Wednesday, 1 July 2015

Re: [wanabidii] 600+ gay pride youth burned alive in Taiwan as Biblical-scale firestorm spontaneously ignites, raining down fire from above

Moto huo ni kama ule wa Sodoma (Sodomy) na Gomorrah (Gonorrhea??). Mungu ameonyesha Ukuu wake. Amewachoma. Mungu yupo hata kama hajitokezi. Angekuja siku moja kujitokeza maswali yake yangekuwa kuliko yale ya Rais mgombea-mtarajiwa!!

Lakini jamani-WRDP NGO yenye ofisi Mlalakua imefanya utafiti wa Kuenea kwa Ulawiti TZ 1995 na kuuendeleza utafiti huu 2012-2014. Wafanyao mchezo huu asilimia 67 ya kamchezo haka kanafanywa na wanafunzi (sodomy), asilimia 1 (%) ndani ya ndoa na linaleta magomvi sana. Wahusika ni wengi pamoja na wanasheria wamepangia au huchukua mashoga (gay men). Dini ndio usiseme-ajabu. Katika kuangalia mtu alianza wapi kamchezo ili kujua ni ecolojia ipi-hakukuwa na umaalum. Songea, Mbeya, Rukwa, Mwanza, Morogoro, DSM, Bagamoyo, ZNZ etc ila muhimu ni mazingira sio eneo maalumu maana Pwani ndio inatajwa sana. Mzee sana wa miaka zaidi ya 60-gay tulimpata akiwa mtu wa Songea. Ajabu na karne hiyo alifanyia huko huko.

Ni balaa na ni tatizo kubwa linaloanzia ndani ya familia 80% nje ya familia (Kazini, uchangudoa mteja anataka kwa hela nyingi, kubakwa 20% etc). Unavyolaza watoto wadogo wa kiume na wale wakubwa (kaka, mtoto wa jirani kuchangia chumba, ndugu, houseboy) ndio madhara yanapoanzia. Walezi ambao hawana maadili (watu wazima na vibabu, kaka, mjomba udugu wa karibu na mbali) ni utata. Kukomoana na kulipiziana kisasi kupitia watoto; watoto wa kiume wapendao dezo la chips, kupanda daladala bure wakiwa nje ya nyumbani; mwendo wa mbali kwenda shule na wanafunzi wakubwa kubaka wadogo au mkubwa mwenzao kwa kumkamata kumkomoa.

Tumetibuu wanafunzi wenyeSTDs kutokana na wao kutokuwaambia wazazi wao kuwa wanaumwa na kutendewa uchafu na ndugu, jirani, shuleni au kule ambako baba ana madeni au anaiba mke wa mtu na muibiwa akaamua kumzoea mtoto, lift, visenti na then kumshauri ampe zaidi mafao kwa kumfanya hivyo; bosi kuahidi kumpa kijana mafao-cheo, gari, scholaship na akampa kweli na kumjengea bonge la jumba, gari la ufahari. Mke anajua anamezea kwa vile wanatoka na kupaa watu wanawaona wameukata; mke hajui ni sisi ya mume au alifahamu toka zama hizo kuwa ni gay lakini anampenda jamani anavumilia anamuacha anatoka au mzee anakuja hapo anawapisha anajifanya wanamazungumzo ya kikazi lakini wapo ndani chumbani yanaendelea. Zawadi kemkem mama naye anapata kutoka huyo mume wa mume wake.Mume kanunuliwa vyombo vya band anapeta na kurekodi kiurahisi ana muhisani tegemewa na anauzika; Kapewa cheo kikubwa serikalini katika chama au Idara fulani na anapeta. Unaongea na gay mmoja, anakuletea
mtandao wa wengine unaongea nao, wanakutajia nani ni wa nani na ana cheo gani, dini gani, yupo wapi na evidence za ushoga huo. Ninasema haya kwa nia ya kuelimisha jamii sioo kutetea tabia hii.

Pia wapo wadada na wakaka wenye tatizo la homoni hawapati msaada kutokana na kutokujua na stigma familia ilikwepa majukumu kuficha matatizo. Wapo wanawake wenye mbili anazaa na kuzalisha zote zinafanyakazi hawakumvunja moja. Wapo wanaume waliovunjwa moja ila ana matiti anavaa mashati makubwa; wapo wanawake hata walipotibiwa kurekebishwa vagina haikukarabatika hivyo akabaki kutumia nyuma. Wapo waliokamilika umbile la uke lakini ndani hana uterus, fallopian tube-anachanganyikiwa anakwenda vyovyote vile partner atakavyo. Migodini ni hela yako-ukitaka kinyume na maumbile pesa nyingi kawaida pesa kidogo. Wapo wanaume waliobakwa na wanaume wenzao kwa hasira hulipiza kisasi kwa kubaka kwa kulawiti kwa kuvizia watu na akimpata shoga humtesa sana na kisha humvunja uume kwa nguvu. Hii ilitusikitisha sana tulipowauliza anayefanya ulawiti kuwa jee utaendelea na tendo hili akasema ndio kwa sababu- mimi nilibakwa kutokana na kugombea mwanamke au ushindani wa
kibiashara; mshindani watu alinisukia zari la watu/vijana wakanitenda hivi. Nikifanya hivi nami napata nafuu!!

Haya ni matatizo. Onya mwanao, mweke kitako muelimishe; onya wanaoishi na wanao ndani ya nyumba watakuharibia watoto balehe ikiwasumbua; onya watoto na tamaa zao.

ENJOY the NEWS


--------------------------------------------
On Thu, 2/7/15, Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] 600+ gay pride youth burned alive in Taiwan as Biblical-scale firestorm spontaneously ignites, raining down fire from above
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, 2 July, 2015, 6:16

Tuombe sana mwanadamu
anaishi tofauti sasa sijui wanyama watatuelewaje
On Jun 30, 2015 10:16
AM, "Telesphor Magobe" <tmagobe@gmail.com>
wrote:
"You shall not Kill."

On Tue, Jun 30, 2015
at 6:07 PM, 'frank patrick materu' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
wrote:


Posted on June 28, 2015 by Nate B in Featured,
Nate
B

He will
not be mocked. He will bring judgement upon those who
corrupt the flesh. Jesus
Christ lives, reigns forever and ever.

Read and
understand your bibles.

Many do
not understand what is going on behind the agenda that is
being pushed upon the
people of the world. For those who do not understand what
took place on Friday
was the sodomizing of America and the biggest blow of
corruption to this
nation.

You do
not have to agree but what is documented is factual and will
prove the true disgusting agenda of corruption that is
heading for this nation.
Below is just what will begin if America does not
REPENT.

A gay
pride youth party in Taiwan went horribly wrong last night
as a special effect
consisting of huge clouds of rainbow-colored glitter
particles was launched
into the air over the partygoers. To the shock and horror of
everyone, the
metallic glitter ignited, raining down a firestorm of death
upon hundreds of
attendees who were burned alive.

The
Natural News Taiwan office has given us exclusive
information concerning this
event which is not being reported elsewhere in the western
media:

• Over 600
people were injured in the firestorm, not the 200 or so
being mentioned in the
media. Local hospitals are completely overrun with burn
victims, and some
victims with less severe burns were turned away from
hospitals.

• There is
no common knowledge among Taiwan citizens — who are almost
all urban city
dwellers — that dispersed metallic particles can easily
ignite in the air.
Although this knowledge is very common in the Midwest of the
USA, for example,
where grain elevators must be on constant alert to prevent
grain explosions,
nobody in Taiwan seemed to have any knowledge that this
could happen. That
clouds of metallic glitter particles could spontaneously
ignite was a complete
surprise to most Taiwanese, even after the event took
place.

• The
event was planned as a celebration of gay marriage
legalization around the
world. It was not heavily promoted as a "gay pride"
event because being openly
gay is not widely accepted in Taiwan society (which is still
culturally quite
conservative as far as family values go). Instead, the event
was promoted using
the key word "rainbow," the universal global symbol
associated with gay pride.


Source: 600+
gay pride youth burned alive in Taiwan as Biblical-scale
firestorm
spontaneously ignites, raining down fire from above –
NaturalNews.com

 

 






--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.






--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.





--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment