bandari huko

 Zinga-Mlingotini



  yanayoonyeshwa ktk TV. Inasikitisha na

 ilinisikitisha



  binafsi kuona jinsi wavuvi walivyojijengea nyumba

 nzuri sana



  kwa juhudi za karne; miembe na minazi inayowapa

 chakula na



  fedha. Iliwezekana kabisa kukwemba nyumba za

 wanavijiji,



  kuchukua eneo ambalo ni arable land ya kilimo pia

 kuweka



  bandari ambapo yapo maeneo mengine yasiyo makazi kama

 hayo.



  Ila hapo -inaonekana-lililengwa pia shamba kubwa la



  mheshimiwa mmoja liondoke ambalo ni maelfu ya ekari

 amepanda



  pamoja na maembe dwarf burunge ya kisasa ambaye ana

 kesi



  moja ambayoimeleta utata. Shamba hilo litakuwa
bandari

 kavu.



  Inatokea sasa kukomoa wananchi. Ni muda mrefu

 hawakutakiwi



  kuendelezwa maeneo yao lakini hawajalipwa. fikiria

 historia



  ya eneo kutoka utumwa, fikiria ya kuwa population

 kubwa ya



  huko ni ya wazee ambao wanategemea nazi, embe, mihogo

 wauze



  wale. Miembe inaumri wa zaidi ya miaka 60+ licha ya

 hiyo



  mipya. Leo kibibi/kibabu kianze moja atafute



  >>> pa kuhamia, alime, apande na climate

 chage hii,



  nguvu za kilimo zimekwisha, utata upo ktk jamii zetu

 wa



  kuamini hata vijukuu vibaka kuvipa hela za mafao au

 za



  valuation na compensation watekeleze ujenzi-vinasepa

 navyo.



  >>>



  >>> Ofisi ya kijiji cha Mlingotini

 (Mgotini)



  inaishinda hata ofisi ya RC au DC. Niliipiga picha

 mwenyewe



  wakati wa utafiti usiohusu uhamishaji mwingine kabisa

 mwaak



  2010 nililikuta zahama hilo la kihamo hadi leo

 hawajalipwa



  na hawaendelezi makazi au mashamba! Hiyo ofisi

 imejengwa na



  mwekezaji kama mafao yao na ipo katika kubomolewa.

 Sijui



  huyo mwekezaji kama atapona. Nimeiambatisha ofisi ya

 kijiji



  hicho uone.Majumba ya tofari za simenti waliyojenga

 wavuvi



  yanaumiza sana kuona yatabomolewa. Mungu atusaidie.



  >>>



  >>>



  >>>

 --------------------------------------------



  >>> On Sun, 28/6/15, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>



  wrote:



  >>>



  >>> Subject: Re: [wanabidii] (Lowasa maji



  yamekushinda utaweza foleni au porojo za kisiasa?)



  >>> To: "wanabidii@googlegroups.com"



  <wanabidii@googlegroups.com>



  >>> Date: Sunday, 28 June, 2015, 20:16



  >>>



  >>> Ni mwizi tu na



  >>> mwongo!em



  >>> 2015-06-28 12:35



  >>> GMT-04:00 fadhil fadhil <fadhil.fadhil96@gmail.com>:



  >>>



  >>>



  >>> Wakati



  >>> Lowasa akitangaza nia katika uwanja wa

 sheikh



  Amri Abeid



  >>> Arusha,  a



  >>



  >> --



  >> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com



  >>



  >> Kujiondoa Tuma Email kwenda



  >> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 



  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma



  >>



  >> Disclaimer:



  >> Everyone posting to this Forum bears the

 sole



  responsibility for any legal consequences of his or

 her



  postings, and hence statements and facts must be

 presented



  responsibly. Your continued membership signifies that

 you



  agree to this disclaimer and pledge to abide by our

 Rules



  and Guidelines.



  >> ---



  >> You received this message because you are



  subscribed to the Google Groups "Wanabidii"

 group.



  >> To unsubscribe from this group and stop

 receiving



  emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.



  >> For more options, visit



  https://groups.google.com/d/optout.



  >



  >--



  >Send Emails to wanabidii@googlegroups.com



  >



  >Kujiondoa Tuma Email kwenda



  >wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 



  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma



  >



  >Disclaimer:



  >Everyone posting to this Forum bears the sole



  responsibility for any legal consequences of his or

 her



  postings, and hence statements and facts must be

 presented



  responsibly. Your continued membership signifies that

 you



  agree to this disclaimer and pledge to abide by our

 Rules



  and Guidelines.



  >---



  >You received this message because you are

 subscribed to



  the Google Groups "Wanabidii" group.



  >To unsubscribe from this group and stop receiving

 emails



  from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.



  >For more options, visit



  https://groups.google.com/d/optout.







  --



  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com







  Kujiondoa Tuma Email kwenda



  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 



  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma







  Disclaimer:



  Everyone posting to this Forum bears the sole

 responsibility



  for any legal consequences of his or her postings,
and

 hence



  statements and facts must be presented responsibly.

 Your



  continued membership signifies that you agree to

 this



  disclaimer and pledge to abide by our Rules and

 Guidelines.



  ---



  You received this message because you are subscribed

 to the



  Google Groups "Wanabidii" group.



  To unsubscribe from this group and stop receiving

 emails



  from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.



  For more options, visit



  https://groups.google.com/d/optout.







 --



 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com







 Kujiondoa Tuma Email kwenda



 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 

 Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma







 Disclaimer:



 Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

 continued membership signifies that you agree to this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and

 Guidelines.



 ---



 You received this message because you are subscribed to
the

 Google Groups "Wanabidii" group.



 To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.



 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.











 --



 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com



  



 Kujiondoa Tuma Email kwenda



 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com

  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma



  



 Disclaimer:



 Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

 continued membership signifies that you agree to this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and

 Guidelines.



 ---



 You received this message because you are subscribed to
the

 Google Groups "Wanabidii" group.



 To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.



 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.











 --



 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com



  



 Kujiondoa Tuma Email kwenda



 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com

  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma



  



 Disclaimer:



 Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

 continued membership signifies that you agree to this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and

 Guidelines.



 ---



 You received this message because you are subscribed to
the

 Google Groups "Wanabidii" group.



 To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.



 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.













 --



 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com



  



 Kujiondoa Tuma Email kwenda



 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya

 kudhibitisha ukishatuma



  



 Disclaimer:



 Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

 continued membership signifies that you agree to this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and

 Guidelines.



 ---



 You received this message because you are subscribed to
the

 Google Groups "Wanabidii" group.



 To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.



 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.













 --



 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com



  



 Kujiondoa Tuma Email kwenda



 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya

 kudhibitisha ukishatuma



  



 Disclaimer:



 Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

 continued membership signifies that you agree to this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.



 ---



 You received this message because you are subscribed to
the

 Google Groups "Wanabidii" group.



 To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.



 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.





--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com



Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma



Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.





--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment