Wednesday, 1 July 2015

Re: [wanabidii] (Lowasa maji yamekushinda utaweza foleni au porojo za kisiasa?)

Shida mama ni hii....only lowasa is bad to you.......surprise and no any strong argument i see in your writings here baaaaaanaaaa dada
Ukizungumzia wafugaji ww kwa maelezo yako u mean wamasai which kama mtafit u are wrong and fake data utakua umepika data zako talk mfugaji ni wasukuma,wamasai and wamna'gati dada na pwani statistically wafugaji wengi ni wamang'ati na wasukuma 'moro ndi wamasai ndo wengi...sasaaaa lowasa ndio kwa maelezo yako ndio mwenye kuwaongoza hawa..dada kifup kama unashindwa kuja tu katiba unakosa sifa za kua kiongoz wa nchi hii....nchi hii ni yetu sote mtanzania ana uhuru wa kuishi popote as long as ni mtanzania,kua masai hakumaanishi usiishi mikumi kwenu dadaaa'kua mkwer hakumaanishi usionekane simanjiro dada hilder,so issue is hakuna proper land use nchii hii na ndi maana yote hii,soma kitu kinachoitwa kand use planing hafu soma detailed land use planning utajua nachozungumzia.......kama tungekua nayo tusingefikia hapa,tunashindwa na vinchi vidogo vya kiasia....so kiongoz mzuri ni yule asie mbaguzi seems weee unabias mambo kwako navyokusoma hapa mweye haki ni mkulima na mfugaji hastahili......hapa nakutoa ktk list ya watu wanaoipenda nchii hiiii,,,,mbaguzi ndio yale ya pinda kujiita mtooto wa mkulima ili ajifiche mle
Sasaa,mimi nimo ktk team yes,nimo na sijifichi ila nimo namonitor kaz naendelea na mjukum yangu ya ujenz wa taifa na wengine wako nae kumpa tafu rais wetu mtarajiwaaa
Dada unapotoa data zako be general nakushaur tu,talk of tanzania not only monduli au ukitaka hvo compare the good and the bad,bettrer and worse
Stay blessed
Vivaa lowasa

Lesian

'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

>Mollel, nichambe laniki nipo ngangari sina upendeleo wala chuki na mtu wako. Tunahoji ya uhalali.
>
>Labda nisipate uongozi-nitahakikisha kila kijiji kimefanya land use planning na certification. Tuone kama mifugo itakuwa inaingia kutoka Mwanza. Arusha, Manyara. Wenyeji wa Pwani mpaka Zanzibar ng'ombe hawaachii wakazagaa hovyo, huwafunga kamba. Wana mbuzi wa kienyeji na sasa za Maziwa vituo vya kilimo na miradi ya ufugajii huwasaidia kwa ajili ya lishe.
>
>Coastal areas huheshimu ardhi ya mtu mwingine hawezi kuingia hovyo kulishia mifugo, kukata miti au kulima bila ruhusa. Ninyi mkitoka kwenu mna tribalism. Mnadharau mtu mwingine yeyote ambae si Mmasai. Hivyo huingiza mifugo na kulishia mashambani, mkulima akiwafukuza-anapigwa bakora. Mna hela za kuhonga polisi na mahakama. Mnalima mwakenu ila hamlishii mifugo yenu hata siku moja. Ila mkifika kwa wenzenu iwe mbali Rukwa, Tunduru, Kisarawe, Morogoro, Kilosa-mnalishia hata ekari tano plus kwa mchana au usiku-ni dharau. mmepimiwa vijiji vyenu kilosa-mnalima kwa plau na treka, mifugo mnahamishia kwingine na kusema mnaonewa.
>
>Ardhi haipanuki Simanjiro, Monduli, babati hata Loliondo-mnavuna madini mererani mnaongeza mifugo. Mnalimbikiza mifugo ardhi inakuwa nyeupe kisha mnataka wildlife conservation areas ziwe degazetted eti mnaonewa ardhi wanapewa wageni. Wildlife raching, game hunting inaruhusiwa kisheria na OBC kawapa mafao mamilioni ushahidi upo mafao kibao wilaya na vijiji-mnamvamia eti mnaonewa. Kumbe mnaharibu mazingira vijijini mwenu halafu hoteli zimelinda mazingira yao na wawekezaji-mnaingiza mifugo. Kama mnaweza kupambana mbona hatujasikia mkilishia mashamba ya mchaga jirani yenu? Mnawaogopa na kuwaonea hao wa kisarawe etc.
>
>Sasa mchangieni aje kutawala ili mzagae na mifugo hadi Ikulu. Hatumchukii kama uonavyo wewe team Lowasa, tunahoji issues kama tunavyohoji kwa wagombea wengine. Mbona wewe tumbo joto na Lowasa? umepewa vijisenti nini? umo kwenye hayo magari yaliyokodishwa yanayotembea mikoa yote na wamama kupiga vigelegele na kutamka maneno tunayosikia ktk TV na radio? kinidhamu-ukiambiwa maombi haya ulete referees 3 huleti referee 6 ukafanya wasaini karatasi yenye nafasi 3 au kutaka watatu tu. Tunachosema-kila mgombea amefanya nini jimboni kwake na alikuwa mbunge? Kama ni muhudumu wa afya-eti huwezi kutembelea kata na kuhamasisha maendeleo kwa kuwa huna usafiri. SAWA. Lakini pamoja na kukosa usafiri-umefanikisha maendeleo gani kile kijiji unachoishi pale katani? Kama kijiji ni kikumbwa kuna wanyamapori-jee pale kitongoji unapoishi una cha kuonyesha? Utaona nani anawajibika sawasawa. Sikatai kama mimi ni researcher-sawa na nimeimaliza TZ hii nitakuwekea picha za Maasai
> area kibao hapa kukuonyesha mazuri na mabaya katika kuhoji. Vuneni madini Mererani na ongezeni mifugo, ozeni vichanga-ongezeni mifugo-Rais mimi naja-ukizidisha beyond land's carrying capacity-unalipa fine tuinazipora. Tunataka maendeleo endelevu ya kilimo, uvuvi na ufugaji. Tumechoka lele mama ya hadithi za alinacha.
>
>Ninakuwekea kiambata kingine uone kwamba tunachohoji katika maendeleo ni kile realistic sio lele mama hadithi ya kuahidi ahadi za kushusha mana kwa waliojangwani ambao wanazembea maendeleo yao wenyewe na kuchakachua resources. Mbona kuna visima vya gar na mafuta Mafia na minara yake toka 1950s. Unapigia kelele Gas ya Mtwara kulikoni na kuweka ahadi kibao watu kuandamana kuchoma nyumba na wanasiasa kushabikia? Ipo minara ya Shell BP Mafia ya 1950s. Tunawasubiri akina Dangote kwani matajiri wa hapa kama ninyi melala!! Aluta continua.
>--------------------------------------------
>On Tue, 30/6/15, 'Lesian Mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
> Subject: Re: [wanabidii] (Lowasa maji yamekushinda utaweza foleni au porojo za kisiasa?)
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Tuesday, 30 June, 2015, 2:57
>
> Hilder dada wee na wee nshakuona
> hujui unachozungumza bse akways ur against lowasa'hv haaya
> unyoyasema yako monduli tu sister....amazing words or a
> serious long served researcher,mbn wasomi wetu mnashindwaga
> kua analytical,wee,aaaggh napata shaka na watu hawa
> Najibu kdg kdg...suala la mifugo sidhan kama ni ng'ombe toka
> monduli ndo zikomihefu sister,wafugaji can come from
> simanjro na tena simanjiro na kiteto ndo wanaopakna na hayao
> maeneo ulotaja na si wamasai tu,ni wafugaji na sio suaka la
> lowasa pekee hili na si mbaya watu kua na wafugaji kisarawe
> au hata mbeya issue ni hii,arre those land properly planned
> to allow all activities to be done,si dhambi hata kdg
> mfugaji kuwepo kisarawe...nimefanya mradi pale kisarawe na
> ngo yangu 2010 nikiwa na ufadhili wa action aid uk na
> nikifanya vjj kumi na vie vya wafugaji tulifanya kule
> gwata,nyani,marumbo etc.....lakin shida wanasiasa
> wanaingilia technical matters na ndio maaana land planning
> bado hazifanikiw
> Shortly nisiingie ndani...ni hv lowasa si kweli kuna
> asiloweza na amefanya mengi jimbon kwake usitake kuaminisha
> wt kasoro chache ambazo zipo monduli kua ndio iwe weakness
> ya kumfanya asiwe presida,hujui kua leo mikoa ya
> shy,geita,wana mai ya victoria na huyu mwanaume ndo kapigana
> na wamisri,huju kabisa wee,staki sina muda wa kuandika
> meengi wee mchukie lakini usitushawishimkwa hoja dhaifu
> kumchukuia lowasa,hata kama kweli utagombea ubunge unatakiwa
> ujipange kweli hoja zako ziwe realistic maana naona
> unaokoteza hazina mashiko ,unapotaka kumshushia mtu basi
> mpime kwa haki,look at membe,jauar,wasira,sumaye et al
> halafu sema hawa wamefanya vyem a but lowasa hajfanya kitu
> na uje na option or your choice,acheni kulalamikaaaa bila
> kuja na suluhu,argue kisome sio'kitoto
>
> Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
> wrote:
>
> >Ngulupa,
> >Sema linakuudhi wewe and the likes. Mimi hainiudhi kwa
> sababu nisingependa kuona fisadi mwingine ndani ya Ikulu. I
> am speaking for myself lakini nitafarijika kuona kuna
> Watanzania wengine wenye msimamo huu.
> >em
> >
> >Sent from my iPhone
> >
> >> On Jun 29, 2015, at 2:52 PM, "'ngupula' via
> Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
> >>
> >> Kama kuna jambo linaudhi watu kwa kiasi kikubwa ni
> hili la kumpinga Lowassa kila kukicha....hivi hao wengine
> hawahaidi? Mbona Lowassa tu? Inawezekana hili ndio jiwe
> wanalolikataa waashi? ....swali langu bado ni
> lilelile....kumbukeni, mnapompinga Lowassa mtupe na jibu
> nani anafaa na kwa lipi?........kwa kuwa ni kwel wananchi
> wanampenda, nashauri tu ni vema kuwa makini na huyu
> jamaa.....  bila kumungunya maneno...nasema Tanzania
> watu wanaoweza kuisadia ni Lowassa na Mwigulu
> tu   hawa ndio wenye muarobaini wa shida za
> watz......hawa hawaamin katika misaada ni ni watenda kazi
> hodari........na mtu akitaka kuzungumzia Richmond asisahau
> kuwa...ipo escrow na mwenyewe wanamjua...
> >>
> >> 'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
> >>
> >>> Lowasa akatatue tatizo la maji kwa mwaka mmoja
> au muda mfupi ambapo mifugo ya kutoka kwao na Mwanza imejaa
> kwa mamilioni au maelfu hadi Milima ya Uluguru kwenye vyanzo
> vya maji? Kilombelo kwenye Ramsa Site kwa malaki, wetlands
> zinazopeleka pia maji Rufiji-kwisha; Ruaha imezagaa baada ya
> kuondolewa Ihefu Ruvuma, Tunduru, Rukwa, Kisarawe, Rufiji,
> Morogoro vijijini wanakoma kwa bakora sio wilaya Kilosa tu.
> Angemudu kusaidia jimboni kwake ufugaji na kilimo endelevu
> lakini hajafanya hivyo; kusaidia wananchi wake wawe na muono
> wa mbali wa mifugo katika kukuza kipato na kulinda mazingira
> na kuboresha ng'ombe na mbuzi wa kienyeji kwa value added
> products za kuingiza kipato. kuhamahama, kulimbikiza
> mifugo  sio tija. Kisha, uharibifu wa mazingira
> ufwanyao na wananchi wennyewe ndio wa kuhangaika nao ili
> maji yapatikane. Kuacha tabia ya kuharibu na kuvamia vyanzo
> vya maji, uchafuzi wa mazingira ndio akazanie ili baada ya
> miaka kadhaa matokeo ya maji mengi (sio muda
> >>> mfupi tu) yaonekane kutokana na re-charge ktk
> mazingira. Ikiwa sisi watanzania hatutobadilika kiakili na
> kimatendo-tusitegemee kubadili maendeleo yakue ghafla.
> Tunatiana umasikini na kujifanya masikini wenyewe.
> >>>
> >>> Cha kujiuliza-huko Monduli kuna land
> degradation, utata wa maji wananchi kuchota barabarani mvua
> ikinyesha maji huwa machafu, kuchangia maji na mifugo
> -amefanya nini miaka yote hiyo? Anaweza kuonyesha miradi ipi
> akigharimia yy binafsi au kutafuta donors kwa proposals zake
> na kushirikiza watumishi ugani? Kuna boreholes za toka
> ukoloni kwenye maeneo yaliyokuwa estate farms. Ni hivi basi
> wagombea wengine ambao walikuwa wabunge na mawaziri pia
> waulizwe walichokifanya miaka yote iliyopita.i Unaweza ukawa
> waziri lakini utendaji unategemea walio chini yako lakini
> mbunge upo jimboni. Jee kijiji chako pale ulipo wananchi
> wako wanatofauti gani na hao wa vijiji vingine vya mbali?
> Hapo ulipo-nyumba bora, choo bora, shule bora na ufaulu
> mzuri maji safi yapo na huduma ya mifugo na ufugaji na
> kilimo cha kisasa na endelevu. Huenda hivi vichache havipo
> hata kata na kijiji cha mbunge! Leo unadai taifa zima
> utabadili kwa sekunde? Jee, wabunge hufanyiwa evaluation ya
> >>> majukumu yao na kila mmoja kila baada ya miaka
> 5 kutoa taarifa ya utekelezaji ya mipango binafsi na ile
> ambayo anashiriki kupitisha ktk Halmashauri ya Wilaya chini
> ya O&OD na ile inayopita bungeni ya national vertical
> programs?  Bila ya kutathiminiwa-kunawekwa uwazi wa
> kutumia hela, kuruhusu rushwa itumike kupitisha wagombea
> vilaza. Daima maendeleo yapo duni wakati kuna kila aina ya
> resources vijijini, wataalamu wa serikali, vituo vya mifugo
> na vya kilimo, uvuvi na VETA juu na bajeti
> inawekwa.Tubadilike ili tusonge mbele viongozi na wananchi
> mijini na vijijini tuwe na muono chanya wa mbali.
> >>>
> >>> Ona malalamiko ya bandari huko Zinga-Mlingotini
> yanayoonyeshwa ktk TV. Inasikitisha na ilinisikitisha
> binafsi kuona jinsi wavuvi walivyojijengea nyumba nzuri sana
> kwa juhudi za karne; miembe na minazi inayowapa chakula na
> fedha. Iliwezekana kabisa kukwemba nyumba za wanavijiji,
> kuchukua eneo ambalo ni arable land ya kilimo pia kuweka
> bandari ambapo yapo maeneo mengine yasiyo makazi kama hayo.
> Ila hapo -inaonekana-lililengwa pia shamba kubwa la
> mheshimiwa mmoja liondoke ambalo ni maelfu ya ekari amepanda
> pamoja na maembe dwarf burunge ya kisasa ambaye ana kesi
> moja ambayoimeleta utata. Shamba hilo litakuwa bandari kavu.
> Inatokea sasa kukomoa wananchi. Ni muda mrefu hawakutakiwi
> kuendelezwa maeneo yao lakini hawajalipwa. fikiria historia
> ya eneo kutoka utumwa, fikiria ya kuwa population kubwa ya
> huko ni ya wazee ambao wanategemea nazi, embe, mihogo wauze
> wale. Miembe inaumri wa zaidi ya miaka 60+ licha ya hiyo
> mipya. Leo kibibi/kibabu kianze moja atafute
> >>> pa kuhamia, alime, apande na climate chage hii,
> nguvu za kilimo zimekwisha, utata upo ktk jamii zetu wa
> kuamini hata vijukuu vibaka kuvipa hela za mafao au za
> valuation na compensation watekeleze ujenzi-vinasepa navyo.
> >>>
> >>> Ofisi ya kijiji cha Mlingotini (Mgotini)
> inaishinda hata ofisi ya RC au DC. Niliipiga picha mwenyewe
> wakati wa utafiti usiohusu uhamishaji mwingine kabisa mwaak
> 2010 nililikuta zahama hilo la kihamo hadi leo hawajalipwa
> na hawaendelezi makazi au mashamba! Hiyo ofisi imejengwa na
> mwekezaji kama mafao yao na ipo katika kubomolewa. Sijui
> huyo mwekezaji kama atapona. Nimeiambatisha ofisi ya kijiji
> hicho uone.Majumba ya tofari za simenti waliyojenga wavuvi
> yanaumiza sana kuona yatabomolewa. Mungu atusaidie.
> >>>
> >>>
> >>> --------------------------------------------
> >>> On Sun, 28/6/15, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
> wrote:
> >>>
> >>> Subject: Re: [wanabidii] (Lowasa maji
> yamekushinda utaweza foleni au porojo za kisiasa?)
> >>> To: "wanabidii@googlegroups.com"
> <wanabidii@googlegroups.com>
> >>> Date: Sunday, 28 June, 2015, 20:16
> >>>
> >>> Ni mwizi tu na
> >>> mwongo!em
> >>> 2015-06-28 12:35
> >>> GMT-04:00 fadhil fadhil <fadhil.fadhil96@gmail.com>:
> >>>
> >>>
> >>> Wakati
> >>> Lowasa akitangaza nia katika uwanja wa sheikh
> Amri Abeid
> >>> Arusha,  a
> >>
> >> --
> >> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
> >>
> >> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
> >>
> >> Disclaimer:
> >> Everyone posting to this Forum bears the sole
> responsibility for any legal consequences of his or her
> postings, and hence statements and facts must be presented
> responsibly. Your continued membership signifies that you
> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules
> and Guidelines.
> >> ---
> >> You received this message because you are
> subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> >> To unsubscribe from this group and stop receiving
> emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> >> For more options, visit
> https://groups.google.com/d/optout.
> >
> >--
> >Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
> >
> >Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
> >
> >Disclaimer:
> >Everyone posting to this Forum bears the sole
> responsibility for any legal consequences of his or her
> postings, and hence statements and facts must be presented
> responsibly. Your continued membership signifies that you
> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules
> and Guidelines.
> >---
> >You received this message because you are subscribed to
> the Google Groups "Wanabidii" group.
> >To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> >For more options, visit
> https://groups.google.com/d/optout.
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit
> https://groups.google.com/d/optout.
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment